Najua ss kama asolingi mungu na sababu na ww na usiogope tenda pake mungu anakuongoza kuna kitu ndani ya mungu saidi najua unasaidia wasio jua haki zao ila tenda wema indoka zako mji huu sio wakudumu pale kuna aki tenda aki simamia ukweli tu na ukweli utakuweka huru
Msema ukweli huwa hapendwi bali mungu ndio chaguo lake katupa MH MAKONDA ndio mwokozi wa walala hoi japo kuna wanaomchafua mungu atawaona2 mama hakukosea maoni yangu akitoka Arusha aje Tanga,Kuna Madudu kibao ofsi ya mipango mji ni zuruma2 uliona wapi mwekezaji anapima viwanja na kuuza ktk shamba la Amboni mwanyungu na Kihongwe wazir kaja wamemzuga tanga iogope gizagiza2
Kwakweli Mh Makonda unaubunifu wa kiwango cha juu 🎉🎉
Samia, Makonda na wote wanaohusika na mambo haya ni wezi na wanastahili kufungwa na kunyongwa!
Najua ss kama asolingi mungu na sababu na ww na usiogope tenda pake mungu anakuongoza kuna kitu ndani ya mungu saidi najua unasaidia wasio jua haki zao ila tenda wema indoka zako mji huu sio wakudumu pale kuna aki tenda aki simamia ukweli tu na ukweli utakuweka huru
VIVA MAKONDA VIVAAAAA
Makonda ni makufuii mungu akulinde
Najiulisa kwanini Mh. makonda hajaingia ndani ya ngorongoro kuonana na wanaichi wa Ngorongoro?
Msema ukweli huwa hapendwi bali mungu ndio chaguo lake katupa MH MAKONDA ndio mwokozi wa walala hoi japo kuna wanaomchafua mungu atawaona2 mama hakukosea maoni yangu akitoka Arusha aje Tanga,Kuna Madudu kibao ofsi ya mipango mji ni zuruma2 uliona wapi mwekezaji anapima viwanja na kuuza ktk shamba la Amboni mwanyungu na Kihongwe wazir kaja wamemzuga tanga iogope gizagiza2
Kwa mazungumzo yake..yuko mji mdogo karatu..
Mkuu wa mkoa ni afande au ni muheshiwiwa!
Makondo mbona kama ww nabii real
Barbara
Mbovu
Oiduvai
5:11 5:12 5:34
Muheshimiwa njoo ndani ngorongoro uone Hali halisi
Msingi ukuaribika mwenye haki anafanya nini 😂
Muwechimiwa Kuna na ngorongoro
Swala la wenyeji mbona usungumzii
Mmea vamizi anaelewa kweli?
Je Mzee Makonda Nini Ushauri Wako Na Uzuliwaji Na Manyanyaso Ya Wamasai Walioishi Na Wanyama Kwa Miaka Na Miaka????
Manyanyaso gani waliyopewa?
Tokeni huko ngorongoro
Wanawatisha wanyama wetu watoke huko