NTEMI EPI45 SESSION3||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 2. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

Комментарии • 85

  • @hellenmayende8391
    @hellenmayende8391 Год назад +3

    Woow nimefurahi sana vile mmerudi, rusheni shuujaa pia

  • @karembo7082
    @karembo7082 Год назад +17

    Kama ulisubiri hii move like tushonge mbele 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DominguezdaFátimaNacirOmar
    @DominguezdaFátimaNacirOmar Год назад +4

    Asante sana kwa kurudisha movie ya ntemi
    Nakukubali sana uku msumbiji 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 Год назад +5

    Siku nyingi 😂❤siku zimesha pita atumskie Doctor Kulia na mambo yake….❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ impatient d,attendre 😅😅😅😅😅❤🎉

  • @rozasafiswideni7034
    @rozasafiswideni7034 Год назад +8

    Mmmmm yani bado hipo tulikuwa tu meshasa hau kabsa 😢😢😢❤

  • @HAMISJOSEPHJILALA
    @HAMISJOSEPHJILALA Год назад +6

    itakuwa poa sana

  • @ZubedaBita
    @ZubedaBita Год назад +1

    Jamani mnachelewa sana

  • @laizergmathayo
    @laizergmathayo Год назад +2

    Uncle ametinga tena👑

  • @bigtimetz
    @bigtimetz Год назад +4

    Yeee bagosha ntemi washoka hange

  • @DamianJustine-hs6dk
    @DamianJustine-hs6dk Год назад +2

    Hatimae wamerudi tena.nafatilia kutoka kata ya Ihanamilo Geita ahsanteh sana ntemi

  • @voicelove8153
    @voicelove8153 Год назад +4

    Jeremia ameludi jmn na mtemi❤️❤️❤️

  • @mihadimihanju2255
    @mihadimihanju2255 Год назад +2

    Kaz nzur sema mnachelewa kuitoa mwendelezo

  • @MargaretaTaremo
    @MargaretaTaremo Год назад +2

    Tunasubiri filam nzuri msikatize mko vizuri tunawakibali

  • @Machozi2024
    @Machozi2024 Год назад +3

    Kumbe inaendelea good ❤❤❤💯💯🤝✌️

  • @Heri-ze6gi
    @Heri-ze6gi Год назад +3

    Waoooooo tumemic sana ntemi

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад +1

    Zena umenenepa sana mwaya ilaa umedamshiii ❤❤❤❤❤ daa pole sana jeremia😢😢

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 11 месяцев назад

    Asanten tena kwa kutuletea mwendelezo❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maskin Jeremia karudishwa chizi

  • @kazumbamaganga8714
    @kazumbamaganga8714 Год назад +1

    Jaman kajere kamechizi

  • @halimakajela9977
    @halimakajela9977 Год назад +1

    Kumbe bado ipo!!! Mi nshakata tamaa na nmesahau mwanzo

  • @marthaelias3422
    @marthaelias3422 Год назад +2

    Hii move nilikuaga naipenda na niliifuatilia mwanzo mpaka nilipokuja kuikosa sasa leo naiona hata sielew niliishia wap na mpaka ham ilishaisha me siielewi tena

  • @hajihaji6351
    @hajihaji6351 Год назад +1

    Da tuliimis sana

  • @DeborahPrincess
    @DeborahPrincess Год назад +2

    Kiwapenda nawapenda sana. Lakini shida yenu mojatu mnachewesha mambo sana

  • @allybulula9104
    @allybulula9104 Год назад +1

    Eeee nyanjige kumbe unasehem.yakushikia kabisa aisee

  • @robertbunyika9672
    @robertbunyika9672 Год назад +1

    Nimefurahi sana Kwa mwedelezo huu nawapenda sana

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Год назад +1

    Mayooooooo,,,mume wetu amekuwa chizi jamani uwiiiiii❤❤❤

  • @InosMasanja-z4d
    @InosMasanja-z4d Год назад +1

    Sawa kabisa edeleen shukullan

  • @MaliethaLeonard
    @MaliethaLeonard 10 месяцев назад

    Wale tunaomkubali Mr mchele wa KISS MY PAIN gonga like tuendelee namkubali sana mzee ❤❤❤ more ❤️💕💖💖💖💖 mzee

  • @stellastella2795
    @stellastella2795 Год назад +2

    Sawa ngete bakokaya

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 Год назад +6

    Dah mpaka nimeisahau 😢😢

  • @LoyceJoshua
    @LoyceJoshua Год назад +1

    hongeran wan kapaya family

  • @LaurentLukome
    @LaurentLukome Год назад +1

    Nawapenda sana niliwamiss sana natazama kutoka CANNADA 🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Год назад +1

    Mama nyanjige Mungu uwakuona zena maskini nakuonea huruma n kijacho chako ukijuwa jeremiah m chizi utaskiaje😢 pole jeremiah

  • @Nadia-s7w
    @Nadia-s7w Год назад +1

    Alhamdulillah niliisubir sanaa

  • @JamilahOmar-cf2ow
    @JamilahOmar-cf2ow Год назад +1

    Nikua nasubiri kwa hamu sana ❤❤

  • @MarthaJonathan-z2w
    @MarthaJonathan-z2w Год назад +1

    Asante jaman kwa kutuletea mtemi

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 Год назад +1

    Nyanjige umependeza na Zena kanenepa❤❤❤

  • @danielkiprutokisa9534
    @danielkiprutokisa9534 Год назад +3

    Tunasubiri kwa hamu na ghamu 🇰🇪

  • @janetjerotich-hd8sz
    @janetjerotich-hd8sz Год назад +1

    Nilisubiri sanaa😢😢

  • @hadijahamis4080
    @hadijahamis4080 Год назад +1

    Yaan niliimiss sana hii kitu

  • @AnthonyAgustino-x7l
    @AnthonyAgustino-x7l Год назад +1

    Good work

  • @LazaroIkanda
    @LazaroIkanda Год назад +1

    Aiseeee zena kanenepa jamani

  • @clementinalungu
    @clementinalungu Год назад +1

    Ok were waiting😊

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 Год назад +3

    Yooo tulipoteanaga kitambu kwelikweli jamanii😂😂

  • @neemaayubu5186
    @neemaayubu5186 Год назад +1

    Mmerudi tena jmn asanteni 💃💃💃 ila jeremia wetu jmn😢😢😢

  • @fatmaramadhan762
    @fatmaramadhan762 Год назад +1

    Kapaya utapoteza mashabiki

  • @johariabdalla3099
    @johariabdalla3099 Год назад +1

    Yaan unasubiri mpaka unasahau kama kuna move ya ntemi khaaa

  • @weedboy7460
    @weedboy7460 Год назад +1

    Vizuri.vipi shujaa pia muilete jamani

  • @SaleheMpemba-q7j
    @SaleheMpemba-q7j Год назад +1

    Jaman tumeipenda haiedelei

  • @JosephKituhu
    @JosephKituhu Год назад +1

    Duuh sema wanakaa mwaka jmn

  • @witnesskihaga2241
    @witnesskihaga2241 Год назад +2

    Time will tell sana mbili kamili usiku itakuwa hewani TULIWAMIC SANA TEDY,NTEMI,LEMI, VERONICA NA WACHAMBAJI WENZAKE

  • @teddysananga
    @teddysananga Год назад +1

    Nyanjige kawa white sanaa😂🎉🎉

  • @RosebellahNambiro-gf5ot
    @RosebellahNambiro-gf5ot Год назад +1

    Jamani nilikua nmemis zena na mzee saimon😂

  • @voicelove8153
    @voicelove8153 Год назад +2

    Tulisubili kwahamu San

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 Год назад +2

    Mnazingus sana nyie movie tushasahau mwaka mzm ndo mnarud😢

  • @nockigona5160
    @nockigona5160 Год назад +1

    huyu jamaa kakaa kimya mwaka mzm ameboa

  • @MeshackEzekiel-m2k
    @MeshackEzekiel-m2k 11 месяцев назад

    Asante ni sana rakin msicheiewe kutoa muenderezo😅

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv Год назад +2

    🎉🎉🎉

  • @lispalukas5543
    @lispalukas5543 11 месяцев назад

    Jamani movie ya ntemi nizur safari ameicheza vizur imefunika hata ire aliyoicheza iliyoenda kwa jina la shujaaa hii nizuri zaid

    • @lispalukas5543
      @lispalukas5543 11 месяцев назад

      Ila Mimi nasubilia episode ya 56 naona Kama wanachelewa au mwisho ni episode ya 55 tu

  • @hellencosta9818
    @hellencosta9818 Год назад +1

    Mlikuwa na shida gani jamani

  • @josephfabian3262
    @josephfabian3262 Год назад +2

    lin inatok as maan nimemiss jamaa ang wa kisukum

  • @kentechmediacentre6858
    @kentechmediacentre6858 Год назад +1

    Wewe Iko wako

  • @DANIELSikuku-zi2fp
    @DANIELSikuku-zi2fp Год назад +1

    Nilikuwa nimengogeya hii mvi xna

  • @imeldabuenaventura
    @imeldabuenaventura Год назад +1

    jamani hatimaye tumekumbukwa

  • @salumunassoro3701
    @salumunassoro3701 Год назад +1

    Hii kitu naipend achilien nyingi nyingi basii

  • @agnesbochaberi5738
    @agnesbochaberi5738 Год назад +3

    Shujaa ilienda wapi

  • @fatmaramadhan762
    @fatmaramadhan762 Год назад +1

    Yani nimeumwa mara mbili nimepona leo ndo movie imekuja

  • @DeborahPrincess
    @DeborahPrincess Год назад +2

    Kajere

    • @DeborahPrincess
      @DeborahPrincess Год назад

      Kajere, ujuwe mama ka nyanjige ndo amekuroga

  • @rosemwaka2924
    @rosemwaka2924 Год назад +1

    ❤❤❤❤

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 Год назад +1

    Kwann hamtafsiri kwa kiswahili huko mnakoongea kisukuma

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 Год назад +1

    Sikumbuki ata niliishia wapi

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 11 месяцев назад

    Maskini kajere😢😢😢

  • @YonasVicent-yc3je
    @YonasVicent-yc3je 10 месяцев назад

    Mama nyanjige uchawi mbaya sasa ndo umefanya nini sasa

  • @Almarsprince254
    @Almarsprince254 Год назад

    hii movie itaisha kwa miaka ishirini,,,😞😞

  • @CHRISTINADISMAS-n3l
    @CHRISTINADISMAS-n3l Год назад

    Tunasbil mda ufike tu

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i Год назад

    Ntemi ilikuwa wapi jameni

  • @DeApple05
    @DeApple05 Год назад +2

    ❤❤

  • @AntoineBirungi
    @AntoineBirungi Год назад +1

    Tulisubiri sana kabisa