'Ruto watu wanakufa na mafuriko na wewe kazi yako ni kubadilisha magari!' Angry Mt Kenya Lady fumes

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @kenyadigitalnews
    Kenya Digital News brings you the latest news as they happen in a DIGITAL way.
    For more news, subscribe to our RUclips Channel because the future is Digital.
    Click here to subscribe to our RUclips Channel: / @kenyadigitalnews
    #KenyaDigitalNews

Комментарии • 84

  • @teresiamusyimimusyimi5484
    @teresiamusyimimusyimi5484 Месяц назад +7

    Wamuchomba Ruto is having agenda for human sacrifice

  • @mohammedrajab6514
    @mohammedrajab6514 Месяц назад +8

    Ruto ni President wa one Tribe not a kenyan President. Shame on you so called mtu wa Mungu.

  • @kibindankoi9824
    @kibindankoi9824 Месяц назад +4

    Ni nyinyi watu wa Central na watu wa makanisa ndio mlimchagua. Sasa hivi kimewaramba.

  • @DakorTrony
    @DakorTrony Месяц назад +14

    Nyinyi kikuyus ndio mlichagua Ruto. Wacheni upuzi wenu? . Mlikataa Raila na you voted Ruto so stop your nonsense

  • @teresiamusyimimusyimi5484
    @teresiamusyimimusyimi5484 Месяц назад +4

    Ruto is completely out of sense he doesn’t make any sense of what you’re saying wamuchomba

  • @stephenodhiambo6982
    @stephenodhiambo6982 Месяц назад +3

    At least he broke the record and went to MAI MAHIU today after he learnt that Uhuru had spoken on the calamity

  • @zackok2592
    @zackok2592 Месяц назад +2

    Where did Ruto tears go?

  • @adelaide1826
    @adelaide1826 Месяц назад +3

    Hio ilikuwa crocordile tears

  • @davincimaths9492
    @davincimaths9492 Месяц назад +2

    UDA is left with bloggers and parliament supporting him.. That's why these bloggers are insulting this woman

  • @user-iq1ri1co2p
    @user-iq1ri1co2p Месяц назад +3

    Mlikubali machozi yake na mkaamini yeye badala ya Mungu

  • @judithokemwa2807
    @judithokemwa2807 Месяц назад +4

    Ruto alikula pesa za El nino zamani na zingine atapewa zitaingia account yake. Hakuna kitu mtapata ng'o! Tuliwaambia huyu jamaa hawezi kazi na ataua watu, mkasema hasla wetu. Ujinga ni kitu kibaya.

  • @judithmukabwa4258
    @judithmukabwa4258 Месяц назад +2

    Ndo mnaanza kuelewa nini 😢😢😢

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b Месяц назад +1

    Ni uchungu sana bt according to ruto ssi anapiga hesabu ya hizo shamba zimeharibiwa na mafuriko,mvua ikiishia tu utasikia shamba ni lake,aliyaa na bado mtoe tax ,mlisema kafaa muici ruto

  • @user-iq1ri1co2p
    @user-iq1ri1co2p Месяц назад +1

    Hapa kenya Mungu amekasirishwa na kk mahali mlipo

  • @JoshiIMbukwa-jc8vt
    @JoshiIMbukwa-jc8vt Месяц назад +1

    Kazi yake ni kununua magari na mandege. But mlitarajia nn kutoka kwake

  • @charlesmuriungi4547
    @charlesmuriungi4547 Месяц назад +2

    Wakikuyu mtajuta ...Ruto hana makosa ali deal na nyinyi properly. Hakuna malipo yu voted and and nobody forced yu. Shenzi ..Rareni tunarara njaa😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😢

  • @user-hr2ih5uu4t
    @user-hr2ih5uu4t Месяц назад +1

    Huyu prezzo halali angalia vile amekonda akifikiria nji yake u can see all the parties wanashirikiana including sisi wananchi nobody is to be blamed let's repent our sins

  • @GingerBreadMan76
    @GingerBreadMan76 Месяц назад +1

    I feel this womans pain. Wakenya muamuke sasa. Si kudanganywana na wanasiasa wa kanisa madimples na wakupiga magoti na kulia.
    mlisema raila hajatairi. Raila ni mchawi. Ujinga wenyu ndio unawakula sasa.
    Uda ni mafi. Anyone standing with uda in central kenya atatolewa asubuhi

  • @philipndiema2228
    @philipndiema2228 Месяц назад

    Politics ni kitu mbaya sana. Your enemies tarnishes your name where it is not necessary and naive people believe in it. I will never and never venture into Politics.

  • @fatumaadam7970
    @fatumaadam7970 Месяц назад

    Kwa hivyo ashikilie mvua .it's the whole world Kuna floods.

  • @TlaatlaahTlaatlaa
    @TlaatlaahTlaatlaa Месяц назад +2

    mbona umependeza sana na hujafanya chochote pale kwa mafuriko, na mbona rais na viongozi wengine wako huko kwenye scene. na mbona mafuriko ni janga la asili malalamiko ni ya nini?

  • @johnmwangi9231
    @johnmwangi9231 Месяц назад +1

    Madam naoba usimtaje Mungu unapoongea mambo ya serikali, MUNGU hajui mtu anayeitwa rais, tafuta kwa maadiko yoyote; rais ni mapenzi ya watu, dio maana hata aingie nani lazima machozi' na Bado; paka siku watu watamrudia Muuba dio atawapa kiongozi;

  • @zaitunisagwa2082
    @zaitunisagwa2082 Месяц назад

    Use your brain woman. Sio kila kitu ruto ruto! Tz, Rwanda,Kenya, hata arabuni Kuna mafuriko. Ruto apande juu azure mvua au?

  • @ellymajuma1547
    @ellymajuma1547 Месяц назад

    Nani atapiga kura na anawacha watu wanakufe wanasombwa na maji

  • @hellenochieng2078
    @hellenochieng2078 Месяц назад

    Is there no prophet in Kenya to help Kenyans.Why would we not humble ourselves and return

    • @johnmwangi9231
      @johnmwangi9231 Месяц назад

      Prophet wa nani; na mungu anaye abudiwa siku hizi ni mwingine sio yule wa Musa, mungu wa Leo ni msisadi,ana hongwa, jua hii serikali ni ya kanisa; watu walisema (sio uchawi ni maombi) sasa kama kweri ilikua maobi ya kweli haya dio matokeo,rais asiyekataa sodoma na Gomorrah,na niwa kanisa;

  • @charitynguyo3956
    @charitynguyo3956 Месяц назад

    ‭Isaiah 35:4 NIV‬
    say to those with fearful hearts, “Be strong, do not fear; your God will come, he will come with vengeance; with divine retribution he will come to save you.”

  • @felixkenda9417
    @felixkenda9417 Месяц назад

    Petty tribal minds,shut your beak!!!

  • @nyakoejob4470
    @nyakoejob4470 Месяц назад

    At least wewe ulikuwa unaona. Majority of kikuyus walisema wanataka mwenye ametahiriwa. Kuleni hiyo mboro yake sasa.

  • @Mombasa-gz7rd
    @Mombasa-gz7rd Месяц назад

    Wakenya walichagua nyagau wakiona ni rais.

  • @stanleynjuguna9546
    @stanleynjuguna9546 Месяц назад

    Wewe umefanya nini

  • @musaandrew-dh7zk
    @musaandrew-dh7zk Месяц назад

    Awa ndio wamelaani nchi yetu juu mungu alitupea kiongozi na awajawahi kukubali vile kuko.mlikua mnaandamana juu ya unga na bado shida zenu zinaongezeka

  • @johnmwangi9231
    @johnmwangi9231 Месяц назад

    Tukiwa wakuraumiana hakuna siku tutapona; hua tunakosea kwa kutegemea watu,shida ikitupata dio tuna kumbuka muuba, bona wakati wa campaign hakuna Cha MUNGU ni mtu wetu na pesa!? sa hii ni MUNGU tusaidie,shida ikiisha tuna msahau! Mithali 1:23-29:

  • @WWEST464
    @WWEST464 Месяц назад

    When the leader of our former colonisers visited this country,that's the day he took turn for the worse.just like former presidents,there must have been an elaborate ceremony for his induction.A king does not just show up at the door step

  • @robertkariuki1567
    @robertkariuki1567 Месяц назад

    Shameon you

  • @janebosie767
    @janebosie767 Месяц назад +1

    Ruto the best president.2027 tano tena. Domo kaya peleka kwako

  • @munaelmimohamed9912
    @munaelmimohamed9912 Месяц назад +1

    Ruto ni magician 2fix decades of mess in a yr wacha propaganda za kijinga

    • @chriscao9828
      @chriscao9828 Месяц назад

      Ur head is full of dogs shit

    • @judithokemwa2807
      @judithokemwa2807 Месяц назад

      Ruto alikula pesa za El nino zamani. Na zile zingine atapewa zitaingia account yake.

  • @atthesunyousee
    @atthesunyousee Месяц назад

    Tugokira tene

  • @user-hr2ih5uu4t
    @user-hr2ih5uu4t Месяц назад

    Ruto hana shida let's kneel down on our knees and ask God for forgiveness these are last days God is warning us atleast the government is trying actually is so painful losing imetuguza wote ukisema haya what about Dubai ile destruction ilifanyia watu si rahisi tushirikiane wote kwa vyovyote vile either financially, physically or in prayers

  • @sueshi3792
    @sueshi3792 Месяц назад

    HOW DO YOU ELECT A PERSON WHO HAS ZERO TRACK RECORD OF DEVELOPMENT PLANS THAT HE EVER CAME UP WITH DEVELOPED AND IMPLEMENTED... THEN NOW YOU ARE MAKING NOIZE...
    GÍKÚYÚ, NĪMWASHAGÚRÍRE ÚRÍA MWEDAGA, ONA MWAHENIO MÚTÍAIGUIRE MWARÍRIO...
    KIRAI BIÚ, KIRAI😠😡😠

  • @charlesmuriungi4547
    @charlesmuriungi4547 Месяц назад

    Pare 😂😂😂ire😂😂😂

    • @charlesmuriungi4547
      @charlesmuriungi4547 Месяц назад

      Uso ni fanta mikono ni cocoa.
      Yu voted for Ruto ..mkasema nikiogozi amechaguliwa na Yesu😂😂😂😂😂 hatupagwigwi

  • @Patoh254Somie
    @Patoh254Somie Месяц назад

    Ni Ruto ameleta hiyo mvua kamama kamkora wewe!

  • @geffmukozi1550
    @geffmukozi1550 Месяц назад

    You are hyperbolising 😊

  • @susankaburu4527
    @susankaburu4527 Месяц назад

    Wewe acha vita, mvua ni ya mungu watu ni wa mungu, sasa unasema Ruto anakula vizuri .for sure niyeye alimwaga maji?

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 Месяц назад

      uyu naye ni swali gani anauliza ati mvua ni ya Mungu si ungekufa hao walikufa na maji wapaki😢😢 una faida wewe dunia hii

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 Месяц назад

      Nimekuuliza swali, ? Leave that comment niko na faida kwa Mungu mwenye uhai, na wale hunitegemea!

  • @user-my9hv7mp9c
    @user-my9hv7mp9c Месяц назад

    Na msisahau mkicheza ataenda myaka 25

    • @shhjab3621
      @shhjab3621 Месяц назад

      😂😂😂😂😮😮

  • @MoMo-qw5mp
    @MoMo-qw5mp Месяц назад

    Nyinyi wajinga commenters who don't support her, jua ameuliza pesa za el nino ziko wapi?
    So usianze uliza kama ruto alileta mvua!

  • @musaandrew-dh7zk
    @musaandrew-dh7zk Месяц назад

    hii chokoraa ilijiuza mpaka ikaisha market na sasa imeshindwa mahali itapeleka iyo kasuku yake

    • @jesmilinaom6989
      @jesmilinaom6989 Месяц назад

      Kua na.utu

    • @musaandrew-dh7zk
      @musaandrew-dh7zk Месяц назад

      @@jesmilinaom6989 ata yeye atumie akili.kazi ya mungu haina makosa na asiwekelee binadamu

  • @MoMo-qw5mp
    @MoMo-qw5mp Месяц назад

    Ruto wants to be told what he wants to hear, delusional.

  • @user-et5yp1lj4b
    @user-et5yp1lj4b Месяц назад

    Pumbavu. Uliza governors pesa ya El Nino zilienda wapi na sio Ruto. Otherwise wewe endelea kubwega bwega tu seeking cheap publicity. There is nothing new you are telling us. Hopeless loser.

    • @user-lm6wx5fp4s
      @user-lm6wx5fp4s Месяц назад

      Kwani serekali ni nani ka si ruto ama ni ww mnapora pamoja na pharaoh wako

  • @robertkariuki1567
    @robertkariuki1567 Месяц назад

    Unataka afanye nn,kwani ni Ruto anawaua,shindwe sana unaongea kaa kubafu

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 Месяц назад

    Mdomo nikama typewriter

  • @susanchebet76
    @susanchebet76 Месяц назад

    Unataka ruto akae kando ya mto aweke watu kwa mkongo waja ujinga

  • @bonfacekiplimo1997
    @bonfacekiplimo1997 Месяц назад

    Ruto is the best President

  • @marykinyeru3909
    @marykinyeru3909 Месяц назад

    Kwenda uko wewe unataka afanye aje na mvua niya mungu nasi wewe unaeza saidia pia 🦒 🦒

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Месяц назад

      Eti mama analalamikia saa ya Ruto na koti zake. Anataka auze agawe pesaro kwa watu!

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 Месяц назад

      Huyu mama huanga na chuki, mvua ni vita ya mungu ulizeni mungu maswali aiiiiiii

    • @user-my9hv7mp9c
      @user-my9hv7mp9c Месяц назад

      Wakenya hio matusi na madharau yenyu dio mungu ana waacha