Nimegunduwa kama mimi ni mwana wa Mungu nimezaliwa kwa mbegu isiyo haribika kwahiyo sina cyakuni tisha cho chote kile hata mauti hata ajali bifo bya gafla , sita tembea tena na maneno yawatu wa mtaani❤❤
..Kuhusu Nuhu kupata neema , ni kwamba yeye toka kuzaliwa kwake alipozaliwa mzazi wake Lameki alimtamkia habari za neema (Mzo 5 : 28 - 29 ). Na ndivo ilivokuja kutokea baada y kutoka ktk Safina alimjengea BWANA madhabahu ( Mzo 8: 15 - 22 ).
Ñeema kwa Mungu ilikuja katika kule Tu kutii maagizo yaMungu nakutetemeka kuyatimiza,(kujenga safina)wengine waliona kawaida kama kizazi cha SASA,Watu hawataki Kusikia Tupo siku za Mwisho,Wenye Neema Tu ndo wanaoelewa,Daniel12:1.....
Jambo mtumishi, mimi vile ni Pasteur huku Congo DRC, ninafurahishwa sana n'a mahubiri haya sababu yamenijenga. Sasa kwa Imani niliyo nayo, Nachunga muujiza.
AMEN, AMEN.. asante Sana Kwa Mafundisho mazuri Rabbi.. Kweli ROHO WA MUNGU atusaidie kujua ya kwamba Sisi tu warithi.. Asili ya MUNGU niliyozaliwa nayo hawataniweza & wala hakuna lolote baya litakalo ingia Kwa hema yangu.💪💪Kwa sababu nimezaliwa na mbegu isiyoharibika/Neno la MUNGU lidumlo hata milele 👏👏👏. Barikiwa mno Rabbi..
Nashangaa kuona namnawatu hawacqngamkii kuona haya mafunuo nimevumbuwa hili shimo la ma Dini siyo nyuma ila huu nimuda Mungu alipenda nimuvumbuwe huyu baba kwa wakati huu ili nikomae zaizi kirpho niepukane na jehanamu asante mtumishi wa Mungu
Napenda saaaaana mafunzo yako niya uzima kabisa niko marekani maneno kama jaya ningeyapata wapi? Miyesalima niombee tu ni pate mwisho mzuri kuliko mwanzo
Mbona ktk Mzo 6: 1- 8 NENO linatueleza wana wa Mungu, na binti za wanadamu, je wana wa wanadamu ni kina nani? Na km tutasema wana wa wanadamu ndo hao viumbe, sasa mbona nasi tulio wa YESU KRISTO nasi tunaitwa wana wa wanadamu, na sio wana wa MUNGU? Hili jambo likoje?
Nimegunduwa kama mimi ni mwana wa Mungu nimezaliwa kwa mbegu isiyo haribika kwahiyo sina cyakuni tisha cho chote kile hata mauti hata ajali bifo bya gafla , sita tembea tena na maneno yawatu wa mtaani❤❤
..Kuhusu Nuhu kupata neema , ni kwamba yeye toka kuzaliwa kwake alipozaliwa mzazi wake Lameki alimtamkia habari za neema (Mzo 5 : 28 - 29 ).
Na ndivo ilivokuja kutokea baada y kutoka ktk Safina alimjengea BWANA madhabahu ( Mzo 8: 15 - 22 ).
Amen Amen
Ñeema kwa Mungu ilikuja katika kule Tu kutii maagizo yaMungu nakutetemeka kuyatimiza,(kujenga safina)wengine waliona kawaida kama kizazi cha SASA,Watu hawataki Kusikia Tupo siku za Mwisho,Wenye Neema Tu ndo wanaoelewa,Daniel12:1.....
Jambo mtumishi, mimi vile ni Pasteur huku Congo DRC, ninafurahishwa sana n'a mahubiri haya sababu yamenijenga. Sasa kwa Imani niliyo nayo, Nachunga muujiza.
AMEN, AMEN.. asante Sana Kwa Mafundisho mazuri Rabbi.. Kweli ROHO WA MUNGU atusaidie kujua ya kwamba Sisi tu warithi.. Asili ya MUNGU niliyozaliwa nayo hawataniweza & wala hakuna lolote baya litakalo ingia Kwa hema yangu.💪💪Kwa sababu nimezaliwa na mbegu isiyoharibika/Neno la MUNGU lidumlo hata milele 👏👏👏. Barikiwa mno Rabbi..
Nashangaa kuona namnawatu hawacqngamkii kuona haya mafunuo nimevumbuwa hili shimo la ma Dini siyo nyuma ila huu nimuda Mungu alipenda nimuvumbuwe huyu baba kwa wakati huu ili nikomae zaizi kirpho niepukane na jehanamu asante mtumishi wa Mungu
Napenda saaaaana mafunzo yako niya uzima kabisa niko marekani maneno kama jaya ningeyapata wapi? Miyesalima niombee tu ni pate mwisho mzuri kuliko mwanzo
Hallelujah
Ubarikiwe Baba MUNG akubariki na azidi kukutumia
Sura kamili ya kumjua Mungu Amina
Glory glory hallelujah
Nuhu peke yake ndiye alikuwa mkamilifu na mtakatifu katika kizazi chake wengine walichanganyikana na mapepo
Mbona ktk Mzo 6: 1- 8 NENO linatueleza wana wa Mungu, na binti za wanadamu, je wana wa wanadamu ni kina nani?
Na km tutasema wana wa wanadamu ndo hao viumbe, sasa mbona nasi tulio wa YESU KRISTO nasi tunaitwa wana wa wanadamu, na sio wana wa MUNGU?
Hili jambo likoje?
Seti alizaa nani sasa