Docta kumbuka umeongea ukweli mimi nilishawai kufanya kazi ya baa,wale.wadangaji wanapenda sana kuwasumbua waudumu akiona mteja kanunua bia nyingi utasikia nenda kwamwambie aninunulie bia au kamwambie nije nikae,kwakweli baadhi ya wanawake wajidhalilisha sana.
Tuhurumie kumbuka mbavu zetu nawaonea huruma hapo studio kwa maumivu ya mbavu zao zitaasirika kumbuka kumbuka utawalaza wenzio chumba cha mahutut upate kes ndohanza unanza kaz
Jamani ombi rasmi naomba muongeze muda au muweke kipindi live yaani Dr kumbuka amezidisha utamu wa uhondo yaani jana nimesubiri kuiona timu nzima ya uhondo leo mmeniwekea dakika tisa tu jamani. Nipo Dubai lakini nahakikisha sikosi uhondo
😀😃😄😀hii ndio chemistry niliyokua naitaka .Asante sis Dinna kwa kumleta uyu jamaa yaani tishu zimeisha kwa kucheka
Kumbukaaaah😘😘❤wanguuuu jamani nalia nabandooo languuu maana sitakiii kumkosaaah kumbukaaaa yaani nihondo kuna dina € Sophia* swebeehhh👌✌
Docta kumbuka umeongea ukweli mimi nilishawai kufanya kazi ya baa,wale.wadangaji wanapenda sana kuwasumbua waudumu akiona mteja kanunua bia nyingi utasikia nenda kwamwambie aninunulie bia au kamwambie nije nikae,kwakweli baadhi ya wanawake wajidhalilisha sana.
I love you kumbuka yaan naweza kumskiliza siku nzima god bless you 🤧🙏 I pray for you
Hhhhhgg kumbuka nakupenda sanaaa
Nataka nikuskiye kilasaa
👌
Kabisa 🤣🤣🤣😂🤣🤣
Natazama kutoka kenya, Dr kumbuka uko👌👌penda bure
Hapa mmpeta mtangazaji aisee Dr. Kumbuka anaongea sana. Dr. yuko autonomous sijui anayatoa maneno wapi, anakipaji. EFM naona itachangamka sana sana
Yaani adi Raha
Doctor kumbuka umeo ngea point sana
Yani rah tupu
Nywele tatu kama mchawi wa mkoa 😂😂😂🙌 Dr kumbuka we kiboko
Halooooo haloooo halooooo lol sofia mtake radhi Dr kumbuka mn nimechekaje😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😀😀😀😀
Yan Nimecheka kweli
Eti wanajipitisha kama wanafistulaa hahahaaa jmn dr
Nywere tatu kama mwali wa mkoa aliye sikia hapo jaman😂😂😂😂😂😂😂
Bado natafakari mwali wa mkoa anakuwaje,hahaaaa
Yan hamjakosea kumleta kumbuka... he z my favorite
Dr kumbuka wewe ndio STAR!! , SIO baba levo mitusi mitupuu
Kabisa 👌
Piga kelee kwa kumbuka wakeeee weeeeeeeee
Hhhh
😅😅😅😅
🔥🔥nawapenda wote muko vizuri san
Hahahahaha maji maji maiiiiiiii yamerejeaaaaaaa kumbukua dooooh sio poa
🤣🤣🤣🤣 daah huyoo mwamba atar daaah kumbuka wehatar
Dkt Kumbuka unajua kuniongezea siku za kuishi 😂😂😂😂😂 Eti Macho yamebaki madogo kama Nukta ya barua ya Posa 😂😂🤩
😂😂😂😂
Dahhh 😂😂😂😂Wallah unanichekesha but unaongea ukweli
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Haaaa we kaka unanivunja mbavu jamaniii
Hahahahaha! Dah anachooni kila mara anajipitisha kama ana Vistula au UTI lol! Umenishinda tabia!
Kumbuka wangu mieeeeeee😀😀😀😀😀😀unaniuwa nacheko
Leo nimecheka mno dr kumbuka 🤣🤣
Atari jamani
"Mabutu kama mchawi karaba"hahahaha lol asante Dr
Kumbuka wewe hatareeeeeeeee
Nimekuja apa juu ya kumbuka😂😂😂kumbe uyo ndo Mutiga nilikuwa simujuwi
nampenda docta kumbuka😂😆😃
EFM MKOJUUU💃💃💃 YANI KUMBUKA ANANOGESHA SANA, BORA MLIVYOMCHUKUWA🙏🙏🙏🙏
wadangaji bora watafute kazi za kufanya maana kudanga hakuna faida
Hahaaa
Poor Sophia kashambuliwa mpaka basi
Nikweli lakini ilinipata hiyo Mimi mwenyewe hapa Mimi yalinikuta hayo kweli wasichani tujichunge
Pole sanaaa
Huyu jamaa anaongea sana,ila nimsikilizaji mzuri pia
Hahahaaaaa aaaiii
Huyu anakipaji chakuzaliwa kwahiyo huwezi mkumporomosha hata kidogo huyu yupo juu
Sana unachosema
Duuuh! Shetani wa KIBUKI ndo yupi huyo?!😆
Dr kumbuka we kiboko nimekuvulia hata lokole haoni ndani, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti utafikiri anaugonjwa wa festura 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msalie mtume dr.
🤣 🤣 🤣 🤣 Yann lzm utacheka tu
Dr Kumbukaa u gonna kill me oooh
😂😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄Kumbuka I love u💕
Ila Dr kumbuka anajuwa nongesha iki kipindi 😂😂😂😂😂
Nmechekam🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpka machozi kumbuk mweny kumbuka zake mjin😘😘😘😘😘🤣🤣
Nyie huyu kaka namkubali sana pia anafundisha anavyoongea tena mama angu anapenda sana Dr kumbuka
Tamaa mbaya sana kazi ya kutaka vya bure!
waambie ao wanaopenda vya bure na pombe za kumwaga mwaga wanajifanya mwili wao ndio biashara zao end wanadhalilika kwa tamaa mbaya safi docta
Mtaniua kwa kucheka 😁😁😂🤣
Atari mbavu atuna tena
EFM safariihii mumepata mtangazaji mashuhuri piga kelele kwa Doctor K wakee
Kipaji cha Hali ya Juu saaana.. Hongera.. na ubarikiwe zaid ya hapo.
Allah akusimamie dr kumbuka
Ngoja nitafute zangu 🤣🤣🤣🤣🤣
Alichelewa wapi kuja hapa EFM jamani uhondo imezodi kunoga
Minimesema kumbuka akiwa hapo itakua POA pigakazi usemayo nikweli kumbuka
Nywele zimebaki 3 Tena 😂😂😂😂
💪💪 Kumbka wee
Hahahaahaahah kazi kwelikweliii
Kweli kbxa watu wanazalilika kwa njia hizo
😂😂😂😂😂aaah santha dr kumbuka
Ha ha kuna dada mtaani alishafanyiwaga ivo aise walimtupa kimara na alikuwa ana vitu vya thamani boda boda imemrudisha home kama kawewuka
M mama mweny nyumb yang alifanyiw ivyo simu vit vy dhamn vyot alichuliw
Kumbuka mungu akuweke hai sana kila nikiskiliza kipindi chako nacheka sana
Umesema ukweli kabisa Dr kumbuka wanawake wamekuwa kama nyanya masala
Raisi wa wanaume jmn
Kweli kbsa
Hahaahhahahaha et umeanguka miguu juu Kama mende kachapwa na fagio la choon uwii kumbuka mbavu zangu mie
😁😁😁😁😁😁
Yani kumbuka majaaliwa unanikoshaa 🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaaaaa jaman hakuna kama kumbuka
Jamani sofi weeeweee love
Duuh! Dr kumbuka hatari Sana 😃😃😃
Nakufollow kisa Dr Kumbuka 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 Danga nikudangie hahahahahahahahahaha
😁😁😁😁😁😁😁😁kumbuka jmn nakufa mieee
Sanaaaa wengine wanaume wanalelewa
Ntakua nacheka tu jamani maana sio kwa kumbuka hahahahahaa
YANI MIMI NIKIWAGA NA MAWAZOYANGU NIKIMSIKILIZA KUMBUKA MAWAZO YOTE YANAISHA WALAH😀😀😀😆😆
Nakupenda Sana. Kaka
Kumbukaunanikosha😅😅😅😅
Huo Huo wimbo kaimba nani jamani nimeupenda sana
😂😂😂😂ananichekeshaga USEBE🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbuka wee!!
Dr kumbuka atari nmecheka mimi
Apoo chaaachaa 😂😂😂et fistula😂
Hapa kila siku kweny ledio sibanduko kwa hyu jamaaa
Yaan ukiwa na mawazo yanapungua
Yaani kumbuka daah unanimaliza mbavu zangu 🤣jamanii
MUNGU akulinde nafurah sana jamanii
Aloisikia macho madogo km nukta kwenye barua ya uchumba!😆
😂😂😂😂😂😂😂
Www kiboko bwana😂😂😂😂
Hahaha dk kumbuka ,,co kwamichilizi iyo Kama samak was ifakara tenaaaaaaa
😀😀
😂😂😂😂
😀😀😀😀 kumbuka weweee piga keleleee
Tuhurumie kumbuka mbavu zetu nawaonea huruma hapo studio kwa maumivu ya mbavu zao zitaasirika kumbuka kumbuka utawalaza wenzio chumba cha mahutut upate kes ndohanza unanza kaz
🤣🤣🤣 do. Kumbuka unanikosha sana hata kama nimekasirika huwa nacheka
Ahsante sana kumbuka funzo zuri
Love you Dr Kumbka
Jamani ombi rasmi naomba muongeze muda au muweke kipindi live yaani Dr kumbuka amezidisha utamu wa uhondo yaani jana nimesubiri kuiona timu nzima ya uhondo leo mmeniwekea dakika tisa tu jamani. Nipo Dubai lakini nahakikisha sikosi uhondo
Mashallah Mashallah huyo ndio Kumbuka Maneno yako ya kweli
Daaaa Mimi kazi yangu kucheka tu
Raha sana
Asanteeee kumbukaa
Kumbuka😂😂😂😂😂😂😂
Kumbukaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu hazina usalama tena
Kumbuka unazingua sana ndugu yangu haaaaa
Kabisa docta kumbuka
Nafurahia sana vipindi vyenu e f
Ila kweli jaman🤣🤣🤣
Hiki ni kipaji!
Hatar jamn
Haahaa kama anashettan wa kibuki 😂😂😂
😂😂😂macho madogo kama nukta ya barua za uchumba
Kwanza siku izi hakuna mwanaume unae mtoa bara babaran ukadanga akupe
😂😂😂eti kelele weee
😂😂😁😁😂😂😂iyo keleleee weeee mie hoi
Kweli kabisa anayoongea kumbuka. Kuna Kaka flani. Ivi. Ana makengeza ndo kazi yake. Kubwaaa
Uwiiiiii😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣