MTOTO WA MIAKA 3 ATAKUSHANGAZA, UWEZO WAKE WA KUTAJA MAJINA YA VIONGOZI WA KIMATAIFA NA MAANDIKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 июн 2022

Комментарии • 773

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 года назад +71

    Hii ndiyo miujiza ya Mungu!! Utukufu kwa Mungu juu🙏🙏🙏
    Akili za Mungu hazichunguziki...

    • @itiamekimbui722
      @itiamekimbui722 9 месяцев назад +1

      narundia huyu mtoto alelewe kanisani

    • @feliciamathew7022
      @feliciamathew7022 7 месяцев назад +1

      sanaaa Mungu ni Mungu tu

    • @user-fw6fb6zp9v
      @user-fw6fb6zp9v 8 дней назад

      Hii ni maajabu Mungu amlinde huyu girl 😘😘afike mbali

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 года назад +42

    Huyu kweli ni gift from god Mungu amtunze mtoto huyu kwa kipaji chake hongereni Mungu awabariki wazazi

  • @meggygitau4079
    @meggygitau4079 Год назад +19

    Genius girl, Mungu amlinde huyu mtoto na Wazazi wake pia Amen 🙏🙏

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 2 года назад +34

    Hata Kama amefundishwa kusoma lakini Kwa umri huo ni Moto wa kuotea mbali maashallah mm mwenyewe sijui

    • @agnesmapunda5242
      @agnesmapunda5242 Год назад +1

      Unipati Mimi yani na haya maisha yanavyo peleka kasi asimia 95% sijui chochote,hata aliyoyasema ukiniambia niludie nawajua wachache! Mungu mzur sana

    • @PaulJohn-hb5te
      @PaulJohn-hb5te 3 месяца назад

      😂😢😂😂😂😂😂😂

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад +13

    tatuzo viongoz wa tanzania huwa hawajali baraka za inchini mwao wakaendekeza kwa faida ya inchi huyu mtoto masha allah kajaliwa sana Allah ambariki sana😘😘😘😘

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Год назад +25

    Namfunika Kwa damu ya Yesu huyu mtt Gift!
    Ni mtumishi wa Bwana

  • @husseinymhini9424
    @husseinymhini9424 Год назад +9

    Hakika Mungu kweli upo! Naomba Uzidi kuibariki familia hii siku zote za maisha yao

  • @monicaantonio1051
    @monicaantonio1051 2 года назад +24

    Nimemsikiliza hadi nimelia nimempenda sana huyu mtoto

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 2 года назад +24

    Mungu amfunike kwa jina la Yesu
    Maadui wasimuone
    Na akafanikiwe

    • @gracemacha9357
      @gracemacha9357 2 года назад

      Mungu amtunze huyu mtoto

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 года назад

      @@gracemacha9357 serikali za afrika zimetuharibia maisha yetu na zinaendelea kutuharibia maisha yetu wazungu wamejitengenezea maisha wana serikali mzuri asilimia kubwa ya watoto wa kizungu wanaanza kufunguka akili wakiwa wadogo sana lakini afrika unaweza kukuta mtoto wa miaka mi5 bado ananyonya wakati mtoto wa kizungu wa miaka mi5 kaenda kuimba kwenye AMERICAN GOT TALENT huyo mtoto angekuwa kazaliwa mazingira poa anaonekana kazaliwa na akili za ziada

    • @eazieofficial6209
      @eazieofficial6209 Год назад

      Amen amen

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 2 года назад +11

    Yesu azidii Kukutunza Kipenziii Ukue katika maadili Yanayompendeza Mungu
    Na Kila Lililopangwa na Mungu likazidi kung'ara

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 Год назад +16

    😍🥰Safi sana mungu Ambariki sana huyu mtoto na wazazi wake pia"

  • @margaretnk3395
    @margaretnk3395 Год назад +31

    May God cover this gifted child and protect her in Jesus name amen amen amen

  • @reginaldhhayuma6907
    @reginaldhhayuma6907 Год назад +3

    Kwa kweli roho wa bwana yu juu yake. Sio jambo la kawaida. Mwenyezi Mungu amlinde huyu mtoto mzuri. We love you gift. Youa are such a true gift from God

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 2 года назад +8

    Du..! IQ kubwa sana...! Mungu amsimamie huyu mtoto afike Mbali

  • @harymo-by8gh
    @harymo-by8gh Год назад +4

    kwa kweli huyu mtoto kiboko yaan mimi ataa baathi ya mawaziri siwajui lakini huyu mtoto kama ana memory kichwani , for sure god bless you baby na mama pia mungu akubariki sana
    🙏🙏

  • @akidamakida6092
    @akidamakida6092 Год назад +19

    mashaAllah mashaAllah.... angekuwa muislam uyu mtoto na akapelekwa madrasa.. within two months angekuwa ameshahifadhi Msahafu mzima... Allah alinde na amuongoze

    • @taturashid4167
      @taturashid4167 Год назад

      Hakika mungu anauwezo,tunaomba amlinde daima

    • @justinmkumbwa2330
      @justinmkumbwa2330 Год назад +1

      Inaonekana wewe m binafx Sana Sasa yuko katika kiristo Yesu na roho mtakatifu yundani yake

    • @osmanabdille8769
      @osmanabdille8769 Год назад +1

      @@justinmkumbwa2330 Hamna ubinafsi pale mungu amfanye muislamu Ahifadhi quran takatifu najua baada ya hata wiki mbili atahifadhi

    • @MaryMarysaid
      @MaryMarysaid 2 месяца назад +1

      Kwan ata akiwa Mkristo akashika bibilia eeee Acha ndo mana akaitwa gift tafakar hilo neno

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 Год назад +6

    nakumbuka Mimi nilikuwa naweza nikiwa na Miaka Saba japo Kuna vitu nilikuwa nasahau but this child is brilliant

  • @williamkatumbo8436
    @williamkatumbo8436 2 года назад +20

    Mungu amkuze vyema binti uyu, aje awe mtu mashuhuri na mwenye mafanikio

  • @dbh1457
    @dbh1457 Год назад +4

    Waaat kusema ukweli mi sijui marais wa nchi zingine......so amazing baby 🐥🍼 girl

  • @simonjoseph6710
    @simonjoseph6710 Год назад +6

    Ukweli tu huyu mtoto nikipangwa naye kwenye mtihani na hii degree yangu ya mchongo ananitoa KO😂

  • @user-mj3nr2vv7t
    @user-mj3nr2vv7t 2 месяца назад +1

    Nmempenda Bure jaman huyu mtoto mungu amwepushe na watu wabaya hicho ni kipaji Cha kipekee🤗🤗🤗😍❤

  • @consgmail
    @consgmail Год назад +5

    Kwakweli Mungu aitwe Mungu, ongera sana Gift kwakukujaliya kipaji kikubwa kama hiki Mungu atukuzwe

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 2 года назад +24

    AMAZING..!
    GIVE ME THE CONTACTS OF THIS FAMILY PLEASE..

    • @stevek8318
      @stevek8318 Год назад +1

      Why? I'm the bodyguard, are you dangerous or good?😂😂😂😂

  • @florencemengo7395
    @florencemengo7395 2 года назад +16

    Unbelievable I didn't expect this truly amazing

  • @priscillamugambi9203
    @priscillamugambi9203 Год назад +6

    Amazing Angel. Her gift is rare. God bless her and give her a prosperous life.God bless her family.

  • @hildaeliapenda3938
    @hildaeliapenda3938 2 года назад +6

    Mungu ni mwema serikali kipaji muhimu hicho nimefurahi Mungu aendelee kumuinua

  • @salehborry6917
    @salehborry6917 Год назад +3

    Huyu Mtoto ni genius mungu ampe uhai mrefu

  • @bettyphares9046
    @bettyphares9046 15 дней назад +1

    Waooooooo Mungu amfikishe viwango vya juu mno yupo vizuri

  • @jeromekabogo9456
    @jeromekabogo9456 2 года назад +5

    Daaah aise acheni mungu aitwe mungu hongela gift

  • @bendettamumbua4167
    @bendettamumbua4167 Год назад +5

    Wow ! Wonderful. May the God Almighty cover this Angel Gift with the Precious Blood of Jesus Christ🙏🙏🙏

  • @josephkirimi5453
    @josephkirimi5453 Год назад +8

    The child is really extra gifted. She should be supported by the government to have a decent life. She's a big gift for the country. God keep her to work for the church.

  • @bahatimaganga1324
    @bahatimaganga1324 Год назад +2

    Nimelia kwakweli...Mungu akubariki princesses

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Год назад +5

    Mungu akubariki sana zawadi 🎁 au gift
    Mimi mwenyewe sijui hata jaji mkuu anaitwa nan

    • @TheopisterMzungute-iz8bl
      @TheopisterMzungute-iz8bl 8 дней назад

      Kwakwel tuungane 😂😂😂😂😂 Mimi hata sjui Tanzania inamaziwa mangap 😄😄😄😄😄

  • @flowinmyamba950
    @flowinmyamba950 Год назад +8

    Kweli huyu ni mtoto wa Mungu. Mungu ni Mkuu Sana mtoto huyo Mungu amsimamie Sana katika maisha yake yote Duniani. Amina.

  • @NubisonBunera-em7oy
    @NubisonBunera-em7oy 9 месяцев назад +1

    Duuuuu!!!! Na elimu yangu niliyonayo ya 4m4 hayo maswali yote siwwezi kuyajibu fasta hivo na mengine cyajui kabisa lakn mtoto mdogo mwenye miaka3 anajibu halaka na hakosei ata kdogo duuuuuuu!!! MUNGU amulinde kwakwweli nimependa❤❤ kipaji chake ana kitu atafika mbariii

  • @eusterialohay772
    @eusterialohay772 Год назад +6

    Roho mtakatifu,mwalimu mkuu,akimkumbusha yote,Mungu amtunze na kumhifadhi!Azidi kukua ktk kimo na hekima akimpendeza Mungu na wanadamu!

  • @themoredwamichano8636
    @themoredwamichano8636 Год назад +8

    Gifted from God 🙏🙏🙏🙏 Mungu ni mwema kila wakati

  • @muhammadsaidi4872
    @muhammadsaidi4872 2 года назад +4

    Ma shaa Allah tabaraka rahman
    kuna haja kubwa amuone mama samia NA ikimpendeza zaidi mama amsomeshe shule please 🙏 ⭐❤💘

  • @mimaayubu460
    @mimaayubu460 Год назад +3

    Mashallha Kwa furaha hadi😭 jmn ee mwenyezi mungu mlinde malaika huu

  • @danielnyanda2197
    @danielnyanda2197 Год назад +10

    So wonderful She’s gifted.

  • @isaaceliya2305
    @isaaceliya2305 2 года назад +8

    Huyu mtoto akipata connection ya kufika bungeni maisha yake yatakuwa poa huyo DC ni mzembe

  • @nyabyrose4589
    @nyabyrose4589 Год назад +2

    Yaani hata mimi mama mzima sitawwza haya yote ,Mungu awe na we mtoto 👏👏👏🙏🙏

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 Год назад +5

    mashaAllah mashaAllah mashaAllah husda zisikupate inshaAllah ukuwe mtoto mzuri mama yako alematunda inshaAllah 🥰

  • @lilianpertet3725
    @lilianpertet3725 Год назад +2

    huyu mtoto anakipaji kweli kweli Mungu akamuinue zaidi na zaidi Congrats 👏 🙌 ♥

  • @calvingao7966
    @calvingao7966 2 года назад +11

    Gift from God🙏🙏🙏...

  • @makulileboniface7962
    @makulileboniface7962 2 года назад +6

    Mh jameni kweli mungu ni makubwa

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 Год назад +6

    Kwa uwezo wake mungu atakuwa doctor kweli, mungu ni mwema

  • @reahpaulo5043
    @reahpaulo5043 Год назад +4

    Nimekupenda mno mtoto jaman mungu ukutunze ushangaze ulimwengu

  • @pendomangalili7501
    @pendomangalili7501 2 года назад +12

    Big up baby girl, ufike mbali pale ambapo Mungu amekusudia ufike

  • @sporaerasto694
    @sporaerasto694 Год назад +6

    Wooooooooooooow ... may God protect this gifted soul 🥰

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 2 года назад +8

    Hata Mimi wengine cwajui warah🙆

  • @josephraphael425
    @josephraphael425 2 года назад +6

    Mungu Asante Kwa uumbaji wako 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SalmaAbrahman-pe4ge
    @SalmaAbrahman-pe4ge 2 дня назад

    Waoooo gift mungu akulinde na akufikishe mbali zaidi

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 года назад +4

    Miracle baby

  • @melchiadgodwine9192
    @melchiadgodwine9192 Год назад +3

    Mmmmh Mwenyezi Mungu anatisha sanaaaaa du

  • @DinuZeno
    @DinuZeno Год назад +3

    Sina cha kusema kitoshe kuelezea jambo hili. Mungu aitwe Mungu.

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 Год назад +12

    Kwa udogo wa umri na akili hawezi kariri mambo yote hayo, iyo ni MIRACLE

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 Год назад

      Hakika nikweli Kuna nguvu nyingine sio kipaji TU hapo

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Год назад

      @@samwelsimon7392 kweli kabisaa

  • @jamesmbanga1831
    @jamesmbanga1831 2 года назад +20

    Lakini kumekuwa na watoto wa namna hii wenye miujiza, Iq kubwa, hivi hawa huwa wanaishia wapi. Sasa tunataka mwendelezo wa huyu mtoto

    • @cmantz8837
      @cmantz8837 Год назад

      Hawa bana kadri anavyokuwa uwezo unapotea

    • @empaul3612
      @empaul3612 Год назад

      @@cmantz8837 😅😅🤣

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 Год назад +14

    Kingine mfumo wa elimu yetu utamchelewesha..mpelekeni uko duniani.

  • @vincentmeela260
    @vincentmeela260 2 года назад +5

    Mungu uzidi kutendea miujiza huu mtoto ameeeen

  • @hopeministriesworld
    @hopeministriesworld Год назад +7

    Her eyes reveals presence of a spirit hence reason for her unique talent.

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 Год назад +3

    MashaaAllah Allah amrinde vyema

  • @gracepaul4194
    @gracepaul4194 14 дней назад

    Mungu mtunze huyu mtoto Yesu mfunike hongera mama kwa bidii hiyo

  • @alicemangat3165
    @alicemangat3165 Год назад +3

    She is without doubt a genie! Very blessed baby! She needs a professional guidance!

  • @ElllynahWakio-od2ml
    @ElllynahWakio-od2ml Месяц назад

    Mungu wa miungu mfunike mtoto huyo kwa damu yako Yesu Genius girl

  • @josinabenjamin1374
    @josinabenjamin1374 Месяц назад

    Mungu akufunike mtoto mzuri waooo ukafanyike heri na baraka

  • @theblessedmost9172
    @theblessedmost9172 Год назад +2

    Uhuru Kenyatta ,,,,, amazing baby gal ,,,more blessings

  • @elijahasiso287
    @elijahasiso287 Год назад +2

    Kipaji chake ni cha kipekee!
    Mungu atimize mapenzi yake njisi alivyo panga katika ulimwengu huu.
    Mama wewe pia unakipaji,maneno yako ni chache na ya nidhamu....Mungu akuongoze unapolea mtoto wako...Mungu alipangu uwe mamake na sababu zake...

  • @lilianpeter1631
    @lilianpeter1631 2 года назад +5

    Amaizing🙏👏

  • @bensonchege8623
    @bensonchege8623 Год назад +3

    This baby is surely genius 👏👏 mind blowing brilliantly 👏 😳 genius 👏 👌 amazingly 👏 👌

  • @charlesmavindu9200
    @charlesmavindu9200 Год назад +1

    Machozi yamenitoka kutizama hii video,,, Mungu akujalie Gift.

  • @barouwe
    @barouwe Год назад +2

    Wow this is unbelievable my self i have 32 years but i can't manage all this God bless this little girl

  • @victoriamasue
    @victoriamasue Месяц назад

    Mungu akubariki gift akulinde ukue salama maadui wasikupate

  • @user-py4kv5gk5y
    @user-py4kv5gk5y 2 дня назад

    Professor huyo 💯🥰🥰

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 Год назад +17

    Nimelia Kwa furaha, yaani huyu mtoto anaakili nyingi sana

  • @husnalyker4951
    @husnalyker4951 Год назад +1

    Mungu amsimamie huyu mtot mashallah walah nimiujiza ya mungu yaani nizawad kubwa sanaa huyu mama kapewa na Allah

  • @leahchalresi5632
    @leahchalresi5632 2 года назад +6

    Asante YESU kwajili ya kumtumia huyu mtoto

  • @ElllynahWakio-od2ml
    @ElllynahWakio-od2ml Месяц назад

    am a teacher bt amenichallenge God bless this girl

  • @hamadichikira6065
    @hamadichikira6065 2 года назад +2

    Aisee hongera sana gift safari..

  • @dukeonchweri48
    @dukeonchweri48 Год назад +3

    Be blessed Gift....this is so wonderful,she knows more than I do....Mama this is a great blessing,itunze vyema...

  • @rashid3686
    @rashid3686 Год назад +2

    Mashallah 🙏🙏🙏😍😍😍 Mungu amuongoze na azidishe uwezo wake uwe ni wenye kumnufaisha. Amin 🙏🙏🙏🤲🤲🤲

  • @user-ve3wu5jn1l
    @user-ve3wu5jn1l 2 месяца назад

    Maashalah Mwenyezi Mungu akuakuze . Mashalah

  • @lizahmwangi6313
    @lizahmwangi6313 Год назад +2

    Wow sending blessings to this angel from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️❤️

  • @michaelaloyce.5122
    @michaelaloyce.5122 Год назад +2

    Aseeee , MUNGU amsimamie na njia ya mtoto huyu ikawe ya kheri katika maisha yake yote 🙏

  • @MohamedAshraf-oo5wd
    @MohamedAshraf-oo5wd Год назад +2

    I just love this sweet girl, she's God gifted, she's so very preety, can I adopt her, I ask the mother, I will adore and take exectent care of her education.

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 года назад +4

    Kulikua na Baraka sijui kaishia wapi na huyu nae atapotea Yaani viongozi wakiwasaidia hawa watoto wanahisi kama nafasi zao watazichukua

  • @dianaloy7952
    @dianaloy7952 Год назад +2

    Mungu ambariki na kumlinda mtoto huyu afikie ndoto zake

  • @davidkirui2610
    @davidkirui2610 Год назад +2

    Waaaaah ooh my God. God is within us...this is amazing! Wonders of the world! Wueh! This child needs to be taken care of please.

  • @devothamaembe5795
    @devothamaembe5795 Год назад +1

    Mashaallah Mwenyezi Mungu azidi kumuongoza Gift🥰🥰

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 2 месяца назад +1

    Alooooooooh noma sanaa allah mlinde mtoto huyuu afikee mbalii sanaaaa inshaallah

  • @rithasaakumi6234
    @rithasaakumi6234 Год назад +1

    Daaaah had najickia vzr mungu akutangulie mdogo wang 🌹❣💯❤

  • @pantonizerbazenga254
    @pantonizerbazenga254 Год назад +2

    Watching from Kenya Love for you gift,,God bless you again

  • @fatimamohammed3207
    @fatimamohammed3207 Год назад +1

    Mashaallah Gift, umejaaliwa umahitaji kutunzwa sana

  • @onemuzungu7291
    @onemuzungu7291 Год назад +2

    Woooooooouuuh so amazing 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 2 года назад +13

    Shes so beautiful ❤❤❤ God bless her and her family 🙏👏

  • @herimohamed5631
    @herimohamed5631 2 года назад +4

    Mashallah mungu hatulindiye inshallah

  • @sharonwanzetse5602
    @sharonwanzetse5602 Год назад +1

    Hongera baby Mungu akulinde na abariki familia

  • @naomiako3653
    @naomiako3653 Месяц назад

    Hongera sana ukue katika imani

  • @charlestangawizi9191
    @charlestangawizi9191 Год назад +3

    dadadadaaaaaaaaa, hatari sana,!!!!!! hongela sasa

  • @gilbertkyando7425
    @gilbertkyando7425 Год назад +3

    Amazing!