Siyo huyo tu. Wengi wana tabia hiyo. Mimi ni muhanga niliyeibiwa simu ktk hospitali kubwa maarufu ya private hapa Dar. Camera ziliangaliwa kila mahali haikuonekana. Ilichukuliwa na muuguzi kwenye chumba cha daktari kwa kuwa vyumba vya madaktari havina camera.
Hivi kweli afisa muuguzi unaibia wagonjwaa ?kweli? Si bora unywe uji Wa wagonjwa ni aibu sana hii jamani Kwa hiyo familia yako inakuona ukikamatwa Kwa vitu vya hovyo aisee duh!
Watu kama hawa mtawala awapoteze kwenye uso wa dunia, haya mambo ya kifungo jela au faini wanatupotezea muda. Funga kitambaa usoni kamtupe ktky ya mbuga ya katavi simba wamle. Tushachoka. Baada ya muda utasikia ametoka kwa msamaha wa Rais.
Duuu huu mwaka kazi kweli kweli
Subuhanallah. ..jamani huyo hanaiiman kuwaibiaje wagonjwa. Simtumzuri huyo
Jamani hana hata huruma wanawaibia simu wagonjwa hata huruma huna subhaana llah
Yaa rabb tukinge na vizazi vyetu
Siyo huyo tu. Wengi wana tabia hiyo. Mimi ni muhanga niliyeibiwa simu ktk hospitali kubwa maarufu ya private hapa Dar. Camera ziliangaliwa kila mahali haikuonekana. Ilichukuliwa na muuguzi kwenye chumba cha daktari kwa kuwa vyumba vya madaktari havina camera.
Hii kila siku kwanini? Yaani watu wanashindwa kujua staff wao
Kufakufaana😂😂
Suratu inaonekana ni jambazi mkuu
Tafuteni pesa jaman limwanaume lizima
Hivi kweli afisa muuguzi unaibia wagonjwaa ?kweli? Si bora unywe uji Wa wagonjwa ni aibu sana hii jamani Kwa hiyo familia yako inakuona ukikamatwa Kwa vitu vya hovyo aisee duh!
Du watu wanauthubutu
Uchomwe moto tuu,
Watu kama hawa mtawala awapoteze kwenye uso wa dunia, haya mambo ya kifungo jela au faini wanatupotezea muda.
Funga kitambaa usoni kamtupe ktky ya mbuga ya katavi simba wamle.
Tushachoka. Baada ya muda utasikia ametoka kwa msamaha wa Rais.