Mkasi | S15E05 with DJ CHOKA Extended version

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 30

  • @saimmabula3442
    @saimmabula3442 9 лет назад

    DJ CHOKA yuko real,kweli jamaa ana uchungu na bongo fleva

  • @rukiahussein9737
    @rukiahussein9737 9 лет назад

    Dj choka nimekupenda buree upo tofauti namuonekano zamani nilikuwa nadhani unapenda kusanifu watu

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 9 лет назад

    hahaha... kipindi kizuri.. ila daah inakuwaje mwana Blogger, DJ, msanii anakosa wazo lakuambia jamii daah.... kkkkkk

  • @johannmorris8685
    @johannmorris8685 9 лет назад

    guda sana salama na wote mnabamba show,also guda mr Dj choka

  • @stormingfoh
    @stormingfoh 9 лет назад

    Salama, Muba n the other guy..mko poa safi!
    Huyu DJ CHOKA nimempenda...Mtu safi mwenye msimamo na maadili!
    Itabidi nimtafute

    • @fahadbabuy
      @fahadbabuy 9 лет назад

      +DjChoka Music nigga you the best!

    • @emanuelmley8997
      @emanuelmley8997 9 лет назад

      +DjChoka Music pa1 xana wa kunyumba

  • @mnuquer
    @mnuquer 9 лет назад +1

    wow! thanks Josh for keeping the show lively and bubbly til the 'END' #NoEditing #NoCutting .aisse! Umettisha! shit is real km ngumi za Tyson

  • @iamzillahx6901
    @iamzillahx6901 8 лет назад

    chokadj anaelewa anachokfanyaga,, yko poa sana

  • @luciustumbuka7665
    @luciustumbuka7665 9 лет назад

    salute broda choka

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 9 лет назад

    Eeeeh hii nomaa yani nimecheka kweli 😂😂😂😂

  • @ayamwil1953
    @ayamwil1953 9 лет назад

    oya! kukata gogo ndo nini maanake...c mwajua kiswahili cha kenya na bongo tofauti,niwekeni sawa angalau :)

  • @marycelineevergreen9257
    @marycelineevergreen9257 9 лет назад

    muba chizi eti taja km VP jmn loh all the way to South Africa here miss home Tz

  • @trizhabitoro1685
    @trizhabitoro1685 9 лет назад

    nice show

  • @rocktravel9851
    @rocktravel9851 9 лет назад

    dj choka yuko vyombo 😂😂

  • @allyally8166
    @allyally8166 9 лет назад

    Yupo Real sana Ntc interview

  • @marycelineevergreen9257
    @marycelineevergreen9257 9 лет назад

    salama loo ati km bluce leee yahhhhhhh

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign 9 лет назад

    Sijui alikuwa anakunywa kiroba!?

  • @asnathsweeth3029
    @asnathsweeth3029 9 лет назад

    watu wanapendan wawili wakufurahishe wewe Kama nani

  • @Bbwaoy
    @Bbwaoy 9 лет назад

    Choka yuko vyombo...

  • @hughosanchez4770
    @hughosanchez4770 9 лет назад

    Please guys some of us tuko nje ya bongo. We don't know much staff. Please elaborate more, who is dogodogo+zigo?

  • @yasserabubakar6167
    @yasserabubakar6167 9 лет назад

    dj choka mbona kazingua mwisho kama hana mawazo,kama amekuja kwa interview na ameshagonga baridi.

  • @yusuphathuman3708
    @yusuphathuman3708 9 лет назад

    binafsi choka interview inakushinda but kaza,ni wazo langu lakini.

  • @doneebahatimallya2040
    @doneebahatimallya2040 9 лет назад

    Good show nigga choka #wedebest

  • @frankomart5801
    @frankomart5801 9 лет назад +1

    Joni will always find a way to freaking kill the convo. sasa apo aliporudi kwenye kushika maskio. WTF men.

  • @imachembele7043
    @imachembele7043 8 лет назад

    Choka chenga

  • @abdimoha3514
    @abdimoha3514 9 лет назад

    salut Dj. choko