Uko sawa mkuu. Nimekuelewa Sana MC Mwalimu Luvanda. Mkoani kwetu ukianza Sherehe mapema huwa Ni saa 3 usiku hapo umewahi. Lakini kiukweli watu wa mkoani kwetu familia mpaka wageni waalikwa wanachelewa Sana kufika Ukumbini. Lakini huwa tunajitahidi kucheza na matukio kupunguza maneno yasiyokuwa na faida watu wale mapemA na kuondoka Ukumbini mapema. Ahsante kwa Elimu mkuu.
Asante kwa yote niliyoyapata nakuboresha katika yale ambayo nilikuwa naenda tofauti ilanitayaweka imara zaidi na naamini ikosiku nitakuwa best Mc in town mungu akubarki kwa yote Asanteee...
Asant san nmelona vdeo vinying za kujifunza ila yako imenipa vingi zaid na zaid mungu akuongoze nataman nlipie maana n zaid ya time na mb nlizoweka asant san🙏🙏
Ukianzisha chuo nitakua mwanafunzi wako wa kwanza luvanda sababu umenisaidia Sana naomba nipate mawasiliano yako nikutumie kazi yangu ya kwanza baada tu ya kuangalia hizi Crip zako Kaka...you make it..
Barikiwa kiongozi
Uko sawa mkuu. Nimekuelewa Sana MC Mwalimu Luvanda. Mkoani kwetu ukianza Sherehe mapema huwa Ni saa 3 usiku hapo umewahi. Lakini kiukweli watu wa mkoani kwetu familia mpaka wageni waalikwa wanachelewa Sana kufika Ukumbini. Lakini huwa tunajitahidi kucheza na matukio kupunguza maneno yasiyokuwa na faida watu wale mapemA na kuondoka Ukumbini mapema.
Ahsante kwa Elimu mkuu.
❤❤Baada ya miaka kadhaa ntakutafuta kukupa Ushuda....❤ asante 🙏 barikiwa
😂😂 ulipo tamka milion moja mi huku na lipwa 20. Asante kwa dalasa zuli sana kaka luvanda mapembelo sana🎉🎉
Asantesana,,nami ninatumika kwenye SHEREHE za kifamilia ,nakushukuru kwa kukuza uelewawangu,, Mungu akubariki
ikooo poa sana hapoo
Naomba uanzishe darasa la mc brother mafundisho yako nayapenda Sana, na vitu vingi vmeweza kunisaidia
Nimeipenda
My talent
Nikirudi Tz ntakutafuta kiongozi
This is great brother. Thank you so much for your inspirational talk.
Asante kwa yote niliyoyapata nakuboresha katika yale ambayo nilikuwa naenda tofauti ilanitayaweka imara zaidi na naamini ikosiku nitakuwa best Mc in town mungu akubarki kwa yote Asanteee...
Daaah mc ruvanda nakubali Sana mim binafs nmejifunza Sana na vtu muhimu
Nataka niwe Mc bora
Thanks bro, wewe siyo mchoyo aisee,bless you
Thanks a lot
Mc Luvanda nimekupenda gentleman, uko vizuri Sana, Elimu nzuri Sana ,, haraka haraka, huna majivuno kutokana na mafanikio yako,,
Unanihamasisha nami kuwa master of ceremony
Kipaji changu nimekikuz kutok kwako father
Asante mc luvanda umeniongeza kitu
nimeipenda mno iyo.
Asant san nmelona vdeo vinying za kujifunza ila yako imenipa vingi zaid na zaid mungu akuongoze nataman nlipie maana n zaid ya time na mb nlizoweka asant san🙏🙏
Nimekuelewa my brother 🙏🙏
Brother NIMEPENDA mafundisho yako Safi Sana upo POA brother
Thanks alot Brother
Asante Kwa elimu hii kuanzia Sasa nitafanya kazi kwa bidii niwe most paid mc in tz
Nimechaguliwa kuwa mc ,na ni kwa mara ya kwanza,thats y nimekuchk hii
Au yeyote anaefahamu anijulishe wanaitwaje
Mc luvanda mfike namkoan kwa ajir yamafunzo
Asante
Mc naomba kujua na kujifunza namna ya kuibrand jina langu
❤ Kaka
Asee nimependa jinsi umeeleza hadi nimejikuta hata mimi ni mc
Mc luvanda big up bro naitaj kuwa big mc bro
Thank you
Ukianzisha chuo nitakua mwanafunzi wako wa kwanza luvanda sababu umenisaidia Sana naomba nipate mawasiliano yako nikutumie kazi yangu ya kwanza baada tu ya kuangalia hizi Crip zako Kaka...you make it..
Aiseh nmeiona hii nmeambiwa ni host event na sio MC imebid nije RUclips yako asante nikimaliza hiyo event ntakuja kutoa feedback
Thank you so much...Nimepata darasa la kutosha
King luvanda🫡🙌
MC Luvanda naomba unisaidie kujua wale wnaoingia wakiwatangulia maharusi wakicheza wanaweza kuwa wawili au wanne wanaitwaje?
Maids