B. NEWS: Tanzania yapata Kardinali Mpya, Papa Francis Amteua Askofu Mkuu P. Rugambwa kuwa Kardinali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 40

  • @isabelamalogo589
    @isabelamalogo589 Год назад

    Amina Mungu mwema nakuombea mema Baba yangu katika utume wako

  • @chiekhthiam980
    @chiekhthiam980 Год назад +2

    Hongera sana Baba mwadhama Rugambwa

  • @williamnkuhi6166
    @williamnkuhi6166 Год назад +2

    Hongera Rugambwa na Kanisa la Tanzania. Mungu amtangulie katika majukumu yake mapya..

  • @annashauri824
    @annashauri824 Год назад

    Hongera sana baba mungu akutangulie

  • @thomasjoseph3178
    @thomasjoseph3178 Год назад +1

    Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kupitia Baba Mtakatifu kwa uteuzi huo.
    Tunakuombea Baba P. Rugambwa kwa majukumu yako mapya

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 Год назад +1

    Hongera sana baba Mungu awe pamoja nawe katika utume wako

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 Год назад

    Kardinali Rugambwa wa pili. Waoooh!

  • @elizabethndunguru3882
    @elizabethndunguru3882 Год назад +1

    Tunamshukuru Mungu Baba Mwenyezi kwa ajili Kardinali Rugambwa, tunamwombea Baraka za Neema za Mungu katika UTUME mpya.

  • @bensonmtui7605
    @bensonmtui7605 Год назад

    Hongera sana cardinali. MUNGU akusimamie uindeleze vyema injili na neno lake

  • @josephinabakhita
    @josephinabakhita Год назад

    Hongera baba Protas Rugambwa

  • @johnalexandermushi6720
    @johnalexandermushi6720 Год назад +1

    Hongera Mwadhama Cardinali Rugambwa

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 Год назад

    Hongera sana Baba utume mwema

  • @deodatusdioniz-cp1sm
    @deodatusdioniz-cp1sm Год назад

    Mungu ibarik mungu ibark kagera kwa matunda ya kher yanayotoka mkoan kwetu

  • @belinamwambeleko370
    @belinamwambeleko370 Год назад

    Asante ee mwenyezi mungu kwa kututunuku kuhani wako

  • @absm8084
    @absm8084 Год назад +1

    Mungu AKUBARIKI baba

  • @devotharamadhani3873
    @devotharamadhani3873 Год назад +1

    Hongera sana baba

  • @robertsewe7273
    @robertsewe7273 Год назад +2

    Hongera Kardinali Rugambwa

  • @TheresiaCharles-ys9iy
    @TheresiaCharles-ys9iy Год назад

    Mungu awe pamoja nawe katika utume wakoo hongera Baba Rugabwa

  • @johnrizi5978
    @johnrizi5978 Год назад

    Hongera Rugambwa kwa Kazi hii takatifu.

  • @joshualwelu7302
    @joshualwelu7302 Год назад +1

    Hongera rugambwa

  • @kilianchalle-hj6xn
    @kilianchalle-hj6xn Год назад

    Tumshukuru Mungu Akutie nguvu katika majukumu mapya

  • @joshualwelu7302
    @joshualwelu7302 Год назад +1

    Hongera lungambwa

  • @novatusdonald7406
    @novatusdonald7406 Год назад +1

    Asante

  • @sylvesterkwembe3686
    @sylvesterkwembe3686 Год назад

    Makadrinali watatu Tanzania
    1.Laurean Rugabwa
    2.Pengo
    3.Proteus Rugambwa

  • @shambogokitundu754
    @shambogokitundu754 Год назад +1

    Kadinali huyu ni watatu,si wapili.

  • @gradientlife
    @gradientlife Год назад +2

    Naomba nikurekebishe ndugu muandishi, Tanzania imefikisha Makadinali watatu na sio wawili. 1. Cardinal Laurean Rugambwa (R.I.P) 2. Cardinal Polycarp Pengo 3. Cardinal Protase Rugambwa. Mungu mwema amsaidie katika utume wake mpya. Cardinal Mpya ni mzuri sana upstairs, ana akili sana though. Catholic systems are very smart.

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  Год назад +2

      Tunashukuru sana kwa marekebisho yako, japo tumesema wawili tukimaanisha walio hai, tunafahamu pia Kardinali rugambwa ndiye alikuwa wa kwanza na sasa wote ni watatu, Mungu akubariki

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 Год назад +2

      Ni kweli mfumo wa kikatoliki uko sooo smart...ni taasisi imara zaidi ulimwenguni.

  • @moricerwakatale3201
    @moricerwakatale3201 Год назад

    makadinali wamefika watatu kaka sio wawili kama ulivosema. mkumbuke pia kadinali Raulean Rugambwa kadinali wakwanza mwafrica

  • @anthonywilliam6510
    @anthonywilliam6510 Год назад

    Watatu

  • @luiskilian2182
    @luiskilian2182 Год назад +1

    Sii wa pili ni WA tatu
    1 Kadinali Laurian Rugambwa 1960-1997
    2 Kadinali Policap Pengo 1997-2023
    3 Kadinali Protas Rugambwa 2023

    • @blandinamambo6818
      @blandinamambo6818 Год назад

      Hongera sana Baba kwa uteuzi uliokuangukia kwani ni Mungu amekuteua wewe kuwa kiongozi wa Kanisa let Takatifu " KATOLIKI "MUNGU AWE NAWE KULA MAHALI UTAKAKOSIMAMA. AMINA.

    • @eleutermhumba347
      @eleutermhumba347 Год назад

      Wanamaanisha makadinali 2,waliohai waliopo Tz.Maana hiki cheo hakuna kustaafu

    • @emmanuelburchard3153
      @emmanuelburchard3153 Год назад

      No 2 bado yupo madarakani

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 Год назад

      ​@@emmanuelburchard3153kardinali huwa hastaafu ni kama monsinyori. Kwa hiyo Protasi kuwa kardinali haimaanishi kwamba Polikarpi amestaafu ukardinali

  • @ibrahimmawenya9182
    @ibrahimmawenya9182 Год назад +1

    Namtakia kher na matashi mema

  • @JOSEPHADAUT-ph8op
    @JOSEPHADAUT-ph8op Год назад

    Makadinali ni wa3 na sio 2

  • @revocatussanka7757
    @revocatussanka7757 Год назад +1

    Hongera sana Kardinali Protace Rugambwa .

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Год назад

    Hongera sana, Mwashamu Askofu.

  • @josephinabakhita
    @josephinabakhita Год назад

    Hongera baba Protas Rugambwa