Thank you sister my mother always told me men are not supposed to cook, but when I came to America and found out am by myself now I had to learn from RUclips even making a cup of tea.
Shooga angu lile pishi la ndiz rosti lilinisaidia mno Ss nmekuwa mtaalam,asant kwa hlo Pia unaendelea kutufunza meng.... Hongera ww n mwalm mzur hasa unapoongea nakuelew sana 🍳🍳🍳🍳🍳. 🍽 🍴
iko vizuri sana kiukweli nimeupenda msosi najivunia kuwa mtanzania na tuna utajiri wa vyakula
#255 Gob bless us
Asante nafanyia kazi sasaiv
Usafi pia wa jiko na vyombo vyako unapendeza
😍😍😍😍😍
nakupenda bureee Magie! barikiwa kwa kushare ujuzi wako bure dear. Unaelekeza vizuri halafu unatumia viungo ambavyo its easy to get nakupendea hapo tu
Uko vizuri mpenzi na sauti yako nzuriii
dada unajitahidi sana, hata vitu unavyotumia vinaurahis kupatikana jmn, asante sana
🤤🤤barikiwa dada
Dah pishi zuri sana barikiwa dada
Thank you sister my mother always told me men are not supposed to cook, but when I came to America and found out am by myself now I had to learn from RUclips even making a cup of tea.
You are Welcome, keep watching and cooking ☺️
Jamaaaniii we dada upo vzrii so siri kwanza msafiii
Shooga angu lile pishi la ndiz rosti lilinisaidia mno
Ss nmekuwa mtaalam,asant kwa hlo
Pia unaendelea kutufunza meng....
Hongera ww n mwalm mzur hasa unapoongea nakuelew sana
🍳🍳🍳🍳🍳. 🍽 🍴
dada kiswahili chako chapendeza sanaaa🤗👌
Sana jmn
Asante kwa ujuzi my dear nimeipenda
Celina Msuya eee nmependa
😘 nimepnda mapishi yko yko safi
Napenda mapishi yke uyo dada hana ingredients nyingi
chakula kpo very simple NOT complicated ✌✌✊
Nice one dear
Hatari ile naz y pakit inafaaa
Daaah!!! Yani huuu mchuz noma
safii
nzuri
Mbn uto kidogo Sana'a wapika kujibanabana dada
Asante sana Dada kama inawezekana naomba utuwekeye jinsi yakupika nyama ya kuku Na ya ngombe asante
Ombi lako limefika nitaandaa video. Asante kwa kucheck video zangu.
Dada hayo maziwa ni mtindi au fresh ambayo yamechemshwa?
Nimeipenda hongera
nzuri sana
Asante 👌👌👌
safi sana dada
nimeupenda upishi wako my
hayo ndio mapishi ya kitanzania kabisa nic hamna gili gilan wal chochote safi san
Asante, Mapishi simple simple tu!
I love your cooking since u don't use alot of viuuungoooo
hahahahaha mimi nilikua nakula kupitia picha ya samaki nimeacha kuanzia leo ahahah ila wewe ni shidaaa
ahsante dada kwa upishi mzuri
+Claire Anne Karibu, nashukuru kwa kucheck
uko vizur dada
unapatikan wap
ahsantee mum sio kwa utamu huo
Kahawaiaaa
MashaAllah nice video
I like your cooking , great
shukran Dada kwa mapishi yako mazuri ningependa uandae video ya chicken crunch
Inakuja hiyo,
Nimeupenda upishi wako just bse hutumii spices nyingi kama wegine
Haswa
Ht mm
hi,unaweza weka dania na curry powder kwa huo upishi wa samaki?
+Betina Kima unaweza weka Bamia na curry powder Haina shida pia ni vizuri Bamia zikiwa nzima nzima
simple yani Hamna makorokocho mengi Asante nimejifunza
Asante sana my love kwa mapishi yako mazur unapatikana wapi
nzuri sana
Hiyo Nazi ni maji ya Nazi ama ni hiyo ya ndani muna blendi ? Mafasirio pliz
Sio Maji ya nazi, ni iliye ya ndani unablendi au coconut milk
Hongera nmejfunza
Asante my dear
love it
Amina kea ahhhhhhhhhh noma san
Kawawia
Nimependa
Lazima utie viazi,au unaweza pika bila viazi?
+Mary Kuta Unaweza ukapika Bila viazi, lakini Viazi vinasaidia mchuzi uwe mzito.
+Meg at Home - Swahili ywdwwfygh
Congratulations dada
Yummy xna bt hyo pilipili na sumaki ingekua ya mwisho coz samaki aeza vurujika n pilipili ukiipika xna ile harufu yapoteaa
Queen Mariana saleem
Thanks sis lyk it
Hutakuwi kuovercook vegitables.Unakuwa hupati vitamini za mbogamboga
Wow
asante sana,nimefurahi kwa kinijibu swali langu...nitapika .
mambo yangu hayo
mambo yangu hayo
Me nakuelewa Sana dada
uko vzr
napenda mapishi yako pia unatumia viungo ambav vinapatikana
Nzuriii
Rangi ya kahawia siyo Kawawiya.
Yote kwa yote Shukraan sana.
Nimekula wali na hii video yko 😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
😂😂😂
Saf sana mmy ila umesahau chumvi
nimeupenda huo mchuz nakuja kula
Asante sana ila kwenye samaki wabichi ulikuwa unapaka nini?
+rose joel mchanganyiko wa Tangawizi na kitunguu swaumu
Kwakweli Dada asante pishi lako LA ndizi nyama lili nisaidia now naweza kulipika
👏👏👏
Ahsant dada, samaki ukiwaweka viungo unakaa mda gani kabla ya kuwakaanga?
Ziache kama Lisa limoja viungo vikolee vizuri
Penda.sana.asante
iko safi
nice
Nice mumy
Cio kwa mchuzi huo dada
Yammy Yammy mammy... Mapishi yako mmmwwaah ngpnda kujua mengi zaid
Ila mmaa nlazma ku2mia huyo samaki ama Ata kw samaki aina nyngne naeza 2mia
Unaweza tumia samaki yoyote
tuekee upishi kama huu lakini uwe wa nyama yani mchuzi wa nyama ya nazi
hiii nime itia akilini sana napenda
Sio kawawiya ni kahawiya
Twaomba utuoneshe jinsi ya kupika cake
jaman ntak grp la mapish mm
HAHAAAAA NIKO NAKULA ZANGU UGALI HAPA NA VIDEO YA SAMAKI...ASANTE DADA
+shangwe robert 😂😂
Nzuri sana
Sasa kupika pilau ya samaki dufundishe
Pilau ya samaki ???
Nmejaribu kupika leo
napenda xana
mbona hutandikii ingridients kama aroma of zanzibar
nice