@@daudindube8458siraha za kisasa hatuna na pia hata mbinu nizalawaida sana sasa aduiameteka kisiwa ili ukakikomboe huwezi kutumia meri vita kwanza lazima umsukume adui mbali kwakutumia makombora ya masafa marefu yaaridhini na angani zitahusika ndege za kulushahayo makombora sasa ukitumia meri vita kumbuka adui ameweka utawala wake pale nayeye anajua atakabiliwa namashambulizianakuakajipanga vizuri kabisa
Zoezi lipo vizuri Sana Sana Kama hukuambiwa kuwa hili ni zoezi unaweza ukasema kuwa hii movie ya kimarekani, hongera Sana naelewa hapa garama kubwa mno.
Hapo ndo umejichanganya upo zako kisiwani unakula bata hauna habari Kama kutakuwa na zoezi la makomandoo mara Ghafla unasikia risasi zinamwagika ukitupa jicho fukweni ndo unawaona jamaa wale wale wa kwenye movie ya EASTERN CONDORS mamaee mbona unashikwa na tumbo la ngiri ghafla na kifafa juu …😂😂😂😂😂
@@khamisali9907 Huo uvamizi wa mazoezi Kama upo kisiwani hapo na hauna unalolifahamu kuhusu ujio wao hao wanajeshi mbona ghafla unaweza kusema “mtumee wee Tanzania kimetukuta nn sisi mbona sio kawaida yetu mapigano Kama haya”..😂😂
Mimi nasema mama ajitahidi auze tu hata tanganyika nzima ili badae tuuone huo uwimala wa majeshi yetu kwa vitendo zaidi mana tunasikia wako vzur na hatujawai kushuhudia tangu 78/79 na waliopigana miaka hyo hawapo na hawathaminiki hp nchini ko tutatamani kuona majeshi ya vizazi vipya vya tz walivo imala
Tushukuru Mungu saana kwa hii amani tuliyo nayo jamani.wakat kwetu tukifanya mazoez ila lovely way kwa wenzetu sudani ni kuuwa kwa kuuwa.Mungu ilinde Tanzaniz Mungu ibariki tanzania
Yeah nice makamanda mungu atujalie viongozi muongeze vifaa vinginzaidi kama nyambizi na manwari kubwa za kivita. Nice practice soldiers na afande wetu General kwa mbali nimemuona akishuhudia. Safi sana
Jeshi Teteeni Bandali kwani nanyi si wa Tanzania mbonakimya sana makomando mdimuachie mama atie sain jeshi. Myaliona chungu hilo komaeni na Rais . Najua mkisema nyie atatulia tu lnshallah Allah ampe ufaham Rais. Wetu amuongoze kwakilalenyeheri kwa Tanzania alifanye ayaepuke na shali za maadui wasie itakia mema Tanzania 🤲
Mapungufu yapo kwenye mkataba lkn ni yakulekebishwa kwani kabla ya apo ulikuwa unajua kuwa bandari Iko chini ya nani? Ndani ya Miaka 30 ilikuwa ivyo lkn kampuni tofauti hakuna bandari inayo uzwa sema wanasiasa wanatafuta pakushika
Ushauri wang ni kutoa fursa kwa yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza drones zenye uwezo wa kufanya mashambulizi mfano wapewe nafasi watu wa geta na IT kufanya hio ishu alaf tuwe tunazitumia katika vita maana sasa mambo mengi ni tecnology imechukua nafasi kubwa hasa katika vita
Kwà nchi Ganii ? Hii hii yenye mtaala mbovu wa Elimu ? Yule aliyetengeneza Helkopta kakaa nayo Gereji badala ya kuendelezwa nchi haiwezi fika mbali kwà haraka
Tupo mwaka 2023 lakn mpka leo tunatumia vifaa,tactics na technologia ya mwaka 47,inasikitisha sana..inabdi tubadilike aisee bila hvyo hatutaweza kujilinda dhidi ya adui yoyote wa maana!
@@pastorgodwinchengula7848 Huo ni mtizamo wa kipuuzi sana, utategemea wenzako mpako lini? Vp wakikataa kukusaidia? yaani baada ujijenge we wenyewe we unasubiri uje kusaidiwa? Mitizamo kama hyo ndo sababu mpka leo nchi za kiafrica zinaendea kutawaliwa (ukoloni mambo leo)
@@IBENGM No ndio ilivyo ktk protocol za kimataifa za ushirikiano unaona kama msumbiji alipokumbwa na balaaaaaa ikabdi jeshi la SADC litoke ambapo TZ yumo humo.Ndio hali halisi Duniani kote ndio maana ya ushirikiano wa kimataifa.Unaona marekani haendi peke yke vitani ana washirika wake wa NATO na nchi rafki.Ndio ilivyo
Hayo ni mazoezi ya kupiga hewa Wafanye kama wanavyofanya Wachezaji wa mpira ambao huwa na timu moja lakini hujigawa mara mbili na kufanya kweli hadi kufunga goli hivyo hata hawa wasiingize Wafanye kweli kama wanavyomuwa kwenye uwanja wa vita,vinginevyo hongereni sana.
Haya maigizo nimeyapenda sana tuliona jeshi la uokoaji la wana maji kwenye mazoezi lipo vizuri sasa kivumbi ni air presicion bukoba jeshi lilisafiri na watu wakafa majaliwa akaibuka mwanajeshi mahiri
@@topfootballtrends6517 hatuombei mabaya ila subiri itokee sasa maovu hayo physicaly utasikia adui alikua na silaha nzito jeshi ilibidi liombe msaada nchi jirani mara ooh mkuu wa kitengo alikua amesafiri nje ya nchi kikazi na bila yeye tusingeweza kupata kibali cha kufika kwa mda mara utasikia tunajipanga kuhakikisha hayatokei tena jeshi linaomba radhi kwa uzembe hapo ukute watu washakufa rundo tu
Wewe ni mwehu. Yan wewe ni lofa. Sasa unaongelea habar za air precision ajali ya bukoba hivi wewe unafaham majukum kamili ya JWTZ na unafaham majukumu ya JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI. Unafahm Nan alitakiwa awe wa mwanzo kwenye Hilo. Acha kuropoka. Tanzania Ina idara nying za kiusalama na kiulinzi na kila idara Ina majukum yake. Kwa kukusaidia TAFUTA elimu ujue majukum ya majeshi yote Tanzania mfano police, magereza, ZIMAMOTO na uhamiaji, alaf kaangalie majukum ya JWTZ. alaf utarud Tena huku kuandika ufala wako.
Hamna ki2 apo tuombe Mungu hivi hivi visije vita wakali mazoezini hao we just have to pray we will never face the real war real enemies we still far beyond
I have nothing but admiration and respect for the courageous, self disciplined , mentally and physically special military. I am grateful for their sacrifice and dedication to keeping us safe, and I know I could never endure even a fraction of what they go through.May God Bless Military. It's not easy but practice makes perfect , Huge respect to all those who went through these almost impossible tasks. Anyone putting themselves through such a training is truly a legend much respect for all military.
@@michaelrweyemamu1068 yesu sio mungu kaka ila yesu ni nabii wako yani ni mtu alie pewa uwezo na mungu kufikisha ujumbe kwa watu ni nabii kama walivyo manabii wengine wote unao wafahamu wa dini zote tofauti.
@@naslee1010 Kwa mujibu wa dini yako but kwa mujibu wa dini yangu Yesu ni Mungu Mkuu... Kwa mujibu wa dini yangu Allah sio mungu na Muhammad ni nabii wa uongo na quruani ni kitabu cha uongo..... So amini dini yako na uachae na dini yangu. Yesu ni Mungu Mkuu
Sisi kwetu vita ni mazoezi lkn serikali ikisemwa mnakuja kuzuia wakati umasikini unatuburuza na wachache ndio matajiri. Hebu pindueni ccm tupate challange mpya kimaisha hata kwenye vita watu huwa hawafi wote sisi hatuna kabisa imani na utawala wa ccm tubadilishieni watawala huenda tukapata afadhali. Hizo risasi ni pesa kuna watu wanakufa njaa huku ninyi mnachezea porini na vita hakuna. Aisee mungu tazama hawa watu fanya jambo dhidi yao
@@salumumrisho8301bro mtu kama huyo asiejielewa haina haja ya kumjibu, hana elimu ya kutosha shule tatizo, haluna nchi isiyofanya drill mazoezi ya vitendo, ndio maana AirPort wanafanya fire wanafanya mabank wanafanya na nisheria kufanya hivyo na hata mahospitalini wanafanya sasa huyu mwehu haijielew anadiriki kusema anachojua yeye acha uvivu fanya kazi kwa bidii hata Ahuke yesu hawezi badili kitu ikiwa yeye mwenyewe alikuja na neno la Mungu jamaa wakamsulubu, 🇮🇱 Israel nyakati za mwanzo walikuwa hawafanyi kazi na wala hawalimi wanashushiwa tu chakula ba Mungu nao pia wajaomba wasipewe vya bure waachwe watafute wenyewe, huyo ndio mwanadamu,libya walimuona Gadaf hafai na kumuita dictator nchi iliyokuwa ya kwanza Afrika kiuchumi na nchi za mwanzoni mwanzoni barani ulaya na uarabuni leo hii haipo hata nafasi ya kumi Afrika, wanamlilia mfu nakuomba awasemehe, ni nchi ambayo wazee wasiojiweza walikuwa wakilipwa vijana wanaoanza maisha ya uraiani kutokea vyuoni wanawezeshwa mitaji na makazi, think what you will do for America, john Kened, fikiria utaifanyia ni Tanzania usitegemee tNzania itakufanyia kitu mwalimu Nyerere
Kwani watanzania wanakubaligi vya kwao ....kawaida ya mbongo anaponda cha kwake anakisifia cha jirani hata kama ni kibaya.... Mtanzania anamsaidia mtu wa taifa lingine anamkandamiza matanzania mwenzake Mtanzania kila kitu anakijuwa...kiufupi ni wajuaji... Watanzania wanapenda simba na Yanga tu... Hizo timu hata ziwafanya watazisifia na kuzitetea Huyo ndiyo mtanzania
Jaman 😂kumbe ni kujikomboa hakuna ukweli wowote aaah😅😅 I love Tanzania mie nilijua wamekuja kuchukua wa Sudan wao kumbe mnafanya naonyesho mnatumia siraha vizur mana siraha bila matusi zinaxp, hila msiombe yawakute ya kweli😂hii kupigana bila adui
Tukishaingia mkataba wa uendeshaji Bandari na DP world tutapata trillions 26 badala ya a trillion 7 tunayoipata sasa kwahiyo tutaweza kuongeza mishahara na pia kununua vifaa vya kisasa kabisa vya kivita (sophisticated weapons) kwa jeshi letu la ardhini la wanamaji na la anga.
Mazoezi ni mazuri na muhimu, ila tunatumia vifaa vya 1940 huko, Serikalini boresheni uimara wa jeshi letu au nalo mngependa mlibinafsishe kama mnavyofanya kwingine 😁😁😂😂😀😂
For the Simulation to be effective other Soldiers are supposed to act as enemies, I couldnt see the other party claiming the Island ( the enemies) .Also they should do this number of times( say 20 per year for argument sake) and record the results cuz the more the number the more effective induvidual soldiers in a real world would be . Thats why an Army needs huge budget ..which I hope its reasonably enough and hopefully these drills are pre planned with different scenario analysis and are done more often .
Reporters were not supposed to be inside the battle field that's why you didn't see enemies. And that's for their own safety (reporters), apart from that you can't report everything that takes place there some stuff must remain as army's secret. And yeah, budget must be improved.
Hapo mchawi RPG tu kabla hata hawajafika nchi kavu...hilo pantoni linakula RPG 3, hivyo vimitumbwi vya dagaa RPG. Hiyo Helicopter ya mchongo RPG 1. hahahahaaa Natania bana najisemeatu kimoyomoyo
That is little mind , preparation is usually done by your own moves, so what do you want them to prove to you so that u can salute them do u want them to invade kenya or
Wanachokifanya ni kizuri ila kamandi ya majini bado sana kwenye vifaa, hiyo boat FATUNDU na hizo amphibious ni too old sio za hii karne zimepitwa na wakati hatuwezi kuwa proud na hivo vifaa kwa ulimwengu wa sasa
Hayo ni maoni yako. Ila liache jeshi letu lifanye mazoezi ya kukabiliana na adui pindi atakapo tokea. Mazoezi kama hayo au ya aina hiyo, hufanywa na majeshi yote Duniani ili kua tayari kutetea nchi yao dhidi ya adui. Liache jeshi letu lijifue. Viva Tanzania 🇹🇿
@@frankmpembu kukabiliana na adui ambae hayupo???🤣🤣unahis na kwenye vita kutakuwa hakuna upinzani sio??wangetumia ata risasi bandia ilimradi wengine wawe kama adui na majibizano yawe love
Tanzania 🇹🇿 Imara Jeshi imara Lenye Uwiredi wa hali ya juu 👏Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿 Mungu Ibariki Africa Mungu Libariki Jeshi la JWTZ 🫡🇹🇿
Nonsense
Ni mtazamo wako but,Pole yako kama una ona ni upuuzi
Kuma mayo ww@@thedreamer3991
@@daudindube8458siraha za kisasa hatuna na pia hata mbinu nizalawaida sana sasa aduiameteka kisiwa ili ukakikomboe huwezi kutumia meri vita kwanza lazima umsukume adui mbali kwakutumia makombora ya masafa marefu yaaridhini na angani zitahusika ndege za kulushahayo makombora sasa ukitumia meri vita kumbuka adui ameweka utawala wake pale nayeye anajua atakabiliwa namashambulizianakuakajipanga vizuri kabisa
Wanajeshi wetu wako vizuri Sana mungu awabariki na mungu aibariki Tanzania kiujumla, ameen,
Kama wapo vzr waende uklen
Ee Mwenyezi Mungu tunaomba ulinzi kwa wanajeshi wetu wote wape neema na rehema zako Amina
Kazi kubwa makamanda nikicheki yaani mpaka nasisimka aisee hivi vitu kumbe vinapatikana hapa hapa kwetu. Well done guys.
Merci beaucoup Dieu fait grâce
Kazi nzuri inafanyika kupitia jeshi letu mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Ameen in shallah
Tuko salama kwa sababu Mungu amewajalia uimara. Mko imara sana. We support you.
Hongeleni kwa zoezi hilo la kulinda mipaka yeti ya kandokando bahari mito nk
daah nimefrh sna na jesh la nchin mwetu lik vzr sna mungu alibarik jesh let na rais wetu mama samia 🙏
Safi sana nchi yangu,safi sana jeshi langu,safi sana mkuu wa majeshi,safi sana mh Rais wangu/wetu mama Samia.Lidumu jeshi letu daima
Zoezi lipo vizuri Sana Sana Kama hukuambiwa kuwa hili ni zoezi unaweza ukasema kuwa hii movie ya kimarekani, hongera Sana naelewa hapa garama kubwa mno.
Hapo ndo umejichanganya upo zako kisiwani unakula bata hauna habari Kama kutakuwa na zoezi la makomandoo mara Ghafla unasikia risasi zinamwagika ukitupa jicho fukweni ndo unawaona jamaa wale wale wa kwenye movie ya EASTERN CONDORS mamaee mbona unashikwa na tumbo la ngiri ghafla na kifafa juu …😂😂😂😂😂
Dah Baba umenichekesha sannnnnaaaaaaa
@@khamisali9907 Huo uvamizi wa mazoezi Kama upo kisiwani hapo na hauna unalolifahamu kuhusu ujio wao hao wanajeshi mbona ghafla unaweza kusema “mtumee wee Tanzania kimetukuta nn sisi mbona sio kawaida yetu mapigano Kama haya”..😂😂
@@khamisali9907 Sio poa huo mziki ukikutana nao live ..😂
😂😂😂😂😂 sio poa..
Dah nimecheka sana
Safi sana nimeinjoy, hongeren jeshiletu
Wakubwaaaa!! Basi teteei bandari yetu watanzania Ili isiuzwe , maana hao wadubai wakija hawata waruhusu hizo mishe zifanyike hapo baharini
😂😂
Ambiwa unachochea ndg angu ndo utaijua tanzania inavotetea kutokukosolewa
Mimi nasema mama ajitahidi auze tu hata tanganyika nzima ili badae tuuone huo uwimala wa majeshi yetu kwa vitendo zaidi mana tunasikia wako vzur na hatujawai kushuhudia tangu 78/79 na waliopigana miaka hyo hawapo na hawathaminiki hp nchini ko tutatamani kuona majeshi ya vizazi vipya vya tz walivo imala
Tushukuru Mungu saana kwa hii amani tuliyo nayo jamani.wakat kwetu tukifanya mazoez ila lovely way kwa wenzetu sudani ni kuuwa kwa kuuwa.Mungu ilinde Tanzaniz Mungu ibariki tanzania
Ndo mana unatakiwa uombe na kujiandaa pia
Amina
Sijazipenda boti, kama za kizamani vile,
Yeah nice makamanda mungu atujalie viongozi muongeze vifaa vinginzaidi kama nyambizi na manwari kubwa za kivita. Nice practice soldiers na afande wetu General kwa mbali nimemuona akishuhudia. Safi sana
Allah S.W.awajalie uzalendo mkubwa Sana ktk kuilinda mipaka ya nchi yetu❤💪💪🙏
🇹🇿 Mungu ibariki tz nice makamanda wetu amen ❤
Jeshi Teteeni Bandali kwani nanyi si wa Tanzania mbonakimya sana makomando mdimuachie mama atie sain jeshi. Myaliona chungu hilo komaeni na Rais . Najua mkisema nyie atatulia tu lnshallah Allah ampe ufaham Rais. Wetu amuongoze kwakilalenyeheri kwa Tanzania alifanye ayaepuke na shali za maadui wasie itakia mema Tanzania 🤲
Mapungufu yapo kwenye mkataba lkn ni yakulekebishwa kwani kabla ya apo ulikuwa unajua kuwa bandari Iko chini ya nani? Ndani ya Miaka 30 ilikuwa ivyo lkn kampuni tofauti hakuna bandari inayo uzwa sema wanasiasa wanatafuta pakushika
Acha kuvuta BANGI
allah alidumishe jeshi letu na alihifadhi na Kila baya kiukweli liko vizuri allah ailinde nchi yetu.
Ushauri wang ni kutoa fursa kwa yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza drones zenye uwezo wa kufanya mashambulizi mfano wapewe nafasi watu wa geta na IT kufanya hio ishu alaf tuwe tunazitumia katika vita maana sasa mambo mengi ni tecnology imechukua nafasi kubwa hasa katika vita
Kwà nchi Ganii ? Hii hii yenye mtaala mbovu wa Elimu ? Yule aliyetengeneza Helkopta kakaa nayo Gereji badala ya kuendelezwa nchi haiwezi fika mbali kwà haraka
Hongereni kwa mazoezi. Natamani kama hii nguvu ingetumika pale ziwa victoria siku ya ile ajali ya ndege tu
Tupo mwaka 2023 lakn mpka leo tunatumia vifaa,tactics na technologia ya mwaka 47,inasikitisha sana..inabdi tubadilike aisee bila hvyo hatutaweza kujilinda dhidi ya adui yoyote wa maana!
Adui wa maana upi? Akitokea Adui Nchi washirika zinakupa msaada Mambo yamebadilika lazima uwe rafiki na wakubwa Kama hujiwezi. Mfano Ukraine
@@pastorgodwinchengula7848 Huo ni mtizamo wa kipuuzi sana, utategemea wenzako mpako lini? Vp wakikataa kukusaidia? yaani baada ujijenge we wenyewe we unasubiri uje kusaidiwa? Mitizamo kama hyo ndo sababu mpka leo nchi za kiafrica zinaendea kutawaliwa (ukoloni mambo leo)
@@IBENGM No ndio ilivyo ktk protocol za kimataifa za ushirikiano unaona kama msumbiji alipokumbwa na balaaaaaa ikabdi jeshi la SADC litoke ambapo TZ yumo humo.Ndio hali halisi Duniani kote ndio maana ya ushirikiano wa kimataifa.Unaona marekani haendi peke yke vitani ana washirika wake wa NATO na nchi rafki.Ndio ilivyo
Hayo ni mazoezi ya kupiga hewa Wafanye kama wanavyofanya Wachezaji wa mpira ambao huwa na timu moja lakini hujigawa mara mbili na kufanya kweli hadi kufunga goli hivyo hata hawa wasiingize Wafanye kweli kama wanavyomuwa kwenye uwanja wa vita,vinginevyo hongereni sana.
hapo haukna hata anaewashambulia kwa mawe ! jipe picha pambano la kweli !
aisee wako vizuri hadi raha, nmeyapenda mazoezi yao😊
Jeshi mahili lenye nguvu 💪 inapndza Sana ongera TANZANIA🇹🇿🙏.
Big Fans of these people I do remember those days when I was there 821kj Bulombora it was good and bad days I proud to be Tanzanian
Tupo vizuri sana.safi sana waziri wa ulinzi pamoja na cdf wetu mahiri J.Mkunda.
Hongereni makamanda kazi nzito.
Nakuona mzee wangu kanali Rajabu Seif mwenyeezi mungu akuongoze
Full Respect
masikini kama kulikuwa na viumbe hai basi vimepata shida sana kwenye huo msitu kwa sababu ya milio ya risasi
Akili yako ndogo sana
Akili yako ndogo sana
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hongera jeshi langu
Haya maigizo nimeyapenda sana tuliona jeshi la uokoaji la wana maji kwenye mazoezi lipo vizuri sasa kivumbi ni air presicion bukoba jeshi lilisafiri na watu wakafa majaliwa akaibuka mwanajeshi mahiri
Unamaanisha Haya ni maigizo tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@topfootballtrends6517 hatuombei mabaya ila subiri itokee sasa maovu hayo physicaly utasikia adui alikua na silaha nzito jeshi ilibidi liombe msaada nchi jirani mara ooh mkuu wa kitengo alikua amesafiri nje ya nchi kikazi na bila yeye tusingeweza kupata kibali cha kufika kwa mda mara utasikia tunajipanga kuhakikisha hayatokei tena jeshi linaomba radhi kwa uzembe hapo ukute watu washakufa rundo tu
@@mwitajoseph8315 🙌🤣🤣🤣
We endelea kumuomba Mungu aman iwepo maan watu km ninyi huwag mnapata wakat mgumu saan
Wewe ni mwehu. Yan wewe ni lofa. Sasa unaongelea habar za air precision ajali ya bukoba hivi wewe unafaham majukum kamili ya JWTZ na unafaham majukumu ya JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI. Unafahm Nan alitakiwa awe wa mwanzo kwenye Hilo. Acha kuropoka. Tanzania Ina idara nying za kiusalama na kiulinzi na kila idara Ina majukum yake. Kwa kukusaidia TAFUTA elimu ujue majukum ya majeshi yote Tanzania mfano police, magereza, ZIMAMOTO na uhamiaji, alaf kaangalie majukum ya JWTZ. alaf utarud Tena huku kuandika ufala wako.
Good news..
Hizi mbwembwe zote ni kuwaonyesha watanzania na wapinzani kwa ujumla kwamba hata mkinyundwa tulieni watu waendelee kupiga dili
😂😂😂😂
Bravo
Izo mbinu za kivita awu mikwala ya kivita achane kulukaluka Tanzania amani ya mungu inatosha
Acha bange mbwa ww
Ulinzi wa nchi nimuhimu pia
Mwandishi unaripoti huku unatetemaa hahah homgera jeshi la wananchi watanzaniaa we are always proud of u tunajivunia
hawa ndio wazee wa mijegeje og👊🏾
Mungu ni mkuu ,atawalinda kwakila hatua wanajeshi wetu,,,,,ee mwenyez mungu tunakuomba libatiki jeshi letu penndwa inshaalah ,
Wambie wakayafanye sudani hayo kama kweli wanaweza
Wakaokoe bandari bhana!much respect to thems.
hahahahaaaa 😂😂😂
Hiyo sio siasa kwani zoezi hilo limejadiliwa bungeni?
Kwani imetekwaaa? 😢
daah Ila ndota😂😂
Hongera kwa kazi nzuri makamanda Wetu
Hamna ki2 apo tuombe Mungu hivi hivi visije vita wakali mazoezini hao we just have to pray we will never face the real war real enemies we still far beyond
kama haujui kitu bora kukaa kimya ko wew unataka wasifanye mazoezi vita vya wapi nenda kaundi kukundi chako chokonoa ndoutaujua haujui
@@oseahgwakisa7588 kuma uyo jamaa anaongelea mkunduni
Nenda kaguse uone mkundu wako utavo chakazwa
Jeshi langu nilipendalo hili nataman na mimi ningevaa granda kwaajili ya nchi yang nalipenda sana jeshi langu
kazi mzuri kwa polisi ya kenya🇰🇪
Iyo ni Tanzania bro😂
@@stuart1963 Noo ni kenya police
@@stuart1963 hao ni polisi wa Kenya 🇰🇪....na hamjaona wanajeshi
😅😅😅wakenya bwan
Majeshi yetu ni making.Mungu awatangulie katika kazi zao.
Ingelikuwa vizuri Ayo mazowezi wakayafanyie UKRAINE
Hahaha uko mbali waende congo
@@emnanuelimtui1805 naona leo umeshiba ugari kwa Mama chibonge pale Alafu unalala usiku aujui mipakani anakurinda nan
AM proud of it good job
Wa Tz wana biti lakini uwezo hakuna vita ni uchumi huwezi kuwa na jeshi zuri bila kuwa na uchumi mzuri
Umenena vyema ndg hizo zingine ni bwebwe tu ndo mana yanauza Bandari hayawezi kujitawala ,Bibi mwenye lemba hana habari
Hahaaaa muulize idi Amin acha mawazo ya kijinga ww kuwa mzalendo haaalaaaa
Sisi bdo sna km uchumi wa nchi tu ni tia maji tia maji sembuse jeshi .
pongezi kwa jeshi la Hanga pamoja na jeshi la nevi pia napongezi kwa majeshiyote
I have nothing but admiration and respect for the courageous, self disciplined , mentally and physically special military. I am grateful for their sacrifice and dedication to keeping us safe, and I know I could never endure even a fraction of what they go through.May God Bless Military. It's not easy but practice makes perfect , Huge respect to all those who went through these almost impossible tasks. Anyone putting themselves through such a training is truly a legend much respect for all military.
Kumbe inawezekana KAbisa wakatengeneza movie na tukapata #bongowood
SAWASAWAHello Karibu SAWASAWA sana na Karibu
Great job, Salute
Video
❤❤❤❤ mmetisha .mko vizuri
Masha Allah👏👏💪🙏🇹🇿💚💚
Tz ya mchongo
Allah ibarik Tanzania AMEEN
I am proud of my Country 🇹🇿
safi sana iko wapi kama wanaune na wasogee apo kwa mausitadhi wavuwa Papa ndio mutawapima vizuri
Bangi ya kujificha ndio inaleta mawazo hayo
Tanzania ya mchongo
Kicheche
Big up mkovizuli sana makamanda from tz
Nimeipenda hiyo 💪💪 jwtz mkovizur ndomaana nchiyetu inaendelea kuwa na aamani kaenitayar kukomboa nabandar yetu maana kunauhuni unataka kufanyika
Sio mazoez aya 😢😢
Jeshi imara na lenye nguvu zaidi, Yesu na azidi kulibariki🇹🇿
Sema mungu alibariki sio yesu wala nabii yoyote.
@@naslee1010 kwani nimekuambia ww au nimekuomba unishauri? Yesu ni Mungu wangu na ndio nimemtaja na nitaendelea kumtaja
@@michaelrweyemamu1068 yesu sio mungu kaka ila yesu ni nabii wako yani ni mtu alie pewa uwezo na mungu kufikisha ujumbe kwa watu ni nabii kama walivyo manabii wengine wote unao wafahamu wa dini zote tofauti.
@@naslee1010 Kwa mujibu wa dini yako but kwa mujibu wa dini yangu Yesu ni Mungu Mkuu... Kwa mujibu wa dini yangu Allah sio mungu na Muhammad ni nabii wa uongo na quruani ni kitabu cha uongo..... So amini dini yako na uachae na dini yangu. Yesu ni Mungu Mkuu
1 Timotheo 2:5
Neno: Biblia Takatifu
5 Maana Kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu. Yaani mwanadamu Kristo Yesu.
Nalipenda jeshi langu naipenda nchi yangu mungu endelea kutubaliki
MUNGU AKUPE AMANI TANZANIA 🇹🇿.,Maana vita ni zaidi ya kuwa mshindi.
Ameeeen!
Amna jeshi TANZANIA. Jeshi la kweli lipo DRC.
Kuna mmoja kasinzia🤣🤣
😅😅😅😅😅😅
Kama move vile ❤ Nimeipenda na pia napenda inchi yangu
Sisi kwetu vita ni mazoezi lkn serikali ikisemwa mnakuja kuzuia wakati umasikini unatuburuza na wachache ndio matajiri. Hebu pindueni ccm tupate challange mpya kimaisha hata kwenye vita watu huwa hawafi wote sisi hatuna kabisa imani na utawala wa ccm tubadilishieni watawala huenda tukapata afadhali. Hizo risasi ni pesa kuna watu wanakufa njaa huku ninyi mnachezea porini na vita hakuna. Aisee mungu tazama hawa watu fanya jambo dhidi yao
Maneno yanaonekana yametoka kwenye chemba ya moyo kabisa
Usiombe vita ujui athari zake au unaropoka tu Angalia congo na Sudan huko wanavyoteseka Kwa sabab ya vita acha ujinga we
@@salumumrisho8301bro mtu kama huyo asiejielewa haina haja ya kumjibu, hana elimu ya kutosha shule tatizo, haluna nchi isiyofanya drill mazoezi ya vitendo, ndio maana AirPort wanafanya fire wanafanya mabank wanafanya na nisheria kufanya hivyo na hata mahospitalini wanafanya sasa huyu mwehu haijielew anadiriki kusema anachojua yeye acha uvivu fanya kazi kwa bidii hata Ahuke yesu hawezi badili kitu ikiwa yeye mwenyewe alikuja na neno la Mungu jamaa wakamsulubu, 🇮🇱 Israel nyakati za mwanzo walikuwa hawafanyi kazi na wala hawalimi wanashushiwa tu chakula ba Mungu nao pia wajaomba wasipewe vya bure waachwe watafute wenyewe, huyo ndio mwanadamu,libya walimuona Gadaf hafai na kumuita dictator nchi iliyokuwa ya kwanza Afrika kiuchumi na nchi za mwanzoni mwanzoni barani ulaya na uarabuni leo hii haipo hata nafasi ya kumi Afrika, wanamlilia mfu nakuomba awasemehe, ni nchi ambayo wazee wasiojiweza walikuwa wakilipwa vijana wanaoanza maisha ya uraiani kutokea vyuoni wanawezeshwa mitaji na makazi, think what you will do for America, john Kened, fikiria utaifanyia ni Tanzania usitegemee tNzania itakufanyia kitu mwalimu Nyerere
Mtu anatakiwa aisome hii comment mara mbil mbil...
Hatutaki mapinduzi hata China watu ni maskini
Mungu zidikuibalik tz🇹🇿
Kwani watanzania wanakubaligi vya kwao ....kawaida ya mbongo anaponda cha kwake anakisifia cha jirani hata kama ni kibaya....
Mtanzania anamsaidia mtu wa taifa lingine anamkandamiza matanzania mwenzake
Mtanzania kila kitu anakijuwa...kiufupi ni wajuaji...
Watanzania wanapenda simba na Yanga tu...
Hizo timu hata ziwafanya watazisifia na kuzitetea
Huyo ndiyo mtanzania
Haswaa hujakosea naona koment zao humu pia shida yetu tunafananisha uhalisia na movie za akina Rambo 😆😆😆😆
Hatutaki vita kwa jina la Yesu
Kushambulia bila kushambuliwa hata Mimi ningeshambulia nakukikombowa peke yangu😂
Jaman 😂kumbe ni kujikomboa hakuna ukweli wowote aaah😅😅 I love Tanzania mie nilijua wamekuja kuchukua wa Sudan wao kumbe mnafanya naonyesho mnatumia siraha vizur mana siraha bila matusi zinaxp, hila msiombe yawakute ya kweli😂hii kupigana bila adui
Mungu awape nguvu maaskari wetu
vifaa vya kisasa ndio jambo muhimu na kujua kuvitumia !
Hongera rais wett mama samia hongera mkuu wet wa majish mgunda Huna makuu mimi ni jirani yako unaishi na hamii vizur msalimie mama ajay mini p mpish
Mnachezea risasi bila sababu
Jeshi letu noma
Waongezewe mishahara Askari jeshi,Kazi Hatari
Tukishaingia mkataba wa uendeshaji Bandari na DP world tutapata trillions 26 badala ya a trillion 7 tunayoipata sasa kwahiyo tutaweza kuongeza mishahara na pia kununua vifaa vya kisasa kabisa vya kivita (sophisticated weapons) kwa jeshi letu la ardhini la wanamaji na la anga.
@@jambo3751mmh
Umelipa Kodi??
Kwani kuna vita wao wanakula Bata tyu
Kweli
Tz bana kweli kichwa cha mwenda wazimu🤩🤩🤩😂🤣😅😅why now?
God bless Jwatz
Safi sana jeshi letu Allah atupe nguvu kuidumisha amani tulionayo ila hii nlizani ni movie
Mazoezi ni mazuri na muhimu, ila tunatumia vifaa vya 1940 huko, Serikalini boresheni uimara wa jeshi letu au nalo mngependa mlibinafsishe kama mnavyofanya kwingine 😁😁😂😂😀😂
😂😂😂😂 wabinafsishe tuu
Nikujifariji tyu apo iwe kunavita kweli yn sioni wakupona boti zenywe azieleweki .
Mungu bariki Nchi yangu 🇹🇿🇹🇿
For the Simulation to be effective other Soldiers are supposed to act as enemies, I couldnt see the other party claiming the Island ( the enemies) .Also they should do this number of times( say 20 per year for argument sake) and record the results cuz the more the number the more effective induvidual soldiers in a real world would be . Thats why an Army needs huge budget ..which I hope its reasonably enough and hopefully these drills are pre planned with different scenario analysis and are done more often .
Reporters were not supposed to be inside the battle field that's why you didn't see enemies. And that's for their own safety (reporters), apart from that you can't report everything that takes place there some stuff must remain as army's secret.
And yeah, budget must be improved.
@@Whoisthismantalking Agree...
Ujumbe Kwa Zanzibar 😆😆😆
True
Hii sio muvi mkuchu
Tunalindwa na MUNGU tu Tanzania dunia imefika mbali Sana katika technologia ya jeshi
Some how japo mmh bado kulinganisha na ukubwa nchi kwajinsi inavyojulikana kwa upande wa kijesh panahitaj ongezeko la bajeti na tecnorogia mpya
Molar Sana makamanda 💪🏿
Good work JWTZ
Tuombe Mungu tu atulinde kwa nguvu zake maana mmmmmmmmmmm
Umeona ehhhhhh
Mbona 0:13 wkt wa kushuka kwenye ndege mmoja kampiga mwenzake mateke, 😅😂😅 au ndio stairi yenyewe!
Hapo mchawi RPG tu kabla hata hawajafika nchi kavu...hilo pantoni linakula RPG 3, hivyo vimitumbwi vya dagaa RPG. Hiyo Helicopter ya mchongo RPG 1. hahahahaaa Natania bana najisemeatu kimoyomoyo
Shenziiiii
Waje tu ongela sana jeshi tu
I wish my country was like this like Tanzania,any way I thank GOD my children are tanzanian
Where are you from?
@mackjr5291 i hope he's not Kenyan, coz we're 100X ahead of this. We landed in Kismayu when Al Shabab was controlling the coastline.
@@oyay2821tell ur president lets try it
To know who is better
@@mackjr5291 from Zambia
@@oyay2821 is that enough to justify? I am not drfending TZ
Najivunia JWTZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ya nchi yangu
Learning how to fight without opponent is like learning how to swim on a dry land
That is little mind , preparation is usually done by your own moves, so what do you want them to prove to you so that u can salute them do u want them to invade kenya or
🤣🤣🤣🤣
@@fahadfaraj6474 have u just said little mind!? It’s ok, cuz it’s according to your perspective.
Unashauri tuwachokoze marekani sio
kauli yako imenichekesha sana
Matumizi mabaya ya mapato ya Tanzania....mnafurahisha
Akili yako ndo imeishia hapo
Kushambulia bila kujibiwa mashambulizi hiyo ni tamu kweli kweliii
ahahaha
😂dah
😂😂😂
😂😂😂😂
Hio ni sawa na kupigana na kinyago😀
Safi sana, ila mngepelekwa Ukreni ili nione Uwezo vizuri.
Vizuri mjiimarishe hatujuwi tunaweza vamia nanani mana dunia inapo elekea ni hatari
Mkunda safi sana ...
Wanachokifanya ni kizuri ila kamandi ya majini bado sana kwenye vifaa, hiyo boat FATUNDU na hizo amphibious ni too old sio za hii karne zimepitwa na wakati hatuwezi kuwa proud na hivo vifaa kwa ulimwengu wa sasa
Umewaza kama mimi.
jeshi ni la wananchi na nyie ndo wananchi...mkaseme
Kweli kabisa hata helicopter ni ya zamani
Uwezo huo atuna majeshi naona yapo vizur tyu upande wa ardhini kutokna na uwezo
Naipenda Tanzania yangu
nasema hvi siku ikiwa kweli mtasahau unatakiwa kujilindaje
hapo mnafanya hvo ili kulinda ugali
Hayo ni maoni yako. Ila liache jeshi letu lifanye mazoezi ya kukabiliana na adui pindi atakapo tokea.
Mazoezi kama hayo au ya aina hiyo, hufanywa na majeshi yote Duniani ili kua tayari kutetea nchi yao dhidi ya adui. Liache jeshi letu lijifue. Viva Tanzania 🇹🇿

Safi sana💚💙💚💙