Me nkiona mijitu in ndugu na inajifanya haipendani doh naishangaaga mm Sana Sana ase check huyu mwamba hana hata ndugu na ukoo wake haujui hebu fkria ilo tu msameheyane na nduguzako muishi vyema jmn
Inawezekanaje watu 7 ambao hamjawahi kuvua, ghafla siku moja wote mkakabidhiwa mtumbwi au boat kwenda kuvua? Au mlikuwa mnavua kichawi. Ili uweze kuvua lazima ujuwe kuendesha mtumbwi, ujue kurusha nyavu. Umezungumza kuhusu kukuta watu wamekufa wakiwa kwenye mtumbwi jambo ambalo si rahisi, haiwezekani mtu afe na abaki kwenye mtumbwi. Kuna vitu hauvielezi ndugu. Ni kama hadithi yako haina muunganiko
Shukran Davista Mata Kwa mikasa mizuri.Tunapata mafunzo Sana Kwa mikasa yako.Mungu akuzidishie ujasiri na umri mrefu in sha Allah.
Shukrani sana kwa kutuletea mkasa mwingine 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Happy new year 🎆🎊🎈 to everyone who is watching or listening to this and god bless you 🙏🙏🙏
Uganda Leo wa 3
Mmmm Yani kabisa Joka linatoa peas...I will never use that Money from Snakes..Jamani uchawi upo na unafanya kazi
Kabisa
Stori zuri msimlizi anasimulia kinyonge sana hadi anaifanya kuwa boring extremely.
Simbo Igunga karibu na umoja Sec😂😂😂 shule yanguu hiii wakuuu Dar . Mmenikumbusha mbali San
Shebby mwambie brother ana story Zuri mwambie akwende step by step
Me nkiona mijitu in ndugu na inajifanya haipendani doh naishangaaga mm Sana Sana ase check huyu mwamba hana hata ndugu na ukoo wake haujui hebu fkria ilo tu msameheyane na nduguzako muishi vyema jmn
Umenena vyema kaka
Shebby mbona yule jamaa hajamalizia story. Yule wa frems
Locked 🔒 Wapi likes za DM media?
Aiseee
Huyu majaa ndondocha atazidi kuwa ndondocha anasimulia kama chizi vile
😱Wapi Jamaa wa Mipete ya Mafuvu😱
yule bado mwanga tu huwez kuacha mamb km yale bado unavaa mafuvu et urembo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Liccy Leigh
Pamoja saana sheby 💯
Miyeyusho tu kwa ndugu mtunzi, maana haendi on point, nyoko huyo
Musk jamani muhimu
Pamoja kaka
Maswal maswal..we jamaa ukiongoza kipindi wewe basi hii ndo kasumba yako....tofauti na davista
The golden boy nimefika lakini pesa ya nyoka Mimi sitaki hatakama zimejaa gnia achatu
Muoga huyoo🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🤣🤣🤣🤣🤣❤
@@nuswemwaipopo9558 Kweli sio uongo😂😂😂
Tipogo
🤗🤗
Story mzuri ila msimuriaji very boaring kwakweli
Na hicho kiumbe kilikua ni cha huyo huyo Mzee
Nyinyi mlishidwa kutupa mzee na nyie ndio mlikuwa wengi 😄
Mikasa haimaliziwi mnaacha kati sio poa
Inawezekanaje watu 7 ambao hamjawahi kuvua, ghafla siku moja wote mkakabidhiwa mtumbwi au boat kwenda kuvua? Au mlikuwa mnavua kichawi. Ili uweze kuvua lazima ujuwe kuendesha mtumbwi, ujue kurusha nyavu. Umezungumza kuhusu kukuta watu wamekufa wakiwa kwenye mtumbwi jambo ambalo si rahisi, haiwezekani mtu afe na abaki kwenye mtumbwi.
Kuna vitu hauvielezi ndugu. Ni kama hadithi yako haina muunganiko
Kitu kipya huku wadau
Pamoja sana
Kumbe ulianza shule na miaka 12 Kama Mimi pole Sana
🤣🤣🤣🤣🤣 na balehe tayari
❤️❤️❤️ to you alaw
🤔😄😄
@@somoeawadh7774 dada wa Alawi. Happy New year wangu
Hicho kizee kina roho ngumu sana😏
🤔🤔
Story nzr sema huyu nae Amepooza sana Kwenye kuisimulia😡😡😡😡
Mpe dawa ya kikoozi
Huyu tagazaji maswali yake yani dhaa simwelewi kabisa
I like davistar news but this one is extremely boring. I’m out
Sasa wewe mtangazaji umuulizi maswali umekaa tu jani mh
Watu bana ukiuliza maswali utaskia ooh unaboa muache aongee ukikaa kimya ooh huulizi unakaa tu 😄
@@DavistarMataMediaDM yn kwakweli...!! Hapo ndo ujue kuwa Binadamu sisi ni wazito hatubebeki hata Siku moja 😄😄😄😄😄😄😄😄
Huwezi kumridhisha binadamu fanya ambacho unakiona kipo sahihi kwako.
@@DavistarMataMediaDM kweli kabisa
@@missmwayway4704 kabisaa