#LIVE

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @zuhuzuli.5150
    @zuhuzuli.5150 3 года назад +27

    Hongera sana kaka Momo unabusara saana Mungu akujalie heri katika ndoa yako❤❤❤❤👏🙏

    • @ramangadu6451
      @ramangadu6451 3 года назад

      Nilazima Ujue Tofauti Yabusara Nauduyuthi. Kuna Busara Nauduyuthi.

    • @johnkawelela215
      @johnkawelela215 3 года назад

      Kuna wewe

  • @mrfirstborn2839
    @mrfirstborn2839 3 года назад +24

    Sema mke wa Ricardo Ni dada wa mjini hadi Ana vipini na tattoo sema Ni MREMBO haswaaaaa

  • @tundaspodo7853
    @tundaspodo7853 3 года назад +8

    Momo muungwana kaongea vzr Hy esma atafute pakufia muongo mkubwa big up Momo mwanaume mwenye akili kakaangu

  • @shangwekamando2599
    @shangwekamando2599 3 года назад +17

    Kwa mara ya Kwanza masham sham🎺🎺🎺🎸🎻 imepata komenti nyingi🙏🙏🙏

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 3 года назад +8

    Momo masha allah mwenyezi mung awajalie upendo NA amani kweny ndoa yenu🤲🙏

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад

      Amiin 🤲 insha'Allah Khair

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 3 года назад +38

    Sasa uyo esma anatka kaka yak amuach mke wako amuowe yeye? mamb ya ndani ayatowe nje 🤔 sio vizur wallah subhanallah

    • @rehemamsambila6820
      @rehemamsambila6820 3 года назад +1

      Hata me ningesema zaidi ya esma

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 3 года назад +1

      Yan hiii Familia washamba duuu, wataonyesha had stahol zao za mapenz vitandani

    • @olivervalentino9788
      @olivervalentino9788 3 года назад

      🤣🤣

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

  • @ruthmoses1516
    @ruthmoses1516 3 года назад +25

    Mhhhh momo ni mwanaumeee....aiiiseeee..mngine angeshazaba vibao ...

    • @khatibabdallah6185
      @khatibabdallah6185 3 года назад

      Hahahaha

    • @humphreymasoud1725
      @humphreymasoud1725 3 года назад +1

      kaka wanawake wa mjini wanajua kuroga... huoni baya lolote hata akikunyea usoni utabaki unatabasamu tu...😄

  • @bnbnbnbbnvbn9006
    @bnbnbnbbnvbn9006 3 года назад +17

    Momo ni mwanaume wa hekima kbs
    Allah Awazidishiy katika ndoa yenu

  • @benedictkisawa4672
    @benedictkisawa4672 3 года назад +63

    1:35:00 Undugu wa Ricardo Momo & Diamond

  • @hassanbukukwe8345
    @hassanbukukwe8345 3 года назад +9

    WANAWAKE Mungu Anawaona Kwa Hiyo Tabia Mbovu Ya Kuwapokonya MWANAUME watoto wao na kuwasingizia WANAUME wengine.

    • @lydiarichard1283
      @lydiarichard1283 3 года назад +2

      hassan bukukwe petii ajaiandae kuna siku ataambiwa mtt sio wake maana hii familia hapana

    • @hassanbukukwe8345
      @hassanbukukwe8345 3 года назад

      @@lydiarichard1283 We Acha tu

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 3 года назад +1

    Mimi na recardo momo ndo tunaakili nyingi dunian tuko wawili tu 🙌🙋 tunajib ki heshima zaidii

  • @peninahassunta8822
    @peninahassunta8822 2 года назад +2

    Malaika you are my role model keep it up wachana na mambo ya Esma mwongo sana ana utoto sana

  • @victoria5839
    @victoria5839 3 года назад +9

    Momo ww ni Mwanaume na nusu big up

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +38

    Dida ukiombewa Dua nzuri sema Ameen sio Inshallah

    • @chikusadallah5483
      @chikusadallah5483 3 года назад +1

      naam upo sahihii

    • @eddahkyando1747
      @eddahkyando1747 3 года назад

      😂😂😂😂et inshallah

    • @severinemushumbusi9507
      @severinemushumbusi9507 3 года назад

      dini muhimu jmn kaka anaongea kibusara mnooo

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 3 года назад

      Madrasa muhimu ndugu hajuwi pa Ameen wa pa InshaAllah 🤔🤔

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 3 года назад +1

    Momo hongera sana kaka yangu kwa busara in sha Allah Mdumu na bi Mariam katika ndoa

  • @classicwaisala6677
    @classicwaisala6677 3 года назад +18

    Konde boy kayaleta aya yote
    Sasa mimi kama Waisala nasema mzee Abduli kanyanganywa mtoto live bet🙌 pole sana 🤸 Nasib salum

  • @amomio8330
    @amomio8330 3 года назад +35

    momo nimwanaume kabisa ♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏

    • @mrishothabiti1339
      @mrishothabiti1339 3 года назад

      Haswaaaaaa

    • @missmoona4497
      @missmoona4497 3 года назад +1

      Lkn wallah huyu mwanaume anaongea ndio lkn moyon anavitu vikubwa moyon lkn akirud home wanakes hawa.Polen kwa mtihan huo.

    • @swerchtez7851
      @swerchtez7851 3 года назад

      Blessing

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      BILASHAKA MALAIKA KALALA NA MSIZWA.
      KWANZA MWANAMKE MPAKA ANAPOTAMKA KAMA YEYE ANATAKA KULALA NA MSIZWA ANGELALA NAYE PALE PALE DAR🙄😲🙄 YANI HUYU AMEJIAMINI KIASI GANI NA AMEMTAWALA RICADO MOMO KIASI GANI🙄😲🙄 BILA KUSITA WALA KUJALI KAULI YAKE MBELE YA MUME WAKE, YANI YEYE HANA HAJA YA KWENDA SOUTH AFRICA ILI ALALE NA MSIZWA , HILO ANAWEZA KULIFANYA HAPO HAPO TZ .
      DUH😲😲😲 AMA KWA KWELI RICARDO MOMO NI BWEGE

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

  • @neymarhaule3499
    @neymarhaule3499 3 года назад +7

    Wallah momo ni mwanaume na nusu💪

  • @erickbmaxunga6019
    @erickbmaxunga6019 3 года назад +7

    Tusihukumu moja kwa moja,
    Tusubiri hiyo cnema ya mungu tuone Nani muovu Kat ya mzee Abdul ama mama mondi

  • @neemakawogo7153
    @neemakawogo7153 3 года назад +20

    Momo anavomwangalia mkewe

  • @yvetteuwase2740
    @yvetteuwase2740 3 года назад +7

    Momo nakupenda sana kwamukewako 🥰🥰💯

  • @malhassannews3391
    @malhassannews3391 3 года назад +22

    Huyu Kaka Ricardo sauti yake ka diamond

  • @legal8652
    @legal8652 3 года назад +52

    kama ni kweliii hiii familia imezidiii kunyanyasa wanawake wa diamond na leo kinawarudi gonga like hapaa

  • @rehemakitara9978
    @rehemakitara9978 3 года назад +3

    Mama Dangote 👏👏👏👏👏👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 3 года назад +14

    Subhana Allah, mbona mzee Abdul na naseeb wanafanana

    • @graceamadi2141
      @graceamadi2141 3 года назад +5

      Wala, Ricardo momo kafanana sana na diamond. Angalia picha ya marehemu anae semwa ndio baba wa diamond

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 3 года назад

      @@graceamadi2141 nilikiona lakni anaye nisikitisha sana mzee Abdul

    • @graceamadi2141
      @graceamadi2141 3 года назад +1

      Ni kweli hata kama sio baba wakumzaa nivema diamond ampe tu usaidizi kama baba wakambo. Nae mama dangote kakosa heshima angelikaa pamoja na mzee Abdul wazungumze kifamilia.

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

  • @saramsafiri6500
    @saramsafiri6500 3 года назад +15

    Ahhaaaa Dunia simama

  • @abasihassani9301
    @abasihassani9301 3 года назад +1

    Asanteee

  • @anitakamene5073
    @anitakamene5073 3 года назад +2

    Waaaah

  • @erickbmaxunga6019
    @erickbmaxunga6019 3 года назад +3

    Ili ujue imeandaliwa hii interview, angalia ilivoanza ilee mpaka kuongelea kuhuxu kariakoo watu walikua hawamkubali, na umiangia mpaka leo mondi hakubaliki kaliakoo na tunajua hakubaliki kwa7bu ya ALKIBA kuwa mzawa, na Kama daimond ndo alikua anahaso alipataje nguvu ya kuchukiwa na wanakaliakoo ikiwa ALIKIBA alkua tayari mtu mkubwa kmziki kwa kias Cha juu kulikoondi!!?, !!!!!!!
    Acheni kuunda interview, mama nasibu, ituuzima wako siioni nakuona bado mwali ndo unapevuka, unaitaji Mali ikukuze kiakili, bado mama, bado unanguvu za kike, inatakiwa zipunguwe ili uendane na umri wako,
    Mmeigiza vizuri, hii move Kali xana, Kama move ya yesu,
    Respect kwako mwandixhi wa story respect pia kwa directed wa mover hii,
    Ni uongo ulio karibu na ukweli
    Hongreni sana

  • @sophiaswai3582
    @sophiaswai3582 3 года назад +8

    iko wazi kuwa msizwa ndie alikua anamjaza esma maneno kuwa malaika anamtaka! hapo nyoka ni msizwa period

  • @khushipyaar7770
    @khushipyaar7770 3 года назад

    Maa Shaa Allah

  • @asmaathuman3803
    @asmaathuman3803 3 года назад +2

    Mmh atali 👌👌👌

  • @flavpande8737
    @flavpande8737 3 года назад +30

    Wew ni mwanaume momo wakuacheeeeeeeeeeeee

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 3 года назад +8

    Why cant u do a screan short!!!!!

  • @johanithamugango6801
    @johanithamugango6801 3 года назад

    Ricardo momo huko vizuri Mungu akubariki na akulinde una busara sana.

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱.

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 3 года назад

    Amen kaka Ricardo.

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 3 года назад +4

    Jamaa Ana sauti ya daimond kabisa Allah mkubwa

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 3 года назад +7

    Mke wa ustadh kavaa wigi, Ricardo Mwenyezi Mungu atakuliza wewe ni mchunga

    • @beshuuambarali4960
      @beshuuambarali4960 3 года назад +1

      HuYu momo dini yake akiitwa wasaf ila mkewe ata avae nini hua hajalii huu ndo ujing wkeee dini yke sjui iko wapii

  • @fatimamowa8166
    @fatimamowa8166 3 года назад +3

    Ameen yaraby 🤲

  • @ruihassan3389
    @ruihassan3389 3 года назад +2

    Mashallah tumeburudik wambeya sisi

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 года назад +32

    Ricardo chunga mzigo wako mkeo nzuriiii huyo

  • @noilattrewly3950
    @noilattrewly3950 3 года назад +37

    KWA TULIO SOMA SAIKOLOJIA HUYU MALAIKA KASHALIWA😂😂

  • @Khalyfer_67
    @Khalyfer_67 3 года назад +2

    🔥🔥🔥

  • @menlandmutashobya8377
    @menlandmutashobya8377 3 года назад +16

    He he he he! Ukiona manyoya ,ujue kuku kaliwa

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @husnamfuko6136
      @husnamfuko6136 3 года назад

      Hahaaaaaa

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 года назад

      Ashaliwa uyo

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

  • @creativegeneration4104
    @creativegeneration4104 3 года назад +10

    Family issues, brought on a National Redio station....

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 3 года назад +15

    babalevo 🗣🗣🗣All in all.....the Royal family of tz can't put their drama indoors(family meeting is important)in Kenya mutaambiwa muna choma.......

  • @stn4873
    @stn4873 3 года назад

    Mke wa Momo Masha Allah.

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf5985 3 года назад

    You are a gentleman well done achana na wanafiki wanataka kuvuruga.hivi vitu havikutakiwa vifike kwenye medias ni kudhalilishana tena ninyi ni family that's so bad

  • @graceamadi2141
    @graceamadi2141 3 года назад +28

    Wow! here comes the truth about diamonds real father, so guys let's not blame diamond. Mzee Abdul should leave diamond alone and continue with his life

    • @bolingomwana5963
      @bolingomwana5963 3 года назад

      Noted...

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 3 года назад +1

      Huna akili wewe mxiuuuuuuu

    • @kylies1410
      @kylies1410 3 года назад

      huna akili ww mchew

    • @angelmwamasika7023
      @angelmwamasika7023 3 года назад

      Mnavyotukana kana kwamba mlikuwepo wakati wanapeana mimba, ni kwamba tu mama dangote hakusema mapema ndiyo mnapanic mbona mtoto wa munalove alikuwa anatumia Jina la baba mlezi wakati baba mzazi alikuwa casto...mama mzazi ndo mwenye ukweli sio nyie ambao mmewajulia kwenye mitandao Kwa kufahamishwa na wao wenyewe

  • @fatumakibwana7501
    @fatumakibwana7501 3 года назад +8

    N kweli macho ya ricardo n mwenye tumbo alikua mama so anaejua baba diamond n mamake

  • @mariammwiso
    @mariammwiso 3 года назад +2

    Richado MashaAllah mke wako mrembo MashaAllah

  • @activestudios.
    @activestudios. 3 года назад +7

    We dubai nini KAA KIMYAA TUMSIKILIZE MOMO

  • @shamyobeid7379
    @shamyobeid7379 3 года назад +19

    Ricardo ana HEKMA SANA.

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +1

    Nakupenda sana Dida Alwah akubariki

    • @maulidimbau1910
      @maulidimbau1910 3 года назад

      recardo momo unahekima sana bro nakukubari sana unaonekana umesoma sana mdrasat

  • @gracemwaura18
    @gracemwaura18 3 года назад +2

    This momo guy is very wise 👏👏👏

    • @Tafutou
      @Tafutou 3 года назад

      But he couldn’t get that lie out 😂😂 how sad 😭

  • @naighaflora6671
    @naighaflora6671 3 года назад +14

    These presenters have poor interviewing skills, you don't bombard someone with questions like that!

  • @angelkillenga5361
    @angelkillenga5361 3 года назад +21

    Familia waongo hiii mpk shetani anawaogopa

    • @beshuuambarali4960
      @beshuuambarali4960 3 года назад +3

      Hahahahhahaha kweli waongo hatar

    • @shinetv4948
      @shinetv4948 3 года назад

      wee ni mwehuu

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

    • @adearsalum9932
      @adearsalum9932 3 года назад

      Kwa maelezo ya malaika naukimsikiliza Esma utagundua kweli malaika katembea na msizwa

  • @salmakingo1317
    @salmakingo1317 3 года назад +1

    Duhh wew Malaika Mungu anakuona

  • @aminaally9156
    @aminaally9156 3 года назад +15

    Shikamoon mawifi

  • @juliamodesty6590
    @juliamodesty6590 3 года назад +18

    Juma na mwenzie wanavyoitikia izo namba Kama machizi😂

    • @Lynne91
      @Lynne91 3 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @paulinengugi
      @paulinengugi 3 года назад

      🤣🤣🤣

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад

      Utasema wapo Sokoni kariako wanapiga mnadaa bei za mitumba🤣🤣🤣🤣

    • @williamfillipatali3712
      @williamfillipatali3712 3 года назад

      Hahahahahaha

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад +1

      MARIAMU ANAJUA MISHE ZOTE ZA RICARDO MOMO NDIO MAANA ALIMWAMBIA WAFUATANE WAENDE PAMOJA SOUTH AFRICA HALI AKIJUWA WAZI KUWA RICARDO MOMO HATAWEZA KUMFUWATA KULINGANA NA KAZI ZAKE HAWEZI TU KUMFUWATA NA KUWACHA KAZI ZAKE NA VILE NI MUAJIRIWA PIA NILAZMA AHESHIMU SHERIA ZA KAZI NA ZA COMPANY.
      (2) -: ALIPO FIKA SOUTH AFRICA ALIKATAA KUISHI NA MWENYEJI WAKE NA AKAAMUWA KUKODI APARTMENT NA KUISHI KIVYAKE, NIKWASABABU ALIKUWA NA MISION YAKE ALIYO KWENDA NAYO NA ASINGEWEZA KUFANYA MISION YAKE KAMA ALIKUWA ANAISHI KWA WATU, NDIO ILIBIDI AKOMBOE APARTMENT AKAE PEKE YAKE.🙄😲🙄😲😲😲😲🤐😱

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 года назад +1

    Subhannallah 😳kumbe siri ni hii Allahu Akbar 😳kumbe Mzee Abduly si baba wa Diamond laahaula 😳

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 года назад

      Maajabu dooo🤣🤣na mze nasiibu amekankania kazaa Msanii Super Star 🤣

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 3 года назад

      @@lovvy854 Hahaha ndo mfatilie watoto mpaka muwasomeshe maana nyote nyie wanaume siyo mnapewa zawadi ya mimba bado hata kulea inakuwa hadithi Astaghfirullahu laadhwimu 😂

  • @user-ou2ls3ws7c
    @user-ou2ls3ws7c 3 года назад

    Waogope wanafiki na mnafiki mungu atawafedheesha hapa hapa RMomo ulimi unawezakukufikisha pabaya

  • @maimunamwinyi5657
    @maimunamwinyi5657 3 года назад +16

    Malaika umuongo esma amejieleza mbona umerepuka ..

  • @annaumugisha5642
    @annaumugisha5642 3 года назад +6

    yesuuuuuuu🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @williardrwechungura6719
    @williardrwechungura6719 3 года назад +1

    Mbarikiwe sana

  • @happyclaire9917
    @happyclaire9917 3 года назад +1

    Safi sana Momo

  • @bernardmallya2967
    @bernardmallya2967 3 года назад +3

    Daaaaaah ! Tuachane na hbari za mama Dangote. Nimevalia kiatu cha Momo. Momo mkewe kaliwa cheki jicho anavyomwangalia mkewe. Mpk anamsaidia kuongea. Kwa nn kamruhusu aje kuhojiwa yn kakamatika kirahis. Yan hajui kujielezea kbisaa. Momo na ujanja wote why umeliruhusu hili?? Umeaibika brother !

  • @nunimwaropia3584
    @nunimwaropia3584 3 года назад +13

    Huyu momo yuajifanya mjuaji sana kuharibu interview tu.na watu kama hawa hawajui kutatua mambo kiusawa

    • @beshuuambarali4960
      @beshuuambarali4960 3 года назад

      Huyu momo nilikua namuona mtu kumbe mwehuu elimu ykee ni ujingaa mtupuu..hpaa kaletwa makusudii ili amzalilishee mzee Abdull.

    • @Tafutou
      @Tafutou 3 года назад

      Nilidhani ni peke yanguhawamtaki yule Mzee wakati hata matunzo ni ya Mara moja moja

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      BILASHAKA MALAIKA KALALA NA MSIZWA.
      KWANZA MWANAMKE MPAKA ANAPOTAMKA KAMA YEYE ANATAKA KULALA NA MSIZWA ANGELALA NAYE PALE PALE DAR🙄😲🙄 YANI HUYU AMEJIAMINI KIASI GANI NA AMEMTAWALA RICADO MOMO KIASI GANI🙄😲🙄 BILA KUSITA WALA KUJALI KAULI YAKE MBELE YA MUME WAKE, YANI YEYE HANA HAJA YA KWENDA SOUTH AFRICA ILI ALALE NA MSIZWA , HILO ANAWEZA KULIFANYA HAPO HAPO TZ .
      DUH😲😲😲 AMA KWA KWELI RICARDO MOMO NI BWEGE

  • @remmyathanas
    @remmyathanas 3 года назад

    Duh!Momo pole sana

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 2 года назад

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 3 года назад +13

    Na wewe Ricardo, sijui dini gani mke hayuko kwenye maadil ya Dini, mume jina ,

    • @beshuuambarali4960
      @beshuuambarali4960 3 года назад

      Huyu momo dini anaijuaa ila hii ni familia ya sheitan kwhio dini wanaifny kam ni mzaha..na ni waong snaa hawa tena wapo razii kujisingzia chochote

    • @zubedasalehe5852
      @zubedasalehe5852 3 года назад

      Haswa

  • @frankcharles3881
    @frankcharles3881 3 года назад +5

    Duuuh! MSIZWA MITANO TENA,,,UNATUWAKILISHA VIZUR SISI WANAUME WA SHOKA AISEE 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 3 года назад

      Acha kazi iendelee. Yan mi 5 tena na tena... kala dada na shemeji.... alitumwa na kina Hamisa,Zari na Tanasha nn? Nasemaje mi5 tena

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 года назад

    Dua unasema Ameen sio InshAllah

  • @mestrbiofficielle2010
    @mestrbiofficielle2010 3 года назад

    الله يرحم رئيس موكوفلي اخوكم من موريتانيا

  • @aminaomar4073
    @aminaomar4073 3 года назад +29

    Hii familia ina mambo

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 года назад

      Hakuna family isiokuwa na mambo,mengine hatuyajui tu

    • @khalidbakari8505
      @khalidbakari8505 3 года назад

      Wapumbavu nyinyi mwaipa kiki tu wasafi kuona imefungiwa

  • @mwanahawaulende643
    @mwanahawaulende643 3 года назад +3

    Alaf malaika kweli kakazwa bhana usimsemee mwanamke

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад

    Msizwa msenge tu... Njaa Kali.

  • @albertmchopa4786
    @albertmchopa4786 3 года назад

    Ricardo Momo. huyo ni mwanamke sahihi sana kwako. usiyumbe bro

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад +22

    ESMA MCHAWI SANA...!!

  • @jerrykileo9667
    @jerrykileo9667 3 года назад +4

    Kwanini Esma asinge sreenshot izo message akaziweka kama evidence?

  • @neemakungule8633
    @neemakungule8633 3 года назад +1

    Mmmh familia nyingnd mtihani

  • @ibrahimjuma8515
    @ibrahimjuma8515 3 года назад

    Ohhh my god

  • @MsFaibe1
    @MsFaibe1 3 года назад +19

    Esma ana matatzo ya kichwa 😅 seriously

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 3 года назад +8

    Wewe ndo mume na c gumegume wajuwa kulitatuwa swala kiumu na utaki kuskia maneno ya kizembezembe

  • @khadijakhamis5604
    @khadijakhamis5604 3 года назад

    Sauti sura urefu shabihi yoote ya diamond anafanana na mzee abdul daa mama dangote mbaya saana

  • @marionabil8268
    @marionabil8268 3 года назад +1

    Mzur mwenyewe

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 3 года назад +6

    Ndoa tamuuu😁😁😁 vijana oeni...

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 3 года назад +22

    Daah makubwa ayaaa mi ndo napenda muwage mnbamwagika ivoivo bando langu lisiende bure🤣🤣😘

  • @husnahussein5602
    @husnahussein5602 3 года назад +2

    Momo nakuombea dua hekima uliyonayo izd Mara Mia kifo tu ndo kiwatenganishe na mkeo na c kingne inshaalah

  • @shamsajafary9440
    @shamsajafary9440 3 года назад +1

    Yn Ricardo kweli mwanaume jmn hongela

  • @kawawamamaya8543
    @kawawamamaya8543 3 года назад +11

    Wanapiga makelele haswa

  • @hawgeja3851
    @hawgeja3851 3 года назад +5

    Makubwaaa

  • @ruthmdamo7661
    @ruthmdamo7661 3 года назад +1

    Happy new year wasafi Leo nimefufuka tumefunguliwa na corona .Lockdown kila siku choka Miie

  • @alexlaston7464
    @alexlaston7464 3 года назад

    Km kwel kamalaikq kameliwa na msizwa.....maan...🥳🥳

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 года назад +3

    Msizwaaaaaa msizwaaaa

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 3 года назад +15

    Asante mama Dangote kutufungua macho. Kweli kabisa Diamond Platnaum anafanana sana Richard Momo. Macho na clips za Momo copy write na Diamond.
    Baba NASSIB ni mlezi tu.

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 3 года назад

      Hata kama baba mlezi ndio amvue nguo hadharani mbona alipo kuwa analea mimba mpaka mtt kuzaliwa alikuwa halijuwi hilo lkn M.Mungu ndiyo muhukumu wa hili jambo tunamwachia yy haki za mzee Abdul ziko wapi🙏🏽

    • @ramangadu6451
      @ramangadu6451 3 года назад

      Sio Kila Wanaofanana Nindugu. Mnafananisha Maziwa Natui.

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 года назад

      Mbona hata wewe hufanani na Mamaako kuna Nesi alisema wewe Mamaako ni mrundi huyo unaejivunia ni Mamaako alikununua hospital

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 3 года назад

      Wala hawafanani.
      Sio ndugu yake.

    • @saadiyaabdallah1910
      @saadiyaabdallah1910 3 года назад

      JAMANI MTIZAMENI YULE MDADA PALE NYUMA AMEKAA KWA SOFA, ANAVYO SMILE NA KUMTIZAMA MARIAMU KWA JICHO LA STIHIZAI KAMA KWAMBA ANAJUA MARIAMU MALAIKA ANAONGIPEA NA NIUKWELI KABISA ALIKIWA NA MSIZWA ,NA NIUKWELI AMEMUENDEA MUMEWE RICADO MOMO KINYUME, ILA SASA ANAFANYA JITIHADA ZOTE KUJITETEA NA KUUKANA UKWELI WA MAMBO ILI AFICHE AIBU NA IZARA YA MACHAFU YAKE.

  • @aishalumelezi5589
    @aishalumelezi5589 3 года назад +1

    Kado una busara Sana Allah Akuongoze

  • @hamismpahaje9639
    @hamismpahaje9639 3 года назад +1

    Sio kweli mam Di anasema uwogo mungu ndio anajuwa

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 3 года назад +15

    Dida unakiherehere

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 года назад +11

    Kama umeona Hilo limariamu ni kweli limetembea na msizwa na linaona aibu tujuane