Rais Magufuli apigiwa Simu kutoka Marekani na Ujerumani | Hiki ndicho walichosema

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 19

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 года назад +1

    Hakuna wakukupinga Mzee endelea kuchapa kazi wananchi wko tupo nyuma yako Magufuli mbele kwa mbeleeeeeee💪💪💪💪💪

  • @amossinkonde8590
    @amossinkonde8590 4 года назад

    Nimewakuba wateuwaji kwakumutewa mh, dkt john pombe magufuli saluti kwako dkt bashilu ukovizur Nasafu yote kwaujumjla asante sana

  • @estherjohn833
    @estherjohn833 4 года назад

    Hongera Sana ok

  • @muhammadsaidi4872
    @muhammadsaidi4872 4 года назад +1

    HONGERA MHESHIMIWA RAIS NA HUSSEN MWINYI HONGERA TENA RAIS MAGUFULI , JAMANI JAMANI MPENI KABISA MHESHIMIWA RAIS. MAGUFULI AWE WA KABISA RAIS HADI UMRI WAKE WOTE JAMANI NI RAIS HAJAWAHI KUTOKEA KATIKA DUNIA NZIMA HONGERA TENA NA TENA CCM JUU JUU KABISA WE LOVE YOU IN OUR HEARTS ❤👍

  • @amossinkonde8590
    @amossinkonde8590 4 года назад

    Uyu tundu lisu bebelu mjinga uyu afayikuwa ata kwenye hii nchi

  • @marcokasela96
    @marcokasela96 4 года назад +1

    Binafs nawakubali Sana Marais wetu Ndugu shen na JPM. Ni wapambanaji kwelikweli. Ila muwakumbuke wafanyakazi kuwapandishia mishahara na Mungu atawabariki na kuwasimamia ktk kazi zenu za kila siku. Kwa upande wa Bara huku Rais wetu JPM. Ila Kwa Visiswani nahisi viatu vya Dr. Shein vitamtosha Dr. Mwiyi. 😂😂😂😂😂

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 года назад +3

    Tundu Lissu umeona hiyo halafu unajidai utaingia Ikulu kuwadi we Mabeberu na Ushoga ukawe Rahisi wa Siuyu Urais huuwezi zwazwa we kanywe Nyagi ya Faru John na Bia ya Kitonga

    • @francisrogears528
      @francisrogears528 4 года назад

      Bado upo gizani kwenye ulingo wa siasa naona maneno yako hayana mashiko sasa lisu katoka wapi paka uwanze kumkejeli kuwa makini na lugha

    • @allenngoda2146
      @allenngoda2146 4 года назад +1

      Hongera Mwinyi utumishi wako umekubeba,Rais wangu JPM Hongera sana ,Kama wewe ulivyojitoa kuwa mtumbua majipu ,Mimi nilijitoa kuwa nitakuombea maana najua ugumu wa kazi hiyo ya kuleta haki Kwa wanyonge,Nimefurahi sana kupita Kwa jina lako Mungu wangu akulinde katika hatua zote.

    • @aminahassan561
      @aminahassan561 4 года назад

      Umenena ndugu mwache atupigie kelele eti anakuja kugombea na sera zake za mashoga eti na democracy hahaha anajichosha ata ambulia patupu huyo

  • @yustambilinyi4454
    @yustambilinyi4454 4 года назад +1

    Magufuli mbele kwa mbele

  • @ibrahimissakhamis4268
    @ibrahimissakhamis4268 4 года назад +2

    Raisi Magufuli hongera sana kwa uliyanya ila tunakuomba njoo na Zanzibar utuletee maendeleo

  • @ibrahimissakhamis4268
    @ibrahimissakhamis4268 4 года назад +1

    Nilimtabir Hussein Mwinyi tukea Zamani kama atachukuwa form ya Uraisi basi atapita na kweli yametokea tena amepita tena kwa kura nyingi

  • @rogersmasamalodavid8289
    @rogersmasamalodavid8289 4 года назад

    Hakika Mungu bado anakuona Raisi kama mboni ya nchi yetu uzalendo ulionao ni rasilimali tosha na yenye tija katika nchi yetu na katika Uso wa Africa,Hakika Magufuli ni nguzo Imara katika taifa la Tanzania hakuna mwingine.

  • @antonysteven4787
    @antonysteven4787 4 года назад

    Hapo kuna neno,,ingependeza kama mchakato ungendea kama zanzbar na hyoo ndio demokrasia

  • @francisrogears528
    @francisrogears528 4 года назад

    Haya mbele kwa mbele

  • @Peter3048-m9x
    @Peter3048-m9x 4 года назад

    LIVE STREAMING FROME RIRARI MARA