'Nipo tayari kumwambia Rais ukweli kuhusu vita ya dawa za kulevya ' -Mlinga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2017
  • Moja ya Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia katika kuhitimisha mkutano wa sita wa Bunge leo ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga.
    Mlinga alihoji uhalali wa baadhi ya Watuhumiwa wa dawa za kulevya kutajwa majina yao kupitia vyombo vya habari.

Комментарии • 49

  • @drnabwerayasin8437
    @drnabwerayasin8437 7 лет назад +8

    Kumbe Tanzania tuna Waheshimiwa Wabunge wazuri tu,Mh.Mliga anakumbuka jinsiwanavyopitisha bajeti kwa ushabiki wa Kichama badala ya masilahi mapana ya Watanzania wote,nampongeza pia kwa kuwakumbusha viongozi wenzake kuwa ni vibaya sana kumharibia mtu sifa yake kuja kuirudisha tena ni kazi ngumu.Sasa Mh.Mlliga,ebu tuanze na wewe mwenyewe,mwombe radhi Mh.Msukuma na uyafute yale maneno uliyotuambia Wananchi siku ya juzi kabla hii speech yako ya leo.

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 4 года назад

    Aiseee, kumbe unatoa hoja nzuri. Big up

  • @neemasadick7351
    @neemasadick7351 7 лет назад +5

    big up Mlinga....

  • @conrad4950
    @conrad4950 7 лет назад

    You are the best Ayo..big up..

  • @issamalipa8699
    @issamalipa8699 6 лет назад

    katika viongozi ninaowakubali ccm ni Mlinga pekeake nimtetezi halisi wa wananchi Mungu akupe maisha marefu Mbunge Mlinga

  • @emmanuelaggery6877
    @emmanuelaggery6877 7 лет назад +12

    shida ya hii vita akina makonda wamekurupuka wanatuhumu, wanaweka watu ndani ndo wanafanya preliminary investigatiin....this is stupid makonda katuelezea mbinu za kuingiza kwann wasngefnya kimyakimya kukamata kwanz ayo madawa ili watu watajwe na evidence zikiwepo

  • @sinwhole82
    @sinwhole82 7 лет назад +1

    Who is this handsome smart guy! 😲 I love this guy!

  • @swaburyrwamlaza1479
    @swaburyrwamlaza1479 7 лет назад

    asante

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 лет назад +1

    thanks Millard ayo

  • @alextanzania
    @alextanzania 7 лет назад

    Naipenda Tanzania yangu......

  • @abeidlhey377
    @abeidlhey377 7 лет назад +1

    we do have best mps eeeeee.... well said bro next time sema tu usisubiri uitwe na raisi

  • @sergiomapunda1837
    @sergiomapunda1837 7 лет назад

    well done mlinga

  • @fadhiliibrahim9702
    @fadhiliibrahim9702 7 лет назад +2

    Kweli...wachina wanauza hadi yeboyebo kariakoo smh

  • @ashuracharlesnzowa5120
    @ashuracharlesnzowa5120 7 лет назад

    safi msukima

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 лет назад

    sawa sawa Mkubwa

  • @thomasgetera217
    @thomasgetera217 6 лет назад

    victory

  • @nduluclassic4746
    @nduluclassic4746 7 лет назад

    ayseeee ni kwlii.........kabisa

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 лет назад +8

    jamani aliye sema kama meeza ingekuwa meaza ya BATI tungefikiria kwaza Meza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Iv MLINGA siutaniuwa before sijatajwa na MAKONDA 😢😢😢😓😓😓😓😓😰😰😰😰😰😰 Msikilize hadi mwisho 😃😃😃😅😅😆 HEBU NIAACHE KIDOGO mie naogopa sana POLICE 😄😄😄 MAKONDA UMEFANYA KOSA usiseme kuwa watu wamelala bungeni

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 6 лет назад

    Good luck😁😁😁

  • @muhammadalmasikawaya7228
    @muhammadalmasikawaya7228 7 лет назад

    Ahsante wanacheka ila unaongea point za maana mh

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 7 лет назад +2

    hahahahha dah huyu mlinga huyy

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 7 лет назад +1

    tomboa mlinga

  • @eliassamwel9172
    @eliassamwel9172 7 лет назад

    ............. Bora ukae chini tu,

  • @frabomdemu4767
    @frabomdemu4767 7 лет назад

    hapo mlinga nimekuelewa

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 6 лет назад

    msilete mbwembwe bungeni! na ww mlinga ukitaka tuko tayar kumwambia rais cha ww kuwatetea wauza unga na wabwiaji. Tunakujua vizur hata yule dada aliekuvua barakashia bungeni c unajua tafsir yake? pole sana Makonda hakurupuki ila ww ndy unakurupuka.

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 лет назад +3

    Ze comedy show hahahaaaa Eti meza zingali kua za chuma

  • @edsonisholagi5775
    @edsonisholagi5775 7 лет назад

    nakutabilia uje uwe raisi miaka ijao mlinga

  • @santimina9322
    @santimina9322 7 лет назад +2

    our politicians are the biggest drug barons apa kenya tunapigana the same fight.!

    • @boazmosses8204
      @boazmosses8204 7 лет назад

      Santi Mina kaa kwenu mpumbavu wewe

    • @amadsabimbona2553
      @amadsabimbona2553 7 лет назад

      ni kweli kabisa

    • @santimina9322
      @santimina9322 7 лет назад

      Amad Sabimbona inasikitisha sana the untouchable big fishes wako serikilani na serikali zetu zinajua lakini zinapiga siasa 2!

  • @bakarimohamed6150
    @bakarimohamed6150 7 лет назад

    ndiyo sssa wanageuka wamefikiri makonda atawaonea haibu

  • @255nyumbani6
    @255nyumbani6 7 лет назад

    huyu hajielewi kwa sababu yupo kisiasa

  • @gazamagerlad5245
    @gazamagerlad5245 6 лет назад

    kiongozi bora

  • @allyabeid342
    @allyabeid342 7 лет назад +1

    hapa ndo utajua akili mbovu nakufuata upepo kwawabunge hawa...wanatutesa pumbafu.

    • @salhaak.amgeni8908
      @salhaak.amgeni8908 7 лет назад

      ss hivi nimeamini kua wabunge karibu ya wote wqpo bungeni kwa ajili ya kutunga sheria za kujiendesha wao tu kujiona ndio nchi wamewewa wao hawana huruma na wananchi wao kabisa wanongea alafu wanabadili mada kwanini km bunge lipo kwa ajili ya wabunge tu bas musiingie mitani mkatupumbaza kusema kua tunenda bungeni kukuteteeni mnajitetea wenyewe na kitabu chenu ila haya yote nikwamba hamjafikwa nyie na kero hizi ila mungu yupo pamoja na kila mwenye huruma ya mwenzake

    • @ngometvarusha4030
      @ngometvarusha4030 7 лет назад

      +Salha Ak.a Mgeni wewe hujamuelewa mlinga ebu msikilize tena ,hivi wewe ukihusishwa apo mtaana kwamba nijambazi wa silaha ukatangazwa alafu hujahusikia unajisikiaje kama una mke ataweka wapi uso,mama ako ndugu alafu ukute ni mtu tu kutokana na chuki zake kakusemea ukalazwa ndani

    • @sudyreacts5889
      @sudyreacts5889 7 лет назад

      Joel Joel kesoy ujue shida ni nini bro watu wanatake easy kwakua wanaona kwa wenzao ndomana

    • @salhaak.amgeni8908
      @salhaak.amgeni8908 7 лет назад

      Joel Joel kesoy ujuekila mtu anavo chukulia jambo uzito wa kile kitu ila km mm upande wangu ndio njia ya kuweza kuwataja ninao wajua lakini sio kila siku nataja ntaja ila wapi km huhusiki katoe ushahidi km hupo kwani sheria si zinahusika heshima yakwako lakini ukisema unamuopa mtu kwa heshima bas ata baba au mama hutajemga mapenzi kwenye familia yako utakua unahofia mama kanizaa baba kanizaa siwezi kumuambia kitu ambacho anfanya nyuma ya maadili

  • @edsonsign9441
    @edsonsign9441 7 лет назад

    na ww ni muuza unga huna lolote.

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 7 лет назад

    miliga wewe ni jembe la ukweli umenifungua macho kumbe unajua chanzo cha haya yote Mimi napenda mtu mkweli kama wewe na msukuma na Bashe msiogope kuongea ukweli ili tulinde mama yetu Tanzania plz tutobolee hiyo siri iliyojificha nyuma ya madawa ya kulevya kumbe ni vita binafasi na siyo ishu yenyewe

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 7 лет назад

    Huyu si aliwahi kusema kuwa watu wa madawa wapo bungeni na alikuwa tayari KUWATAJA? Sasa Makonda amewataja wengine he is now butt hurt..?? Hivi hawa wabunge wanajitambua kweli au ni usenge usenge tu wamezoea..!

    • @officialkinghezekiah2094
      @officialkinghezekiah2094 7 лет назад

      shania twilka 😂😂😂😂😂

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 7 лет назад

      Wabunge ulionao ni dalili tosha ya wewe mpiga kura ulivyo mpumbavu. Peleka matako kwa wanaujua kuyatumia.. wewe na Mlinga wote wasenge..!

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 7 лет назад

      Peleka matako ..!

    • @justinemalima6701
      @justinemalima6701 7 лет назад

      kweli tena huyu mbuge anajitambua au wanataka wamwogope manji ,Gwajima au Mbowe kwa lipi sasa ! kama imegundulika wanahusika haki yao gereza au Wabunge wanataka nguvu Kazi ya Taifa iyendelee kupotea kwa madawa ya kulevya?

    • @officialkinghezekiah2094
      @officialkinghezekiah2094 7 лет назад

      shania twilka kwel jmaa kacomment pumba y mwaka😂😂😂