Hamorapa~ Mzungu Wangu Ni Mzuri Kuliko Wa Harmonize

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 июл 2019
  • Send in Your FeedBack And Comments to SMS 40920
    Like our pages and follow us on twitter for more hot entertainment. Twitter: / ebrutvkenya Facebook: / ebrutvkenya #EbruChipukeezyShow #SMS40920
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 877

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 года назад +379

    Watangazaji wamemdharau Harmorapa alaf maswali km wanamuinjoi walimuita interview wamkomeshe tu na kiki zake km umeona hilo gonga like..

  • @jakuriabinjakuria3922
    @jakuriabinjakuria3922 4 года назад +38

    Kutoka Kenya Nimechukizwa saana na hii interview, chipukizy amemdharau saana harmorapa na Mungu akuzindishie hamo

    • @evekibira9086
      @evekibira9086 4 года назад

      Heshima muhimu...chipukizi ni chizi tu akwendeeee

    • @kulwasamwel4037
      @kulwasamwel4037 3 года назад

      Heeeeee. How is trable hamo lapa to make English for you

    • @mainasilva6348
      @mainasilva6348 3 года назад

      Wengi wenyu hamuelewi hii inakuaga a comedy show.... Bure nyinyi

  • @norriskalu1432
    @norriskalu1432 4 года назад +14

    Am from Kenya! Kama umefuatilia hii show! This guy is very intelligent! He's trying cover some issues zenye awa jamaa wanataka kujua bt wameambulia patupu! In short akuna kitu awa jamaa wamepata kutoka kwauyu jamaa! Uyu jamaa anakuaga muangalifu sana! Big up bro

  • @christopherwillium9192
    @christopherwillium9192 4 года назад +276

    Kama umegundua kuwa watangazaji wanamchuria harmorapa gonga like tujuanee

  • @YesWilson
    @YesWilson 4 года назад +12

    Hamorapa is a very intelligent guy.I like the way he answered all those silly questions.

    • @flova7022
      @flova7022 2 года назад

      Good morning english

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 4 года назад +47

    Kama umegundua hawa jamaa wanamchora hamorapa gonga like za kumwaga hakuna interview Ni commed

  • @Thesafespace254
    @Thesafespace254 4 года назад +31

    This guy is very knowledgeable, the way he expressed himself in swahili I bet very many of us with our English we won't be able to express ourselves the same way.

    • @clintonkaingu4343
      @clintonkaingu4343 4 года назад +3

      It takes intelligence and wisdom to realize that.

    • @Thesafespace254
      @Thesafespace254 4 года назад +3

      clinton kaingu the way he answers the questions, very intelligent, he is very articulate with the swahili

    • @clintonkaingu4343
      @clintonkaingu4343 4 года назад +1

      Some of these people when intervied wouldn't express themselves as this boy do.

    • @fatmakanizyok9831
      @fatmakanizyok9831 4 года назад

      😅😅😅😅😅😅

    • @bravomwazyunga4641
      @bravomwazyunga4641 4 года назад

      I believe

  • @flame.l0655
    @flame.l0655 4 года назад +8

    Mimi hapa nipo USA namtambua harmorapa

  • @malkiabintmfalme8682
    @malkiabintmfalme8682 4 года назад +56

    Eti kiingereza kule kwetu kina tupiga chenga, 😂😂we jiongelee mwenyewe ,

    • @mumbayeashata993
      @mumbayeashata993 4 года назад

      😂😂😂

    • @honggildong2454
      @honggildong2454 4 года назад

      Harmorapa hajuw kiingereza hata kidgo mpka aibu

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 4 года назад +1

      Kasema kweli kiingereza watz hatuwezi tuandaye watoto wetu waje watutoe kimasomaso..!

    • @supertal2943
      @supertal2943 4 года назад

      😂😂😂

    • @amirmusa7098
      @amirmusa7098 4 года назад

      Arafu anasema anajua kinge 🤣🤣🤣🤣

  • @charlesojalla9776
    @charlesojalla9776 4 года назад +11

    Interview ilikuwa ni kama kumukejeli harmorapa.... respect msanii harmorapa.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 4 года назад +20

    SAWA SAWA WEWE NDIO G KING LA MABISHOO WAUMIZE MPAKA WAKOME WACHE WASEME MWISHO WATACHOKA WAUMIZE HAMORAPA TUMEKUMISI DAAAAAAAAA MZUNGUWAKO BOMBA WAKOMESHWE UNAYAWEZA STAA HOMORAPA ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿❤️❤️🇹🇿❤️❤️🇹🇿❤️❤️❤️❤️👀

  • @mkwenyachristopher9310
    @mkwenyachristopher9310 4 года назад +29

    hahahah harmorapa yupo seriously kiintarview afu hao wa kenya wanam jokeskama umeona nie like 5 twende xawaa

  • @claudetube2592
    @claudetube2592 4 года назад +30

    Mnakosea kumdhalilisha sio poa Mola wetu sote

    • @emmanuelmungule8376
      @emmanuelmungule8376 4 года назад +1

      nikwel br,lait ingekuw mm,wangkom,kwanz ukiw musanii n usichek n waulz maswli,maan ukiw mujng,watakuhoj pak wakuulze choon kW sku unaend mar ngap.

    • @rehemadaudi4390
      @rehemadaudi4390 4 года назад +1

      Nyie watangazaju washezi kwani kingireza nini? Ni lungha kama ya mama maana mmezaliwa kwakuongea kingereza. Mzalikisha MTU, nyie wenyewe kingereza chenu kibayaaa, nimewachukia sanaaaa wasenge nyie watangazaji

  • @tinamutua2040
    @tinamutua2040 4 года назад +15

    Hehe. Chepukeezy God is watching you

  • @rebeccapaul1976
    @rebeccapaul1976 4 года назад +28

    mzungu wake mzuri kuliko hamo duuu kweli huyu ni kchwa

  • @mpalazotz7753
    @mpalazotz7753 4 года назад +7

    Hongela mtangazaj hii account numeijua baada ya kumuhoj harmorapa na saiz tupo trendi namba 13 tz sema mumemuenjoy huyo harmokk😁😁😁😁😁

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 4 года назад +4

    Wakenya kukuvua nguo rahisi sana 😂😂😂

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica 4 года назад +4

    Matharau yanini, this guy is going pleases, wivu ni mbaya very an professional ebru bure kabisa.

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 4 года назад +13

    Mrudisheni Hamorapa wetu bongo

    • @barakakaduma8803
      @barakakaduma8803 4 года назад

      ngalawekikohi ngalawekikohi 😂😂😂😂

    • @magondukinyu9268
      @magondukinyu9268 4 года назад

      Hakulazimishwa kuja,kaja mwenyewe kutafuta kiki,hahahah wakenya moto

    • @hawamlewa7067
      @hawamlewa7067 4 года назад

      😂😂

  • @akalanyarkaimosi
    @akalanyarkaimosi 4 года назад +4

    Chipukizi mungu anakuona😂😂😂

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr 4 года назад +4

    Kwa hakika ni upumbavu tu wa ki African kwa hiyo intevew sii ngefanyika kwa Lugha ya kiswahili. ingekua safi sana

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 4 года назад +1

    Mmenifurahisha sana... Mnamuenjoy mwenzenu... Halafu yeye yupo bize

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 4 года назад +10

    Eti nilikuwa namfukuzia wema sepetu harmorappa we noma

    • @veronicamchilo8552
      @veronicamchilo8552 4 года назад

      😂😂😂hamorapa ulikuwa wapi wewe sijakuona toka siku nape anatishiwa chamoto

  • @mohammadswabir2092
    @mohammadswabir2092 4 года назад +2

    Wakenya mumemuita Hamorapa ku mchezea🥰🥰

  • @jojokim3629
    @jojokim3629 4 года назад +2

    Chipu ubarikiwe,I waited for this,😂😂😂😂😂this is, awesome

  • @jah_kim
    @jah_kim 4 года назад +26

    This guy is just too intelligent...but these guys are ridiculing him for nothing.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 4 года назад +5

    Hahahahaha very funny this interview

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 4 года назад +1

    Uko poa Sana hamorapa jinenee mema Mungu atakupandisha jiamini nimependa kujiamini kwako

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 4 года назад +5

    Big respect ✊ bro umeendelea

  • @lembrismusa893
    @lembrismusa893 4 года назад +2

    Leo ndio siku nimecheka sijapatakuona 😂😂😂😂😂

  • @godfreykyando3345
    @godfreykyando3345 4 года назад +6

    sio lazima kingereza kujuwa mbona ata wazungu kiswaili awajui

  • @demtilerwanyama442
    @demtilerwanyama442 4 года назад +3

    Hehehe sasa mzungu wa Nyeri

  • @midoonlinetv4622
    @midoonlinetv4622 4 года назад +8

    Sema ma hostt acheni zarau kama umegundua watangazaji wanadharau gonga like hapa harmorapa peperusha bendera nakubal sana brother keep it up 💪💪

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 4 года назад

      JAX ONLINE TV huyu hapeperushi bendera,,anaitiya matundu na doa bendera.

  • @khadijaomar3299
    @khadijaomar3299 4 года назад +20

    Tuongee lugha ya taifa😂😂😂

  • @tamrinanasbibu304
    @tamrinanasbibu304 4 года назад +1

    Hizo nywele zimemzeesha sana

  • @ericklevato4401
    @ericklevato4401 4 года назад +3

    life is just beautiful with such people in it one love ❤ bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samdoe1200
    @samdoe1200 4 года назад +2

    Chipukeezy uko chini

  • @collobore8998
    @collobore8998 4 года назад +15

    Ongeza volume...... English sio lugha ya wote

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 4 года назад +15

    ngereni wakenya mnajivnia kizungu, ,shikamoo mkoloni

    • @korirolekundos7688
      @korirolekundos7688 4 года назад

      Houa watanzania sio wote awajui kingereza

    • @singlebaba1271
      @singlebaba1271 4 года назад

      Hawa jamaa wasenge

    • @Thesafespace254
      @Thesafespace254 4 года назад

      Nawaombeni msamaha dungu zangu watanzania, sio wakenya wote Wana upumbavu huku. Tunawapenda

  • @nasirhussein8723
    @nasirhussein8723 4 года назад +2

    love From USA big up brother.

  • @evanianicholaus802
    @evanianicholaus802 4 года назад

    Daaaah kumbe harmorapa ni chenga kiasi hichi, hajagundua tu wanampiga picha za kichogo, bado anaendelea kuonyesha chenga

  • @jackjimi1775
    @jackjimi1775 4 года назад +1

    Kiukweli nakubali vituko vya harmorapa

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica 4 года назад +2

    Mimi na mjua sana hamo ni bingua, jikaze bro.

  • @hamissimsangi3972
    @hamissimsangi3972 4 года назад +23

    Vile amekaa uyu harmofala apendeza kuw comed😂😂😂

  • @simbamtoto7530
    @simbamtoto7530 4 года назад +1

    Safi sana hamorapa tafuta riziki mwanangu

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 4 года назад +3

    Upo sawa Harmorapa never give up

  • @emmanjacob9722
    @emmanjacob9722 4 года назад +2

    Hamorapa aiseeee arudi shule

  • @telesiahaule5700
    @telesiahaule5700 4 года назад +10

    Ongea kiswahili bwana nimecheka peke yangu

  • @solopolyc
    @solopolyc 4 года назад

    This guy is a big artist in Tanzania. Big up. Follow him on RUclips.... Hamorapa... His songs are lit 😍👌👌👌👌👌👌

  • @shemnyaka
    @shemnyaka 4 года назад +19

    Hiyo ya Kartelo nimekufa,,eti Kartelo ni Dawa Fulani huko TZ, aaah I resign!!!
    It's unfair to refer somebody as Ugly ; being ugly, handsome and beautiful starts in your brain, confidence is key, bravo Harmorapa for your confidence

  • @zakayompembela4591
    @zakayompembela4591 4 года назад +2

    Sema nn jamaaa anajiamin Sana 😁😁😁😁😁

  • @hassanisadiki824
    @hassanisadiki824 4 года назад +27

    Wakenya pls turudishieni hamorapa wetu😂😂😂

  • @graceyohana1733
    @graceyohana1733 4 года назад +10

    Tz tuna vivutio hadi visukumio Mungu ibariki Tz na vyote vilivyomo.

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 4 года назад +4

    Wakenya msi abudu kizungu msiwe watumwa original

  • @braveone4875
    @braveone4875 4 года назад +18

    maswali mengine ni ya dharau,,,, wakati mwingine si poa fikiria ingekuwa ni ww

  • @mrh2812
    @mrh2812 4 года назад +2

    usirudie tena hamo wana zarau sana

  • @majaliwaelias3116
    @majaliwaelias3116 4 года назад

    Noma kwel

  • @stevelayda8555
    @stevelayda8555 4 года назад +2

    Hahahahaha hahahahaha nyie watangazaji Mungu anawaona 😂

  • @kayfarwatanashati3725
    @kayfarwatanashati3725 4 года назад

    Hahahaha hii imeniweza Sana,

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 4 года назад +1

    Hahahaaaa Harmorapaaa bhna

  • @geofreyifanda7024
    @geofreyifanda7024 4 года назад +9

    Hahahahaha 😂🤣😂🤣🤣🤣🤣harmorapa mdogo wangu haya Mambo yanawenyewe kaz inayokufaa labda uganga wa jadi😆😆😁

  • @officialdezzymusic
    @officialdezzymusic 4 года назад +4

    Unajuwa huyo HAMORAPA anapenda sana kiki na bra kiki hawez mziki Yan basi tu anaboa sana

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 4 года назад

    Mmetisha mazee

  • @obeidmdemu588
    @obeidmdemu588 4 года назад

    Kiswahili wanajuwa wakaona wamzingue sio powa kabsa coz hii ni kazi na hapo anatafuta soko sio fresh kabsa

  • @saidmabrouknassor4229
    @saidmabrouknassor4229 4 года назад +1

    Hamorapa ni comedian sio singer anatakiwa atambue kipaji chake kama vp aungane na mkali wenu watoe kitu mujarrabu

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 4 года назад

    Safi sana homorapa unajikubali sana Mzee kaka

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 4 года назад +1

    I like harmoraper

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 года назад +4

    Daah sio poa wallah😭😭😭

  • @johnwaweru9163
    @johnwaweru9163 4 года назад +13

    I can't believe Chipo brought this guy all the way from Tanzania just to ashame and bilittle him...Some jokes do not add up

  • @sasitaokusimba2969
    @sasitaokusimba2969 4 года назад +1

    Hahahahahaha Harmorapaaa na Engulusingi

  • @silassteven9682
    @silassteven9682 4 года назад

    Hamorapa mtu ambaye anajikuza Sana na anapenda sifa hamorapa mungu apendi kujipandisha hivyo jishushe utapandishwa

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 4 года назад

    hahahahaaaaa!!... daaaah! hammorapa umenivunja mbavu jmn! yan nmejikuts nabomoka kicheko pekeangu usiku watu wote wamelala kmyaaaa!.... yan hongera sana kwa kujiamini!.. uskate tamaa dogo we utajikuta sku moja nawewe unaflow English kama maji!... big up sana Hammorapa!!!... hahahahahahahahaaaaaaaaaa!

  • @geofreypius7657
    @geofreypius7657 4 года назад

    Unazalilika wew

  • @malkiabintmfalme8682
    @malkiabintmfalme8682 4 года назад +9

    Kitu gani nimekutana nayo kabla nilale, nimecheka Mpaka kitanda imejaa udenda

    • @mumbayeashata993
      @mumbayeashata993 4 года назад

      Hahahaha 😂😂😂😂 kama nakuona, this side hoi hae macho ya mejaa maji sioni tena screen

  • @elinahdaudi8195
    @elinahdaudi8195 4 года назад +30

    Interview hii sijaifurahia wa Kenya wanaonekana kama wanam joke sana Harmorapa

    • @majaliwamsigwa3974
      @majaliwamsigwa3974 4 года назад +2

      Elinah Daudi ningekuwa mimi ningeondoka zangu dharau hizo maswali ya kejeli

    • @elinahdaudi8195
      @elinahdaudi8195 4 года назад +1

      @@majaliwamsigwa3974 haswaa yaani wamemkebehi sana kaka wa watu

    • @duncanmonda8829
      @duncanmonda8829 4 года назад +1

      harmo ndie alianza vibaya,kwanza kabisa aliita Chipkeezy Fala,Pia alikuwa anataka security kabla ya kuingia,magari ya kifahari kutoka penye alikuwa analala hadi kwa studio. Hakuna msanii Tanzania wa kizazi kibya nimewaiona akiwa na maringo kama huyu.

    • @djvaynos1986
      @djvaynos1986 4 года назад

      😁😁😁

    • @agesavictor336
      @agesavictor336 4 года назад

      But that's a comedy show.its for fun

  • @muhudiathumani2548
    @muhudiathumani2548 4 года назад

    Nakubali

  • @metrisha2543
    @metrisha2543 4 года назад

    Aki chipukeezy muliamua kuvamia hamorapa

  • @bilalissack7573
    @bilalissack7573 4 года назад +1

    Huyu msanii kachaganyikiwa msanii nambari moja n diamond

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 года назад +3

    KING OF KIKI

  • @martinlucas6475
    @martinlucas6475 4 года назад +30

    Mmepatana na chizi mwezenu mngekutana na konde boy mumuulize huo upumbavu wenu sema nini hata karibu yake hamfiki dadeki zenu

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 4 года назад

      Kwa kweli huyu ni chizi mwenzao

    • @jayramadhan4584
      @jayramadhan4584 4 года назад

      hawa ni comedians so hawana dharau sema hyo harmo rapper hajui kizngu alf hyo konde boy ndo ana nn cha haja mpaka asifikiwe.

    • @mohammedmansuor9983
      @mohammedmansuor9983 4 года назад

      The 🐦 with same firthes flaying to gather. Unganeni mfanye Comedi wote akili zenu sawa hakuna mjanja hapo!!

  • @emmanuelmitao131
    @emmanuelmitao131 4 года назад +5

    Hamorapa unatakiwa kujiamini hao washenzi wanadharau halafu hawana lolote ,yaani ni mazero

  • @angelahmoraa5472
    @angelahmoraa5472 4 года назад +1

    Waaaaah harmorapa nimecheka saaana 😂

  • @catherinemwangi5351
    @catherinemwangi5351 4 года назад +2

    Mzungu wa nyeri hahaha

  • @rosemweni3331
    @rosemweni3331 4 года назад +4

    Chepukeezy this not fair...

  • @dianafyondi3265
    @dianafyondi3265 4 года назад

    Duuuuh.!! Haya maisha si kila anaye kupigia makofi ana kupenda.🤗🤗🤗🤗🤗😍😍😍😁😁😁😁😁. Hamorapa wana mubwenda tu na yeye anajitahidi kufurukuta🤗🤗🤗🤗🤗😬😬😬

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 4 года назад

    Hamorapa uko vzr kene maswali

  • @daemuularmmy5280
    @daemuularmmy5280 4 года назад +1

    fayaaa hamorapa

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 4 года назад

    Kupagawa tu 😂😂😂

  • @ubayaofficialtz5316
    @ubayaofficialtz5316 4 года назад +1

    Daaah ww harmorapa ww

  • @sumabadman1055
    @sumabadman1055 4 года назад

    Jamaa wamemdharau sana..

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 4 года назад +1

    Hamorapa da handsome boy

  • @hansnewton2962
    @hansnewton2962 4 года назад +1

    Mhhhh harmorapa anaropok tyuu haongei kama mtu alieelimika juxt mtu wa uswaz

  • @KubwaStudios
    @KubwaStudios 4 года назад

    Kali Sana hii ya in the ward

  • @kingbaenktop10antony51
    @kingbaenktop10antony51 4 года назад

    Iki kiboya duuuh

  • @gozbertjackson3049
    @gozbertjackson3049 4 года назад +1

    mungu atakulinda

  • @nasryjafary7542
    @nasryjafary7542 4 года назад +1

    kweli harmorapa kituko

  • @majaliwasalehe556
    @majaliwasalehe556 4 года назад

    Jamani jamani

  • @saidismail2342
    @saidismail2342 4 года назад

    Good good baba watakuelewa tu big up

  • @leahchallomachibya1791
    @leahchallomachibya1791 4 года назад

    Hamorapa hongera mwaya

  • @sideboy4909
    @sideboy4909 4 года назад +1

    Nimegundua uyu harmorpa anafaa kua mchekeshaji maana duuuuh fyaaaatuuuuu