Hii story ilinipita leo ndo naifuatilia ila usia wangu Bro Dav uwe unawahoji angalau akusimulie hata nusu ya stori hawa wasimuliaji wengine ni waongo huwa wanaongezea vitu kibaya zaidi la mbele anaweka nyuma na lanyuma anaweka mbele yaani haeleweki..
Davistar umekutana na mwalimu 🤣🤣🤣
Yaani ulimtoa mtoto wa mwenzio kafara, lkn Kwa mama ako ndio unakumbuka UZAZI na tumbo LINACHEZA
Hii story ilinipita leo ndo naifuatilia ila usia wangu Bro Dav uwe unawahoji angalau akusimulie hata nusu ya stori hawa wasimuliaji wengine ni waongo huwa wanaongezea vitu kibaya zaidi la mbele anaweka nyuma na lanyuma anaweka mbele yaani haeleweki..
Kazi nzuri Davista!! Nakufatilia sana toka USA. Jamaa anajua kusimulia unakosa hata maswali!! Good job.
Kala una roho ya kusamehe... Huyo alokukata panga usimsamehe... Mbona akukate Tena ukupeleke police.
Safi izi story mnzuri sana
Story nzr una upload nusu, unazingua
mbna pat 2 aiendani na pat 1davsita
Nilikuwa nangojea sana sehemu ya pili....mara hii umetuandalia haraka❤
dogo ndezi sana
Mafuta ya elfu 20 wewe ukaweka ya elfu 15,huo ni wizi. Tunafanya kazi kwa mazoea
Hivi watu wanajua kama kubeua mbele za watu it’s very rude! Kama ku jamba tu 😂
Sehemu alizo tawala moreno kama huku Brazil au Angola Portugal Moçambique na kwengine, unaitwa porco yani nguruwe, ukijamba ushapata bwana😂😂😂😂.
Hapa USA lazima uombe msamaha ukifanya hivyo mbele za watu!!😂
Mimi mbona sikuelewi mpaka ivi sasa ?unatoa story gani wewe?
Party 3 maybe he msp
Mbona muunganiko hauendani na part 1 ?
Kweli