Ee Baba, najua kwa hakika kwamba nafsi haijui itafia katika nchi gani, kwani mwanadamu ameumbwa katika ardhi, anaishi katika nchi, na anakufa katika nchi karibu nanyi. Basi rejeeni kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu akurehemuni na akusameheni madhambi yenu yaliyopita.☝☝🤲🤲☝☝
Duh, hii yote ni kazi ya kupata pesa!! Bado watu tunaamini kristo yupo ndani ya mtu huyu, kuna wakati mwili wa mwanadamu unaruhusu shetani aingie ndani na kutumia mwili wa mwanadamu, anaeongea hapa sio mtu wa kawaida,, shule iendelee inahitaji management bora, lipa watumishi vizuri, fata ratiba, fundisha, kwa mipango, kazi itaenda vema,,
Nina mashaka na utumishi wake, kama ni neno la Mungu kwanini usifundishe hadharani katika mtandao, badala ya kutuweka hewani na kutueleza kwamba tukutafute. Kwani wewe ni mganga wa kienyeji? Ndugu tuwe makini, naona hii hadaa na biashara.
Asante PROPHET IPM
🎉🎉🎉🎉🎉true man
Ee Baba, najua kwa hakika kwamba nafsi haijui itafia katika nchi gani, kwani mwanadamu ameumbwa katika ardhi, anaishi katika nchi, na anakufa katika nchi karibu nanyi. Basi rejeeni kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu akurehemuni na akusameheni madhambi yenu yaliyopita.☝☝🤲🤲☝☝
Yes my brother you said true
Thank you very very very much my brother my ALLAH bless you and your work thanks and I love you as my brother
Imeandikwa (wanayoyafanya sirini watayaungumza darini )Mungo aitwe Mungo milele.
Powerful
Ameni pastor
God bless you,unasema ukweli kabisa
Every good
Duh, hii yote ni kazi ya kupata pesa!! Bado watu tunaamini kristo yupo ndani ya mtu huyu, kuna wakati mwili wa mwanadamu unaruhusu shetani aingie ndani na kutumia mwili wa mwanadamu, anaeongea hapa sio mtu wa kawaida,, shule iendelee inahitaji management bora, lipa watumishi vizuri, fata ratiba, fundisha, kwa mipango, kazi itaenda vema,,
Ameni pastor jamani
Mungu tupiganie sana 😂nimekuelewa
Du yaan hatuelewi
Ni ukweli mtupu Prophet
Huyu ni shaitwan Bora arudi uislamuni
Anawaambia ukwel.Huwezi jua.
Mtumishi hiyo inaruhisiwa kidini kutoa kafara za mbuzi
Nina mashaka na utumishi wake, kama ni neno la Mungu kwanini usifundishe hadharani katika mtandao, badala ya kutuweka hewani na kutueleza kwamba tukutafute. Kwani wewe ni mganga wa kienyeji? Ndugu tuwe makini, naona hii hadaa na biashara.
Hii ndo maana ya Prophet acha ujinga Mchungaji kukuambia ukweli kama huu utampata wapi