Ninavyozidi kusikiliza wimbo huu, ndivyo ninavyozidi kuipenda. Ujumbe wake, usanifu wake, utulivu wake, uadililifu uliotumika kuuimba, na utamu wake ni wa juu sana. Mungu awabariki.
Pendo la Mungu kweli ni la agape haina kipimo❤much love daima choir may you continue shinning in God's mission and may our dear Sharon's heart rest in peace 😢
Hiii ndio kwanya ya kisabato hata mavazi mazuri na ujumbe mzuri MUNGU awabariki
Music for eternal glory
. God bless you for the timely message presented powerfully.. Obote from Bahati choir Nairobi Kenya. Nawapenda sana
Amina. Wimbo huo unabariki
Basi nashukuru kwa ujumbe,Mungu aendelee kuwainua ili muendelee kumutumikia Mungu
Mubarikiwe wajoli wa Bwana. Tumikeni maana su mbali ujira wenu u karibu sasa kuliko hapo awali.🚶♂️
Mungu awe nanyi daima
Amina! Ubarikiwe zaidi
Ninavyozidi kusikiliza wimbo huu, ndivyo ninavyozidi kuipenda. Ujumbe wake, usanifu wake, utulivu wake, uadililifu uliotumika kuuimba, na utamu wake ni wa juu sana. Mungu awabariki.
May God bless you my beautiful choir, wimbo kama bwana unirehemu n mtamu sana , salimia mwalimu wa wimbo🎉🎉
Kudos👍👍,may Almighty God bless this choir,amen.
Hongereni kwa Kazi ya bwana barikiweni kwa kutumia Karama zenu.
Hakika mnamwimbia Mungu katika Roho Mungu awabariki sana
Mungu aendelee kuibariki kazi yenu na kuwapanulia mipaka ya UFANISI. Wimbo mzuri sana. Kama tu ule wa:NAMI NIREHEMU.
Amina barikiwa
Inapendeza kwamba kasi yenu njema haijapungua🙏
#Heaven is real, prepare.
Sambazeni wimbo huu kwa uwingi sana, uhimize watu kwenda kazini mwa BWANA
🙏🙏God bless the choir Barikiwa Sana Bubombi
Kwaya yangu pendwa❤ Mungu awabariki sanaa kwa ujumbe mzuriiii ingawa nina swali kwa malim J marafiki zangu wengine cjawaona wako wapi?
Mungu awabariki saan watumishi wa mungu ❤
Kazi njema hiyo.mbarikiwe
Barikiweni sana,nawapenda Bure,,,karibuni makambi kwetu Kitengela East tubarikiwe pamoja mwezi wa name.
I love this song,God bless you,u really blessed us in Makambi at mbamburi 2024.
Hongereni Sana kweli kwa sawa tunataka kwaya km hii Mungu awatumie apendavyo niombe viongoz wetu wakanisa watumie kwaya hii kuwa mfano
My favorite Choir from Tz ❤❤❤
Pendo la Mungu kweli ni la agape haina kipimo❤much love daima choir may you continue shinning in God's mission and may our dear Sharon's heart rest in peace 😢
Nabarikiwa sana. Mungu azidi kuwatumia shambani mwake home choir ❤
Barikiweni sana marafiki zetu.
Barikiwen sana watumish wa baba❤❤❤❤❤
Nyimbo zenu zinanibariki... Mungu ainuliwe🙏
Amina
Barikiweni sana watumishi wa Mungu tumikeni shambani mwaBwana,
Mungu awabaeiki saaaaaaaana huu wimbo nimeshautafuta muda mrefu sana tangu mhudumu kwenye kambi la Buzuruga mwaka Jana, Nyasaye ogwedhu u duto.
Barikiwa
Mbarikiwe sana watu wa Mungu,kwa kweli mnaitendea haki kazi ya utume
Barikiwa zaidi
Amina. Sauti teule, nyororo zisizo na mawimbi yoyote. Wimbo uliosukwa ukasukika . Baraka iliyoje nikipewa KAZI❤❤❤.Tuimbe ujumbe ufikie walimwengu wote .Mungu awazidishie ❤❤❤
Mungu awabssriki sana Kwa uimbaji wenu.
Uimbaji wenu uko katika kiwango cha juu.Mungu awaongeze nguvu zaidi.Muriungi(Kenya)
Barikiwa zaidi
Amen. Mungu aendelee kuwabariki sana. ❤❤
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri🥀
Amen Amen grory to God
Mbarikiwe sana watumishi wa baba wa mbinguni. Karibuni MIKA EAST
Amen
Asante sana kwa kuimba na furaha, ninapenda jinsi munavyo onekana muki imba. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Hii kweli ni kazi ya Sanaa, Mungu awabariki sana home choir❤❤❤
Amina
Can't get enough of this tune. Yaaani hata mmoja tuu ntamleta kwa Yesu.😃🙌🙌🙌🙌🙌.Uhuru wao watauskia wafungwa hao.Hallelujah. God bless you waimbaji💪
Powerfull songs,,God bless you mum Joyce,
Nyimbo zenu hunibariki mno, lwanda gwassi makambi lazima mje tuombeeni tu uhai
The song is so sweet i hear it every day many times ❤
Aminaa! Bwana awabariki zaidi
Barikiwa
Nitawapenda milele watu wangu.
Barikiwa
Na kazi iendelee. Hongera waimbaji
You will always remain to be the best ndani ya nchi hii,,,barikiweni sana
Barikiwa
Ni Vema kuimba kwa hisia za moyoni kabisa
Amen mbarikiwe nanyi pia
Sauti teule💝💝💝💝💝💝💝💝 Nitume Bwana niwatangazie ukuu wako.
May God bless you all time
Thanks for the song may God bless you!
I thank God i always find it while hot😅
Hongereni sana uwer maber ahinya Nyasaye obed kodu
Mubarikiwe sana kwa kubariki wengine
I❤ love 💕 the song
Ameeeen
Mungu Awabariki kwa uimbaji mzuri.
Amina barikiwa
Kwakwel hata na mimi nabarikiwa saaana,Mungu apewe sifa and be blessed
Ubarikiwe zaidi M/K wangu
Ninyi ni wabunifu sana Good🎉
Barikiwa
Giant choir, hit song in town
Mbarikiwe
Akina mama msije lubuniwa ktk vichwa mko sawa nabarikiwa
Amen ,this is real preaching through this song
Nyimbo za kubarikiwa.
Juma osiepa limwa kisumu
Huo wimbo kwa kweli ni tamu.
Barikiwa
Na tuenende kama ujumbe wetu unavyosema ❤❤❤
Bwana awabariki karibuni Etaro Musoma
Asante mch
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU
Amen
Keep the fire burning, what a sweet song.
Amen..mubarikiwe sana wapendwa..keep it up ..what a message
Lovely song don't understand what they are saying but this music speaks to the soul
Be blessed!
Wimbo mtamu haujawahi tokea baada ya namimi
Mbarikiwe muimbe ktk roho na kwel!
aminaaa Bubombi
I like the energy ❤nawapenda😊
That soprano is of high quality
Barikiweni sana waimbaji!
Aminaa
Ber mokalo, nzurei sana, very good keep it up
Ameeen
Thanks for watching
Sawa
Weke ni maneno ya tafsiri ya kimombo yawe makubwa zaidi
Real Adventist choir the joy of sabbath day
Mubarikiwe wandau
Nyimbo nzuri
Powerful piece
Unapendeza sana .
Aminaaaa
Muende mbali mwisho mbinguni kwa baba
Mbarikiwee saaana bubombi❤
Barikiwa
Ameen
Amen, mbarikiwe sana
Barikiwa
Much appreciation, Keep it up and God bless you all.
❤❤Amen.
Hiyoo key soprano wamefika aisee
Ameeeen
Barikiwa
I followed the alto so detailed and fine.
God bless you ❤
Amen
God bless u all
Sauti ya mamlaka 😊
Mbarikiwe sana
mungu anaangalia moyo wa mtu na wala siyo mavazi😅😅😅
Basi asngeongele kuhusu mavaz
Mungu awabariki
Good ,God bless u
Nice song indeed be blessed
Mubarikiwe kwakazi ya bwana
Mbona anaingia kanisan na kofia