- Видео 66
- Просмотров 8 848
Pastor.Sarah_F_Kalinga
Добавлен 8 сен 2023
ROHO YA MAUTI IPINGE ROHO YA MAUTI KATIKA KILA SEKTA YA MAISHA YAKO...
@elishamuliri4457 @maggiemuliri @pastorfredrickkalinga4243 @elishamuliri2425 @Pastor.Sarah_F_Kalinga
Просмотров: 51
Видео
NAMNA YA KUTUNZA MUUJIZA WAKO
Просмотров 499 часов назад
@elishamuliri4457 @maggiemuliri @pastorfredrickkalinga4243 @elishamuliri2425 @pastortonykapola
NAMNA YA KUTUNZA MUUJIZA WAKO
Просмотров 11114 часов назад
@elishamuliri4457 @maggiemuliri @pastorfredrickkalinga4243 @elishamuliri2425 NAMNA YA KUTUNZA MUUJIZA. Muujiza/Miujiza ni tukio linalotokea ili kudhihirisha uwepo wa Mungu mahali pale. Na Yesu alianza kutenda miujiza zamani sana...miujiza iliyodhihirisha uwepo wa kiungu mahali pote alipopita. Yohana 2:1-10 Hata leo bado Yesu anatenda miujiza mingi juu ya watu wake. Wapo watu wanakuja kanisani w...
NGUVU YA MIKONO NA UKOMBOZI WA MIKONO
Просмотров 7119 часов назад
@elishamuliri4457 @maggiemuliri @pastorfredrickkalinga4243 @elishamuliri2425
UKOMBOZI WA MIKONO
Просмотров 58День назад
@maggiemuliri @pastorfredrickkalinga4243 @elishamuliri2425 @elishamuliri4457 @fredrickkalinga8986 @womensworkoutchannel
Roho ya Kukata tamaa
Просмотров 1562 месяца назад
Katika kizuizzi kinachowafanya watu kushindwa kuinuliwa ni kukata tamaa katika yale wanayokuwa wanayafanya...Kukata tamaa ni roho kamili na huwa inakuja kwa lengo la kuua kusudi la mtu hasa kusudi lililo jema @elishamuliri2425 @maggiemuliri @pastorfredrickkalinga4243
VIZUIZI VYA MTU KUINULIWA
Просмотров 1392 месяца назад
VIZUIZI VYA MTU KUINULIWA ..........6.ROHO YA UTASA SABABU ZINAZOSABABISHA UTASA KWA WATU 3. kuishi maisha ya dhambi - mtu kumkosea Mungu na kutofata amri za Mungu. Dhambi si mapenzi ya Mungu, fedha na dhahabu ni vya MUNGU, huwezi kufanikiwa Au kuinuliwa katika maisha Kama hufanyi yaliyo mapenzi Yake.... Yatupasa kutubu kila wakati na kwa kila mahali tunapokosea..... UFUNUO WA YOHANA 2:5 unapoo...
KUVUNJA ROHO YA KUKATA TAMAA
Просмотров 612 месяца назад
KUVUNJA ROHO YA KUKATA TAMAA KUKATA TAMAA - ni roho kamili na humfanya mtu kupoteza focus au muelekeo na kumrudisha nyuma. - ni hali inayokuwa ndani ya mtu na hutokea baada ya mtu kukosa Matumaini na suluhisho katika changamoto ya kitu fulani anayoipitia. Mtu wa aina hii hurudia kosa au hurudi katika hali ya zamani na hata akishauriwa huwa hashauriki maana huisi kuonewa, kutumika bila faida, ku...
SABABU ZINAZOSABISHA UTASA KWA WATU
Просмотров 942 месяца назад
JINSI YA KUJIONDOA KWENYE ROHO YA UTASA 3. MTUMIKIE MUNGU - ukimtumikia Mungu kwa uaminifu, Mungu ataondoa utasa maishani mwako. Tumia kiungo chako chochote kumtumikia Mungu. Ukifanya Fanya kwa malengo........KUTOKA 23:25-28. ......HUWEZI KUTUMIKIWA KAMA HUJATUMIKA 4. JIUNGANISHE/ JIAMBATANISHE NA MTUMISHI WA MUNGU AMBAYE MUNGU AMEMFANYA KUWA BABA WA KIROHO KWAKO - katika maisha ya kila mtu ana...
ROHO YA UTASA
Просмотров 442 месяца назад
Sababu zinazosabisha watu kutawaliwa na roho ya utasa 4. Laana ya Maneno - watu wengi Leo tunateswa na roho Za utasa kwasababu tu ya Maneno tuliyotamkiwa na watu Au kujitamkia wenyewe aidha kwa kujua ama kwa kutokujua...... Uzima na mauti vipo katika uwezo wa ulimi... MITHALI 18:21...kuwa makini na unayoyatamka NI NAMNA AU JINSI GANI YA KUJITOA KWENYE ROHO ZA UTASA.... NINI KIFANYIKE ILI KUJITO...
VIZUIZI VYA MTU KUINULIWA ......ROHO YA UTASA
Просмотров 2222 месяца назад
Utasa ni Hali ya kukosa uwezo wa kuzaa au kuzalisha. Kila mtu anauwezo wa kuzalisha,katika utasa kila unachofanya kinakuwa hakina Nguvu ya maongezeko na Ndio unakuta mtu anafanya kazi haoni matokeo au anafanya biashara haoni faida...... KAMA HUWEZI KUZALISHA HUWEZI KUINULIWA MAANA KILE UNACHOZALISHA NDIO KINACHOKUTOFAUTISHA NA WENGINE KATIKA KUINUKA KWAKO MWANZO 1:27-28...Mungu alitubariki na k...
MUNGU HUKETI KATIKA SIFA..... TUMSIFU MUNGU KILA WAKATI NA KILA MAHALI
Просмотров 1442 месяца назад
MUNGU HUKETI KATIKA SIFA..... TUMSIFU MUNGU KILA WAKATI NA KILA MAHALI
KUYAJUA MAPENZI YA MUNGU MAISHANI MWETU
Просмотров 4124 месяца назад
KUYAJUA MAPENZI YA MUNGU MAISHANI MWETU
UKOMBOZI WA KINYWA NA NGUVU ILIYONYUMA YA MANENO TUNAYOTAMKA
Просмотров 1374 месяца назад
UKOMBOZI WA KINYWA NA NGUVU ILIYONYUMA YA MANENO TUNAYOTAMKA
UKOMBOZI WA KINYWA NA NGUVU ZA MANENO YA VINYWA VYETU
Просмотров 1274 месяца назад
UKOMBOZI WA KINYWA NA NGUVU ZA MANENO YA VINYWA VYETU
❤
❤
Ameen
Amen Amen🙏🙏🙏
❤
❤
good, kumbuka kunisubscribe
Amen
AMEN
Wasifu wa Kanisa ni kituko machoni pake Mungu, Mitindo inaharibu uungu na matamanio ya aliyeanzisha ijili ya wokovu. Kwa nini wakristo wengi ni wezi, shoga, vibaka? Mungu hurumia wanao.
Hiyo disco angalia hvyo vinguo sasa hao madada wanatofauti ngani na watu wa bar
Sauti Iko chini kidogo
❤❤❤
Very true ❤❤Amen🎉🎉
Amen
AMEEEN 👏🏻 👏🏻
Amen Amen
true🙏🙏🙏
🔥🔥
Ameen
❤❤❤
❤❤
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Amen amen
Ameen
Amen Mom 💪. We are together 💪💪🙏🙏
Amen amen
MUNGU akujalie Afya njema na Amani, ukweli nimekuelewa.UBARIKIWE SANA
Amen amen
MUNGU akujalie Afya njema na Amani, ukweli nimekuelewa.UBARIKIWE SANA
amen amen