VVC Tanzania Ft John Kavishe - Bwana Wa Mabwana (Live Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 96

  • @AlimasiRajabu-m2l
    @AlimasiRajabu-m2l 2 месяца назад +30

    Niko mtu wa nne nipen like zangu ...... Glory to God

  • @meshakimsacky4746
    @meshakimsacky4746 2 месяца назад +11

    Hivi VVC, kwa namna gani waliweza kuwapata hawa masololist wote kwenye stage moja. Hiii timu ni kubwa sanaa. Heshima sana

  • @Martinkea-vz7yx
    @Martinkea-vz7yx 2 месяца назад +5

    Aiiiiiiiiiii bwana Andrew soliste nakukubali sna ndoto yangu kama guitarist ni sku moja kukutana nawewe na kufanya kazi na wewe na naamini ipo siku,,keep up the Gud work ma brother🙏🙏🙏🎸

  • @NoelGodfrey786
    @NoelGodfrey786 2 месяца назад +3

    John kavishe , Paul clement, zoravo , nyie jamaa hapana , mna nibariki sana ,mungu awainue zaidiii

  • @LuciaTimothy
    @LuciaTimothy 2 месяца назад +3

    Ukimwomba mkate hawezi kupa jiwe❤

  • @hakikakassa8410
    @hakikakassa8410 2 месяца назад +4

    Wimbo mzuri sana, neema ya Mungu izidi kuwa juu yenu

  • @PASCHALMAGANGA-t5u
    @PASCHALMAGANGA-t5u Месяц назад +2

    Huu wimbo mmetisha sanaaaa hongereni kwenu VVC ❤❤❤❤❤❤

  • @MagrethWilson-r3m
    @MagrethWilson-r3m Месяц назад +2

    Mungu akupaishe viwango vya juuu Mtumishi @Peter Mshana 💪💪💪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🔥🔥🎊

  • @vicentpatrick558
    @vicentpatrick558 2 месяца назад +4

    Nyie watu aseeh 🔥🔥🔥🙌🙌

  • @nakalisibaraka3943
    @nakalisibaraka3943 2 месяца назад +2

    Hongereni sana, najua kuna namna Bwana atafanya na kwangu

  • @_mulayi5966
    @_mulayi5966 2 месяца назад +2

    Bwana wa mabwana kweli. Apewe sifa 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RuthMbaya-c7r
    @RuthMbaya-c7r 2 месяца назад +2

    Ata tenda kwa wakati wake❤

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 2 месяца назад +2

    Jaman ila vvc mpo juu sana.mungu awabariki kwa kazi nzuri.kwa kueneza injiri ya mungu

  • @EmmanuelMswaga
    @EmmanuelMswaga 2 месяца назад +8

    like zangu please mtu wa 9 hapa

  • @EdaZebedayo
    @EdaZebedayo 2 месяца назад +2

    Mungu amewahifadhi kwa kazi yake

  • @OsmanMoshi
    @OsmanMoshi 2 месяца назад +2

    Wimbo mzuri Sana Mbarikiwe watumishi

  • @faithrehema4767
    @faithrehema4767 2 месяца назад +1

    From kenya 🇰🇪 mungu anatenda❤❤❤❤❤

  • @paulomlewa
    @paulomlewa 2 месяца назад +1

    Na haya ni yangu ya Kwamba Mungu anatenda,,hakuna jambo Mungu anashindwa.Mmebarikiwa watumishi wa Bwana,,,Kavishe highest level broo.

  • @patiencedali2721
    @patiencedali2721 10 дней назад

    Wow..this is MINISTRATION indeed!!!😢😢thank you JesuS!

  • @BORNOFGOD001
    @BORNOFGOD001 2 месяца назад +1

    Muziki safi sana hapa, Mungu atukuzwe.

  • @QeasdDz
    @QeasdDz 2 месяца назад +2

    Vvc mumenifurahisha sana

  • @MinisterChipasha
    @MinisterChipasha 2 месяца назад +1

    🔥🔥🕺🕺
    God of gods
    If you ask him for bread ,he can't give you a stone

  • @EmmanuelMukubwa
    @EmmanuelMukubwa 2 месяца назад +2

    Mungu wa miungu 🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 2 месяца назад +17

    Sema huu mwezi wa moto saana maana kila msanii/gospel band ime release nyimbo sasa ni full competition...hakuna anae mwachia nafasi mwenzake arudishe angalau costs za recording..si mchezo.. this probably is a cut-throat competition in the gospel industry kwa Tanzania yetu. Si mchezo. But ni nzuri pia maana now even gospel music ni career ambayo inaweza endesha maisha ya mtu na sio huduma tu.
    But all in all kazi nzuri na Mungu lazima atukuzwe mpaka Shetani akimbie bwana.
    Tumsifu Yesu Kristo.

  • @SadalaBeatz
    @SadalaBeatz 2 месяца назад +1

    Kwenye hii nyimbo yenye mwendo hv sijapenda hiyo snare

  • @fridahwairimu8570
    @fridahwairimu8570 2 месяца назад +1

    Yeye anatenda❤🔥🔥🇰🇪

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki 2 месяца назад +1

    Mara hii mwendo ni wa sebene tuu,,,naimagine mbinguni itakavyokua

  • @AgnesMrema-s2u
    @AgnesMrema-s2u Месяц назад

    Daa!!!!! Mnatisha sn kaka na barikiwa hatanikiwa bafuni

  • @samueltsumasongs4236
    @samueltsumasongs4236 2 месяца назад +1

    Hakuna jambo gumu kwa Mungu.

  • @CharlesPauloJacinto
    @CharlesPauloJacinto 2 месяца назад

    Mungu nakuomba umlinde dada yangu bella astawi nakunawili ainuke nakuangaza milele kwajina la yesu cristo bwana alie haii

  • @JuliusKwaangw
    @JuliusKwaangw 2 месяца назад +4

    Dah mauwa Yao jmn Hawa watu nawakuhali sana cjui nikajiunge nao

  • @silasnzai7638
    @silasnzai7638 2 месяца назад

    Seben is taking over... sebene is medicine
    Sebene heals...
    Looking forward to dancing it with King David in heaven,..this is a big tune 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ministersilasjavan985
    @ministersilasjavan985 2 месяца назад

    Mungu awabariki Sana. Kazi nzuri wapendwa🇰🇪🇰🇪

  • @samuelcristianodjoligimi
    @samuelcristianodjoligimi Месяц назад +2

    Não estou entender mais gostando da música

  • @Oman-oi9dt
    @Oman-oi9dt 2 месяца назад

    Nyiiiiiiieeee hapooo niwapiiiiiii vvc hoyeeeeee

  • @jescagazuko
    @jescagazuko 2 месяца назад +1

    Huu wimbo ni hatr sana🥰🥰🥰

  • @EstherMongare-re7dj
    @EstherMongare-re7dj 2 месяца назад +1

    Hallelujah Mungu anatenda🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🙏🙏🙏

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 2 месяца назад

    Mbarikiwe Kwa Wimbo Mzurii 🙏🙏👏👏

  • @CharlesPauloJacinto
    @CharlesPauloJacinto 2 месяца назад

    Usiogope amini to upako una ponya kwajina la yesu bwana masia

  • @allenmtei9096
    @allenmtei9096 2 месяца назад

    The intro🔥🔥

  • @SophiaChonya-d1x
    @SophiaChonya-d1x Месяц назад

    Congratulations to you all may god bless you all ❤

  • @happymaneno135
    @happymaneno135 2 месяца назад

    Weiweeeeeeee🤝🤝

  • @LIBNAHCHRISTIANCENTREARUDECO
    @LIBNAHCHRISTIANCENTREARUDECO 2 месяца назад

    Bwana wa Mabwana katika mwendo, iyeeeee

  • @ainaiyambo8449
    @ainaiyambo8449 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤ seben makes make me 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @CharlesPauloJacinto
    @CharlesPauloJacinto 2 месяца назад

    Naamini miujiza kwajina la yesu cristo bwana anaponya

  • @vicborntwize5479
    @vicborntwize5479 Месяц назад

    Your are going far

  • @CharlesPauloJacinto
    @CharlesPauloJacinto 2 месяца назад

    Mungu akubaliki sana dada bella

  • @anisetbingwatz8926
    @anisetbingwatz8926 2 месяца назад

    Mungu awabarika sanaa aisee kazi nzuri

  • @GwakisaMwaisanga-th7uz
    @GwakisaMwaisanga-th7uz 2 месяца назад

    Mm nawakubali mnoo nyie watu

  • @AnthonyKazikold
    @AnthonyKazikold 2 месяца назад

    Best performance

  • @hoglahbarasa
    @hoglahbarasa 2 месяца назад

    Kali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacksonmwamboneke8656
    @jacksonmwamboneke8656 2 месяца назад

    Official sichelela❤

  • @lizzybethmayengoh9624
    @lizzybethmayengoh9624 2 месяца назад

    Mungu awabariki wimbo mzuri sana

  • @KennedyKyalo-e7q
    @KennedyKyalo-e7q 2 месяца назад

    Hallelujah 🙏

  • @GwakisaMwaisanga-th7uz
    @GwakisaMwaisanga-th7uz 2 месяца назад

    Kavishe ubarikiwe

  • @CharlesiMangala
    @CharlesiMangala 2 месяца назад

    ❤❤❤ good God is able

  • @giftslique959
    @giftslique959 5 дней назад

    2025 are you here🔥🔥🔥🙌

  • @ashelgabriel1696
    @ashelgabriel1696 2 месяца назад

    Yesu ametenda

  • @AidanMusho-c7h
    @AidanMusho-c7h 2 месяца назад

    Wao wao 👏

  • @AswileMwasalemba
    @AswileMwasalemba 2 месяца назад

    Hakika mungu anatenda hata tusiyo yaweza

  • @gloirekiza5276
    @gloirekiza5276 Месяц назад +1

    Amen 🙏

  • @mchalokasasa9034
    @mchalokasasa9034 2 месяца назад

    BWANA wa mabwana🔥🔥🔥

  • @dantestomper
    @dantestomper 2 месяца назад

    Andrew X Benjamin 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @ContemporaryChristianContentt
    @ContemporaryChristianContentt 2 месяца назад

    Powerful ❤🎉

  • @lachelkasambaganya6273
    @lachelkasambaganya6273 2 месяца назад

    Bonge la song😊

  • @jesusislord8560
    @jesusislord8560 2 месяца назад

    Long wait is over🎉

  • @MajoroJohua
    @MajoroJohua 2 месяца назад

    Wimbo mzuri sana

  • @happykyando6418
    @happykyando6418 10 часов назад

    So fire

  • @SophiaChonya-d1x
    @SophiaChonya-d1x Месяц назад

    Ukimwomba samaki hawezi kukupa nyoka

  • @KabiduChihyoka
    @KabiduChihyoka 26 дней назад

    I like it

  • @JeremyBasua
    @JeremyBasua 2 месяца назад

    Batter muongo ind bass hawafiki kabisa

  • @doriceWilliam-yz2jj
    @doriceWilliam-yz2jj 2 месяца назад

    Hongereni

  • @nakalisibaraka3943
    @nakalisibaraka3943 2 месяца назад

    Aiseee❤

  • @nakalisibaraka3943
    @nakalisibaraka3943 2 месяца назад

    Uwiiiii

  • @NeoMogwera-ck7fx
    @NeoMogwera-ck7fx 19 дней назад

    Can i please have the lyrics please

  • @juliustopaz7002
    @juliustopaz7002 2 месяца назад

    yo

  • @davidkomba9781
    @davidkomba9781 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dinahwaweru3183
    @dinahwaweru3183 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @comfortpiter
    @comfortpiter Месяц назад

    ❤❤

  • @TELEZIAMWASHIUYA
    @TELEZIAMWASHIUYA Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @SalomeAlfred-n5o
    @SalomeAlfred-n5o 2 месяца назад

    🙌🙌

  • @harrietgloria8792
    @harrietgloria8792 2 месяца назад

    What is the name of the solo guitarist in this song?

    • @NoelGodfrey786
      @NoelGodfrey786 2 месяца назад

      Anaitwa Endruuu ana balaaa uyoo aaaah na kakacha kake ka tz hajawahi kaacha

  • @Regnard999
    @Regnard999 2 месяца назад

    ❤❤❤🔥🔥🔥

  • @lodrickcharles2456
    @lodrickcharles2456 2 месяца назад

    👏👏👏🙏🙏🙏🙏

  • @Movie_town-u3d
    @Movie_town-u3d 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥