Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Thanks to remind
Maelezo mazuri kabisa.......
🙏🙏
Bro kwenye position hapo, hakuna mtu wa 12, 20 wala 32. Kwanini imeruka hizo namba?
Hapo kwenye colum ya position, hakuna mtu wa 12, 20 wala wa 32. Kwanini Excel imeruka?
Namba moja wakigongana watu wawili au zaidi wanakua kwenye position moja, atakeyefuata position Yale itakua aliyoko kwenye s/n .
wamefungana wawili, ikiwa haitaruka basi mwishoni idadi ya watahiniwa itazidi. Kama ingekua wamefungana 3 namba 11 basi anayefuata atakua nafasi ya 13
Sahihi kabisa @@mastidiaherbert5599