Good job baba j congratulations ila kuwa makini kwa kazi zako ww unapata viewers mob likes mob comments pia hujui nani mbya wako kwa kazi zako ju movies zngne humalizii sisi tunangoja wasema kina tatizo omba Sana MUNGU watu kuna Muslims na Christians ombeni Sana jamani MUNGU atawasaidia kwa kazi zenu be careful dad j with your team more love u all
Babajoan unakipaji kikubwa sana NIMEKUONA muda mrefu ACHANA nawaiguzaji wasiojua hao ndio wanakuferisha sana jaribu kutafuta wasanii wazuri wenye kujua ku act kichwa chako ninakikubari naona unafika mbali sna ,babajoan the great
Nakukubali baba Jon hongera saana kwa kazi nzuri inaenda vizuuri saana na zaidi wewe hucheleweshi kazi na mda nao wakuanalia tunashiba kwa kweli movie ngingu za wenzako ni mda mfupi saana lk ww ni wamauwa banaa❤❤❤❤🎉🎉
Nashukuru sana baba J kwa kazi nzuri tena yenye mafunzo Mungu azidi kukusaidia kwa kazi zako ili uendelee kutuletea mambo moto moto much love from kenya riadhy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maana ya kuagalia hizi episodes sio kulilia link😢ni uagalie ujue wapi wamekosea utoe maoni ili wajue wapi wamekosea acheni mambo n link🎉🎉🎉🎉nawapendaga uku kenya mjuee❤
Baba joan anajua kwenye suala zima la series na muvi naomba tumsapoti afike mbal
Mwenyez mungu amsaidie katika sanaa yake 🙏🙏🙏
Amina mkuu jamani 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi nzuri uliyoifanya baba joani maua yako please unastahili
Walipo ishia siyo walipo anzia
Walipo ishia siyo walipo anzia
😂
Kile kipande cha polisi kiliendaje ?
@@PenuelDanielbb
Good job baba j congratulations ila kuwa makini kwa kazi zako ww unapata viewers mob likes mob comments pia hujui nani mbya wako kwa kazi zako ju movies zngne humalizii sisi tunangoja wasema kina tatizo omba Sana MUNGU watu kuna Muslims na Christians ombeni Sana jamani MUNGU atawasaidia kwa kazi zenu be careful dad j with your team more love u all
Amen ni changamoto tu zilitokea kazini kwake Ila from now on atamaliza tumuombee mungu ampe nguvu aweze kuyashinda majaribu yote 😍😍🎉🎉🎉
Sawa sawa MUNGU ndio kimbilio tumuombee tu
Love from Kenya ,kazi safi baba Joan
Unaweza baba joan ❤❤ nakupongeza sana uendeleee hivo
Nmekuwa wa kwanza like zangu jaman
upuzi tuuu serie huwezi kujua inatoka wapi inaenda wapi iliko ishia siko inanzia😢
Wewe unasema upuuzi,,, Sasa SI utoe ya kwako !!!!!
🎉 Kama kawa kazeni
Good movie big up baba Joan nataman support yako
Baba joani kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤from 🇰🇪
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Babajoan unakipaji kikubwa sana NIMEKUONA muda mrefu ACHANA nawaiguzaji wasiojua hao ndio wanakuferisha sana jaribu kutafuta wasanii wazuri wenye kujua ku act kichwa chako ninakikubari naona unafika mbali sna ,babajoan the great
Njoo wewe unae kwani kuingiza kanzi laisi kama kukometi
Wow,! Nishaipenda,kazi nzuri sana babajoan,,,pongezi
Nakukubali baba Jon hongera saana kwa kazi nzuri inaenda vizuuri saana na zaidi wewe hucheleweshi kazi na mda nao wakuanalia tunashiba kwa kweli movie ngingu za wenzako ni mda mfupi saana lk ww ni wamauwa banaa❤❤❤❤🎉🎉
Jamani tunapokuwa tunassidia na ukulibisha watu hata kaa ni nfugu ,nilazima kufanya maombi katika familia, Muire Mungu hakufunike kwa damu ya Yesu
Wow leo nimewai on time💪💪
Tunakufatilia tukiwa Congo RDC 🇨🇩🇨🇩Akika Baba joan unajuwa sana tu tukukubali Congo 🎉🎉🎉
Kazi nzuri baba joan kaza mwendo❤❤❤❤🎉🎉
Twaomba muendelezo wa mali ya matehemu mana haijaisha
Nimewahi leo❤❤❤
Kazi nzuli baba juan❤❤❤l'm from Burundi 🇧🇮
Aaaaah,, baba Joan hujawahi kuniangusha❤❤❤❤❤,,,,muendelezo please maana nitamu sana
Nashukuru sana baba J kwa kazi nzuri tena yenye mafunzo Mungu azidi kukusaidia kwa kazi zako ili uendelee kutuletea mambo moto moto much love from kenya riadhy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Baba Joan congratulations and more blessings from. Kenya Wilbrondo
Good job❤❤
Asanten kwa kutuchekesha Jin kayayuka😊 😂😂😂😂😂
Hi guys ❤
Matembele yanauzwa mia mbili😅
Baba Joan bana !! @Juzi nilikuwa naenda kazini kukata umeme kama kawaida.....😂😂😂😂
Napenda sana unavyo fanya baba John hauna baya aka mwalimu mgeni Big up
Watching From Kenya😊😊❤Big Up baba Joan
Always UpTo date baba Joan. Hongera sana. Kenya twakupata loud and clear
Tout me félicitations à vous pour une bonne production je vous aime
Hongera baba j kazi nzuri
Wanamkubali Baba Joan na vitu vyake vya kuelimisha mkuje hapa na likes zake😂😂😂
Maana ya kuagalia hizi episodes sio kulilia link😢ni uagalie ujue wapi wamekosea utoe maoni ili wajue wapi wamekosea acheni mambo n link🎉🎉🎉🎉nawapendaga uku kenya mjuee❤
Yaah hapo umesema daa❤❤❤
Kweli kabisa
Kabisa vinaboa
❤@@user-dz4pi6np8i
❤@@user-dz4pi6np8i
Ba joan naomba nijiunge na wasaniii wako
Cjai comment bt hii n moto keep it up
Good job bab joan endelea mbele
🤣🤣🤣🤣🤣waaah nae anauzoefu.kweli😁kayeyushwa yeyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri San 🎉🎉🎉
Kazini kama kawaida kukata umeme😂😂😂😂😂😂
Congratulations baba joan good job❤🎉
Nko ndani❤❤❤❤
Keep it up baba joan.umenielimisha zaidi.ubarikiwe sana
Babe Joan kazi nzuri
Waw nizuri kabisa muedeleye ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mauwa Yako baba na team yako
Uko vizuri baba joan
Natamani pia mm kuingiza na nyinyi🎉
Good job baba Joan ❤❤❤
Nawapenda ❤❤movie ❤
Jamani maombiiiii niyamuimu
👨👩👦👦👨❤️👨▶🤒😭😎🐅🐂🐀🍑🍒🍉🏡🏈🎶🎵🎙📷📹
Dah hatari sana kumbe huyu baba Joni baba yake ni Jini duh
😂😂😂😂Ameibaaaa 200
Good job baba Joan
bonus oscar from Karagwe good job baba joan
Good Job baba Joan❤❤
Daaahh KAZI nzuri mnooo kaka uko fit sana babajoan
Keep it up
Kazi mzuri baba Joan upewe maua yako🎉
Bba joan pokea maua yako kutok 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 aky unfny kazi nzri sana mungu Akuzidishie
Uko sawa baba joan❤
Nzuri hiyo ❤❤❤❤❤❤
Jamani kwa nini munaweka music kwenye hizi movie.munakera
Msichelewe kutuletea episode 3
Wow Nishaipenda kazi nzuri xna guys 🎉🎉
Kazi nzuri....ila twaitaji episode 3
Baba Joan uyo dada unayeigiza nae ndo mama Joan mkeo au? Mzurii❤
Am glad to pray in your amidst. I feel blessed. Joining from Toronto
Mamaeee bonge ya move
Nice work
Poleni sana wakuu 😮😮😮❤❤❤❤❤❤
Mi wa 129 leo
Nimekumic sana mkuu 😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤😊
Tatizo la baba jeo movie zake hazifike mwisho
🔥🔥❤ episode 3
Kaz nzur❤❤❤
Good job baba joan
Good job Baba joan🎉🎉🎉🎉
Napenda sana uku kenya
Asee mkuu 😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤
Nyamazautulieq😅
Eti "mama juzi nilikuwa naenda kazini kukata umeme" yaani unafanya kazi ya kukata umeme????😂😂😂😂😂
Baba Joan anaelimisha kwa sanaa yake
Kaz nzur
Wow nazipenda kazi zako baba joani🎉
Moo vzur kwenye uigizaj
❤❤❤❤❤
Wakwanza kutoka ujeremani nipe like
Huo ni uwongo😅
Mambo
Vp mlembo
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi Zuri
Baba Joan nakukubali hiokazi ninzuri
❤❤❤❤❤poa😊
Kazi nzur baba joan
Kazi nzur
Love from kongo ongera
Mbona movie za majini una act vizuri sana,, ama uliingia kwa ile chama 😂😂😂
Great job watching from Kenya 👏 🎉🎉
Kama umeikubali hii kazi basi Tupia like hata moja hapa
Twende sawa