Geraldine Oduor feat. Dan Shilla - Msaada Wangu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 272

  • @Linsymumu
    @Linsymumu 27 дней назад +1

    Who is here 2024 29th December ❤

  • @Mwakskom
    @Mwakskom 25 дней назад +1

    1st January 2025🎉❤

  • @nashkofficial
    @nashkofficial Год назад +1

    Who is here again in 2023🙌🙏🙏 am inlove with this song❤

  • @danielnjogu6340
    @danielnjogu6340 7 месяцев назад +16

    Who is here in 2024 3rd June sunday💯🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥳🥳🥳🥳🥳🥳

  • @liliankilonzo2469
    @liliankilonzo2469 9 месяцев назад +4

    Mnafunga download ya Nini watu wa mungu I think mmepewa kipawa ya kuimba ndio msambaze bararka kwa wengine mkifunga wengine watabarikiwa namna gani???

  • @tracymilan5845
    @tracymilan5845 10 месяцев назад +3

    Here to like this song because it made our church so lively and on fire 😮🔥❤

  • @janemisso9722
    @janemisso9722 3 года назад +48

    Very powerful song 🔥🔥🔥 hizi ndio nyimbo za injili kabisaa God bless you Geraldine 😘😘😘

  • @VeraOnkeo
    @VeraOnkeo 4 месяца назад +2

    Nitayainua macho yangu milimani msaada wangu watoka kwako Bwana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏

  • @isaacmugao1076
    @isaacmugao1076 3 года назад +1

    Those who click unlike button shida yao huwa gani?

  • @PAMELAOKOLA
    @PAMELAOKOLA Год назад +2

    Hii wimbo hunitia nguvu wakati ninaiimba na kunisongesha mahali

  • @kaniniwinfred
    @kaniniwinfred Месяц назад +1

    My soul today played this song in my mind and I had to come and listen, indeed it is what I needed as my life is collapsing before my eyes, but I have to keep trusting who called me , thank you for this amazing song ❤❤❤.

  • @douglasgitonga8269
    @douglasgitonga8269 Год назад +2

    Wewe umetunga hii song Mungu akubariki saaaana daima ufanikiwe...

  • @LindaMwali
    @LindaMwali 4 месяца назад +1

    Hizi ndio nyimbo zinafaa million likes😢😢 very powerful song of God❤❤

  • @geraldineoduor
    @geraldineoduor  3 года назад +9

    #MsaadaWangu
    Refrain:
    Nitayainua macho yangu milimani (I will lift up my eyes to the hills)
    Msaada wangu watoka wapi? (Where does my help come from?)
    Msaada wangu u kwako Bwana (My help is in You Lord)
    (Repeat)
    Nakuinulia macho yangu (I lift my eyes to You)
    We uketiye juu sana (Who sits enthroned on high)
    Kama macho ya watumishi (Like the eyes of the servants)
    Kwa mkono wa bwana zao (in the hands of their masters)
    Niletewe Nuru yako (Grant me Your light)
    Kweli yako zini ongoze (Truly continue to lead me)
    Zini fikishe kwenye mlima (Until I reach the summit)
    Maskani yako takatifu (Your Holy Place)
    Bwana ndiye mlinzi wangu (The Lord is my protector)
    Uvuli wa mkono wangu (The shadow of my hand)
    Jua halinipigi mchana (The sun does not shine on me by day)
    wala mwezi usiku (Or the moon by night)
    Anilinda na mabaya (He protects me from evil)
    Atalinda nafsi yangu (He will protect my life)
    Nitokapo na niingiapo (When I leave and when I return)
    Tangu sasa na milele (From now, until forever)
    (Refrain)
    Sheria yako ni kamilifu (Your law is complete)
    Huiburudisha nafsi yangu (It refreshes my soul)
    Shududa wako niamini (I trust Your testimonies)
    Hunitia hekima (It gives me wisdom)
    Maagizo yako ni adili (Your instructions are Good)
    Hufurahisha nafsi yangu (It gives me joy)
    Amri yako ni safi sana (Your orders are good)
    Huyatia macho nuru (They light the eyes)
    Kicho chako ni kitakatifu (Your Holy stream)
    Kinadumu milele (Is forever)
    Hukumu zako ni za kweli (Your judgements are true)
    Zina haki kabisa (They are just)
    Kuliko wingi wa dhahabu (Unlike many gold things)
    Hukumu zako zatamananika (Your judgement is desired)
    Kuliko sega la asali (Unlike the bee hive)
    Hukumu zako tamu kweli (Your judgements are sweet)
    (Refrain)
    Nitayainua macho yangu Bwana (Lord I will lift up my eyes)
    Wewe u msaada wangu wa karibu (You are my close help)
    (Refrain)

    • @florahwambui1347
      @florahwambui1347 3 года назад +1

      This song is my daily dose... You are blessed...

  • @silvesterkariuki2258
    @silvesterkariuki2258 Месяц назад

    Feeling let down.... But this song is ministering to me the very perfect words for my consumption this wonderful morning.... Huah,,, the healing the song is bringing in my heart. 🙏 May God continues blessing Geraldine... Beautiful Wonderful and powerful voice ♥️💪

  • @lucykiriungi82
    @lucykiriungi82 9 месяцев назад +3

    Finally from RUclips and TikTok I got it... Blessed

  • @philyskasaya7317
    @philyskasaya7317 Год назад +2

    Nitayainua macho yangu mlimani msaada yangu watoka wapi.msaada yangu kwake bwana

  • @suzzinjenga4240
    @suzzinjenga4240 9 месяцев назад +1

    Bwana ndiye mlinzi wangu uvuli wa mkono wangu jua halinipingi mchana wala mwezi usiku anilinda na mabaya atalinda nasfi yangu nitokapo na niingiapo tangu sasa na milele.

  • @SharleenKelsie
    @SharleenKelsie Год назад +1

    Amen Amen msaada wangu watoka kwako mungu najua hajawai niwacha

  • @tumainiurio3644
    @tumainiurio3644 9 месяцев назад +2

    Hakika nitayainua Macho yangu milimani msaada wangu u kwako BWANA.100%.❤❤❤

  • @EnostineOnyango-k3v
    @EnostineOnyango-k3v 9 дней назад

    Nitayainua macho yangu milimani❤

  • @KisiiMilka-mj1fo
    @KisiiMilka-mj1fo Год назад +1

    Huu wimbo umenigusa nimeutafuta kwa 2weeks aja jilia niudaunlod plz umenibariki

  • @jonathanmpitabakana388
    @jonathanmpitabakana388 Год назад +1

    Nimeupenda huu wimbo aseee

  • @berthasomi6114
    @berthasomi6114 3 года назад +1

    Eee!!! mungu naomba uniinue macho ynguuu!!!! Asanteee Mungu sababu nazidi kuona mkono wako kwangu kila kukicha naomba uzidi kunifungulia milango ya baraka kwanguu

  • @SylviaKavulani-l9q
    @SylviaKavulani-l9q 10 месяцев назад

    Just read psalms 121 na nikautafuta huu wimbo very powerful ❤😊

  • @aswanimoses1769
    @aswanimoses1769 Год назад +1

    thise is true gospel music with a powerfull massege❤God blase you guys for you have blased many❤❤🙏🙏🙏

  • @StellaOnchonga
    @StellaOnchonga 10 месяцев назад +2

    Very touching,,,, may God be glorified ❤

  • @lydiajelimo6315
    @lydiajelimo6315 3 года назад

    Nikikumbuka hii song naflashbck ile siku ,,,nilikua n mashida mingi sanaa y maisha ,,inanipea hopes kimaisha inanitouch sanaa be blessed mummy🙏🙏🙏

  • @brendachepkirui-le4ib
    @brendachepkirui-le4ib Год назад +1

    God bless you sana My sister

  • @michaelochieng5745
    @michaelochieng5745 4 месяца назад

    May God Almighty hear the voice of my heart 😢🙏.
    I just need God most

  • @FridahKathini-io6st
    @FridahKathini-io6st 8 месяцев назад

    Hakika huu wimbo unitia nguvu nikiwa chini kabisa aki mbakirikiwa sana naupenda sana❤❤❤❤❤

  • @alicegakii484
    @alicegakii484 Год назад +1

    When am down this song is my strength for many years my God continue to bless u mamii ❤🙏

  • @cedrickotieno5873
    @cedrickotieno5873 Год назад +1

    Mungu, msaada wangu, msaada wa wote.

  • @dorcasjoseph5266
    @dorcasjoseph5266 3 года назад +2

    Naupenda Sana u wimbo

  • @EstherNdutaSOUL
    @EstherNdutaSOUL 2 месяца назад

    These words and your tune came to mind this morning. Msaada wako, na wangu pia, kumbuka kila wakati, hutoka kwa Mungu Mwenye enzi! Ubarikiwe sana.

  • @Betty-k1x
    @Betty-k1x 3 месяца назад

    Napenda nyimbo zako Sana God bless my sister

  • @belindakhisa9883
    @belindakhisa9883 Месяц назад

    I love listening to this song early morning...it just gives me confidence to face my day...I wait patiently for God's reward...Hebrews 10:35-36

  • @joycerogoro9985
    @joycerogoro9985 Год назад +2

    Powerful. I was in hospital ward but listening to this kept me hopeful. God bless you sis

  • @rebeccamaina2957
    @rebeccamaina2957 3 года назад +1

    👏👏👏💃 keep shining 🌟 mum God bless you 🙏

  • @lauwrencemilole4148
    @lauwrencemilole4148 3 года назад +1

    Jamani huu wimbo naupataje audio Mack naandika hauji nisaidien jaman

  • @leahgithua6728
    @leahgithua6728 3 года назад +2

    My friend has put this song as her skiza tune wow she made to go on RUclips to search for this song I found it there actually the song is soo good 👏thank you my friend Maggie for putting this song as your SKIZA tune

  • @elinakalekale8409
    @elinakalekale8409 2 года назад

    Napennda na. Barikiwa. Sana. Roho mtakatifu. Hushuka. Barikiweni

  • @mercychelangattangus8443
    @mercychelangattangus8443 Год назад

    Msaada wangu kweli u kwako bwana...napenda sana huu wimbo tangu utotoni🙏🙏🙏

  • @joycevelmah711
    @joycevelmah711 5 лет назад +5

    Ooh my in love wth ths hymn,, quite inspiring.,, stay blsd Brethren Geraldine.psms 121:2,,can listen 100 tyms wthout getting tired, it bleses alot

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 Год назад

    Amen 🙏 touching song bwana atazidi kunihinuwa

  • @mugambimuchena3075
    @mugambimuchena3075 Год назад +1

    This song is the greatest. God bless you Geraldine

  • @PolycarpOuma-h5w
    @PolycarpOuma-h5w 12 дней назад

    God bless you for powerful message.

  • @veronicasteven7116
    @veronicasteven7116 3 года назад +1

    Mungu awabariki Geraldine na Dan Shilla

  • @NizahUndisa
    @NizahUndisa 10 месяцев назад

    This song really encouraged me when i lost my hubby. I listen to it time to time without getting tired . Be blessed sister. Geraldine

  • @esterbonfasbrayson5437
    @esterbonfasbrayson5437 2 года назад

    Poa sana

  • @PhaniceIraboka
    @PhaniceIraboka Год назад +1

    The song realy blessed me may continue to lift you

  • @lillybeautyinkenya2939
    @lillybeautyinkenya2939 4 месяца назад +1

    Ameen

  • @michaelotieno2579
    @michaelotieno2579 5 месяцев назад

    The beauty of praise God in your best style. Just see how this sister and this brother are demonstrating style in their body language to accompany worship for God. Very interesting and I like it. Praise be to God.

  • @veronicasteven7116
    @veronicasteven7116 3 года назад +1

    Huu wimbo naupenda sanaa

  • @annenjuguna912
    @annenjuguna912 Год назад

    Amen msaada wangui watoka kwa MUNGU.God bless you

  • @franciskenyeru6837
    @franciskenyeru6837 3 года назад +3

    I have really wanted to know the singer of this beautiful and inspiring song, till today when I used Shazam. Congratulations and be blessed always

  • @PiusMbundu
    @PiusMbundu Год назад +1

    God bless you, good song full of God's blessings

  • @nancyflorence6641
    @nancyflorence6641 2 года назад

    Napenda hiyo wimbo sna hata naweza imbisha mara kumi ubarikiwe sna my dear sister

  • @phyljohns7778
    @phyljohns7778 Год назад

    2023 I never knew this was your song😢it's a blessing 🙏🙏🙏

  • @nicholausmbano7530
    @nicholausmbano7530 8 лет назад +1

    ubarikiwe kwa kazi nzuri mpendwa katika kristo

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤safiii

  • @jenifamuia2286
    @jenifamuia2286 3 года назад +1

    Msaada wangu uko kwako bwana

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 5 лет назад +3

    Nice song.
    From Mbeya Tanzania

  • @robertkitali3361
    @robertkitali3361 2 года назад +1

    2023,,,, and its still my best,, may God uplift you madam in your ministry,, this is a blessing to me,, the song

  • @annenjuguna912
    @annenjuguna912 Год назад +1

    I really love this song very powerful

  • @carolineimali6284
    @carolineimali6284 2 года назад

    Kweli msaada wangu kwa bwana,💪💪💪💪💪💪

  • @jeniffermasha2540
    @jeniffermasha2540 2 года назад

    Bado nayainua macho yangu kwako we Mungu wangu

  • @jeniffermasha2540
    @jeniffermasha2540 2 года назад

    Msaada wangu hata na mimi watoka kwako Bwana

  • @michaelotieno2579
    @michaelotieno2579 5 месяцев назад

    Adoration time, the decoration of Christian worship. This really uplifts not only the eyes but also the Spirit to God.

  • @MauriceBusolo
    @MauriceBusolo Месяц назад

    I like your songs mama

  • @esterbonfasbrayson5437
    @esterbonfasbrayson5437 2 года назад

    Nabarikiwa sana na wimbo huu,naomba uuchie ni download

  • @Childofmosthigh419
    @Childofmosthigh419 7 месяцев назад

    Psalms 121❤❤❤❤❤

  • @samuelkinyanjui9521
    @samuelkinyanjui9521 2 года назад

    My name is samuel Kinyanjui I get inspired by this song

  • @AngelEfraim-b6k
    @AngelEfraim-b6k Год назад

    Pray for me mom, about my financial , and spiritual husband

  • @anthonymutuku2523
    @anthonymutuku2523 2 года назад

    Kweli msaada wangu watoka kwako bwana uishiye milele

  • @bonfaceaminga1777
    @bonfaceaminga1777 2 года назад

    Moto kama pasi🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gracekuria4767
    @gracekuria4767 2 года назад

    My song ....msaada wangu ni kwako bwana

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 2 года назад

    Who is here 2022 December 🙏🙏🙏

  • @vincentsewe8750
    @vincentsewe8750 2 года назад

    Baraka baraka tele dadadangu

  • @paulineouko7477
    @paulineouko7477 3 года назад +6

    I can't remember how many times I have played this song. Very inspiring indeed. The blend of these 2 voices is heavenly. Bless you Geraldine and Dan Shilla

  • @cobmholic3340
    @cobmholic3340 Год назад

    your songs are soo powerful am proud of you 🙏🥰🇰🇪.......you understood the assignment.... receive the blessings🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

  • @angel-miriam
    @angel-miriam 2 года назад

    nice song beb blessed🇰🇪🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @davidmsigwa6438
    @davidmsigwa6438 3 года назад +1

    Who watch 2022

  • @judithkones7384
    @judithkones7384 10 месяцев назад

    Geraldine your song has really blessed me this sundya.continue blessing us,shalom

  • @dorcasjoseph5266
    @dorcasjoseph5266 3 года назад +1

    Ubarikiwe 🙌🙌

  • @sylviabahati1397
    @sylviabahati1397 Месяц назад

    Amen🙏🙏🙏

  • @reubenkidwaro4967
    @reubenkidwaro4967 3 года назад +1

    Wow very inspirational song sauti tamu more blessings my sister

  • @agnesgati5114
    @agnesgati5114 Год назад

    Be blessed dear wonderful song.

  • @dorcusochieng5371
    @dorcusochieng5371 2 года назад +1

    My help comes from the Almighty God my father. Amen

  • @konsomohammed1256
    @konsomohammed1256 2 года назад +1

    Wat nice song... Always grant me opportunity to trust Allah is the one can genuinely give you. At time he really want.

  • @gospelhubkenyatv
    @gospelhubkenyatv 3 года назад +2

    We connect to this annoiting, nitainua macho yangu

  • @salimiapesa
    @salimiapesa 6 месяцев назад

    Yianstar Suji loves ❤️ this song ❤❤❤

  • @davidl.994
    @davidl.994 Год назад +1

    This is one of my favourite songs, i can listen to this song the whole day. May Almighty God continue helping you

  • @aqueensouma6042
    @aqueensouma6042 2 года назад

    Ameeen hallelujah 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @migsflavy1636
    @migsflavy1636 2 года назад

    October 2022 mko wapi💓💓💓💓

  • @Mumbua_jos
    @Mumbua_jos 2 года назад

    This song I always sing it in dream ...barikiwa sana mum

  • @mercyngeera4008
    @mercyngeera4008 3 года назад +8

    I can't get enough of this song

  • @robertnyandwaro8040
    @robertnyandwaro8040 3 года назад +1

    Wow, woww... Awesome 👏👏👏👏

  • @NizahUndisa
    @NizahUndisa 10 месяцев назад

    Msaada wetu ni kwa Mungu

  • @mosesmurithi6847
    @mosesmurithi6847 5 месяцев назад

    My goodness what va song