Hili suala la vyeti vya kuzaliwa na matumizi ya polisi kuwaua wakosoaji au washauri wa serikali ni mbinu zinazotumiwa na CCM kuwanyamazisha watumishi wa Mungu na wazalendo wa nchi hii. Ipo siku uovu huu utafika tamati ktk nchi hii ya kusadikika.
Baada ya utoto na ukurupukaji wa tra na sasa immigration...kisa kukosolewa na kuambiwa watubu.Toba inawahusu wote Bila kujali vyeo vya duniani na vya muda.Hongera mtumishi.Mkuu aliepungukiwa na akili uwaonea Sana wake... mithali...
Inawezkana hamuelew ,, RAIA n mtu gan,, hv mnadhan raia n mtu aliezaliwa nchini .... Its full story of living style of a person and uzalendo matters not kila mwenyej n raia
Ukiona Institutions za serikali zikitumika isivyo badi inatia ugumu hata katika ulipaji wa kodi. Pindi wananchi watakapozinduka katika hili basinmambo yataenda sawa ila kwa sasa vibaraka wataongezeka
Jamani muniachie baba angu huo uraia vip...hamuoni hata kama nabii hakubaliki kwao nyie ni too much khaaaa....Nchi inaaman kwaajili ya maombi yao alafu nyinyi mnafanya nn? ....
sasa mnatafuta laana kubwa kabisa" hivi Ras huoni haya kwa nini usikemee mambo kama haya mtumishi wa mungu anahangaishwa hivi mtaletea nchi balaa kubwa matapata majibu subirini
Kama mnaona cc watu was kgoma CIO was tz bac tuacheni cc na kgoma yetu ili tuwe nchi inayojtegemea coz hats maendeleo naona mmetuacha nyuma c km mikoa mingne
KAKOBE NA AMINI UMIZALIWA TZ NA PIA NI MTANZANIA,LAKINI BIRTH CERTIFICATE KWA TANZANIA ZIMIANZA KUTOLEWA ZAMANI KIDOGO SIKUMBUKI WAMEANZA KUTOWA LINI,MIMI NIMIZALIWA 1956,NILITOA BIRTH CERTIFICATE 1971,KWA KUPELEKA BOMANI MASHAHIDI WANAO NIJUA.
Uhamiaji mnazingua ujue ? Yaani mtu ana miaka zaidi ya 70 hapa nchini eti leo ndio mnahoji uraia wa mtu ? Cha kushangaza anayehoji inawezekana anazidiwa hata historia ya nchi yenyewe. Mnazingua bhna tumewachoka
Kumbe ndio maana yule dogo aliye mshitaki baba ake Antoni petro halikuchukuliwa kwa uzito sana Kwa sababu walidhani sio M-bongo Land Pole sana Tanzania Pole sana na ninajuta..
Angalieni sana enyi wenye dhamana mnachuma dhambi bure ,nayo dhambi itaitafuna taifa mbona mnalinajisi taifa kwani kuwabambikizia watu kesi kwanini mnaikataa kweli na haki
yayaya kweri watuludishie mkoa wetu burundi kwani story inaonyesha kwamba kigoma ilikua kwa inchi ya burundi namwenye alie saini mkataba na wajerumani angali hai burundi kwahio choko choko hizo italeta shida kwa mkoa wa kigoma ushahidi tunao
jumma edward msenge we ko unataka utawaliwe n.a. nchi ndogo kuliko mkoa wako this is Tanzania kama mnampango na muhutu mwenzio muichukue kigoma mtakufa
Mzee fanyakazi ya mungu achana na siasa mbona wenzenu nchi za nje wanajihusisha na dini tu siasa ni yawanasiasa nyie mnatakiwa kuombea amani tu nasivingine
Hivi Kweli Idara Ya Uhamiaji Inaoujasiri Wa Kuwauliza Uraia Na Vyeti Vya Kuzaliwa Vya Mababu Na Mabibi Wa Marais Wote Wa Zanzibar Au Tanzania Bara ?. Wa Kabila La Wangazija Visiwani Zanzibar Wamo Katika Kusumbuliwa Bara Ana Nondo ,Mukizi Na Sasa Askofu Kakobe. Jenerali Ulimwengu Na Wengi Wengineo . Uhuni Huu Utaisha Lini ?.
Viongozi wetu mnaongoza vizuri na tunawapenda.ila mbona mtu akiongea maneno ya kuwakera mnafanya figisu figisu? Hivi kakobe anazeeka ndio mnakumbuka Leo uraia wake? Mnatukera sasa
ZANZIBAR MTOTO AKIZALIWA TU NDANI YA MIEZI 3 ANAPATIWA CHETI CHA KUXALIWA, NASHANGAA SANA MTU ANAFIKIA KUWA MZEE TANGANYIKA ANAKOSA CHETI CHA KUZALIWA,JIPANGENI NDUGU ZANGU.
chassesi Namba Acha ushamba ww wazinza siyo wahutu , wazinza chimbuko lao ni kutoka Nkole (buganda empire) sasa Uganda !! enzi zile za miaka ya 18000 !! miongoni mwa makabila ya asili mkoa wa mwanza ni wasukuma , wazinza na wakerewe!! wazinza si wahutu!! thuswhy wazinza lugha na utamaduni wanaendana na Wahaya!! wazinza wako Sengerema mwambao mwa ziwa victoria kisiwa cha kome , geita, chato!!
Daaaah aise mtumishi wa mungu ni mtumishi tu hakika utawashinda nimekuelewa sana Mungu yupamoja nawe!
Haya mambo wanahangaika bure, huwezi kumuonea mtumishi wa Mungu ukabaki salama, Mungu huwa hachezewi.
Nimekuelewa sana Baba Askofu,Mungu wa mbinguni yuu pamoja nawe
Kayonza napajua vizuri sana hapo mtumishi wa Mungu pambana Kiroho kwa majaribu unayopitia
kakobe ww nimuhubir mzur sana na mungu anakutumia lkn hapa kati umejiingiza ktk mambo ambayo hayajengi kanisA unakua kama umetumwa au kutumiwa
Mungu akupiganie askofu wetu nchi hii imekuwa haitaki kweli na haki
Hili suala la vyeti vya kuzaliwa na matumizi ya polisi kuwaua wakosoaji au washauri wa serikali ni mbinu zinazotumiwa na CCM kuwanyamazisha watumishi wa Mungu na wazalendo wa nchi hii. Ipo siku uovu huu utafika tamati ktk nchi hii ya kusadikika.
Kakobe pole sana sana wewe NI Mtanzania kabisa bila hata kujitetea
Pole sana Ndugu yangu
Watashindana lkn hawatashinda, kakobe ww ni mtu wa Mungu, omba sana Mungu ashuhulikee na hawa waovuu tumechokaaa
Uonevu wa hari ya juu pole sana baba👍
Hawa watumish wa Mungu hawajawai kuteteleshwa kifalaa!!.. Wako imala km Safina....
Baada ya utoto na ukurupukaji wa tra na sasa immigration...kisa kukosolewa na kuambiwa watubu.Toba inawahusu wote Bila kujali vyeo vya duniani na vya muda.Hongera mtumishi.Mkuu aliepungukiwa na akili uwaonea Sana wake... mithali...
Naipenda Tanzania yangu.
Ila inanipa mawazo kwa jinsi inavyopelekwa
Jamani serikali Kama mnaona kigoma sio Tanzania bhasi igaweni Burundi au iuzeni Kwa Burundi tujueni moja sio mnawapa vikwazo ndugu zetu
Inawezkana hamuelew ,, RAIA n mtu gan,, hv mnadhan raia n mtu aliezaliwa nchini .... Its full story of living style of a person and uzalendo matters not kila mwenyej n raia
Ninyi ccm mnasumbuka Sana kwa kweli na siasa za vitisho
Long live KIGOMA, I feel proud to be mwana~KGM tena MMANYEMA haswaaa... from both my parents!.
MUYUMBA SIMBA kigoma akuna kabila LA manyema ,ukisema ivo ukiwakigoma wanajua we nimkongo tu!!mambo hYo dar .
Wacha weeeee........., nacheka kimanyema khwaaaa... khwaaaaa..... khwaaaaa.... khwaaaaaa............
Ukiona Institutions za serikali zikitumika isivyo badi inatia ugumu hata katika ulipaji wa kodi. Pindi wananchi watakapozinduka katika hili basinmambo yataenda sawa ila kwa sasa vibaraka wataongezeka
Thanks
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Jamani muniachie baba angu huo uraia vip...hamuoni hata kama nabii hakubaliki kwao nyie ni too much khaaaa....Nchi inaaman kwaajili ya maombi yao alafu nyinyi mnafanya nn? ....
Hussein Bashe pia alihojiwa baada ya Kuwasema,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,,!
sasa mnatafuta laana kubwa kabisa" hivi Ras huoni haya kwa nini usikemee mambo kama haya mtumishi wa mungu anahangaishwa hivi mtaletea nchi balaa kubwa matapata majibu subirini
Mtumishi mwache bwana. Apigane
Timing ni tatizo "kwa nini sasa au kwa nini baada ya.. "
Watashindana lakini hawatashinda kamwe
Serikali ya kuwatafutia visa wananchi wake ni serikali ya kishenzi na ukweli utabaki ukweli. AIBU AIBU AIBU
Nimeipenda punch moja ‘ ‘kama ni URAIA watafute kitu kingine’...!...Yaani Maana yake wanapoteza muda..!
Mungu akiwa upande wako, n nan aliye juu yako?
Ni tatizo kubwa sn hili,bila ukosoaji nchi haitaenda
mj
Kama mnaona cc watu was kgoma CIO was tz bac tuacheni cc na kgoma yetu ili tuwe nchi inayojtegemea coz hats maendeleo naona mmetuacha nyuma c km mikoa mingne
KAKOBE NA AMINI UMIZALIWA TZ NA PIA NI MTANZANIA,LAKINI BIRTH CERTIFICATE KWA TANZANIA ZIMIANZA KUTOLEWA ZAMANI KIDOGO SIKUMBUKI WAMEANZA KUTOWA LINI,MIMI NIMIZALIWA 1956,NILITOA BIRTH CERTIFICATE 1971,KWA KUPELEKA BOMANI MASHAHIDI WANAO NIJUA.
Mungu akupiganie wataangaika sana.
😂😂😂😂😂Nchi hii bhana... Wakishndwaga ndo wanasakizia uraia 😁😁😁😁😁😁😁...
Fransis Paris 😀😀kweli kabisaaaa
😂😂😂Waje wanikague na me maana Ata me sijielew elew na uraia😁😁😁
Tz ingeuzwa2 kila mtu apewe chake ajue anaenda wap🏃🏃
mtihani huu sasa
Vumilia kidogo tuone mwisho maana NENO LA MUNGU LINASEMA HERI MWISHO WA JAMBO KULIKO MWANZO ,
Tatizo serikal haitaki kukosolewa
Ndo mana inakuja KWA NIN
nadhan serikali imekosa ubunifu...... inafanya vitu hadi watanzania wote tunajua kuwa ni figisu....... nadhan mnajiaibisha
Sam Mabula kabsaaa yaan hadi aibu
Akinamagu na akinabashite waende uhamiajiiiiiiii
Kule wakimbizi wengi na vile ulikosa uzalendo ,vile vile mbishi hivyo nikawaida tu sio ajabu tujilizishe ,
many if not all Africans are not originally from where their ancestors came from.
Inatia uchungu sana, tujenge nchi
ukitaka kuona maajabu Saba ya duniani hili nalo limo tena tz yangu ole wako uwambie akina nanihii ukweli utayalishe vyeti vya kuzaliwa la sivo
Hakuna jipya,
tumieni mbinu nyingine!
mi nashangaa kwanini miaka yote hiyo hakuchunguzwa uraia wake mpaka alipoanza kukosoa?
Arudi kwao Burundi yeye na Nondo
Uhamiaji mnazingua ujue ?
Yaani mtu ana miaka zaidi ya 70 hapa nchini eti leo ndio mnahoji uraia wa mtu ?
Cha kushangaza anayehoji inawezekana anazidiwa hata historia ya nchi yenyewe.
Mnazingua bhna tumewachoka
Who is this man?
Kumbe ndio maana yule dogo aliye mshitaki baba ake Antoni petro halikuchukuliwa kwa uzito sana Kwa sababu walidhani sio M-bongo Land Pole sana Tanzania Pole sana na ninajuta..
sawa tu ni vema Kama umetoa maelezo yako mzee
samahani jk
Angalieni sana enyi wenye dhamana mnachuma dhambi bure ,nayo dhambi itaitafuna taifa mbona mnalinajisi taifa kwani kuwabambikizia watu kesi kwanini mnaikataa kweli na haki
naanza kutumia kingereza tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu iko siku msiponieewa mtaniuliza uraia.
Mi ni kuambi Ndugu hii nchi zuli sana nahaina ubaya usitie ubaya ,wala watumishi Wa MUNGU hawaku Fanya hivyo walikua watii nahii ni neno LA MUNGU
kama vp wazishe viongoz yote adi rais wetu achunguzwe
ccm chadema sawa sawa
ccm chadema itakuwa wazo zuri kila mtu afanyiwe hivyo na kweli tunaona fahari kuwa Wazanzibari au Watanzania
Jifunze kuhubiri zaidi yahusuyo njia yakumuelekea mwenyez mungu na maisha baada yakifo siasa muachie gwajima
Larick Mtui hujitambui kabisa
Heche Chacha wewe unaejitambua point yako niipi au unataka nikupe Kiki?
yayaya kweri watuludishie mkoa wetu burundi kwani story inaonyesha kwamba kigoma ilikua kwa inchi ya burundi namwenye alie saini mkataba na wajerumani angali hai burundi kwahio choko choko hizo italeta shida kwa mkoa wa kigoma ushahidi tunao
jumma edward msenge we ko unataka utawaliwe n.a. nchi ndogo kuliko mkoa wako this is Tanzania kama mnampango na muhutu mwenzio muichukue kigoma mtakufa
Hahahahahahaha
willymartin martin Haujaelewa wewe. Huyo ni mrundi anasema sisi watanzania tuwarudishie wao mkoa wao wa Kigoma 😀😀
jumma edward je mtwara au bukoba au ngara ,cjui wanarengo gani!!!
Nimejifunza kitu Mimi mwenyewe Babu yangu akifa nitaomba Azikiwe sebureni
Hii nchi niyavigogo sio ya wannchi
Yaani serikali inasumbuka na mtu mmoja tu kiasi hiki yaani mnatia aibu kwa kweli
Mtanzania ni nani?
Lakini mzee si umeaita waje wakope hela kwako, ndo mwanzo huyo wewe mtumishi wa bwana kushinda mahakamani nadhani unajutiya kauli zako!
Wanamsumbua Baba tu maana miaka yotee walikuwa wapi
Mbona mtukufu ulaia wake ni Wa mazhaka ole wako labda ufie madalakani
Babu passport hawAkupi 🤔😪wamekupa moyo uanshanga unapewa mwakan passport yako lol Tanzania 🇹🇿 yangu 😫
Mzee fanyakazi ya mungu achana na siasa mbona wenzenu nchi za nje wanajihusisha na dini tu siasa ni yawanasiasa nyie mnatakiwa kuombea amani tu nasivingine
Hivi Kweli Idara Ya Uhamiaji Inaoujasiri Wa Kuwauliza Uraia Na Vyeti
Vya Kuzaliwa Vya Mababu Na Mabibi Wa Marais Wote Wa Zanzibar
Au Tanzania Bara ?. Wa Kabila La Wangazija Visiwani Zanzibar Wamo
Katika Kusumbuliwa Bara Ana Nondo ,Mukizi Na Sasa Askofu Kakobe.
Jenerali Ulimwengu Na Wengi Wengineo .
Uhuni Huu Utaisha Lini ?.
Viongozi wetu mnaongoza vizuri na tunawapenda.ila mbona mtu akiongea maneno ya kuwakera mnafanya figisu figisu? Hivi kakobe anazeeka ndio mnakumbuka Leo uraia wake? Mnatukera sasa
Lakini mtu hata Kama sio mtanzania Si anaruhusiwa kununua uraia wa nchi yoyote
mzeee piga albadili uteketeze wote wanao onea watu WAMETUCHOSHA bhanaaaa
Wakupeleke sasa wanakojua ni kwako
Haaha,,,viongoz wa srkl acheni mambo ya kitoto na kijinga ,,,kwani kigoma ni tz,,? Mnaing'ang'ania ya nini?
serikali isiwasumbue watu wa #KIGOMa jamani
Bado magufuli ajifunze siasa
BABA LAKINI SIULIWAITA WAJE WAKOPE HELA HIYO CHEZA NAO SASA KELELE ZA NININI????
mwenyewe kaburi lako ni futi moja kwa tano, unautaka uraia wangu mtanzania mwenzako ukusaidie nini? upunguani mtupuu
Ww ndo unaona umeguswa Masheh Wa Zanzibar wako wapi
😂😂😂 itabidi iwe operation ya nchi nzima inawezekana na yeye ni wa huko maana hatupati story ya hospital alio zaliwa
mbona Mbeya hawaambiwi ni wa ZAMBIA, au WAMALAWI? why kigoma tuu?
Mie wakiniita tawaambia raia wa Uswis tuone kama watanipeleka.
Hamad Shein ha ha ha haa!!! Umeniacha hoi!!!
Inakuwaje wakuhoji tangu zamani? Ina maana wana mashaka na wewe, acha kujishika na watu wengine mzee, usihojiwe wewe ni nani acha ujanja ujanja
Jeshi gani ulojiunga tapeli mkubwa ww😞
jkt tena oljoro
We nae ka humjui kaa kmyaa
Inaenda WAP tz? Nasogea goligota
Ansigar Kichenge kweli kabisa
Lakini askofu Kiswahili chako ni cha kutafuta sana nini tatizo au laughs gani ambayo unatumia nyumbani kwako
Omari Kessy we siumezoea kiswahili cha kijiweni we una mwona mtu wakijiweni huyo.?
Unafiki mkubwa wa serikali
kgm wanateswa
vpi bashite kaonyesha
Pole sana mtumishi wa shetani
Chz usie jtambua
Fgjj Gbnko shetan baba ako
James Sebastian 😂😂💃
Twiga mbunda 😅😅😉😉
Emmanueli Kipinga 😁😁😄
Yaani mtumish ni kwamba ww kiswahili chako ni kizuri kuliko cha hao wanaokuhoji? 😂😂😂😂
Ina maana askofu kutoa mawazo mbadala amekuwa sio raia
Jamn watz tunaenda wap
ZANZIBAR MTOTO AKIZALIWA TU NDANI YA MIEZI 3 ANAPATIWA CHETI CHA KUXALIWA, NASHANGAA SANA MTU ANAFIKIA KUWA MZEE TANGANYIKA ANAKOSA CHETI CHA KUZALIWA,JIPANGENI NDUGU ZANGU.
rashid suleiman kwa Nini hujaelewa mbona kaeleza.mwaka 1955 hiyo Zanzibar ilikuwa pengine hata karatasi walikuwa nazo waarabu tuu
rashid suleiman rudia kumsikiliza vizur birth certificate imeanza kutolewa mwaka 1981 yeye kazaliwa 1956 sikiliza kwa makini kaka
HILA WEWE ULIWAHITA MWENYEWE NDOOO WAMEKUJA SASA ANGAIKA NAO SASA BABA MCHUNGAJI
Huyu si mtu wa mchezo mchezo
Ahahhahahahahhahahaha ndii ndo Tz bna tunaelekea kma Rwanda 😂😂😂
Kwakweli serekali ytu inapotea
jpm naetujue uraia wake wazinza niwahutu kabisa wamehamia mwanza auwakimbizi wamepandikizwa inchi zamaziwa makuu
chassesi Namba Acha ushamba ww wazinza siyo wahutu , wazinza chimbuko lao ni kutoka Nkole (buganda empire) sasa Uganda !! enzi zile za miaka ya 18000 !! miongoni mwa makabila ya asili mkoa wa mwanza ni wasukuma , wazinza na wakerewe!! wazinza si wahutu!! thuswhy wazinza lugha na utamaduni wanaendana na Wahaya!! wazinza wako Sengerema mwambao mwa ziwa victoria kisiwa cha kome , geita, chato!!
Kwikwikwikwi
😂😂😂😂😂😂😂😂
ha ha ha haaaaaaaa. Eti kiswahili changu ni kizuri kuliko cha wale waliokuwa wakinihoji. Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Natamani ningezaliwa Oman maana hakuna mitafakaruko baina ya serikali na wananchi wake.
Mungu ni mungu zee wa ngu simama tuu
kama huwezi kuchangia usimtukane mtumishi wa MUNGU