DMG info2
DMG info2
  • Видео 283
  • Просмотров 788 704
NO SIGNAL NINI CHAKUFANYA
Jinsi ya kushughulika na tatizo la No signal kwenye Tv yako
Просмотров: 141

Видео

JINSI YA KUWEKA FRAME KWENYE EPSON PHOTO+
Просмотров 953 месяца назад
Jifunze kutengeneza frame za picha ili uzitumie wakati wa kusafisha picha zako zilete muonekano wakuvutia zaidi.
STB Activation Required Solution n Azamtv
Просмотров 2,4 тыс.4 месяца назад
Tizama jinsi yakuondoa ujumbe wa stb activation required #azamtvupdates #azamtvapp
CHANNEL ZA SPORT HAZIONESHI
Просмотров 9534 месяца назад
No AZAM sports channels Solution 💯
SOFTWARE UPDATE OTA AZAMTV
Просмотров 5815 месяцев назад
Update software mpya kwenye King'amuzi cheupe kinachosoma Eutelsat 7A au 7B kuwa katika Eutelsat 7C
TATIZO LA SMART CARD REMOVED
Просмотров 3205 месяцев назад
TATIZO LA SMART CARD REMOVED
No signal Azamtv NINI CHAKUFANYA
Просмотров 3,1 тыс.6 месяцев назад
Ikiwa Unapata ujumbe wa no signal nini chakufanya Ili kutatua tatizo Hilo? Sasa endelea katika video
JINSI YA KU_UPDATE SOFTWARE EUTELSAT 7C KWENYE KING'AMUZI CHA AZAMTV
Просмотров 6 тыс.6 месяцев назад
Update software mpya kwenye King'amuzi cheupe kinachosoma Eutelsat 7A au 7B kuwa katika Eutelsat 7C
JINSI NILIVYOSET DISH KWAKUTIMIA SIMU BILA KUTUMIA TV AU SATELLITE FINDER
Просмотров 2 тыс.6 месяцев назад
JINSI NILIVYOSET DISH KWAKUTIMIA SIMU BILA KUTUMIA TV AU SATELLITE FINDER
Tatizo la Short Circuited In AzamTv
Просмотров 2536 месяцев назад
Jinsi ya kutatua tatizo la short circuit error 01 kwenye vingamuzi vipya veusi.
JINSI YA KU+COMPRESS PDF FILE
Просмотров 1327 месяцев назад
Jinsi ya kupunguza ukubwa wa file la pdf
NO SIGNAL BLUE SCREEN
Просмотров 1,5 тыс.8 месяцев назад
Tatizo la TV Yako kuandika No signal na wakati huo remote ya King'amuzi haifanyi KAZI. Fanya yafuatayo
Unganisha King'amuzi na simu.
Просмотров 1,6 тыс.9 месяцев назад
Jinsi ya kuunganisha King'amuzi na simu au tablet na uweze kuendelea kuburudika na Vipindi vinavyorushwa kwenye decoder Yako. Vifaa vinavyohitajika:- 1. Simu Yako ya Smartphone ikiwa umedownload app ya USB camera 2. HDMI video capture. 3. Micro USB OTG Pin 4. USB male and female 5. HDMI cable 6. Decoder Yako
Tumia app hii kuset dish 📡 la aina yeyote.
Просмотров 4,8 тыс.10 месяцев назад
Jinsi ya kutumia application ya Satfinder kupata signal za dish la lolote like #azamtvinstallation #dstv #zuku #startimes #canal
Smartcard never paired AzamTv
Просмотров 6 тыс.11 месяцев назад
Jinsi ya kutatua tatizo la smartcard never paired kwenye decoder Yako ya Azamtv
DISHI MOJA VING'AMUZI VIWILI
Просмотров 1,6 тыс.11 месяцев назад
DISHI MOJA VING'AMUZI VIWILI
Unganisha kingamuzi na Laptop computer 💻🖥️
Просмотров 3,2 тыс.Год назад
Unganisha kingamuzi na Laptop computer 💻🖥️
AzamTv NO PROGRAM NO CHANNEL Pt2
Просмотров 10 тыс.Год назад
AzamTv NO PROGRAM NO CHANNEL Pt2
Mambo 10 kikwazo usipate channels Azamtv
Просмотров 6 тыс.Год назад
Mambo 10 kikwazo usipate channels Azamtv
AzamTv NO PROGRAM NO CHANNEL
Просмотров 22 тыс.Год назад
AzamTv NO PROGRAM NO CHANNEL
Stendi ya Dish Azamtv 📡 (TripodStand)
Просмотров 452Год назад
Stendi ya Dish Azamtv 📡 (TripodStand)
WHAT TO DO IF HDD OR SSD NOT DETECTED FIX IT 100%
Просмотров 318Год назад
WHAT TO DO IF HDD OR SSD NOT DETECTED FIX IT 100%
Passport Resizer
Просмотров 92Год назад
Passport Resizer
JINSI YAKUHAKIKI CHETI CHA KUZALIWA BIRTH CERTIFICATE
Просмотров 10 тыс.Год назад
JINSI YAKUHAKIKI CHETI CHA KUZALIWA BIRTH CERTIFICATE
JINSI YAKUOMBA MKOPO HESLB MAMBO YAKUZINGATIA
Просмотров 361Год назад
JINSI YAKUOMBA MKOPO HESLB MAMBO YAKUZINGATIA
Unganisha Monitor Mbili Kwa Computer Moja
Просмотров 742Год назад
Unganisha Monitor Mbili Kwa Computer Moja
Usinunue Computer 🖥️💻 kabla ya kufahamu mambo haya 5
Просмотров 94Год назад
Usinunue Computer 🖥️💻 kabla ya kufahamu mambo haya 5
PCI SERIAL PORT NEED UPDATE
Просмотров 575Год назад
PCI SERIAL PORT NEED UPDATE
Jinsi Ya Kupunguza Ukubwa Wa Video 609MB to 54MB
Просмотров 358Год назад
Jinsi Ya Kupunguza Ukubwa Wa Video 609MB to 54MB
JINSI YA KUTAFUTA POSITION/NAFASI KWENYE EXCEL
Просмотров 840Год назад
JINSI YA KUTAFUTA POSITION/NAFASI KWENYE EXCEL

Комментарии

  • @jacklinebahath174
    @jacklinebahath174 13 часов назад

    Poor video quality

  • @CallebHagai-y1b
    @CallebHagai-y1b День назад

    Unacho changanya unaelekeza ukumziki ukojuu kwaio husikiki vizuri alafu pia jitaidikielekeza kwautalatibu sasawewe unaeleza halakahaka wakati sisi niwanafunzi hatutaelewa kaka

  • @asiakashonda1669
    @asiakashonda1669 2 дня назад

    Samahani kaka.... Mimi ni mtumiaji wa Kisimbuzi cha Azam... Mwanzoni nilikuwa nina other chanel nyingi nilizokuwa naangalia lakini sasa hivi zimepotea nawezaje kuzirejesha tena.. mfano nilikiwa na Abood Tv lakini sasa hivi haionekani

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 2 дня назад

      Angalia kwenye channel kuna video nimeelekeza jinsi yakurudisha channels zilizo pote

  • @AllyFund
    @AllyFund 2 дня назад

    Blaza naomb nyingne zaid kak mpaka nijue vzury blaza🎉🎉

  • @RayMwasi
    @RayMwasi 2 дня назад

    Mimi ikifika jioni Azam yangu inaandika no signal siwez kuangalia

  • @Sub_256
    @Sub_256 3 дня назад

    Thank you very much❤❤❤❤

  • @Vijayanetcenter
    @Vijayanetcenter 5 дней назад

    Thanks bro 🤗

  • @mabelemabula3709
    @mabelemabula3709 6 дней назад

    Failed

  • @FauziaMohamed-t3s
    @FauziaMohamed-t3s 8 дней назад

    Kaka nisaidie namba nina shida

  • @FauziaMohamed-t3s
    @FauziaMohamed-t3s 8 дней назад

    Kaka nisaidie namba nina shida

  • @FauziaMohamed-t3s
    @FauziaMohamed-t3s 8 дней назад

    Kaka nisaidie namba nina shida

  • @rosepeter7645
    @rosepeter7645 8 дней назад

    🙏

  • @ChristopherMoses-v6b
    @ChristopherMoses-v6b 9 дней назад

    Kaka mbona quality sio nzuri narekebisha,how?

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 дня назад

      Nichek kwa njia ya whatsapp

  • @talormos
    @talormos 9 дней назад

    thanks.

  • @JohanesKazoba
    @JohanesKazoba 9 дней назад

    Asante lakn vp kingamz kikiingia password?

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 дня назад

      Default password huwa n 0000

  • @AzizaRamadhani-b1e
    @AzizaRamadhani-b1e 12 дней назад

    Assalaamualaikum warahmatullahi wabarakatuhu Kiga muzi haifanyi kazi wanana mbiya eti smart card is expired. Nifanye Nini?

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 11 дней назад

      Nichek whatsapp nikupe maelezo

  • @Mario-yq9bp
    @Mario-yq9bp 13 дней назад

    👍

  • @HamzaSalumu-q7v
    @HamzaSalumu-q7v 14 дней назад

    Oyah vipi kuhusu frash inasoma aikubali

  • @ErickRichard-o5k
    @ErickRichard-o5k 15 дней назад

    Eti kwanini decoder zile nyeupe za azam picha zake zinagandaganda wakati signal ziko sawa 100 kwa 80 na cable ni mpya.sababu inakuwa ni nini

  • @ДимаЛевков-у5г
    @ДимаЛевков-у5г 18 дней назад

    Thank you so much my friend God bless you.

  • @TuponileSwila
    @TuponileSwila 18 дней назад

    Asante sana Mungu akubariki

  • @JaneJame-ry5xl
    @JaneJame-ry5xl 22 дня назад

    Ukifa huozi bro hatimaye nimeirudisha abood tv ,nilipotwa na movie nying sana

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 22 дня назад

      Hahaha....shukran sana mkali I appreciate 🙏

  • @Dj_keyvoo1
    @Dj_keyvoo1 24 дня назад

    Kwa iphone naipataje USB camera,nimejaribu nimeikosa inayotokea kwenye play store inaitwa video camera for detail.

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 23 дня назад

      camx-usb-camera.en.softonic.com/iphone Kama unatumia iPhone

  • @TumainiMwasenga-s6u
    @TumainiMwasenga-s6u 26 дней назад

    Dah Asante sana kaka 🙏 Mungu akubariki akuongezee upeo zaidi ya hapo🤝🙏

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 25 дней назад

      🙏 Amen asante sana kwa ujumbe wako wakutia moyo

  • @heavenmosher8032
    @heavenmosher8032 26 дней назад

    Jinsi ya kubadili 7B kwnda 7C

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 26 дней назад

      ruclips.net/video/p4K_SkTE3GM/видео.htmlsi=twwCS6E4G0sFbvRy

  • @frankdjalango3450
    @frankdjalango3450 27 дней назад

    Unalezea chanzo cha tatizo badala ya solution afu MB kibao

  • @chrispalgeorge
    @chrispalgeorge 28 дней назад

    Kiongozi, habari! Nimefanikisha kila kitu tatizo sauti tu, pia baadhi ya chanel zinakataa naambiwa "No valid secure device"

  • @JoshuaMussa-s4m
    @JoshuaMussa-s4m Месяц назад

    Nimeunganisha inaniamby no sign

  • @KhamisiSalimu
    @KhamisiSalimu Месяц назад

    Ivo vitu vya ku unganisha na sim vinapatikana wap

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Maduka ya vifaa vya mzik na kamera

  • @maxxsHarrison-qw9ym
    @maxxsHarrison-qw9ym Месяц назад

    Ubalikiwe Sana

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Amen 🙏 tubarikiwe sote

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 Месяц назад

    Aise bro gud fundi aliniambia anakuja kuchukua kibunda hapa Shukuran

  • @yozayaperudi9072
    @yozayaperudi9072 Месяц назад

    Hamna kitu kbsa

  • @HanifaHassan-pf1ws
    @HanifaHassan-pf1ws Месяц назад

    Nimelipia wanatoka madishi tu picha hmna tatizo nini

  • @CasimirySpirit
    @CasimirySpirit Месяц назад

    Good lesson

  • @godsonnanyaro6679
    @godsonnanyaro6679 Месяц назад

    Baba nashukuru sana mkuu kazi yako njema sana. Nimejifunza kiasi flani. Asante sana mista

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Karibu sana, Comment yako ina impact kubwa sana 🙏

  • @SamwelGao-k3c
    @SamwelGao-k3c Месяц назад

    Contacts

  • @SamwelGao-k3c
    @SamwelGao-k3c Месяц назад

    Contacts?

  • @RehemaHamadi-z1r
    @RehemaHamadi-z1r Месяц назад

    Mimi naomba msaada wenu naombeni mjukuu wangu aje kwenye academy yenu kucheza mpira yani naomba msaada wenu anapenda sana kucheza mpira niwa kike anaitwa hamida sisi tunaishi morogoro mfuruni pia mnaweza kusoma loketion kwenye hii namba

  • @WastonJr
    @WastonJr Месяц назад

    Umetixhaaaa xana mwamba

  • @rosejacob4334
    @rosejacob4334 Месяц назад

    🙏🙏 God bless you

  • @evodiamhumba4764
    @evodiamhumba4764 Месяц назад

    Ahsante sana sana kaka. Ubarikiwe sana. Yaani nilihangaika sana. Nikajua nitamuita fundi. You are good bro.

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Amen 🙏 karibu sana 😍

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      I appreciate you, thanks indeed 🙏

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety Месяц назад

    Daaah mmetisha aiseeh,peace and love

  • @KusekwaMathias
    @KusekwaMathias Месяц назад

    Mm nilikua nashida ya STB Activation required lakn katika maelezo yako sijaelewa nn chakufanya ili shida angu niweze isolve

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Nichek whatsapp 0759060986

  • @KusekwaMathias
    @KusekwaMathias Месяц назад

    Unaelezea vzur lakn hutatui shida zawatu unaeleza tatizo mtu anakaa attention kukusikiliza akitegemea unaenda kuelezea jins ya kutatua shida ake alaf unamuacha mguu pande

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Pole ulikua na tatizo gani?

  • @bernardmwenda5186
    @bernardmwenda5186 Месяц назад

    Hujatusaidia chochote! Niko kwenye tatizo naelezwa tatizo, naachwa na tatizo.

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 Месяц назад

      Chukua simu yako piga *150*50*5# Kisha chagua lugha 1 au 2 Kisha weka namba ya smart card yako Kisha nenda 3 sajili huduma mpya kisha chagua kifurushi ulicholipia kisha kubali Baada ya hapo Rudia tena iyo menu ya *150*50*5# Kisha chagua lugha Kisha weka namba ya smart card yako Kisha nenda 4 ujumbe wakuwasha kisimbuzi Kisha kubali Hatua hizi Kwak lain ya tigo halotel n bure ila Vodacom uwe na salio la kawaia Baada ya hapo rudi kwenye kingamuzi weka channels ya Azam 2 HD subiri hadi dk 10-15 channels zitarud

  • @JaphetJohn-j2m
    @JaphetJohn-j2m Месяц назад

    Bai

  • @JaphetJohn-j2m
    @JaphetJohn-j2m Месяц назад

    Bei

  • @MwantumuAbdy
    @MwantumuAbdy Месяц назад

    Safi sana umeeleweka sn

  • @Ramylavania
    @Ramylavania 2 месяца назад

    Ikikuandikia Hakuna signal kutoka kwenye dish inakuwa ni tatizo la nini??

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 2 месяца назад

      Either dish limepoteza uelekeo yan limeyumba hivo limepoteza signal, waya wa dish umekatika, waya wa dish hauflow signal toka kwenye lnb receiver, waya wa dish haujachomekwa vzr, waya wa dish haukumwenywa na kuunganishwa vzr, kingamuzi kina tatizo au lnb receiver, yote hayo yanaweza kuwa tatizo yakutopata signals

  • @TwahaMgayuke
    @TwahaMgayuke 2 месяца назад

    Mimi nafanya ivo unavonielekeza lakini Bado inaniandikia na sigino

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 2 месяца назад

      Set kwanza dish upate signal ndo ufanye kusearch/kuscan channels upya