Mwanaume wa Dubai anunua kisiwa cha TZS Bil.137 kumzawadia mkewe ili aweze kuvaa bikini kwa faragha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Комментарии • 190

  • @yussufritzy7684
    @yussufritzy7684 Месяц назад +1

    Kizuri zaidi ni. Kwamba amemnunulia Mkewe..
    Thats great

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv Месяц назад +5

    Kwa upande wangu mimi hata sishangi maana Mapenzi yananguvu sana kuliko kitu chochote hapa Dunia. Nawaombea kwa Mungu awape maisha marefu na yenye Furaha tele ❤❤ 🇨🇳

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika Месяц назад +66

    Labda hao wanawake wa uko wanashukurani na wanajitambua . Lakini wahapa Tanzania ni sawa na kumuosha mbwa asiye na mwenyewe kwa mema utayo mfanyia. Nilifanya mengi sana kwa aliye kua mke wangu ikiwepo kumnunulia magari mawili kwa siku moja lakini aikusaidia. Ndiyo maana naishi peke yangu mwaka wa 16 sasa. Wanawake wengi wa kiafrika awana shukurani na awajitambui na awajui wanacho taka katika maisha yao. Wanaume kueni makini sana na wanawake wengi ni tatizo kubwa kwa maisha yetu na wengine ni wezi usaliti tamaa mbaya. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani Kamanda.

    • @SudyKamonongo
      @SudyKamonongo Месяц назад +6

      Pole sana wakat mwingine naogapa hata kuoa naogopa sana kusalitiwa

    • @AishaMohamed-q3l
      @AishaMohamed-q3l Месяц назад +2

      Pole bro

    • @KhanKhan-h4t
      @KhanKhan-h4t Месяц назад +7

      Polesana ila kunawenyeshukrani my brother 😊

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija Месяц назад

      tupo tusiojua kusalit na tumekosa wanaume wauminifu kma nyie mmekosa wanawake wauminifu😊​@@SudyKamonongo

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 Месяц назад +17

      Tatizo wanaume wa kiafrika nao ni balaa tupu. Wanawake wa nje kila kona, kuheshimu mke ni shughuli yani kifupi ni 50/50. Ila mwanaume wa kiafrika apate mwanamke mzungu anavomnyenyekea sasa utasema tuko enzi za kina Kunta Kinte. Badilisheni mfumo wa mawazo yenu mtaishi vizuri tu na wake zenu no matter nationality

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Месяц назад +10

    hiii stori angesimulia sky ningeinjoi sanaa

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 Месяц назад +18

    Mungu awazidishie mapenzi muzikane

  • @EvaGlow-r3e
    @EvaGlow-r3e Месяц назад +12

    Mbona comenti nyingi niza wivu tu 😂😂 kama hujahi kupenda ama kupendwa kaushiya tu,mapenzi yapo ameumbwa na mungu 😎😎

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 Месяц назад +1

    Nimependa caption. MWANAUME😂😂🙌🙌🙌

  • @zuwenashabani7100
    @zuwenashabani7100 Месяц назад +18

    Simtu ajitokeze mm hata sitak yote haya nataka anipende tu

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp Месяц назад

    Maasha allah mume yupo sahihi ❤❤❤❤

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d Месяц назад +8

    Kamnunulia kisiwa co pepo 2najuwa waarabu wakiume n wema kwa wake zao ila hao wanawake MUNGU mwenyewe ndio anajuwa.pia PESA ipo mwanaume wa kbongo mafankio yake kukmbilia kuoa ndg wanaanza kuona mke hafai kwa mtt wao 😢

  • @mackysuphian
    @mackysuphian Месяц назад +2

    Eeh MUNGU muumba ardh na mbingu navyote vilivyopo duniani nione na mimi😢

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe Месяц назад

    Pole kaka sio wote

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 Месяц назад +1

    Hahaha 😂 dàaaaah 🥺 Hawa wenye Hela wanafanya sisi lalahoi tusiambulie watoto wakali hahaha 😂

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj Месяц назад

    Ma Shaa Allah dda yetu una suti nzur yakutangza❤

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Месяц назад

    Kuna watu ,watabaki na Dunia milele,,,maana wanapata raha na kuenjoy maisha😁😁😁😁😁

  • @BigMan-f1v
    @BigMan-f1v Месяц назад

    Ama kwl pesa zimeshachapishwa tayri n kufanya mpango wa kuzipata tu😢

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Месяц назад +6

    😂😂😂😂 sio ww unahonga IST zogo mtindo mmoja dar hain raha

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 Месяц назад +1

    hawa hela wanatolea wapi jamani

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад +4

    Hamisa akimjua hilo danga ataenda dubai eti

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 Месяц назад +2

      Wee nawe mwanaume mzima unakaa kumsema mtoto wa kike huna ata aibu, ndio mana huna lolote

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 Месяц назад

      ​Anamuonea wivu mwanamke asiemuhumia aibu naona mm😂😂😂ndra39823

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 Месяц назад +10

    Pesa Ni sabuni ya roho

  • @fakijecha
    @fakijecha Месяц назад

    Ukiskia ukiwa Nazo Tutajua ndo hii watu hawajitangazi ila pesa ndo inawatangaza

  • @saidadam2165
    @saidadam2165 Месяц назад

    Arbab yupo njema sio poa 🙌🏾

  • @mohamededdi7527
    @mohamededdi7527 Месяц назад +1

    Uku kwetu ati mtu anakimkebe cha gari ati na yeye anapesa .

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Месяц назад +1

    Uyu mtangazaji ni mbunifu wa vitu vivutavyo hongera sns

  • @hawababy120
    @hawababy120 Месяц назад +2

    Minataka wakunipenda kiukweli tu🤦‍♀️

  • @theexpertrader
    @theexpertrader Месяц назад +2

    Nikajua kanunua kisiwa Cha Tanzania

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 Месяц назад

    Utawaliwa ndo unazia hapo mnawezaje kuuza kisiwa uku ndo vina wafanye waje kulipia iyo tax mean code ya kutebelea icho kisiwa amja ivikiria Zanzirbar????😅😅 kwani bano unakubali kutawaliwa? Mkijuwa kabisa walivyo nzarau hao wa harabu😢. SIJAPENDA! kama mwanaich......

    • @samwa9496
      @samwa9496 Месяц назад +1

      Roho mbaya hiyo hela si imeingia serikalini si lilikuwa pori tuu

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Месяц назад +1

    Utakuta mijitu ya bongo inang'ang'ania mapenzi hadi kuuwana alafu sasa haijui hata sheria moja ya mahusiano, maisha yao yenyewe majanga mh

  • @OmmyConscious
    @OmmyConscious Месяц назад

    mwamba huyuapa❤ 🫡

  • @rerisamba
    @rerisamba Месяц назад

    Mtu akaishi na mapepo na majini sitaki asante

  • @zuumlondwa9518
    @zuumlondwa9518 Месяц назад

    Kwaiyo mmeuza kisiwa chetu 😢😢

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 Месяц назад

    🔥🔥

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Месяц назад

    Nikajuw kanunua kisiwa TZ

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Месяц назад +4

    Apo mwanamke aki cheat lazima apigwe bastola

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 Месяц назад

    Duh

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Месяц назад

    Kama Pesa ipo hakuna shida,,,hata dunia ampe tu akitaka

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu Месяц назад

    Hao watoto wa dubai nilazima watumie pesa hovyo kwasababu wazee wao wanaiba Sanaa zahabu kutoka BARA la AFRICA, mwanamke kujielewa sio kweli

  • @munirasalim148
    @munirasalim148 Месяц назад

    ngoja tuu niwe mkweli ukiachana wanawake huwa tunachuki za wenyewe kwa wenyewe ila sky huyu dada kwenye kusimulia story aisee inakata hata hamu ya kuisikiliza anasimulia kama hadithi za kale binafsi nimekua mvivu kufuatilia sns…plz mbadilishie kitengo sio kwa ubaya 🙏🏽

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 Месяц назад

    😂😂😂 wanaume wakiarabu wanajuwa kupenda bana

  • @kisoso890
    @kisoso890 Месяц назад

    Yaani unazidi kufeli mwisho wa siku utakua kama Millard ayo hivi kwanini kazi za kiume mnapenda kuwashirikisha wanawake huu ni upuuzi kazi za kiume zibaki kuwa za kiume sasa nini hiki unatuletea tumeshazoea sauti ya kibabe huu ni ujinga uliopitilia kama alioufanya magukufuli

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Месяц назад

      Wewe huna akili kabisa

    • @Jafreez
      @Jafreez Месяц назад +1

      Ni kweli huna akili kabisa, inakuaje uvutiwe na sauti ya mwenzio mwanaume. Hii inaitwa SIMULIZI NA SAUTI, panapo itajika sauti ya kiume itakuepo napanapo itajika sauti ya kike pia itakuepo facts.

  • @SeifMassoud
    @SeifMassoud Месяц назад +2

    Na wewe mtangazaji sio Kiliharimu, kiswahili fasaha ni KILIGHARIMU

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад

    Mungu wangu nipe na mume tajiriiiii aninunulie kisiwa cha salalah kipo Oman 😂😂😂Mungu kama unasikia dua yangu nimepe mume tajiriiiii mieee🎉🎉🎉

    • @AllySibila
      @AllySibila Месяц назад

      Ushapata Inshaalah

    • @FaudhuHamza
      @FaudhuHamza Месяц назад

      Nipo njoo nikununilie

    • @Shadia544
      @Shadia544 Месяц назад

      @@AllySibila inshaallah

    • @Shadia544
      @Shadia544 Месяц назад

      @@FaudhuHamza inshaallah nasubili

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Месяц назад +2

    Na mwanaume wa marekani anaemnunulia mondi viws mbona utuletei abari 😅😅ila pdd konde gang kwetu ni sherehe ukitaka amini mond kaliwa ckiliza intv ya dudu baya inayotirend namba 2 yutubu bombo claaaaaaa jeshiiiiiiiiiii 🌺 🌺

  • @upgo6112
    @upgo6112 Месяц назад

    Oya nani kauza tujue

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns Месяц назад +2

    Kwahiyo alishindwa kuva bikini wakati kichwa kipo wazi muda wote... Wanapromote biashara kwa kisingizio cha zawadi

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d Месяц назад

      Upuuz 2 wenze2 wanaera wengne wanamilk vcma vya mafuta serikal zao znawalpa wanataka kuona wa2 hawapendw

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p Месяц назад

    Duuu pesa

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 Месяц назад

    Mazali ana hela ni fresh tu!

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Месяц назад

    hizo bikin zenyewe anazo lakin

  • @boscojackson5557
    @boscojackson5557 Месяц назад +1

    Duuh!

  • @skteller5039
    @skteller5039 Месяц назад

    Umesahau kuwaambia kua mmewake alimkuta bikra na alishawah kujivunia kua alijitunza kutokumjua mwanaume mpaka alipokutana na mmewe

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d Месяц назад

      Hzo bkra mkzpata mnaztoboa ksha mnawarudsha makwao kcngzio mwanamke hajui mapenz mnaenda kwa mishangaz nyiny hamna shkran

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Месяц назад

      ​@@FatumaJumanne-p4dtena bora umesema

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Месяц назад +1

      Acha uongo wanawake bikra hamtaki mnataka wenye umalaya.

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d Месяц назад +1

      @@nightwishisthegreatestband6355 N upuuz Maana cku hz hawana msemo Zaid bkra na ndio wanaongeza kuwanyanyasa

  • @EzraDaniel-uq3ox
    @EzraDaniel-uq3ox Месяц назад

    Jijana mkumbwa wa p didy apa nani yoko tayari nimnunulie kisiwa?😂😂

  • @ramadhaniibrahim-zv1ci
    @ramadhaniibrahim-zv1ci Месяц назад +1

    Wakwanza

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Месяц назад +1

    Tunaomba takururu waanze uchunguzi

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 Месяц назад

      Uchunguzii wa takukuruu na habari hii vinausiana vipii😅😅😅 kisiwa kipo bara la asiaa ukuu

  • @KhairatBundala
    @KhairatBundala Месяц назад +2

    Mnatudanganya mmesema ili aweze kuvaa bikin! Hapana huyo itakuwa anabembelezwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    • @jameskayobera
      @jameskayobera Месяц назад

      @@KhairatBundala good point

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Месяц назад +1

      Ndio akili zenu zilipo ishia

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv Месяц назад +1

      ​@@MohamedAhmada-ie7ke good point 🫡🫡🇨🇳

    • @abdurazaqiamisi1463
      @abdurazaqiamisi1463 Месяц назад

      Hujasikia wanapo fumua Malinda?na kubariki ili wa ende watende bila wasiwasi

    • @KhairatBundala
      @KhairatBundala Месяц назад

      @@MohamedAhmada-ie7ke ongeza na wewe mawazo Yako tuone akili Yako inapoishia🤔🤔🤔🤔🤔

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k Месяц назад

    Wakijakuwachana khaa hio itarudishua atabaki peupe aniulize mimi😂😂😂😂

  • @HASSANALIHASSAN-j2h
    @HASSANALIHASSAN-j2h Месяц назад +2

    Aminunulie na Pepo pia 😂

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 Месяц назад

    Bikini imefangaje?😅

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k Месяц назад +3

    Alafu kuna wewe ata pesa ya chakula kwa mkeo hutoi unapeleke ka
    Pesa kwa mchepuko😂😂😂😂😂 nyie

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Месяц назад

    Pesa bhna

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Месяц назад

    Hakuna lolote apo, money can not buy happiness. Mbona mdada anaonekana hana amani usoni. Fujo tuuu🤪🤪haya njooni uku mnishambulie kunambia mawazo ya kimaskini au sijui naumia nikiwa wapi. Siumii wala nini kuogelea kwenyewe sijui wala sitaki😊🥴

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay Месяц назад +2

      Unatka acheke hovyo kma mshamba wengine vitu vya kawaida hvo

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Месяц назад +1

      Ingekuwa mimi tukigombana naenda kwenye hicho kisiwa nipunguze hasira. Najikuta nina furaha tena.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 Месяц назад

      @@RitbayRitbay hamna lolote bana bandama hufurahia zawadi kutoka kwa mpenzi hata kama ni ndogo. Huyu bandama limegoma kabisa kushirikiana na Face😂😂😂no no no

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 Месяц назад +1

      @@nightwishisthegreatestband6355 lol 😂 unaenda kucheza na vingedere vile vinavorukaga tawi moja kwenda lingine kwa kifupi unajigeuza lady Tarzan😂