Bonge la nyimbo Mungu awabariki sana wote waliofanikisha kazi hii. Singers 🗣️ sound engineer 🔊 Organist 🎹 composer 🎼 studio 🎙️e.t.c wote kwa pamoja kwa upendo mmeifanya kazi hii kua bora. Hongereni 👏 kwa hilo.
Bonswa bontravay nan non jezi amen ensemble anfanmi se pou bondye kontinye beni nanm ou e mèsi jezi pou santé a souffle de vie pour diriger wap diriger la vie famille et L'église adore et louranje amen mèsi jezi bon lundi soir
Hakika Mungu ndiye ajuaye Hongereni sana. Hongera Shimanyi.....niwambie kitu wakati wa Mungu ndio sahihi...watawaelewa tu...msichoke kutenda haya mazuri lkn Mungu kwanza na katika roho na kweli....wana Karoli Lwanga big up.
Yesterday is gone ,today is mine what Almighty has gifted me with ,tomorrow belongs to Him!
Nimewapenda mnoo jmn mnoo, kumbe sio kizito tu
Mwenyezi Mungu awabariki kwa uimbaji mzuri.
Hongereni sana wapendwa Mungu awabariki
Wimbo mtamu sana ..na mubarikiweni wanachoir..Kenya twawapenda sana 🙏
Bonge la nyimbo Mungu awabariki sana wote waliofanikisha kazi hii. Singers 🗣️ sound engineer 🔊 Organist 🎹 composer 🎼 studio 🎙️e.t.c wote kwa pamoja kwa upendo mmeifanya kazi hii kua bora. Hongereni 👏 kwa hilo.
Wimbo mtamu Sana hongerenii na mung awasimamiee ktika utumishi wenu
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu asanten ila karibuni mwanza jimbon
Nilichelewa wapi mm, nimeupenda sanaaaa huu wimbo hongereni Sanaa mbarikiwe kaz nzuri
Asee nabarikiwa sana na nyimbo zenu mko vzr sana
moto kama pasi ya makaa. TZ big up. u never dissapoint. nice piece Karoli lwanga
Ujumbe mzuri waimbaji Safi ♥️kikubwa wanadamu tumgeukie Mungu kesho ni fumbo👏💕
Bonswa bontravay nan non jezi amen ensemble anfanmi se pou bondye kontinye beni nanm ou e mèsi jezi pou santé a souffle de vie pour diriger wap diriger la vie famille et L'église adore et louranje amen mèsi jezi bon lundi soir
Tommorrow belongs to Him the Mighty God.
Sichoki kuwasiliza, hakika mko juu. Ujumbe nao ni murua. Mungu awabariki na kuwatia nguvu.
Nyeye wanakwaya mnanikosha balaa
Yaaaani this song ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tusifu sana, tusali sana kila wakati ......... hongereni sana wimbo mzuri mno.
Nice song congratulations may God strengthen your faith to countiue priseing.
❤...hakuna kweli aijuae kesho yake....
Kazi nzuri sana Mungu awabariki 🙏🥰
Hakuna aijua kesho yake. Mbarikiwe sana wanakwaya. Mungu ni mwema.
One of the best hekima ya Mungu
Nawapenda na nimewamiss
Beautiful song...Much Love from Kenya.
Mbarikiwe sana kwa uimbaji wenye mzuri
Love from india
Hongereni mmechangamka jmn
Safi sana organist, umenikosha, excellent vocals
sweet one
Kazi nzur sana Mungu awabariki
Hongereni kwa mashairi mazuri na sauti tamu.Jina la yesu litukuzwe Daima Amina
Well and good
my passion
Songs of the year, your songs are a great inspiration and a blessing to me
Hongereni wapendwa ktk kristo
God is great this song is very nice i keep in my mind
Wimbo umetukuka
Likeee
Tujaliwe hekima ya Mungu
Hawa ni mafundi aisee
Hongera Mwl. Fortune Shimanyi, waimbaji na wote waliosaidia kuifanikisha hii kazi. Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri.
Saifi sana nimewapenda sana
Nimewakubari
Good one
Hekima Kweli....
Gostei
Amina
Asanteni kwa kutukumbusha kesho yetu ipo mikononi mwake..Nice message over there
Mungu no mwema
Jesus is Lord 🙏
❤❤
❤❤😊
Great very nice🌺🌺🌺🌺🌺🌻🌻🤼🤼🤼
I love it 👍👍👍👍👍👍
💚💞💐
Hakika Mungu ndiye ajuaye Hongereni sana. Hongera Shimanyi.....niwambie kitu wakati wa Mungu ndio sahihi...watawaelewa tu...msichoke kutenda haya mazuri lkn Mungu kwanza na katika roho na kweli....wana Karoli Lwanga big up.
Amina kakalucas shirima mungu akubarik. Sana
@@telesiaidani2778Roho yangu Ina jaaimani kwa wimbo huu hogela sana kwa wibaji Munzuri wa mafuzo amen
Sasa tunaomb mziweke audio mark kwa urahisi zaidi
Nipo Mbeya.. Album yenu naipataje?
Yupo Mungu
Hamjawahi niangusha kwakwel yaan nyie nitakuja kuimba na nyie 😂
Please translate to English
Mko safi siku 11 tu 2,700 views naomba tusaidiane kusub naona mna account yenu
Hakika mnasitahili pongezi kazi nzuri sana .....kama ni Album hii ni yamwaka