Marioo ni mtata , ukitaka kujua mtu mtata angalia history yake ya maugomvi na watu, kagombana na Abby Chams, kagombana na Mapanch bmb aka cancel project yao na sahii anagombana na Chino. Amefura bichwa.
Uyo jaiva ndo mtu wa kati😊,,mmesaau alikuwa anamkanyagia chino,,,,kwamba ye ndo blaza katika wote,,,shusheni pumzi,,,na hii yote imekuja baada ya chino kupata tobo..hakuna mtu aliyetegemea,,,mlipenda kuwaona wenzenu wanakatika uku nyie mnapiga hela..na ni lazma muungane nae kwasababu amefanikiwa
naimani sikumoja ntafika hii atua 🤲 god
Migogoro kutokea ni kawaida kwenye mambo yanayo husu utaftaji wa maokoto
America type of music business let them make money there is no need of maintaining the peace they know what's going on
Mario anachukiiiii sanaa
Marioo ni mtata , ukitaka kujua mtu mtata angalia history yake ya maugomvi na watu, kagombana na Abby Chams, kagombana na Mapanch bmb aka cancel project yao na sahii anagombana na Chino. Amefura bichwa.
Marioo ndo shida yenyewe
@@sammyfrancis2213 Mpaka mosso alimzingua
KWA WASIO ONA HAYA VIDEO HIZI HAPA....😂😂😂
ruclips.net/video/_MEx3xkVnrQ/видео.htmlsi=0dE-we6I2MeBWiwQ

0
0