DR KUMBUKA - WANAWAKE MUWE MNAULIZA KABLA YA KUOLEWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 231

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 4 года назад +2

    Sio munapaka uwanja kama mama mwenye nyumba kafwata kodi siku taherehe thalathini 😂😂😂😂😂😂 mambo pambe from faransa 🇨🇵 very good dr kumbuka

  • @maliamlawa9032
    @maliamlawa9032 4 года назад +2

    Kumbuka Hakika wewe Leo umeongea Vema Asante kwa kutufundisha wanawake

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 Год назад

    Mmmmh wakati mwengine utamani kulia haki yani uongea mpaka naona nakufuru mungu,yashatokea nyumbani mambo kama hayo mpaka sai mzee wangu ambae n babangu hana chochote mpaka yuwatia huruma 😢😢😢sa zengine wanaume pia waangalie wanawake wakuowa wengine familia za niza ukorofi na kuleta umasikini nyumbani 😢😢😢.. Asante doctor kumbuka mungu akujalie umri uzidi kutupa maneno mazuri yenye kufundisha

  • @aishahajji9461
    @aishahajji9461 4 года назад +5

    Umenigusa dk ndaniyachangoooo lakn alhamdulillah kwaupande wangu wamelijua Hilo mashallah wako vzr na kk

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 года назад +24

    Doctor kumbuka umeongea point 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 года назад +7

    Kweli kabisa mimi nilimuuliza mumewangu kuusu maisha yake akaniambia yeye ndio tegemeo kwenye family yao basi nilivyoingia nikayapokea ayo yote

  • @mohamedbakarifamau7152
    @mohamedbakarifamau7152 4 года назад +2

    Dr. Umenigusa sana. Hio kitu ilitaka kunitokea. Mimi ni mkenya. Bibi ni mtaliani. Nilimueleza kuhusu life ya kwetu niliopitia. Na nashkuru alinielewa maana alikuwa a naanza nisisaidie family. Alhamdulillah at the end yeye saa hii amewaweka family yangu mbele kuliko Mimi. Anawapenda sana family. True Dr.

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 4 года назад +5

    Pigaa keleeeeee kwa dr kumbuka nakupenda

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 года назад +2

    Nakupeeeeeeeeeeenda dr kumbuka unasema ya kweli na yaliyomo Siku zote

  • @hanclove7631
    @hanclove7631 4 года назад +6

    Dr kumbuka
    Tunaku support from Houston Texas marekani blessed 🙌🏿blessed

  • @eshynassor5845
    @eshynassor5845 4 года назад

    Message sent kaka uko vizuri wanawake wabaya kweli kweli

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 4 года назад +1

    Kweliiiii broooooo nakuamini saaaaaana u unavio semaaa ni kweliiiii kabisa

  • @anethdaiman2089
    @anethdaiman2089 4 года назад +2

    Dr kumbuka nakupenda bure kiukweli unaongea point sana

  • @jazzcellc6563
    @jazzcellc6563 3 года назад

    Doctor kumbuka na kukubali sana kweli ww frigid aligandishi

  • @grace2757
    @grace2757 2 года назад

    Kweli aiseee unaoge kweli kaka barikiwa sana

  • @angelrichard8211
    @angelrichard8211 4 года назад +7

    Hahahaaaa shat kubwa kama mwenyekit wa kitongoji

  • @pilihamis9657
    @pilihamis9657 4 года назад +2

    Hahahaha doctor bn siooo senti mirror ......inaitwaa sight mirror 😂 ahsanteee kwa elim dr

  • @issaabdallah2417
    @issaabdallah2417 3 года назад

    Ndio maisha kombolele yaan hata mm nasomesha mdogo wangu kwasasa yupo chuo najua atatufaa baade yaan ataficha Abu asikwambie mtu kwenye familia msomi asikose

  • @salomeleonard1192
    @salomeleonard1192 2 года назад

    Upo vizuri kumbuka unanikosha sana

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 4 года назад +8

    Naomba mnisameh kwa nitakachokiandika dada SOPHIA punguza mapambo mpenzi we ni mrembo bila make up ♥️

  • @mgesialex5510
    @mgesialex5510 2 года назад

    Nakupenda kumbuka 💕💕

  • @salomemajaliwa3990
    @salomemajaliwa3990 4 года назад +1

    Hata wanaume wapo wasiouliza kaka Kumbuka

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 года назад +2

    Dot.kumbuk masha Allah umeongea kweli

  • @sarahkitindi3420
    @sarahkitindi3420 3 года назад +1

    Kaka leo umeongea 😍😍😍

  • @julianamwingila3318
    @julianamwingila3318 4 года назад +1

    Asante ujumbe umefika maana kunawatu apana

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 4 года назад +7

    Ukweli mtupu yani sisi wanawake niwabaya sana

  • @maamuu7977
    @maamuu7977 4 года назад +3

    Hapo sasa swadakta maneno yako Dr 🇰🇪🇰🇪

  • @sembamzava8713
    @sembamzava8713 3 года назад

    Asantee kwa somo

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 года назад

    Hatariiii fire

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад

    Kumbuka haswaaaaa wakomeshe

  • @ninagodfrey6228
    @ninagodfrey6228 4 года назад +1

    Nlikumic kwa siku mojaa🙌🙌

  • @bintmaryakabintmaryaka9100
    @bintmaryakabintmaryaka9100 4 года назад +4

    Piga keleleee kwa dokt kumbuka wKeeee

  • @neemathomas2008
    @neemathomas2008 4 года назад

    Asante kwa somo!!!

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 года назад +1

    uwiiii jaman kumbuk mbon wanichekesha sn 😁😁

  • @savelinacostantine6711
    @savelinacostantine6711 4 года назад +1

    Unamafunzo mazuri sana hongera sana

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 4 года назад +7

    Doctor, I wish u were a Ugandan............

  • @amissahassan495
    @amissahassan495 4 года назад +1

    Kumbuka wake mie💕👌😘 4Life💕👌

  • @casternorbert4555
    @casternorbert4555 4 года назад +3

    eti pua kamaaa...??😂😂😂aah i can't have enough of Uhondo....kifurutobe uso wa kobe😂😂😂tenda ya kupiga makonzi watoto😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 4 года назад

    Dr ni nomaa unapga ikulu kakaa

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 года назад +1

    Kweli sana dahh ww kumbuka noma

  • @aishahamissi3775
    @aishahamissi3775 4 года назад

    Nakukubali kakayangu
    Yani ukiongea naskia raha😀😀😀

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 года назад

    Mhm simtaki mume kama kumbuka.hamezi mate🤣🙌ila da sophy unajipenda mashalaah.napenda unavojisitiri.hata dina nampenda sana🥰

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 4 года назад +2

    Jogoo wikaaaa

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 года назад

    Pole Dr

  • @edachengula7134
    @edachengula7134 3 года назад

    Kweli kabisaaaa upo sahihi

  • @luulurashid990
    @luulurashid990 4 года назад +7

    Kweli lakini it's soooo sad
    I have those examples in my family ukoo. Yaani kinachoniuzi zaidi mijanamke mingine imetokea kwenye maisha ya shida, wanakuja kwa mwanaume wanakaribishwa vizuri baada ya muda kidogo wanaaza ubaya
    Kuwatenganisha ndugu ili hela zisiende upande wa mume. Washenzi kweli

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 года назад +2

    Angesikia ii mtu mmoja angejifunza!!

  • @luulurashid990
    @luulurashid990 4 года назад +1

    Wanaume pia wanahiyo tabia but yes wanawake zaidi.

    • @nubianqueenn830
      @nubianqueenn830 4 года назад

      Kumbuka zungumuza polepole usije ukajinyeya kwakujikamuwa

    • @luulurashid990
      @luulurashid990 4 года назад +1

      Unaniambia mimi ? Nisijinyee au sumbuka ? Au nani? Maana sikuelewi.
      Amesema mambo yaliyo nigusa saana ndio maana nimeongea na uchingu, sasa hayo yanakutokea wapi?. Kuna msemo una sema tuwe makini na mdomo wetu tunavyo mjibu mtu au kuongea tu, kwasababu midomo yetu ndio inayotupima thamani yetu binafsi kwenye jamii.
      Sawa hao nimewaita washenzi kwani hakuna lingine na wameikosea familia iliyo watunza. Sasa wewe nimekukosea nini? Mpaka unitukane hivyo?
      Tuwe makini hata kama hstujuani lakini advise ndio hiyo.

  • @anisabasheikh4747
    @anisabasheikh4747 4 года назад +2

    Awike sanaa Doha Qatar hoeee Dr kumbuka wape vidonge vyaoo wenye kuja na meno ya juu km sijui nn...

  • @zainababdulrahman9246
    @zainababdulrahman9246 4 года назад

    Kweli very transparent

  • @norahmike4032
    @norahmike4032 4 года назад +1

    Kumbuka huwa najiuliza ungekuwa shemeji yangu ningeweza kustahmili kweli🤔🤔, baba umejaaliwa sio kwa kichambo hichoo😂😂😂😂

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 года назад +4

    Piga makofi kwakumbukaakeeeeeeeeee unawafikisha kabisa.

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 4 года назад +1

    Kumbuka akeee oyoooooo!!

  • @maimunafundi3544
    @maimunafundi3544 3 года назад

    Kumbuka ndio maana magari yanayobeba maharusi yanapiga honi kuashiria hatari imeingia. Ila tisiwe viviruge

  • @aigeniaphilos8509
    @aigeniaphilos8509 4 года назад

    Dr kumbuka yapo hayo ukweli kabxa hata ujakosea tunaishi nao kwenye jmn

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 umepaka wanja km mwenye nyumba kaja kudai pesa ya kodi 🤣🤣🤣🤣🙌

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 года назад +2

    Santeeeeeeeeeeeee big up

  • @emiliankomba8550
    @emiliankomba8550 4 года назад

    Ahaaaaa ahaaa uso kma jukwaa la kampeni.

  • @hopejohn6334
    @hopejohn6334 4 года назад

    Kumbuka unaongea point xna ndomana sijawah kuacha kukupenda

  • @kubrymtutala1736
    @kubrymtutala1736 4 года назад +1

    Wa kwanza😊😊😊

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 3 года назад

    Swadakta Kumbuka umeongea au mwanao anaoa anatekwa ukweni . Wanamfanya mwanao chuma ulete

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 4 года назад +1

    Hahaha dr kumbuka nimependa sana iyo

  • @thamrakassim9861
    @thamrakassim9861 4 года назад +2

    Mnamsema mwenzenuuuuuu😂😂😂😂

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 года назад +1

    Niliku miss ww Dr kumbuka, nilikuwa napekuwa iyi channel kilasiku nakutana na mapishitu.afazali nakupata unanifikisha wewe kumbuka 😁😁😁😁😁

  • @hafsajuma4507
    @hafsajuma4507 4 года назад

    Kweli kabisa mwambie aooooooo mama hana mfanoweeeeee

  • @estersaul8180
    @estersaul8180 4 года назад

    Kumbukas.....

  • @fatoomaaziz2549
    @fatoomaaziz2549 4 года назад

    Motooo pambee

  • @husnakamis1860
    @husnakamis1860 4 года назад +1

    Mbavuzangu

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 4 года назад

    Haya ni kweli kabisa

  • @shuubinty1447
    @shuubinty1447 4 года назад +1

    😂😂😂😂Asante Dr kumbuka

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 4 года назад +1

    Kuku kishingo😄pole kwa mwanao

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 4 года назад +6

    Uso kama nn jukwaa la kampeni😂😂😂😂lakini dr kumbuka unamadongo

    • @mr.tonyjr
      @mr.tonyjr 3 года назад

      Hahahaha jaman kumbuka huyu 😂😂😂

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 4 года назад

    Iyo ni kweli kabisa

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 года назад

    Asante baba

  • @swabrisoud7307
    @swabrisoud7307 4 года назад

    Loo kweli kabisa umesema kweli wako wengi Sana tumejionea

  • @mariamsospeter8622
    @mariamsospeter8622 4 года назад

    Kweli kabisaaa

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 4 года назад

    Haswaaa hujakosea wallah tuambie mana hatari

  • @rebeccarebecca1467
    @rebeccarebecca1467 3 года назад

    Atali sanaa 😂😂😂🤣🤣🤣🔥🔥

  • @frolajames5052
    @frolajames5052 4 года назад +1

    Ata wanaume wapo wenye choyo

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba4204 3 года назад

    Kweli kaka

  • @zuwenaabrahman9913
    @zuwenaabrahman9913 4 года назад

    umenishekesha wambie lakini yapo sawa sikatai ila kuna wengine wanakera

  • @chawahirelmymashlalltaabar4949
    @chawahirelmymashlalltaabar4949 4 года назад

    Kwa kweli jogoo linanikosha

  • @asia1124
    @asia1124 4 года назад

    Asante mjumbe

  • @michaell8566
    @michaell8566 4 года назад +1

    Mbona hamkuskika juzi na jana jaman ..tulimic jogoo

  • @khayratchigalika3029
    @khayratchigalika3029 3 года назад

    yamenikuta kaka

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 года назад

    Hivi Bongo kuna mwenye anashamba kama kumbuka😂😂😂

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 4 года назад

    Swadakta dokta

  • @farajalaizer4669
    @farajalaizer4669 4 года назад

    Kaka kumbuka una maneno😄

  • @farajajuddy3871
    @farajajuddy3871 4 года назад

    Yaani sauti kama haitoshi vileeeee!!jamani umesema kweli mpk raha

  • @mwajumarashidi2983
    @mwajumarashidi2983 4 года назад

    Point

  • @sarahmwampulo9154
    @sarahmwampulo9154 3 года назад

    Saaaaaaafiiii

  • @prisikachande
    @prisikachande Год назад

    kweli nimejifunza kitu

  • @jamilamfumike7445
    @jamilamfumike7445 4 года назад +1

    Yan apa navoongea nipo njiani kutafuta roshen ya kutoa sugu za vidole 😂 😂 😂 😂

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 4 года назад +6

    Message sent 😂😂..

  • @rukiahalid5807
    @rukiahalid5807 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣
    Mdomo wa chini unacheza kama kuku wa unguja🤣🤣🤣

    • @mr.tonyjr
      @mr.tonyjr 3 года назад

      Hahahahha jaman et pepepep ka kungulu wa unguja

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣kidunyuuuu... Mungu akulinde wewe mkaka wangu daah

  • @shakilaabdallaherio5617
    @shakilaabdallaherio5617 4 года назад

    Maneno kuntuu doctor kumbuka

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 4 года назад

    kimbuka kumbuka umu umu dadek yaan unanikusha atari

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 4 года назад +1

    We mwenye ujumbe wako hebu njoo huku usikie

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 4 года назад

    Ya kweli yapo hayo