SABABU ZINAZOSABISHA UTASA KWA WATU
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- JINSI YA KUJIONDOA KWENYE ROHO YA UTASA
3. MTUMIKIE MUNGU - ukimtumikia Mungu kwa uaminifu, Mungu ataondoa utasa maishani mwako. Tumia kiungo chako chochote kumtumikia Mungu. Ukifanya Fanya kwa malengo........KUTOKA 23:25-28. ......HUWEZI KUTUMIKIWA KAMA HUJATUMIKA
4. JIUNGANISHE/ JIAMBATANISHE NA MTUMISHI WA MUNGU AMBAYE MUNGU AMEMFANYA KUWA BABA WA KIROHO KWAKO - katika maisha ya kila mtu anatakiwa kuwa na baba wa kiroho... Mtu anayesimama au anayekukinga katika yale mabaya yanayotaka kukupata au yanayokutafuta..... ZABURI 92:13-14