Essence Of Worship - Sitaona Haya ( Official Live Music Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 окт 2023
  • #essenceofworship #myworship #livemusic
    Warumi 1:16
    Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia. For I am not ashamed of the gospel of Christ: for it is the power of God unto salvation to every one that believeth; to the Jew first, and also to the Greek.
    Credits
    Mixing and Mastering @SamuelMboya @choosenRecords
    Video Director and Editor @amigojohnson6201 Amijoji Company LTD
    Venue @Thesuperdometz
    Executive producer @essenceofworshipministries
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 472

  • @PraiseGodall
    @PraiseGodall 7 месяцев назад +109

    I was born in a Muslim family ...but the love that I have in my heart for Jesus Christ is huge ..I can proudly say that I am a Christian now and GOD has shown that he loves me too... God bless you! Have a blessed day!

    • @ianwhite1604
      @ianwhite1604 7 месяцев назад +2

      wow,,,glory to God

    • @lwimikomwakibete6693
      @lwimikomwakibete6693 7 месяцев назад +1

      Blessed more dear.

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall 7 месяцев назад

      Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you very much. Wishing you health, luck and happiness, God bless you 🙏
      @@lwimikomwakibete6693

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall 7 месяцев назад

      Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you very much. Wishing you health, luck and happiness, God bless you 🙏
      @@ianwhite1604

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall 7 месяцев назад

      Amen 🙏 God bless you! Have a blessed day! Thank you very much! 👍🏽🙋🏾‍♀💯✌🏾💓💓💓
      @@lwimikomwakibete6693

  • @jamesmelack9634
    @jamesmelack9634 6 месяцев назад +83

    Gwamaka nakuombea maisha marefu sana bado dunia yote inahitaji huduma ya team yako huu wimbo i can't remember how times nimeurudia rudia ,na mwimbishaji aliutendea haki kwakwel nimeamini mlimwomba Mungu NIMEBADILISHWA😢

    • @TuseNtekigwa-dx3xh
      @TuseNtekigwa-dx3xh 6 месяцев назад +1

      Dah ..huu wimbo kila ninapousikiliza Kuna namna moyo wangu unakuwa..barikiwa gwama na team yako🙏🙏🤭

    • @pastorbarakangata606
      @pastorbarakangata606 5 месяцев назад +1

      barikiwa sana katika jina la yesu

    • @neemampamba1578
      @neemampamba1578 3 месяца назад

      Eeeeh Yesu !! U mali yangu

    • @user-em4vy4id2m
      @user-em4vy4id2m 2 месяца назад

      ❤nasema tena natena nakupenda umali yangu

  • @isackmashishanga.6067
    @isackmashishanga.6067 7 месяцев назад +9

    need likes from Tanzanians here🇹🇿🇹🇿🇹🇿 the one blessed 😇

  • @saudamwakyembe6498
    @saudamwakyembe6498 5 дней назад

    Nimependezwa na huu wimbo umenigusa

  • @user-ph6ht4cy6n
    @user-ph6ht4cy6n 6 месяцев назад +23

    Stanley Desmond from Nairobi Kenya any one listening to this song i pray that God may give you strength to spread the gospel ❤❤❤

  • @juliasgidion
    @juliasgidion 5 месяцев назад +28

    Tanzania imependelewa sana na kuwa na watumishi ambao MUNGU anawatumia tuzidi kuwaombea na kuiombea nchi Yetu Tanzania hongera sana Brother Gwamaka and Team 🙏🙏

  • @witnessjuma9157
    @witnessjuma9157 7 месяцев назад +8

    South Africans lets gather here🎉🎉❤❤

  • @boazdanken
    @boazdanken 7 месяцев назад +41

    Sitaona Haya Kukusifu Mungu wangu God Bless you Essence team

  • @bahatisanga2186
    @bahatisanga2186 Месяц назад +5

    Eeeh YESU YESU YESU NINI NI NANI BASI NIACHE KUKUPENDA. AFYA,KIBALI, AMANI UMENIPA BURE HUJANIPIMIA MUNGU MIMI NI NANI YESU YESU UUUUUUUMALI YANGU😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Faithinme90
    @Faithinme90 7 месяцев назад +17

    You're not reading this by accident this is a confirmation that everything is going to be alright GOD is making a way for you right now at this moment!GOD is working on your behalf. He is orchestrating things in your favor. There are blessings lined up just for you!GOD is so Good all the time GOD is so good!Get some Rest!GOD isn't going wreck His reputation on you.He's going to come through. It Will all work out!

  • @ireneChosen8193
    @ireneChosen8193 4 месяца назад +12

    Yaaani mimi najua Shetani anauguaga sana na tumbo la kuharaaa😂anapoona Watu wa Mungu wanafanya vizuri.Na badoooo…..😂!
    Mbarikiwe sana wapenzi wangu,yaani mmejua kujidai na Yesu wenuuu….💃💃🥳🥳🥳💋💋🔥🔥🔥🥂🥂🥂….ila huyu leader amenikosha sanaaa…style yake ya uimbaji yaani nimeona Mahaba hapoo…kwa Yesu wake…Chaiii…good job brother,very beautiful and Unique!Tena ulisema “ Nasema tenaa na teena “hatareeee 🎉👏👏.
    I am a worshipper too so I know what am saying 😁. Hongereni sana guys ❤

  • @HighlyFavoured2014
    @HighlyFavoured2014 7 месяцев назад +40

    I fell in love with this song when you performed it at ICC Nairobi, last year.
    Since then I've searched for it in all platforms, with no success, untill now. 🥳🥳🥳
    Now I get to listen to it limitlessly.
    From Kenya, Icc Nairobi, with Love!!!

  • @spipa.tv0tz
    @spipa.tv0tz 7 месяцев назад +1

    Haleluyaa wimbo umejaa mafuta yanaingia mpaka moyoni , hakika ESSENCE OF WORSHIP Mnafanya huduma na kuwafundisha waimbaji wengine, ifike mahali nyimbo zetu zimtaje YESU kwa ssanaa ifaamike kwamba niyeye pekee na hakuna Kama YESU.

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 2 месяца назад +3

    BWANA Mimi ni wako na Mali yako.....Sitaona haya kukusifu wala sitaona aibu kukutaja YESU wangu ❤

  • @user-xr3gu5gy8c
    @user-xr3gu5gy8c 3 месяца назад +10

    Hii nyimbo n kama ile ebenezer ya spirit of praise🙏🙏❤️❤️❤️❤️

    • @jacksonmwalimo9275
      @jacksonmwalimo9275 Месяц назад

      True

    • @elenzianjk5543
      @elenzianjk5543 Месяц назад

      Yaani nilikua najiuliza hii melody nimeisikia wapi!! U mfuatiliaji mzuri sana. Same melody different tastes, so blessed! Thanks😊

  • @barakasteven5481
    @barakasteven5481 7 месяцев назад +28

    Gwamaka and the team were really serious about this project. I mean everything has been perfect in the entire production. Tanzanian gospel music is surely going places 🔥

  • @royalprinceke6337
    @royalprinceke6337 7 месяцев назад +19

    Ebenezer oh ebenezer ebenezer usihole wasewala 💯🤗🙏🙏👐👐Amen it's a vibe for the kingdom ❤

  • @irenenkelame9040
    @irenenkelame9040 21 день назад +1

    God bless you all

  • @nasrioriginele588
    @nasrioriginele588 7 месяцев назад +2

    Sitaona aibu kukutaja yesu weeeeee umekuwa mwavuli wangu kila siku.wengi wanarudi kwenye jeneza bali umeniweka salama.ahsante yesu .team gulf nipe likes

  • @marymonari
    @marymonari 7 месяцев назад +36

    Sitaona haya kumsifu Yesu!! Mwokozi wa maisha yangu 😭

  • @rebeccacheyo
    @rebeccacheyo 7 месяцев назад +5

    Song Lyrics🔥👇🏽
    Chorus
    Sitaona haya
    Kukusifu kweli
    Sitaona aibu
    Kukutaja
    Refrain
    Eh Yesu eh
    Eh Yesu eh
    Eh Yesu eh
    Nakupenda, u mali yangu
    Verse:
    Si fedha wala, si mali wala
    Si magari ya kifahari
    Maana nitapata vyote
    Kwa mwenye vyote
    Maana nakuamini
    Bwana we ni wangu na
    Mimi ni wako
    U mali yangu Bwana
    Mimi ni mali yako
    Maana nakuamini…
    Chorus…. Refrain…
    Kipenzi cha moyo wangu
    Mfalme wa nchi yangu
    Mungu wa dunia yangu
    Mimi nakuamini
    Tangu nikuamini
    Sijawahi kua nilivyo
    Tangu nikuamini
    Wewe umenibadilisha
    Maisha yangu ni wewe
    Huduma yangu ni wewe
    Amani yangu ni wewe
    Yesu nakuamini
    Nasema tena na tena
    Na tena Bwana nakuamini
    Chorus…. Refrain…..
    Nakupenda, U mali yangu….
    Refrain…. ❤

  • @mbulaja
    @mbulaja 7 месяцев назад +4

    Sitaona haya Wala aibu ntakusifu popote yesu Wangu mwokozi wa maisha yangu😭🎤

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 6 дней назад

    AMEN

  • @josephallamano4753
    @josephallamano4753 7 месяцев назад +16

    More grace to that Drummer uwa ana nibariki sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Mwasity
    @Mwasity 21 час назад

    Aminaaa 👏👏👏👏👏

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official 7 месяцев назад +21

    Kenya🇰🇪 appreciates you Brethren❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nyashangoloma
    @nyashangoloma 7 месяцев назад +20

    This has taken me back to that room🥹🥹🥹💓💓💓!!! I love you Jesus🙌🏼🙌🏼!!

  • @evakatani636
    @evakatani636 7 месяцев назад +3

    "Sitaona haya kukusifu kweli , sitaona aibu kukutaja" Mungu Kwa matendo makubwa unayonifanyia katika maisha yangu 🙏🙌

  • @katherinefred2738
    @katherinefred2738 7 месяцев назад +6

    Vijana wa Agape Lutheran Seminary apo nawaona @ patrick @Jonas and Kephas. Mungu awabariki katika utumishi wenu ninyi na team yenu nzim. The song is owsome🥰

    • @neemamsuya238
      @neemamsuya238 6 месяцев назад

      Aisee Mch Mwakapi ametoa products🎉🎉

    • @taestudioz
      @taestudioz 6 месяцев назад

      Kabsa Mungu mwema ALJS 🎉🎉❤

  • @getrudemboya1211
    @getrudemboya1211 17 дней назад

    Gwamaka brother🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥you are talented ❤

  • @jacquilinakaizilege9874
    @jacquilinakaizilege9874 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤

  • @christinekakai3903
    @christinekakai3903 7 месяцев назад +11

    Am Ugandan but I enjoy your songs so much ur doing a great job in ma life may da lord continue blessing u 🙏

  • @stevenlevittt
    @stevenlevittt 7 месяцев назад +12

    Blessed Tanzania! Oh how I love my beautiful country.

  • @happykaiza4797
    @happykaiza4797 17 дней назад

    😢😢🙌🙌😭 Yesu u Mali Yangu

  • @queenmushi9804
    @queenmushi9804 7 месяцев назад +3

    Huu wimbo ni Ibada kamili kabisa .....ukimaanisha unajikuta umeingia kwenye maombiii yasiyokoma na yaliuojaa machozii mbarikiwe mno 🙏🙏🙏🙏

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 3 месяца назад +2

    Sitaona haya kukusifu MUNGU wangu ni wewe pekee yako wasimama namimi katika nyakati zote sitaacha kulisifu Jina lako wewe uliye Mwaminifu.....Essence be blessed

  • @densrono
    @densrono 28 дней назад +1

    Lyrics:
    Sitaona, haya, kukusifu, kweli
    Sitaona, aibu, kukutaja
    Eee, Yesu we
    Nakupenda, U mali yangu
    Si fedha Bwana, wala si mali Bwana
    Si magari, ya kifahari
    Maana nitapata vyote kwa mwenye vyote,
    Maana nakuamini!
    Bwana, uhai wangu na mwili wako, u mali yangu Bwana
    Ni mali yako, maana nakuamini,
    Nakumini.
    Kipenzi cha moyo wangu, mfalmewa nchi yangu
    Mungu wa dunia, mimi nakuamini.
    Tangu nukuamini sijawahi kuwa nilivyo,
    Tangu nikuamini wewe umenibadilisha
    Maisha yangu ni wewe, huduma yangu ni wewe
    Amani yangu ni wewe, Yesu nakuamini!
    Nasema tena, na tena, na tena, Bwana nakuamini!

  • @wambuamatheka216
    @wambuamatheka216 7 месяцев назад +5

    Romans 1 [SWA]
    [ 16] Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.

  • @joshuamwasuluka1469
    @joshuamwasuluka1469 4 месяца назад +7

    My fav song in 2023/24. This is the most praising song I have mostly repeated hearing 2023. Thank you Godwin, thank you Gwamaka and team. Ila hao wapiga saxophone na solo gitaa wana viti vyao mbinguni aisee. They are unto next levels

  • @jdk6859
    @jdk6859 7 месяцев назад +3

    Jesus is good, I will not regret meeting him and being ashamed of him🙏🏾😊 LOVE YOU JESUS

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 7 месяцев назад +1

    Huu wimbo nimelia hadi unaisha aiseee nikakumbuka namna ni mdada nnavyoshikaga mic kumsifu Bwana YESU natukanwa lakini siachi kuhubiri wala kumsifu ..... Eeeeeeh Yesu eeeh nakupenda UMALI YANGU........
    AISEE SITAONA HAYA KAMWE

  • @dottokabogolo2867
    @dottokabogolo2867 7 месяцев назад +7

    Malibongwe from Spirit of praise 6 by Neyi & Omega.
    Good work on the message and improvisation, God bless you Brethren.

    • @ErickSimeonkahiga
      @ErickSimeonkahiga 7 месяцев назад

      it is this not malibongwe Spirit Of Praise 7 ft. Sipho Ngwenya - Ebenezer - Gospel Praise & Worship Song

  • @jacobtolya1716
    @jacobtolya1716 Месяц назад

    I can't have enough of this Song,
    It goes deeper down the heart,
    Showing unexpreessible Love Jesus has for Us,and by his Power will Love him back!.

  • @meshakimsacky4746
    @meshakimsacky4746 7 месяцев назад +5

    @Amigo Johnson, what you did in 04:05 and 06:17 was amazing. Keep it up brother

  • @bensolo8313
    @bensolo8313 7 месяцев назад +3

    Nakubali sana watumishi wa Mungu🎤🥁🎹🎹🎹🎸🎸🎸🪘🎷🎺🎷🎷,Kaka Steve Bassistee🎸🔥Cephas Mndeme🎹🔥Joel🥁🔥Na ndugu yangu Andrew Michaelkan🎸🔥🎶Yesu awatunze sana

  • @ImmanS991
    @ImmanS991 7 месяцев назад +14

    This whole arrangement is amazing...
    That chorus sounds like a song ya spirit of praise

    • @stephenochieng2672
      @stephenochieng2672 7 месяцев назад +3

      I thought so too. Ebenezer

    • @sharonluvembe8605
      @sharonluvembe8605 7 месяцев назад +2

      Same here...Ebenezer,,spirit of praise ft Sipho

    • @ImmanS991
      @ImmanS991 7 месяцев назад +1

      ​@@sharonluvembe8605 Yess that one... It's beautiful though

    • @godblesshappiness7641
      @godblesshappiness7641 7 месяцев назад +1

      Ebenezer

    • @BGHaule
      @BGHaule 7 месяцев назад +2

      Hakuna jambo jipya chini ya mbingu,Kila kitu kilikuwepo,Cha msingi unakiboreshaje kikaleta maana

  • @BettyGeorge-el1gb
    @BettyGeorge-el1gb 7 месяцев назад +11

    Woowoow niliusubiria sana huu wimbo 🔥🔥🔥💕 Mungu awabariki sana essence of worship

  • @enocksirya9460
    @enocksirya9460 7 месяцев назад +15

    Whoever came up with the whole music arrangement, the production and the entire team, this is what we mean by growth, a true inspiration on how essence has grown..God bless the leader, the instrumentalists, the whole team..going greater heights🎉

    • @Sounds-of-Heaven.
      @Sounds-of-Heaven. 6 месяцев назад

      Praise should go to spirit of Praise South Africa@ siyabonga

    • @nicoleatieno3083
      @nicoleatieno3083 2 месяца назад

      ?@@Sounds-of-Heaven.🙄

  • @user-dismaskagoma
    @user-dismaskagoma 7 месяцев назад +1

    Sitaona haya kukutaja We Yesu wangu maana ananifanya mkuu katikat ya wakuu

  • @heriethsabugo140
    @heriethsabugo140 7 месяцев назад +1

    Eeh Yesu nakupenda u mali yangu,sitaona haya kukusifu, sitaona aibu kukutaja.

  • @HellenMakunga
    @HellenMakunga 9 дней назад

    NASEMA TENA, NA TENA, NA TENA nakupenda u mali yangu🙏

  • @lwitikojoel1466
    @lwitikojoel1466 5 месяцев назад +2

    God bless you abundantly all essence of worship team for glorify Jesus Christ

  • @sialema8500
    @sialema8500 Месяц назад

    For heaven is filled with praises and worship than this... thus, I don't want to miss the chance to be there.🙌🙌🙌🙌

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 7 месяцев назад

    Hakika sitaona haya au aibu kutaja jina Yesu kwan nijina amblo ukitaj na ukmuamini barak zinafurika maishan mwako🙏🙏

  • @nisilemwakibete8211
    @nisilemwakibete8211 4 месяца назад

    🙌🙌🙌

  • @philemonkageleja3858
    @philemonkageleja3858 Месяц назад

    Huu wimbo ni favorite kwangu sana! Aliyeimbisha namfurahia sana! God bless Gwamaka group!. ❤

  • @jeremiahobed22
    @jeremiahobed22 7 месяцев назад +1

    Hakika sitaona haya kumsifu Yesu...

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 Месяц назад

    Sitaona haya kulisema jina lako huko ulipinitoa ni mbali

  • @nathanvenancy8029
    @nathanvenancy8029 7 месяцев назад +6

    2:38 The most amazing portion of the song for me, kept that part on a loop. Essence of worship you are a blessing to the kingdom.

  • @TapuwaAlishdamba
    @TapuwaAlishdamba 3 месяца назад +2

    favourite song❤

  • @emanuelchigolo4839
    @emanuelchigolo4839 3 месяца назад

    God bless Tanzania, God bless East Africa, God bless Africa.

  • @jacquelineselim4490
    @jacquelineselim4490 7 месяцев назад +5

    Thank you Essence of Worship for allowing God to use you!

  • @felistersanga1217
    @felistersanga1217 Месяц назад

    Eeeee Yesu eee nakupenda na sitaona haya kukusifu, U mali yangu❤

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 7 месяцев назад +2

    4:51 nabarikiwa sana tena zaidi ya sana, Bwana Yesu nakuamini na nakupenda ❤❤❤, hongera sana muongoza nyimbo na team nzima, Upendo wa Mungu wetu aliye hai uwe pamoja nanyi nyote, Amen.

  • @adelynamushi8747
    @adelynamushi8747 7 месяцев назад

    maisha yangu ni ww Yesu na kila nilicho nacho ni ww
    my Lord my Jesus nakupenda u mali yangu❤

  • @marthakihade6200
    @marthakihade6200 2 месяца назад +1

    amen,be blessed Gwamaka &your team🙏🙏🙏

  • @user-nb3pg2zc1t
    @user-nb3pg2zc1t 6 месяцев назад +2

    I like the song very much. God bless you. I just worship the LORD always with this amazing song

  • @isaacmwangi5333
    @isaacmwangi5333 7 месяцев назад +1

    Good excellence quality kingdom Gospel music, God honor you na mbarikiwe❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joshuamwasuluka1469
    @joshuamwasuluka1469 4 месяца назад +1

    Kuna hiyo kipande dk ya 4:27 na 6:56 ni habari nyingine kabisa

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 24 дня назад

    Kama ndo hivi ntatoa kiingilio bila kuhesabu nmetoa kiasi gani. Mungu awabariki Sana watumishi

  • @user-fp9ke5dv5r
    @user-fp9ke5dv5r 3 месяца назад +1

    Wow wow mmefanya vizuri sana ....well done God.

  • @user-gc2rd8ln3v
    @user-gc2rd8ln3v 7 месяцев назад +3

    Oooooh Halleluya hakika sitaona haya kukusifu Yesu❤️❤️💖💖

  • @petermantics1921
    @petermantics1921 7 месяцев назад +1

    Sounds like a south African song,I love it.

  • @YohanaBaraza-ll2tl
    @YohanaBaraza-ll2tl 7 месяцев назад

    MUNGU angu awatunzee..... sitaona haya kumtaja huyu YESU

  • @mozzkamaru
    @mozzkamaru 7 месяцев назад +6

    Wow , sitaona haya , what A rendition . God bless the whole team . The Guy is so joyous 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MarthaMartin-vw4zq
    @MarthaMartin-vw4zq 3 месяца назад

    ❤❤❤

  • @AbigailMoris-kj8vo
    @AbigailMoris-kj8vo 7 месяцев назад +2

    I love sing for him.."I love you"...and here is my melody to sing for him every day.

  • @neemamabele8451
    @neemamabele8451 7 месяцев назад

    Spirt of praise melody lakin kaz n nzuri nimepata wimbo wa harusi yang😂

  • @elizabethraymond6388
    @elizabethraymond6388 7 месяцев назад

    🙌🏽🙌🏽

  • @JescaGaison
    @JescaGaison 4 месяца назад

    Sioni haya kulitaja jna lako Yesu wewe uwiiii haleluyaaa u Mali yangu ni Mali yako🙏🙇🙇🙇

  • @dianahnjage
    @dianahnjage 7 месяцев назад

    🙌🙌🙌❤️❤️❤️

  • @samuelmutwiri5331
    @samuelmutwiri5331 4 месяца назад +1

    this song is really nice for me

  • @JescaGaison
    @JescaGaison 4 месяца назад

    Yesu huyi mtam Sanaa ukimkimbilia hauaibiki hakuna aliemkimbilia akaaibika

  • @neemammbando938
    @neemammbando938 7 месяцев назад

    Asante Yesu..sitakaa kukuonea haya wala aibu hata siku moja

  • @carolshikuku3048
    @carolshikuku3048 7 месяцев назад +1

    I WILL NEVER BE ASHAMED OF TALKING ABOUT THIS GOD💫💫💫💫💫

  • @AshaJuma-lu4od
    @AshaJuma-lu4od 6 месяцев назад

    Ee Yesu nakupenda u Mali yangu nimebarikiwa na huu wimbo Mubarikiwe waimbaji

  • @versarvaiper496
    @versarvaiper496 6 месяцев назад

    i appreciate you guys

  • @daudlazaro8276
    @daudlazaro8276 7 месяцев назад

  • @gilbertmunuotz
    @gilbertmunuotz 7 месяцев назад +3

    Yesu Nakupenda ❤
    Sitaona Haya🙌🙌🙌
    #notashamedofgospel

  • @joycejoseph8428
    @joycejoseph8428 7 месяцев назад +1

    Sitaona aibu kukutaja Yesu
    Credit to the lead oh my...this is powerful

  • @verahkanini8847
    @verahkanini8847 7 месяцев назад +1

    Can't wait

  • @ianjesse8525
    @ianjesse8525 Месяц назад

    I cnt have enough of this song powerful love you Jesus

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure 7 месяцев назад

    Hallelujah Hallelujah Utukufu Kwa Yesu Aliye Hai. Nmebarikiwa Mno family 🔥🔥🙏💪💪🙇🙌🙇💪🙏🔥🔥🌎

  • @peresmaige4464
    @peresmaige4464 7 месяцев назад +3

    Was waiting ❤❤❤❤. Be blessed dears. Mnaweza na mnaweza sanaaa.❤❤ much love. ....
    Nakupenda Yesu wangu.

  • @petermbugi2579
    @petermbugi2579 7 месяцев назад

    ❤❤

  • @Lynn_Makau
    @Lynn_Makau 7 месяцев назад +1

    Wow 🎉 Sitaona aibu wala haya kukutaja Eeeh YESU❤

  • @vincentombasa
    @vincentombasa 6 месяцев назад

    Mungu ni mwema siku sote.sitaona haya kwa ajili yake

  • @mackiesalum1877
    @mackiesalum1877 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri but the original version ni ya wasouth Africa wanaitwa Spirit of praise 7 ft. Sipho

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 7 месяцев назад

    Hatuoni haya leo wala milele...kumtaja Yesu Kristo Bwana na Mwokozi wetu....
    Sialikufa kwa ajili yetu😂😊

  • @kevinmremi6312
    @kevinmremi6312 7 месяцев назад +3

    Godwin Mlambo, you are blessed. I was waiting for this song with awe. The annointing poured During the live recording of this song was massive. I still remember the might power of the Holy Ghost filled mightly in the room
    All Glory to you, Jesus