KISA CHA NABII YUSUPH NA BI ZULEKHA | KISA CHENYE MAZINGATIO KWA WANANDOA | AOLEWA MARA2 | DR SULLE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 29

  • @adijamuke8590
    @adijamuke8590 2 года назад +2

    ManshaAllah Baraka Allah Allah akulipe kilalakheri

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 3 года назад +3

    Asw kweli mungu akupe maisha marefu Al hadji dr sule ingekuwa wewe nimpiga mpira kama wewe kweli ni tajiri sana ila hiyo nimambo ya duniya cheikh kweli munguakupekila laheri akupe umri mrefu akupe afyanjema naakuongezeye sana akiliyako yakuendeleyakuteteya dini

  • @AbihudMichael
    @AbihudMichael Год назад

    mm ni mkristo Ila napenda kusikiliza Sana mawaidha yako Shee mungu akujalie afya njema

  • @joharyjumanne7064
    @joharyjumanne7064 3 года назад +2

    Mwenyezi Mungu amlinde ustadh huyu

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 года назад +2

    Shukran Dr sule mungu akupe afya njema

  • @sharifasuleiman9134
    @sharifasuleiman9134 3 года назад +1

    Mashallah maneno yako ni ya kweli
    Mwenyezi mungu akupe kipaji zaid
    Siamini

  • @raheemarahman1435
    @raheemarahman1435 3 года назад +1

    Mashallah shekhe mungu akupe kila lakher ktk maisha yko

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 года назад +2

    بارك الله فيك

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 3 года назад

    Masha Allah darsa nzuri sana na nimefaidaka na kujifunza .
    Lkn Dr umesema km mtu anataka akubaliwe ktk sector fulani hata km hataliwi lk alinitumia star anise atafanikiwa knows kuchoma na kutaja jina je hiyo sio shirki napenda kujua kwani mm najifunza .
    Shukran

  • @maryammnyishanga1054
    @maryammnyishanga1054 Год назад

    Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu, mimi nayahitaji hayo mafuta, naomba tuwasiliane unitumie

  • @deliseleman7068
    @deliseleman7068 2 года назад

    Majinawangu sijuwi nikupenini ila mungu akupe uhayi mrefu

  • @Mbumbuko
    @Mbumbuko 3 года назад +1

    Maashaa Allah

  • @aishamohammed5347
    @aishamohammed5347 3 года назад

    Maashaallah

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 2 года назад

    Mashallah Allahubarik unapatikana wapi maalim

  • @harunaadoswa9784
    @harunaadoswa9784 2 года назад

    Mashaallah

  • @yasminhussein7426
    @yasminhussein7426 Год назад

    😂😂😂 jamani hao watoto wame nikosha

  • @halimaomari3415
    @halimaomari3415 3 года назад

    Sheikh jee mombasa

  • @saidiabas8855
    @saidiabas8855 2 года назад

    Hatutaki viwanje hatutaki viwanjeeeee acheni wiziii

  • @mansurasuleiman188
    @mansurasuleiman188 2 года назад

    👏

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 3 года назад

    Kumnunulia mke kiwanja huyo ni mkeo au hawara,mimi najua mke na mme wananunua kiwanja na wanajenga nyumba maana wao ni mwili mmoja.

  • @ahmedhaji1951
    @ahmedhaji1951 3 года назад +1

    Watoto wa mama tupo juu

  • @ndayishimiyesamira7616
    @ndayishimiyesamira7616 3 года назад

    Assalam aalaykum warahmatullah wabarakatuh shekh nitakuwuliza ayo mafuta ya star anise naweza kuyapata aje?tunawomba namba ya sim

  • @ahmedhaji1951
    @ahmedhaji1951 3 года назад

    Wanaelewa hao

  • @bonneideekyemo298
    @bonneideekyemo298 3 года назад

    Sasa ss wenye kuwa mbali tutayapataje? Sheikh??

  • @kingzerock1504
    @kingzerock1504 3 года назад

    Kwahiyo hizo sura ni Yusuf na Zulekha?

  • @aishamohammed5347
    @aishamohammed5347 3 года назад

    Hahahaha hahahaha