KENYA, TANZANIA & RWANDA Katika VITA ya Kutawala Sector ya Anga / WHO IS LOSING?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 222

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 12 дней назад +7

    SIO KENYA AIRWAYS NI KLM KENYA AIR WAYS NI SYMBOL SO BIG UP TZ

  • @Imran-p6l
    @Imran-p6l 11 дней назад +5

    Tanzania iko vizuri sana mbeleni

  • @FredyMwaijande
    @FredyMwaijande 12 дней назад +12

    Naona Tz ikisonga mbele zaidi kwenye hili

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      Ndege 16 in 9 years

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 12 дней назад +1

      Zote nchi tatu naona swa Tu maana zote NI ndege na zote zafanya kazi au kunadenge imekewa Mawe kama gari bovu...huyu sijui ni njoroge wala NI Nani waleta content but ajipiga kifua mwenyewe kwa mwenyewe😂😂😂😂

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 11 дней назад

      ​@@tanzanianexplorer ulitaka ziwe ngapi?

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      It's a big step coz in 9 years kuwa na ndege 16 si kitoto

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 11 дней назад

      @@tanzanianexplorer bure kabsaa

  • @DavidCurtis-e4c
    @DavidCurtis-e4c 12 дней назад +9

    Usipemde kutumia neno la uchochezi, badala ya kusema vita tafadhali tumia neno ushindani, neno vita halikai vizuri.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад +1

      Thanks

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 11 дней назад +1

      @tanzanianexplorer HUTAWAHI ELEWA HATA UKIAMBIWA UNAFANYA UCHOCHEZI ACHA JANJA ,JANJA SISI WOTE NI AFRIKA MASHARIKI

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад +1

      @paulinewangila-cs6ys hamna uchochez hapa.

  • @NerdNovaTech
    @NerdNovaTech 10 дней назад +4

    Akuna hapa Vita Kenya haibishani na watoto wadogo

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 7 дней назад +1

    Mwamba wetu mungu amrehemu arko

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 6 дней назад +1

    TANZANIA tunaweza Dunia ni kubwa sana si lazima kwenda ulaya, twende nchi zingne Zaid, ipo siku uropa watatuita wenyewe

  • @valerianrwebandiza754
    @valerianrwebandiza754 12 дней назад +2

    End of monopoly in the air transportation sector in East Africa

  • @Vegasboy254
    @Vegasboy254 11 дней назад +5

    Kitu moja nataka watu wajue Tanzania na kenya kwa muda sio mrefu wataongoza Africa ukiangalia project zao zinafanana sana ni sisi wananchi tunabishana lakini Tanzania na Kenya wako na kitu inajiita vision 2030.alafu another thing the whole sale market being built in dar means as a Kenyan i don’t have to buy things overseas again i can just use my East African ID buy goods in Tanzania and sell them in Kenya for a higher price

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      Qsre

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 11 дней назад

      Wow that's nice it's better you understand that 👏👏👏

    • @MosesMulambya
      @MosesMulambya 8 дней назад +2

      Wazungu hawataki ushindani kutoka Tanzania hivyo wame pigia marufuku Air Tanzania ulaya. Air Tanzania ina ndege mpya hakuna wasi wasi wa usalama wa ndege za Air Tanzania ni hujuma tu

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  8 дней назад

      @MosesMulambya asee

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 12 дней назад +2

    Hahaha!😅😂 it's now apparent that you have switched your approach to a more dignified and healthier one, that of fostering love unity and closeness amongst the block of nations without disregarding the necessary respective competitiveness. Smart move!

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 10 дней назад +3

    Angekuwepo JPM basi tz inge take over....

  • @mohamedsuleiman1222
    @mohamedsuleiman1222 12 дней назад +2

    Ushawai kutuona tukieka suluhu hata siku moja kwa pic?

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      Ruto is the actual meaning of ' FACE OF AFRICA'

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 12 дней назад

      @@tanzanianexplorer richa ubondzo wee usichokoze atu suluhu unamwishimu kama mayo kpwaio ruto usimwiike dizain hio ambayo ukamwiika mbona nyoanjina kukaika dizain Kama ya ruto kusikia kawaida tu

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 12 дней назад

      1:41 ​@@mohamedsuleiman1222Kiswahili Unakielewa?

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 дней назад

      ​@@tanzanianexplorerADABU NI MUHIMU SANAAA

  • @fuadHalifani
    @fuadHalifani 11 дней назад +5

    Tanzania Air bado haija anza safari za ulaya ndio iko katika mikakati yaku fanikisha hilo ,so it as along way to go , hata ni juzi tu muli baniwa kuingia anga la ulaya . ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      Sure

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 11 дней назад

      @@fuadHalifani waliambiwa wajifunze kienge.......ndio warudi🤪🤪

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      @mohamedsuleiman1222 haha

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 11 дней назад +1

      ​@@mohamedsuleiman1222Hizo ni porojo tu kwani kiingereza ndio official language ya Tanzania na unaina spika mkuu wa mabunge duniani ni mtz hata aliekua awe boss WHO kanda ya Afrika alikua mtz. Kiingereza kinatumika toka pre class katika shule nyingi mno za English media kwingineko toka form one hadi University lugha ni kiingereza

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      @hashimchaoga9566 mmh

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 10 дней назад +3

    Tanzania imepiga hatuwakubwa san panandege ya kwend china Dubaï uturuki na sehem zingine

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 6 дней назад +1

    TANZANIA hoyeeee ,kanyaga twende tutafika tu licha ya vikwazo vya bara la uropa wakoloni hawa, tutafika lengo letu MUNGU MKUBWA KILA KITU KINAWEZEKANA

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 11 дней назад +3

    Shirika la Ndege la Kenya ni jina tuu ila Ndege na biashara haimilikiwi na Kenya kwani lina Ubia/ Share na Makampuni 3 ikiwemo KLM, Private company 1 na Serkali ya Kenya. Hivyo faida na Ndege za Kenya vinagawanywa mara 3 na sio kwamba Serkali ya Kenya inanufaika sana na shirika hilo, tofauti na Air Tanzania inamilikiwa 100% na Serkali ya Tanzania.

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 11 дней назад

      @@tanzanite9944 nguruwe ujikaranga na mafuta Yake sasa wewe jikarange Tu,alafu maneno ya kuambiwa ayanufaishi jamii njoo Kenya kisha huende kwenye vituo vya ndege ukafanye uchunguzi kisha useme ivyo kama huna la kusema shhhhhhhhhhhhh...... Yani kimya

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      Asee

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      Ujikaranga????

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 11 дней назад +2

      Ohh kumbe ndiyo maana ulaya imekua na nguvu sana kukataa ndege za Tz sisituwe huko! Now I know 😢

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 11 дней назад

      @@tanzanite9944 KENYA AIRWAYS OWNERSHIP
      Kenya Government 49 %
      KQ (Kenya Airways)Lenders Co. (Kenya Local Banks) 38%
      KLM Royal Dutch 7 %
      Kenya Airways Employees 6%
      Air Tanzania ni Shirika dogo sana lenye Ndege 16 peke tena za ukubwa mdogo.
      Isitoshe Air Tanzania imepigwa marufuku isijaribu kamwe ata kidogo kwenda Bara Uropa ( Ulaya)

  • @joycelinelyimo-fenske8745
    @joycelinelyimo-fenske8745 12 дней назад +3

    Tanzanian Airways will do. Mwaka huu kuna Cargo inayoenda China 🇨🇳. Sema hapo.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 12 дней назад +15

    1977 kenya walipora ndege zaidi ya nusu ya ndege za east africa Airways baada ya kuvunjika, tz ilibaki na ndege mbili tu.

  • @mikemuchannel2148
    @mikemuchannel2148 8 дней назад +1

    Unaweka KQ na Tanzania Air kwa sentence moja i wonder

  • @juliusmaranga-zh6be
    @juliusmaranga-zh6be 7 дней назад +1

    Shirika la EAA lilififia kwa sababu ya ukosefu wa hela.wala sio wakenya waliolipora

  • @kakageorges6229
    @kakageorges6229 10 дней назад +1

    Tanzania Air wamezimwa Europe.
    Soon itanunuliwa na KQ.
    Inasambaratika haraka sana.

  • @HavanansiData
    @HavanansiData 9 дней назад +1

    Uko wapi, nataka kujifunza video editing!!

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 6 дней назад +1

    TANZANIA ongea tena na ulaya ili ndege zetu zitetemesha bara la uropa

  • @simbachui2281
    @simbachui2281 12 дней назад +3

    Tanzania-mkuu,,,

  • @Imran-p6l
    @Imran-p6l 11 дней назад +1

    Sema ushindani wa kiuchumi mjomba, hii sio vita

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 11 дней назад +2

    ni bora tuachane na mifumo dume leo raisi wa ufaransa kasema kweli je wao tuwaabudu kwali apa aisee awa wali tupoza sana miaka mingi sasa ndo nina amini kua yesu alikua mweusi aminini hivyo

  • @RealSenziaWarema
    @RealSenziaWarema 11 дней назад +2

    Kenya Airways ni shirika liliotengenezwa kwa dhulma na uwizi. Baada ya kuvunjika Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC), Kenya walizuia ndege zote zilizokuwa zinamilikiwa na Tanzania, Kenya na Uganda. Waliwadhulumu Watanzania na Waganda ndege zao. Alikuwa rubani mmoja tu wa Tanzania akiitwa Mapunda alifanikiwa kutoroka na ndege kutoka Nairobi Jomo Kenyatta Inter. Airport yalipokuwa makao makuu ya shirikia (East African Airways) na kuileta Tanzania. Ndege zingine zote Kenya walizuia na kujimilikisha. Kwa hiyo Kenya Airways ni product ya udanganyifu na uwizi.
    Wajitahidi waombe radhi wajisafishe ama sivyo vitu vya dhuluma havidumu.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      Asee

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 11 дней назад

      Siyo mapunda peke yake bali na captain Majura ndiyo walifanikiwa kuleta ndege kurudisha ndege mbili Tz 🇹🇿 sema wakati JPM anamrunuku Mapunda zawadi Majura alishakufa kitambo 😊

    • @esem135
      @esem135 11 дней назад

      Roho chafu!! Wachaneni na Kenya!! Cry babies!!

  • @harry5395
    @harry5395 11 дней назад +2

    Kwa maoni yangu naona Air Tanzania inapiga hatua haraka kwa muda mchache kumiliki ndege 16 na soko asia hadi na ndani ya Afrika si rahisi. Pia ni ndege zake si zakukodi, mfano kenya air wanaubia na KLM. So, kuna ndege ni za KLM km vile ilivyokuwa air Tanzania na south Africa air.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  11 дней назад

      Okey

    • @esem135
      @esem135 11 дней назад

      Your candle will not shine brighter by dimming another's candle. Robo chafu!! Wachaneni na Kenya!!

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 10 дней назад

      18🎉😅

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 10 дней назад

      ​@@esem135 Kenya huna kitu sisi tunapambana na mzungu wewe ni kichaa tu maana Kenya share holder ni waingereza ndo maana wanatubania zisifike kwao mamae na tutawapiga bao hii Tanzania haipoi😂🎉

    • @harry5395
      @harry5395 10 дней назад

      Kaza fuvu tuu, fuatilie news ya mwaka jana shirika lenu lilivyopata kwa ubia huo​@@esem135

  • @Hit_them-hard25128
    @Hit_them-hard25128 10 дней назад +3

    Nadhani Air Tanzania na Air Rwanda wanasonga mbele zaidi na wanafanya vizuri ila ndege za Kibera Land zimezeeka sana zinaonekana kama matatu 😅😅😅

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  10 дней назад

      Haha

    • @kakageorges6229
      @kakageorges6229 10 дней назад

      Utalijua jiji..
      Angalia tu soko KQ inafika na ulinganoshe na huto tu-reptiles mnaita ndege za tanzania air au rwanda air.
      Kenya is a market leader,4th largest airline in Africa.
      Tanzania air is 45th,rwanda air is 38th ranked.

    • @jacobmalingu2769
      @jacobmalingu2769 9 дней назад

      Kusoma ni muhimu...

    • @juliusmaranga-zh6be
      @juliusmaranga-zh6be 7 дней назад

      Hapo tunayo Precision Airlines,Jambo jet na Kenya Airways

  • @mohamedsuleiman1222
    @mohamedsuleiman1222 12 дней назад +2

    Alafu huyu mjamaa apenda sana kuweka pic ya ruto why?

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      He has 'a face of Africa's 😉

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 12 дней назад

      @@tanzanianexplorer nop mbna wamuheka dizain hio

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 дней назад +2

      ​@@tanzanianexplorerUNA ROHO YA KOROSHO UNACHEKA MDOMONI ILA MOYONI...KUTU SIO VIZURI HIVYO

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 дней назад

      ​@@tanzanianexplorerHATA SULUHU ANAFAA PIC YAKE

    • @fuadHalifani
      @fuadHalifani 12 дней назад

      ​@@paulinewangila-cs6ysAna Dhani chuki yake dhidi ya Kenya ita ifanya inchi yake kuendelea😂😂😂😂

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 12 дней назад +1

    Kenya watatapika uongozi siyo mda mrefu, nakuhakikishia kenya hawana uwezo wa kuongeza ndege, ila Rwanda na tz uwezo wanao.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      Asee

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 12 дней назад

      @@SalvatoryMtunga endeleeni kujipaka mafuta na mgongo wa chupa Tu...😂😂😂..🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 34 plen kama waume kwl mzifikishe..always 💪💪💪💪💪

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 дней назад

      ​@@mohamedsuleiman1222mbona unawapa nguvu kimya tuwanyamazie huyu jamaa anatafuta views

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 12 дней назад

      @@paulinewangila-cs6ys shhhhhh..kavae dera ukacheze chura na sanura

    • @RACHELKERUBO-k4n
      @RACHELKERUBO-k4n 12 дней назад +1

      Air tz zimefungwa juzi my friend work hard

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 11 дней назад +2

    Kwa Sasa Tanzania iko juu kuliko Kenya Kwa kila

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 11 дней назад +1

    kina fuata mmesha otesha ama nimeota mwenyewe??

  • @pinchesmbuche4354
    @pinchesmbuche4354 11 дней назад +3

    Tanzania Airways banned in Eroupe check airport volume for 2024

  • @emmakicham4664
    @emmakicham4664 12 дней назад +3

    Na story yenu ya ndege kutoruhusiwa Europe 😂mlimalizaje tz

  • @fredsabora2543
    @fredsabora2543 12 дней назад +2

    Shirika la ndege ya Uganda iko mbele ya tz na rwanda

  • @josephmetu7191
    @josephmetu7191 11 дней назад +1

    Wacha ujinga ya kuweka image ya rais hivo tutakusalimia

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 12 дней назад +2

    Wakenya walituibia ndege zetu

  • @mikemuchannel2148
    @mikemuchannel2148 8 дней назад +1

    We ni mjinga u r possessed

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 12 дней назад +3

    Sasa sisi kenyas kilakitumajirani wana tufuata fuata tuu wajameni khaa

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      Kinehe ngosha 😃😃

    • @dickson1820
      @dickson1820 12 дней назад

      Ni wivu wanatuonea, wanatumia mipango ya Wakenya kushindana na Kenya.
      Sisi Wakenya ndio masters wa Eastern Africa and all Africa.

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 12 дней назад

      Kkwani nyie ndo mliogundua ndege?

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      @denismugisha2 haha

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 12 дней назад +1

    Rwanda air wanapata fupa kutoka kwa Qatar air kwa kutumia Rwanda kama “hub” baada ya kukataliwa na Tanzania bila ya sababu za msingi nahisi ni udini tu kwani Tanzania Ukatoliki ni mbele sio maendeleo kama walivyopinga sana Dubai port kufanya kazi Tanzania .

  • @Shawnpeter2024
    @Shawnpeter2024 8 дней назад +1

    Trojan uwe mdiplomacia halisi unapopeperusha habari zako.mi nahisi kwamba Tanzania na drc zisalie katika nyanda ya kusini kisiasa.kwani Kenya Uganda southsudan na somalia ni nchi ambazo zitayumbayumba kwa muda mrefu.mawimbi mazito yapo na Mimi ninakadiria kuwa yatakawia.mimi ni mkenya lakini ukweli lazima uzungumziwe.tanzania na drc msijikanganye. Maoni yangu ni southsudan na nilotes wa Kenya na Uganda wawe na nchi yao.somalia ,Ethiopia na sudan wawe nchi Moja pia ,kwa kuwa ni nchi za watu weusi ambao wamechanganya damu na watu wengine japo kwa asilimia themanini ni watu weusi.wabantu wa kenya gema na waminjikenda wataita na wapokomo waunga ne na kuwa nchi rasmi.vile vile wabantu wa uganda yaani waluganda ankole batoro bakiga basoga bagisu na basoga wawe nchi nyingine.trojan ulisomea taaluma gani napenda uchanganuzi wako japo uu mchanga.

  • @imranzikhali4156
    @imranzikhali4156 11 дней назад +2

    Ethiopia, SA and kenya......this countries have the biggest airlines in africa..........tanzania is not and wil neva b on this league, airtanzania waz born yesterday

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 12 дней назад

    Kenya wakora vigumu kushirikiana nao

  • @Babygalndanu
    @Babygalndanu 12 дней назад +5

    Today you sound humble 😂😂.. But once again you give half truths. Why not include that Air Tanzania was recently banned i Europe due to safety concerns 😏ruclips.net/video/rG9Y0t54fkI/видео.htmlsi=PD6zvC2gYn2DWDMT

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  12 дней назад

      Daaah....haha thanks anyway. Huwa nawachangamsha wakenya .... Mmetushitia nyie sio eeh ndo maana tumekuwa banned??

    • @Babygalndanu
      @Babygalndanu 12 дней назад

      @tanzanianexplorer 😂😂😂

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 12 дней назад

      @@Babygalndanu tamna rorosi oyo Tu🥴

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 дней назад +1

      ​@@tanzanianexplorerACHA UCHONGANISHI WEWE,KENYA INAHUSIANA VIPI NA NDEGE ZENU ZA KIFAHARI KUSAFIRI??

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 дней назад +1

      ​@@tanzanianexplorerENDELEA KUCHANGAMSHA ILA UNAKOSEA WAKENYA WENGI SANAAA,FANYENI NYINYI MAZURI YOTE NI YENU ILA...MUNGU ATATENDA