Siku moja kabla ya dereva bodaboda na mpenzi wake kuuwawa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Mwananchi Digital Imefika eneo ambalo limechimbwa kaburi la kumpumzisha Dereva Bodaboda aliyefahamika kwa jina la Dominick Kigula aliyeuawa akiwa pamoja na Mpenzi wake Ester Shiago na kuzungumza na Mwenyekiti wa Bodaboda wa kijiwe alichokuwa akipaki Dominick wakati walipokuwa wakichimba Kaburi la Kumpumzisha Mwenzao ambaye hapa anatueleza namana ambavyo Dominick aliondoka Kijiweni hapo Mara ya Mwisho kabla ya Mauti Kumfika

Комментарии • 6