MWANAFUNZI WA AJABU Full episode 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 апр 2024
  • #babajoan #lovestory #school #comedy
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 156

  • @Munaaa255
    @Munaaa255 2 месяца назад +18

    Congratulations dad j I love your work forever may ALLAH protect you all dad J's team nawapenda nyote mlipo

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 2 месяца назад +7

    Napenda sana kazi kazo baba Joan big up from Oman

  • @AlikadiusKweyamba-jj2ud
    @AlikadiusKweyamba-jj2ud 2 месяца назад +14

    Watano nipeni like zangu

  • @KileshoJr.002
    @KileshoJr.002 2 месяца назад +10

    Kazi nzuri🎉

  • @user-qx4dg1bc6r
    @user-qx4dg1bc6r 2 месяца назад +5

    Hongera baba Joan,,,,ila bdo naisubr Mal y marehem

  • @wilsonsamsonwilliams
    @wilsonsamsonwilliams 2 месяца назад +5

    Kazi nzuri nangoja part 4

  • @hamdiahmedibrahim7056
    @hamdiahmedibrahim7056 2 месяца назад +2

    Baba Joan hiiyo movie si ulete part 3 na part 4,5 Barka kuesha movie nilichoka ku tafuta

  • @user-ep3hw2ki6d
    @user-ep3hw2ki6d 2 месяца назад +14

    Jameni Leo nipeni like hata kumi from Burundi 🇧🇮🇧🇮 nikafika mapema

  • @user-lz8kb9ds8k
    @user-lz8kb9ds8k 2 месяца назад +1

    Waaah baba joani naikubali hii movie kali❤❤❤❤❤❤sana from 🇰🇪

  • @user-hw3of4wb7d
    @user-hw3of4wb7d 2 месяца назад +11

    From Kenya 🇰🇪

  • @user-dc5he7ss6f
    @user-dc5he7ss6f 2 месяца назад +3

    Mambo ni moto baba joan siutoe mbili mbili kuliko moja moja😂😂😂❤❤❤🎉

  • @jacklineteresia2629
    @jacklineteresia2629 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri maua yako Baba joan🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri #baba joan kinyozi wako 🎉🎉🎉🎉ya kwake haya

  • @user-ho2cg8ef1y
    @user-ho2cg8ef1y 2 месяца назад +3

    Nipeni like Niko Kenya na mfuatilia

  • @user-yi6ub2uq2i
    @user-yi6ub2uq2i 2 месяца назад +1

    Leo imekua moto xna tunagoja Episode 4 much Love ♥️♥️♥️

  • @user-sh8mp8rn2h
    @user-sh8mp8rn2h 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri baba Joan

  • @Binthassan-jm1hl
    @Binthassan-jm1hl 2 месяца назад +4

    Team strong 🇰🇪

  • @Yusta-pm2oi
    @Yusta-pm2oi 2 месяца назад +3

    Mke wa baba J ana matudi😅

  • @mwandiletv9421
    @mwandiletv9421 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri ila hakikishwni mnavyotoa zisi ishie njiani

  • @fideliswambua3346
    @fideliswambua3346 2 месяца назад +3

    Baba Joan kazi ni safi . Alfu hi jini si ni supu na imebeba . Nipe number ya jini ikitaka kunimeza ni sawa tu😂😂😂

  • @user-yu9qn4oi3g
    @user-yu9qn4oi3g 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤ very nice 🔥nimejifunza sio kila unae mwona anamatatizo ni wakumsaidia vitu vingine ni vyakuacha t ona ss baba Joan anavyo teseka kwa kumsaidia Mt akijua ni mwanafunzi kumbe ni jini 😢😢

  • @user-ev9th8js7z
    @user-ev9th8js7z 2 месяца назад +1

    Mm wa hamsini leo naombeni like 😂😂😂

  • @NoelaKk
    @NoelaKk 2 месяца назад +3

    ❤mie wa pili Leo naomba likes zenu

  • @RemtahNanzala
    @RemtahNanzala 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 2 месяца назад +3

    Waaah hiii kaliiii

  • @Alice-yt7ow
    @Alice-yt7ow 2 месяца назад +1

    Wao ❤❤🎉 congratulations from kenya

  • @NelcyAfrica
    @NelcyAfrica 2 месяца назад +35

    Mie wa pili leo naomba likes zenu

    • @user-rq2fk1rr5u
      @user-rq2fk1rr5u 2 месяца назад +2

      Umekuja ukuu kutafuta likes au

    • @NelcyAfrica
      @NelcyAfrica 2 месяца назад +3

      @@user-rq2fk1rr5u likes ni kwa baba joan please

  • @ExaveryLukas
    @ExaveryLukas 2 месяца назад +2

    From kigoma mwisho wa reli like zangu 🎉

  • @boazwabwile7457
    @boazwabwile7457 2 месяца назад +2

    Baba joan unaweza ❤❤❤

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 2 месяца назад +3

    Baba joan unakazi napenda movie zako❤❤❤❤

  • @KileshoJr.002
    @KileshoJr.002 2 месяца назад +3

    @Baba Joan unaboa sana maana kuna wakat unakuwa kama una akili

    • @goodluckmhagama5363
      @goodluckmhagama5363 2 месяца назад

      Kwann sasa😂😂

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 2 месяца назад

      Khee makubwa haya😂😂😂
      Unamjua kweli uyo baba joani au unalopoka tu ww

  • @bosslady1286
    @bosslady1286 2 месяца назад +2

    Mapema ndo best❤❤❤🎉🎉🎉

  • @user-gg1on4gb1e
    @user-gg1on4gb1e 2 месяца назад +2

    Mali za marehemu imeishia wapi ????????jmn😢😢

  • @hassankalush7513
    @hassankalush7513 2 месяца назад +1

    Leo ni mm ebu nipen likes zangu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад +2

    Kitabu ceusi kitazuwa bala kubwa anakua anajigeuza mke wa bb Joan 😢

  • @madymag6926
    @madymag6926 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri sanaa❤❤❤

  • @user-zs2vk4ub5x
    @user-zs2vk4ub5x 2 месяца назад +4

    Kwawanao ikubali hii movie tujuane

  • @RebeccaNyaboke-zb9ox
    @RebeccaNyaboke-zb9ox 2 месяца назад +2

    Watching from 🇰🇪 na napenda hii movie

  • @user-gx9gd9zc3o
    @user-gx9gd9zc3o 2 месяца назад +1

    Waaaah noma sama😂😂🎉❤😊😊

  • @aesha5468
    @aesha5468 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri

  • @teresiawaceke2193
    @teresiawaceke2193 Месяц назад +1

    Am from Uganda and I like your videos!

  • @kingsalim3958
    @kingsalim3958 2 месяца назад +1

    Watching from eldoret city🎉

  • @goodluckmhagama5363
    @goodluckmhagama5363 2 месяца назад +2

    Nyie mnaombaga likes m nawaonaga kama misenge😂😂😂😂 Nenden mkafanye kazi baba joan anatafuta waigizaji😂😂😂Tutawapa likes kazi wafanye wengne nyie mnalilia likes Wasenge nn😂😂

  • @user-bg9pb6jf6l
    @user-bg9pb6jf6l 2 месяца назад +5

    001

  • @NgiyimbereFrancoisngiyim-zm6vb
    @NgiyimbereFrancoisngiyim-zm6vb 2 месяца назад +1

    Jaman Léo nimekuwa wa kumo from Burundi❤❤

  • @mswachimphunde2434
    @mswachimphunde2434 2 месяца назад +1

    Saut ya vinanda zpo juu fanyen ajust

  • @user-sp5zj8nk9i
    @user-sp5zj8nk9i 2 месяца назад +2

    😂😂😂kulishwa nyama anywei congrats

  • @suleimanbuta3217
    @suleimanbuta3217 2 месяца назад +1

    Et inajikuta nani wewe 🤣😆 haki kamsemo nimekapenda sana

  • @fredjohn8869
    @fredjohn8869 2 месяца назад +1

    Uko vizuri

  • @mrmajengotz.
    @mrmajengotz. 2 месяца назад +2

    Mimi ushauri wangu,,,, Sterling WA hii move ni @Babajoan, sasa nilichokiona move IPO serious na sterling ambae ni @Babajoan anafanya comedian

  • @SafiaHamadi-vi4xv
    @SafiaHamadi-vi4xv 2 месяца назад +1

    Mtabir mzuri❤

  • @kibaniotv
    @kibaniotv 2 месяца назад +3

    Nice job

  • @MaA-kn9ty
    @MaA-kn9ty 2 месяца назад +2

    Mie wa 3 naomba like zangu 😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @user-on7in9tz6e
    @user-on7in9tz6e 2 месяца назад +1

    Kazi njema

  • @hawasilangala7514
    @hawasilangala7514 2 месяца назад +2

    Nmeisubr sana

  • @AlikadiusKweyamba-jj2ud
    @AlikadiusKweyamba-jj2ud 2 месяца назад +2

    Nakukubali baba joan

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 месяца назад +2

    Kazi tamu

  • @teddyanalubowa8188
    @teddyanalubowa8188 2 месяца назад +2

    Hi guys nice to see again ❤

  • @AliAlmarri-vi2vx
    @AliAlmarri-vi2vx Месяц назад

    Kaxi nzuri baba joan

  • @israelkirway5504
    @israelkirway5504 2 месяца назад +1

    Jamani ishu siyo like, ishu ni kutoa maoni kuhusu kazi namna gani ifanyiwe maboresho😊😊❤

  • @user-dk3po7wo4o
    @user-dk3po7wo4o 2 месяца назад +1

    Mtabiri ni mrembo💗💗

  • @hakizimanabilali
    @hakizimanabilali 2 месяца назад +2

    HIYI MOVIE NI NZURI ILA TATIZO NI MOJA TU MNAPO ISHIA EPISODE SIPO MNAPO ANZIA INAFANYA STORY IWE INA CHANGANY REKEBISHENI HILO ❤❤

    • @HeppinesiBakari-vk7dd
      @HeppinesiBakari-vk7dd 2 месяца назад

      Na we unesha ona mi nilisha lala mika sana ye haoni tamrmthiria zingine jaman

  • @salomejames9639
    @salomejames9639 2 месяца назад

    Ihi muvi kali kuliko baba joan utuwaishie sehemu ya nne bass❤❤❤

  • @rahmahrr4471
    @rahmahrr4471 Месяц назад

    Wow good job 👏🎉🎉❤❤ naomben like jamn na mm

  • @saumosoro9799
    @saumosoro9799 2 месяца назад +1

    Kimeumana mwanafunzi noma

  • @user-ic8mc3bd8l
    @user-ic8mc3bd8l 2 месяца назад +1

    Good job ❤️❤️❤️❤️👏👏👏👏😮😮😮

  • @KileshoJr.002
    @KileshoJr.002 2 месяца назад +3

    Mm n 350 naomba like 🎉 jamani

  • @salehHassan-rl8bd
    @salehHassan-rl8bd 2 месяца назад +1

    From kenya

  • @MarcyMuthama-eh9yo
    @MarcyMuthama-eh9yo 2 месяца назад +1

    Nimependa ❤

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 2 месяца назад

    Good job

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 2 месяца назад +2

    NAMBA like zangu nawafatilia kutoka kibaigwa

  • @user-hr6ds2uq3u
    @user-hr6ds2uq3u Месяц назад

    Poleni sana jamani mkuu 😅

  • @RamadhaniMtaita-yj7yl
    @RamadhaniMtaita-yj7yl Месяц назад

    Ukifanya vizuri utapewa like

  • @maramajames7258
    @maramajames7258 Месяц назад

    Hamjambo,naitwa oketch,natokea kenya, movie ni nzuri lakini mwisho wa episode sio mwanzo wa episode nyengine.

  • @kenethkoome9895
    @kenethkoome9895 2 месяца назад +1

    Tuna ngoja next episode 4

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 2 месяца назад +1

    Reo waine 4like

  • @deviceguru5946
    @deviceguru5946 2 месяца назад +1

    wow recom mendable

  • @ramadhanisaidi4190
    @ramadhanisaidi4190 2 месяца назад +1

    Kaz nzuli

  • @BakaliJohn
    @BakaliJohn 2 месяца назад

    Kazi nzur kk

  • @JacksonKyando-mz1ou
    @JacksonKyando-mz1ou Месяц назад

    Mia Mia baba John nakufuatilia

  • @AzizaShaban-hf1lu
    @AzizaShaban-hf1lu 2 месяца назад +1

    Like zenu.wakwanza leo jam

  • @NastyCleopathra-me3sq
    @NastyCleopathra-me3sq 2 месяца назад

    Kazi nzuli

  • @PendoMkane
    @PendoMkane 2 месяца назад

    nimeipenda iyo

  • @ShallonBabey
    @ShallonBabey 15 дней назад

    The comedy
    is so good ❤❤🎉😅

  • @ShallonBabey
    @ShallonBabey 15 дней назад

    The comedy is soo good

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 2 месяца назад

    Ku baabayo is typing..

  • @JaneroseNafuna-bn4nk
    @JaneroseNafuna-bn4nk Месяц назад

    Hi movie iko fiti sana

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 2 месяца назад

    Good work

  • @FaudhiaIssa-wm5uq
    @FaudhiaIssa-wm5uq 2 месяца назад

    Muendelezo usichelewe basi

  • @user-pg2xj9jd9l
    @user-pg2xj9jd9l 2 месяца назад

    Nipo tayari

  • @Binthassan-jm1hl
    @Binthassan-jm1hl 2 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @user-xm9if4lf7n
    @user-xm9if4lf7n 2 месяца назад

    Nilikua nimeisubiri sana ,

  • @TumainJohn-ve8bb
    @TumainJohn-ve8bb Месяц назад

    Angalieni muvi like za nini mnakula au

  • @user-fn6tb3si7m
    @user-fn6tb3si7m 2 месяца назад

    Maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 2 месяца назад

    Baba joan unajua kuigiza ila unaalibu kuweka music kwenye kazi zako.hii itatufanya tushindwe kufatilia kazi zako.plz acha kuweka muziki

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 2 месяца назад

    Wa mwisho

  • @ammylov7527
    @ammylov7527 2 месяца назад +1

    Kame mpeti peti alafu kana sema kame choka 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @aesha5468
    @aesha5468 2 месяца назад +1

    ❤❤

  • @Doreen-254
    @Doreen-254 2 месяца назад +1

    Episode 4 ikuje 🔥🔥❤️

  • @Secret_Entrepreneurial
    @Secret_Entrepreneurial 2 месяца назад +1

    RDC