Lava Lava Katika Mashindano Ya Kusoma Quran part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 482

  • @HawaSalumu-e8k
    @HawaSalumu-e8k Год назад +1

    Allah akufanyie wepesi akupe ufahamu ludi kwenye haki kaka umepewa uwezo wakuwa na elimi utaulizwa juu ya elimu Yako dunia tunapita tuu vyote tunaviacha

  • @fatmambarouk1316
    @fatmambarouk1316 2 года назад +1

    uko vzur lava lava

  • @magwegwemakongo3593
    @magwegwemakongo3593 3 года назад +2

    Lavalava mashaallah,, allah kakujalia unasauti nzur ya kusomea kuran bas itumie vema katika kufanya ibada zake kuliko kuitumia katika namna ya kuikufuru neema hiyo alokupatia Allah

  • @mohamedrhigho1640
    @mohamedrhigho1640 3 года назад +1

    Allah ampe mwisho mwema

  • @binurarassi8156
    @binurarassi8156 6 лет назад +129

    Hongera kijana, nina Imani huko katika muziki ni katika kutafuta rizki tu, Naamini uwepo wa Qur'an kichwani mwako upo palepale, Na Inshaala Mungu atakuongoza.

  • @zainabubashiry3182
    @zainabubashiry3182 3 года назад +1

    Allah akusimamie

  • @nakshigwal
    @nakshigwal 8 месяцев назад +1

    Achakuimba kakangu 😢😢ina skitisha sana😢😢

  • @rahmasaid8764
    @rahmasaid8764 3 года назад +1

    Herikuoba nashida kuliko bongo kaka. Usiache kabisa sahau nyombozote za bongo adika waswida ukosawa ❤❤❤

  • @zahramohamed3832
    @zahramohamed3832 3 года назад +1

    Namuomba mungu akujalie kila lakhel

  • @eliasayasini1466
    @eliasayasini1466 6 лет назад +35

    Allah kakupa sauti nzuri itumie katka kusoma quruan utafaulu leo na kesho akhera acha tamaa za kidunia

    • @leonardjoseph5643
      @leonardjoseph5643 6 лет назад

      mi naona aludi kwenye kuimba kaswida to

    • @sakinamubaraka1246
      @sakinamubaraka1246 6 лет назад

      +Leonard Joseph ww unataka kumchochea mwenzako kwenye moto kuimba haifai aache tu mziki amrudie mungu wake

    • @selejecha2320
      @selejecha2320 6 лет назад

      Acha kuimba wewe kiwanja mzuri huyo uliko si kuzuri

    • @alimohammed6868
      @alimohammed6868 6 лет назад

      Eliasa Yasini naam kweli kabisa

    • @sophicatesalim9757
      @sophicatesalim9757 5 лет назад

      Kbsa faida kubwa ya kesho ya dunia hata tusaidia kitu kesho

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 года назад +2

    Mungu atuhidi katika njia ilo njooka Inn Shaa Allah ,Atutoe duniani Hali ya kuwa yuko radhi n sisi.

  • @user412
    @user412 6 лет назад +6

    Wallahi Dini imekuwa ni sehemu ya kujipatia umaarufu.
    Vitu viwili havikai katika moyo mmoja haki na baatili na bahati mbaya huwa haki inakimbia.
    Usipokuwa tayari ndugu kubadilika basi unaweza ukaingia katika unafiki bila ya kujijua.
    Achana na upotofu njoo katika njia ya haki km kweli huwezi kuishi bila ya kuimba basi imba annasheed.
    Hsyo ni maoni yangu.
    Hakika Mtume s.a.w ameambiwa hana uwezo wa kumuongoa yoyote yule.
    Mwenye uwezo huo ni Allah subhanahuu peke yake basi na mm ni kukufikishia ujumbe tu.
    Rejea katika surat luqman Allah amewaandalia adhabu yenye kufedhehesha nyny waimbaji.
    Jazi kwenu

    • @aboukhalphan1309
      @aboukhalphan1309 5 лет назад

      Khattab Khamis Shukran you are talking point Allah akujalie elmu na akuruzuku kufaham

    • @ضصصض-م1خ
      @ضصصض-م1خ 2 года назад

      Muziki anafanya kutafuta riski punguza roho chafu naumaskini

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 лет назад +10

    Mashallaah, lava lava kumbe uko pia kwenye kisomo cha mola wako, mungu awe naww Daima 🙏🙏🙏🙏,syo muziki tu bila kujianda na jahanamu hongera san

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 лет назад +1

    Mashaallah lava lava mungu akufanyie wepec kwakila ufanyalo katika maisha yko imani iko moyoni

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 7 месяцев назад

    Mashallah upo vizur kijana Allah akuongoze kwenye njia ilio nyooka

  • @mariamhamad4171
    @mariamhamad4171 2 года назад +1

    Mashaallah kakayangu Allah akuongezi akupemwisho uliomwema

  • @Mariam.kassiva
    @Mariam.kassiva 6 лет назад +18

    MashaAllah Lava lava Mwenyezi Mungu akuzidishie heri. Ama nikuite ustadh Abdul.

  • @tabuselemani6869
    @tabuselemani6869 5 лет назад +4

    lava lava mrudie ALLAH ndugu yangu uko vizuri kusoma Qran

  • @fgjjgbnko4383
    @fgjjgbnko4383 6 лет назад +5

    😭😭😭😭 lavava umepotea njia mdogo wangu natamani kipajichako cha kusoma Qur'an Allah angenipa mm Ibilisi akuachie lavalava wangu

  • @dashuusaalim8882
    @dashuusaalim8882 6 лет назад +1

    Allah akuongoze katika swiraatwalmustakiima na akupe husnulkhaatima

  • @mashaclassic2345
    @mashaclassic2345 6 лет назад +133

    Lava lava siubak tu huku jmn ndio kuzur haswaa kuliko hata bongo fleva hemu rud kwa Allah mana huna usokijua kaka angu

  • @zamzam9815
    @zamzam9815 4 года назад

    Yaaa rabbiy wasamehe wasanii wetu daaah mnapotea Lakin Mola wetu tusamehe ni utaftaji wa rizq but mnazalilisha uislam

  • @lujnasir2169
    @lujnasir2169 6 лет назад +11

    Nivizur kufanya jambo ambalo unalipenda lakini kumbuka mungu amekataza mziki na nikharamu kusikiliza na kuimba pia ndiyo nimaisha ila usiya wangu kwako kama nduguyako muislam mwenzako dunia ni mapito na wote tutaondoka Tubu kwa mola wako

  • @queenmaa7892
    @queenmaa7892 6 лет назад +46

    Jamani tusimuhukumu mtu....Allahummah jaalnna khusnul khaatim Ameen

    • @hissumseif2714
      @hissumseif2714 5 лет назад

      Queen Maa walal aaakhiratu khayrul llaka minal uuulah "na mwisho n bora kuliko mwanzo"

    • @mikailomar
      @mikailomar 4 года назад +1

      Uislamu hauna kuhukumiana bali Una sheria alizoweka Allah naye mtume akatufunza..muziki na qaswida ni haramu na mtu akifa bila kutubia ni miongoni mwa waliozidhulumu nafsi zao..tusiwe Kama makafiri hujitetea kwa misemo ya tusihukumiane...

    • @abdoulrahimmigomba3885
      @abdoulrahimmigomba3885 4 года назад

      Aamin

    • @shabanially2405
      @shabanially2405 4 года назад

      0757588181

    • @khamiskhamis2585
      @khamiskhamis2585 4 года назад

      Assalaamu alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh

  • @kulwsdoto3164
    @kulwsdoto3164 3 года назад

    Mungu akutakabalie kila lilo jema mdgo wngu nakupenda simma ktk haki

  • @tullyabdul6355
    @tullyabdul6355 6 лет назад +2

    Mashallah lava lava usivae vipuli basi dini waijua

  • @salumchuma7762
    @salumchuma7762 6 лет назад

    Massshaaallaahh,,,Allah Akujaalie Uimbe Nyimbo za Kubadilisha Jamiii Kutenda Mema na Kuacha Maasia,,,,INSHAALLAH usichole Matatoo ,Naamini we ni Mtu wa Peponi yadunia utayamaliza Tu

  • @haithamabdallah1051
    @haithamabdallah1051 6 лет назад

    Masha allah kijana unastahili kuwa shekhe mzur tafuta biashara ufanye ya halali japo m/mungu ndo ajua mapungufu ya mja wake lakin ni vema ukajikita na dini hakika m/mungu ni mwingi wa rehma

  • @wemajumanne5709
    @wemajumanne5709 6 лет назад +1

    MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah lava lava Abdul una saut nzur ya ng'ani na uimbaj wako mzur MaashaAllah 😍😍😍

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 5 лет назад +3

    Masha Allah, Masha Allah, Masha Allah,
    Lava lava mungu akuongoze kakangu

  • @ashurarajabu5143
    @ashurarajabu5143 4 года назад +2

    Maa sha Allah umependeza Allah akuongoe

  • @cookiepie2396
    @cookiepie2396 6 лет назад +5

    MashaAllah lava lava you have a lot of Iman. ...

  • @ashuraathuman5817
    @ashuraathuman5817 5 лет назад +1

    ndugu zangu ktk imani hawa watu wanaitaji dua zetu ili wote wamtumikie mungu inshalah

  • @rahmasaid8764
    @rahmasaid8764 3 года назад

    Mashalla Mashalla lavalava kaka hongera sana alla akuongoze uedele kusoma wuran Ishalla alla uwemfano mwema kwa wengine yarabby.nimefusi sana acha Mziki wa bongo umrudie alla Ishalla alla 🤲🤲❤❤

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 лет назад +257

    Kama unamkubali lavalava acha ubishi acha kusita usione aibu mpe like zake jamaa anajua mpaka amepitiliza yaan kanishinda tabia like nyingi kwake tafadhari

    • @winfridamubinge5237
      @winfridamubinge5237 6 лет назад

      duu nmekuelewa lavalava Kumbe umo

    • @omarymmanga6477
      @omarymmanga6477 6 лет назад

      wilonja hatua kweli ache kuimba

    • @mpemba8730
      @mpemba8730 6 лет назад

      Pesa hufanya lahalali kuwa haramu na laharamu kuwa LA halali kiukwel kuimba ni zambi na

    • @shabanimkwizu423
      @shabanimkwizu423 6 лет назад

      Daaah kumbe upo kila upande

    • @niaally5365
      @niaally5365 5 лет назад

      mashaallah tulia kwa allah kaka

  • @ashurahomary9239
    @ashurahomary9239 3 года назад

    Mashallah lavalava tuwe miongoni mwa swala kaka yake kipez kwa kweli unapendaza sana

  • @joharimuhimpundu3332
    @joharimuhimpundu3332 5 лет назад +8

    Inna lillah wa Inna ilaih Raji Qur'an na kaswida wapi na wapi itakullah ndugu zangu tusidanganywi na dunia😭😭

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 3 года назад

      Qaswida hiyo nikama mawaaidha kwahiyo so vibaya tukaisikiliza tu ndo mana lava lava anatuambia
      tujiunge waumini muadhini akiadhi tuende misikitini aaaya natuziswali swala tano.
      kwani hayo maneno ukiyatafsiri Ni mawaaidha

    • @maimunakassim2840
      @maimunakassim2840 3 года назад

      Kwa hiyo kaswida ni matusi acha uhayawani mtume mwenyewe alipokelewa na qaswida

    • @nahirkassim5574
      @nahirkassim5574 3 года назад

      Mashaallah hadi nasisimkwa Na mwili

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 лет назад

    Umepotoka,japo utafakari kwa hiyo ilmu mdogo ya dini uliyo nayo,mrejee mungu wako achana na laana ya kuimba miziki

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 4 года назад

    Mashaallah naamin kuwepo huko kw mziki sio mwsho WA kuihifadhi Quran namuomba Allah akuzidishie kuikumbuk Quran na inshallah at atazid kukuinua katka Kaz zko inshallah

  • @nuruomary7126
    @nuruomary7126 5 лет назад +3

    Yuko vizuri Allah akujalie

  • @auntymother1507
    @auntymother1507 6 лет назад +2

    Mashaallah Allah awaongoze wote

  • @zainabmsuya7022
    @zainabmsuya7022 5 лет назад +3

    Allah akuongoze umrudie mola wako.

  • @sabrinahhassan1659
    @sabrinahhassan1659 6 лет назад +2

    mashaallah sheikh Abdul mungu akuongoze kwenye njia iliyonyooka amin..! mana mpaka nasisimuka mwili wangu!

  • @umishahhassan1635
    @umishahhassan1635 3 года назад

    Wallah mungu awaongoze muache mziki mufate miongozo ya Allah

  • @asiajuma5784
    @asiajuma5784 6 лет назад

    Ma shaa Allah na hao mashekhe wamenikuna

  • @dotogiving9293
    @dotogiving9293 Год назад

    Haifai kumkandia MTU anapofanya jambo jema ni kumsaport na kumuombea mungu amuondoe pabaya alipo

  • @zuwenaabeid1975
    @zuwenaabeid1975 3 года назад

    Your the best lava lava upo vzr mashaallah allah barik you nakupenda

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 года назад

    Jazakallahu khaira 🙏 kaka lavalava

  • @ratifahassan8693
    @ratifahassan8693 5 лет назад +1

    Kila mtu ana dhambi zake kwawakat wake usimhukumu mtu iusie nafsi yako pia inshallah

  • @saumusaidysaumusaidykumba3696
    @saumusaidysaumusaidykumba3696 3 года назад +1

    Mashaallah kwakwl allah akuongoze kk

  • @meythuual-sharyff5172
    @meythuual-sharyff5172 5 лет назад

    hao ndo wanakuag machiz.. wanahifdhi manen ya Allah den wanayapuuz kw kufnya mamb machfu ilhali wanajua wanachkifnya..may Allah protect u na akurudshe kwny swiratw mustaqiim

  • @mwajayshekallaghe568
    @mwajayshekallaghe568 6 лет назад +40

    Umejaaliwa Kijana Ya Allah Muongoze ktk njia Iliyonyooka...

    • @bnbnbnbbnvbn9006
      @bnbnbnbbnvbn9006 4 года назад

      Allahum Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin Amiiin

  • @hajiharun3587
    @hajiharun3587 6 лет назад

    Inalillah wa inailaih rajiun""" sawa na kuchanganya biriani na kinyesi halafu ukala tusidanganyane Allah hazihakiwi tutayakuta tuliyoyatanguliza kubwa tuombeane Mwisho mwema.

  • @thechallangeboystheawadh5195
    @thechallangeboystheawadh5195 5 лет назад +4

    Yaa Allah tuongoze katika njia ilonyooka

  • @sheriffshatterz
    @sheriffshatterz 6 лет назад +1

    Subhanallah,hapa palipofikia ni pabaya sana, musabaqa wa Qur'an ukachanganywa na uwakilishi wa nyimbo ambazo ni haramu ambazo Qur'an hiyo inayodaiwa kuwa ndiyo lengo wa munasaba.
    hii ni kumfanyia Allah istihzai kwa kufanya istihzai na maneno ya Allah..
    kwa wale wanaotaka kusadikisha uharamu wa nyimbo katika kitabu cha tafsiri ya ibn kathir na tafsir twabarii chini ya aya ya sita: (وَمِنَ النَّاسِ مَنْ يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَنْ سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُهِينٌ)
    [Surat Luqman 6]
    abdullahi ibn mas3udi wasema maana na makusudio ya lahwal hadithi ni 'ghinaa' yani nyimbo..na akarudi mara tatu kuonesha msisitizo kuwa aya hii inazungumzia kuhusu watu kuimba nyimbo na kupiga mizumari ili kuwapoteza wa watu kutoka kwa njia ya Allah na wakaichkulia ni mchezo na upuzi.
    jitahadharini na ma ustadh kama hawa.
    alaf hatari ya kumfanyia Allah istihzai ni hii
    (وَلَئِنْ سَأَلْتَهُمْ لَيَقُولُنَّ إِنَّمَا كُنَّا نَخُوضُ وَنَلْعَبُ ۚ قُلْ أَبِاللَّهِ وَآيَاتِهِ وَرَسُولِهِ كُنْتُمْ تَسْتَهْزِئُونَ * لَا تَعْتَذِرُوا قَدْ كَفَرْتُمْ بَعْدَ إِيمَانِكُمْ ۚ إِنْ نَعْفُ عَنْ طَائِفَةٍ مِنْكُمْ نُعَذِّبْ طَائِفَةً بِأَنَّهُمْ كَانُوا مُجْرِمِينَ * الْمُنَافِقُونَ وَالْمُنَافِقَاتُ بَعْضُهُمْ مِنْ بَعْضٍ ۚ يَأْمُرُونَ بِالْمُنْكَرِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمَعْرُوفِ وَيَقْبِضُونَ أَيْدِيَهُمْ ۚ نَسُوا اللَّهَ فَنَسِيَهُمْ ۗ إِنَّ الْمُنَافِقِينَ هُمُ الْفَاسِقُونَ)
    [Surat At-Tawbah 65 - 67]
    katika hzi aya tatu za suratul tawbah Allah anasimulia munafiqun wakimfanyia Allah istihzai na Allah anawaambia mmekufuru baada ya kuwa mulishaamini
    vipi maneno ya Allah uchanganye na maneno ya iblis???
    Ewe muislamu ambae ulikuwa unashaka juu uharamu wa nyimbo zingatia maneno haya alafu yapime katika mizani ya haqqi na batil kama utaona ni haqqi yachkuwe mazima na kama ni batil yawache lakini ujuwe risala umefikishiwa.
    kama kuimba na kufanya mziki ni halali kwa kuwa unataftia rizqi...basi kwa nini na mwengine asiuze pombe kwa ajili ya kutafta riZqi..na kwanini umalaya usiwe halali kwa kigezo cha kutafta rizqi na kwanini kuuza cocaine na heroine isiwe halali kwa kigezo kuwa muuzaji anatafta rizqi
    na kwanini kuuza nguruwe isiwe ni halali kwa kigezo cha kutafta rizqi?
    na kwanini ujambazi na uwizi usiwe ni halali kwa kigezo cha kutafta rizqi????
    basi kama waona haya yote ni haramu hata kama ni kutaftia rizqi na mziki pia ni haramu vile vile hata kama wafanya kutafta rizqi...
    ndo yale Aloyasema Allah...(وَقَدِمْنَا إِلَىٰ مَا عَمِلُوا مِنْ عَمَلٍ فَجَعَلْنَاهُ هَبَاءً مَنْثُورًا)
    [Surat Al-Furqan 23]
    mkatanguliza katika matendo mliyoyatenda tukayafanya kama vumbi lilopigwa na upepo

  • @Myworld-dn1nt
    @Myworld-dn1nt 6 лет назад +6

    You are someone who is so proud to his religion well done man

  • @diomedesmtayoba3955
    @diomedesmtayoba3955 6 лет назад +19

    Vizur sana kaka na jitahid kubaki katika misingi ya imani ya dini yako

  • @hawaheri5833
    @hawaheri5833 3 года назад

    Mashaaal nakupenda kwa ajili ya allla

  • @saadamohammed6587
    @saadamohammed6587 5 лет назад

    Subhanallah sijui kwnn unaimba inshallah mungu akurejeshe ulipotokea

  • @riffatsaid2256
    @riffatsaid2256 3 года назад

    Masha Allah, hakika nimependa sana hii k2.

  • @sakinamubaraka1246
    @sakinamubaraka1246 6 лет назад +9

    mashallah ya allah mbadilishe mja wako muongoze njia iliyo nyooka

  • @mohamediyusuph4290
    @mohamediyusuph4290 6 лет назад +13

    Najikuta namkubali sana huyu jamaa!!!!ubaki tu katika kuitangaza dini yetu inshaallah.

    • @selejecha2320
      @selejecha2320 6 лет назад

      ukitaka Allah atakusaidia inshallah

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 года назад

    Maashaallaah maashaallaah maashaallaah kaka bora acha mziki ww rudi kwa mungu fanya toba uki vzr kaka

  • @sultanabdillah1799
    @sultanabdillah1799 3 года назад

    Wweee lavalava rudi ktk uisalam achana na nyimbo bro

  • @dasaky2731
    @dasaky2731 6 лет назад +2

    Allah akuongoze pamoja nasi kaka, naamini kwa dua zetu kila kitu kitaweza utarudi tu amin

  • @saumuhamadi6886
    @saumuhamadi6886 6 лет назад +1

    Mashaallah had rah wallah honger san kijan

  • @abdullay3166
    @abdullay3166 6 лет назад

    Munatupotezea dira ya uislamu Tanzania Allah atuongoze sote in Shaa Allah

  • @magieebeauty1482
    @magieebeauty1482 6 лет назад

    Mungu akuongoze lava lava

  • @mwandegeplaza6504
    @mwandegeplaza6504 6 лет назад +26

    ( قُل لِّعِبَادِيَ الَّذِينَ آمَنُوا يُقِيمُوا الصَّلَاةَ وَيُنفِقُوا مِمَّا رَزَقْنَاهُمْ سِرًّا وَعَلَانِيَةً مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَ يَوْمٌ لَّا بَيْعٌ فِيهِ وَلَا خِلَالٌ )
    إبراهيم (31) Ibrahim
    Waambie waja wangu walio amini, washike Sala, na watoe katika tulivyo waruzuku, kwa siri na dhaahiri, kabla haijafika Siku isiyo kuwa na biashara wala urafiki.

  • @aishamwende684
    @aishamwende684 6 лет назад +3

    am loving you more than I used to...lava lava...kipenzi cha wengi....uwe kipenzi cha Allah pia...nakuoenda...after watching this if lava lava asked to marry me,it would be definitely a yes for me....hahs

  • @hafidhshebo8078
    @hafidhshebo8078 4 года назад

    Alafu ww lavalava acha kumchezea mungu

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 лет назад +7

    Allah bless u mdogo wangu badilika

  • @aishamsoki8144
    @aishamsoki8144 4 года назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Mashallaha mwenyezi mungu akubariki sana

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 6 лет назад

    Viumbe hawana jema lipi utafanya utawafurahisha ukifanya jambo lako jiandae kupokea kila neno lipo lenye kukosoa lipo lenye kukupa moyo DINI ni IMAN yako

  • @HajjiVuai
    @HajjiVuai 8 месяцев назад

    Mmekua mnaruhusu wasanii waimbe kwenye qurani echeni kumchezea mola na njaa zenu izo.

  • @nurathassan6771
    @nurathassan6771 6 лет назад +1

    mashaallah mwenyezi mungu akuongoze inshaallah

  • @nuwayirally4727
    @nuwayirally4727 4 года назад

    Takbiri allahu akbar

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 лет назад +1

    Itumie wcb kuandaa nasheed zako utapata pesa nzuri tu lava 🎂 MUNGU atakutangulia zaidi

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 лет назад

    Allah akutangulie na akuongoze njia iliyonyooka

  • @hadijadamumbaya5423
    @hadijadamumbaya5423 6 лет назад

    Mwenyezi mung akufanyie wepesi

  • @zainabsulyeman5304
    @zainabsulyeman5304 6 лет назад

    Mashhalah lav lav jamanii nic Sana'a mungu akuweke

  • @fatmahmwinyi4061
    @fatmahmwinyi4061 6 лет назад

    Mm ndmana nasema kwakwel pepo n ngumu xanaa kuipata Cuz now dini imekuwa km inachezewa mtihanii sana wallah...ila Allah alla maana kul l wakil...ck ikfka InshaAllah

  • @nasraamiri237
    @nasraamiri237 4 года назад

    Unapendezwa sana kaka ukitoa mawaidha mungu akujaalie ishallah

  • @mwinyiamri7958
    @mwinyiamri7958 6 лет назад

    Mashallah Allah akujaze Rahma

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад

    Maashaa Allah tabaraka Allah

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 3 года назад

    Mnamajina mazuri lakin sasa mnamsahau alla

  • @faidhaothman1914
    @faidhaothman1914 6 лет назад +23

    Lavalava my brother nn huko kwenye mziki achaa dini inakupendezea sana wallah

  • @theylove_yt610
    @theylove_yt610 5 лет назад

    Mashallah Allah akuongoze Inshallah

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 3 года назад

    Mashaallah kaka kumbe upo vizuri

  • @ashamcreed3698
    @ashamcreed3698 2 года назад

    sauti mashallah🥰🥰🥰🥰

  • @RaiyaSaid-ir4co
    @RaiyaSaid-ir4co 3 месяца назад +1

    ❤❤

  • @fababindawood5842
    @fababindawood5842 6 лет назад +3

    Mashaallah Mashaallah #wcb 4life Mungu awazidishie.

  • @RammyGing
    @RammyGing Год назад

    Maashalha kwanini sasa bado unaimbamziki alafu unakipaji chang qur'tukufu mziki hunamaana ukombeleyasafari tutaulizwa

  • @edyaliborm3180
    @edyaliborm3180 4 года назад

    Huu nimtihan et lavalava kawa ostadh et cmtihan huu

  • @saumusaidysaumusaidykumba3696
    @saumusaidysaumusaidykumba3696 3 года назад

    Allah akufanyie wepesi inshaallah uwache kuimba miziki kk

  • @ashayusuph9607
    @ashayusuph9607 6 лет назад +7

    Mashaallaah mwenyezimungu akuzindishie baraka katika kazi zako baki tu huku kunakufaa sana

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 6 лет назад

    Mashaallah ustadh abdull

  • @chichiabdallah8911
    @chichiabdallah8911 6 лет назад +7

    Mashaallah nakupenda mpaka bas

  • @fatmamshangama9824
    @fatmamshangama9824 3 года назад

    Mashallaah mashallaah kaka angu allaah akuzidishie

  • @munashally3318
    @munashally3318 5 лет назад

    Mashaallah cuwache kuimba muziki