Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
👌👌👌👍
🤝
Me nataka kuangalia kwa kiswahili
Yan movie za kingereza ziwe kwa kiswahili
Sio kila channel zinakua na matangazo yake Kwa Kiswahili, pia sio kila kipindi ni baadhi
Oyah vipi kuhusu frash inasoma aikubali
good job brother
Thanks for the visit
Nimechomeka external USB drive kurecord inakata nifanyeje?
Late view first like🤗🤗 but i don't understand anything 😁 old subscriber💪
I appreciate your support bhongbai
Kuna njia yeyote ya kufanya ili ziweze kuplay kwenye PC?
Kaka naweza kufahamu baada ya kurekodi kwa mfano mechi nawezaje kutoa Video hizo kwa matumizi mengine mfano highlights kwenye sports Changamoto yangu naweza kutoa hizo kazi nilizorekodi then nikaja may be kuziedit kwenye PC n.k msaada nifanyeje
Ukitaka kustopisha record ili kupisha matangazo unafanyaje?
Itakubidi kustopisha na baada ya matangazo kurekodi tena na hivyo itakua vipande viwili tofauti
@@dmginfo2470 hakuna option ya kupouse ili iwe video moja hata hivyo nashkuru kwa majibu yako
Kwanini uki play kwenye laptop video ulizorecord haikubali?
File Format ya izo video za kurekodiwa na king'amuzi haziwez kuplay Kwa pc
Lakin mimi nimenunua King'amzi cha azam cheusi hakina sehemi za kurekodi
Hakina sehemu (port) ya USB?
Mbn mm nikiweka flash kweny kingamuz nikiweka mov nikiangalia ikifka katkat ina stop picha haichez nasikiliza maneno tuu Sasa apo ndasielew shda nn
Inaweza kuwa tatizo n flash au king'amuzi
Chali wade ni fulu anii