MAMA DIAMOND amjibu TANASHA? Aweka ujumbe huu wenye maneno mazito na kufanya hili jingine

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 301

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 года назад +32

    Mungu wasemehe mama zetu Ameen Yarabi tusiwe mama mkwe km huyu 🤲

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 года назад +9

    Tanasha ni mzungu sio mwafrica,So wazungu hawana shida na vitu...Juu they are blessed from first...

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 4 года назад +38

    tatizo hawa wana hela ila hawana elimu, wanakutana na wanawake wenye elimu na uelewa wa mambo hapo ndo songombingo....

    • @benbrown3877
      @benbrown3877 4 года назад

      They are so ignorant mpaka wanatia aibu

    • @ingabireshakira9631
      @ingabireshakira9631 4 года назад +2

      Exactly dear❤️

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 Год назад

      Tanasha ana elimu gani?
      Kwani hiyi duniya Tanasha ndo mwanamke wa kwanza kuachwa kwa hiyi duniya?
      Juwa kutofautisha elimu na mapenzi ni vitu vi 2 tofauti, unataka kunambiya wasomi huwa hawa divorce? hao wasomi unaosema mbona kilasiku wapo mahakamani kilasiku wanadai divorce, wewe hapo umeisha achwa na wanaume wangapi?

    • @minjesha
      @minjesha Год назад

      Haswa..

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 года назад +9

    Ni la Tanasha cz amesema lenyewe..Bt Tanasha hana haja ya gari..Anahaja na good life Yaani Amani moyoni..Ndiyo mhimu sanaa

  • @fatooismail2916
    @fatooismail2916 4 года назад +7

    Mungu atakulipiya tanasha uyu mma mcawi

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 4 года назад +23

    Uyo mama haeleweki, aolewe basi na mwanae, na wanawake wanamtska diamond niwa jinga hawajielewi

  • @rukianyakarioki8289
    @rukianyakarioki8289 4 года назад +58

    Diamond deserves a woman of his ghetto level.

    • @josiepinky177
      @josiepinky177 4 года назад +1

      Thank you 😌😌😌😌

    • @oliverwema8646
      @oliverwema8646 4 года назад +3

      Rukia Nyakarioki ukweli uko.he need same cheapest girl.

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 года назад +1

      Exactly

    • @B.I.N.T.I
      @B.I.N.T.I 4 года назад

      I bet he deserves a woman from Tandale🤣🤣🤣🤣

    • @mulindunge5461
      @mulindunge5461 4 года назад +1

      Very true

  • @lavignepromise947
    @lavignepromise947 4 года назад +29

    Elimu ni muhimu sana, lakini sasa mama dangote na familia yake hata hawana any intellect or voice of reason. Haya Diamond oa mamako mtulie basi. Diamond is ghetto AF. Tanasha is way classy

  • @sophiemuthoni9841
    @sophiemuthoni9841 4 года назад +5

    Education is very important..

  • @jackimwati3864
    @jackimwati3864 4 года назад +16

    Reminds me of my former mama in law she was soo mean.. Hadi nikamuachia

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 4 года назад +11

    Mama anaitaji maombi sana na Umri unaenda lazma arudi kwa mola wake kwa kuifwata dini kikamilifu. Atakuwa akisubiri Wajukuu kupitia Zinnaaa mpaka lini. Na ukiona mzazi anae changia zinaa kwa namna moja au nyengine basi juwa ni ukosefu wa ilmu ya dini. Allah atamuongoza InshaAllah.

    • @melissalablonde9580
      @melissalablonde9580 4 года назад

      Maman mu baya sana Uyo

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 года назад +1

      @@melissalablonde9580 ni kuombea mungu amuongoze inshaAllah

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 Год назад

      @@melissalablonde9580 Mbaya vipi? mkisha achwa mnazingishiya wakwe zenu, wewe umeisha achwa marangapi?

  • @ninaclaudia1990
    @ninaclaudia1990 4 года назад +25

    Huyu mama hatopataga mapenzi ya wajuku zake kutoka kwa diamond sababu ya roho yake mbaya na tamaa ya mali za mwanae

    • @lightnessdominick3947
      @lightnessdominick3947 4 года назад

      Si ndo mpka wamkute hai Sasa hiyo roho ya shetani ataishi kweli duniani kwa amani 😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 4 года назад +9

    Mama umekosea Sana Kumbuka mtoto ni wenu atakua mkubwa. Mnapoteza damu zenu kwa ajili ya Pesa
    Yote yana mwisho. Unachotakiwa kumshauri kabla hajaharibu.

  • @ombakihundo9526
    @ombakihundo9526 4 года назад +10

    Let me say something lil quick some time people be fully with material things but the main thing is when you're dating with someone make sure you check out he's, her back ground to decide what good for you're future, anyway deep down i really do appreciate Tanasha for not looking material things but she believed that she's bigger than that.

    • @redibatafulai2583
      @redibatafulai2583 4 года назад

      Thanks

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 4 года назад

      But sometimes people change one may have a dirty background but when he gets a woman he completely become a different person but looks like this doesnt apply with diamond

  • @redibatafulai2583
    @redibatafulai2583 4 года назад +13

    Asidi kizee kisichopenda wajukuu
    Mama diamond aolewe tu na Diamond na amzalie watoto.
    Walivyokataa atoe mimba walitarajia nini? Baraka kwa Tanasha..sis tuna mtoto hesabu yetu kenya imeongezeka

    • @fridahbeker200
      @fridahbeker200 4 года назад +1

      HUYU JINAMIZI NDIO AKO NA SHIDA NA WANAWAKE WA KIJANA WAKE....NA PIA NIMEONA SI DIAMOND....NI HUYU BI KIZEE NDIO PROBLEM KWA KILA MAHUSIANO YA MTOTO WAKE HATA SIJUI ANATAKAJE.....NA WALA HAJUTII HAKI....KILA MWANAMKE AKO KASORO ..KILA MWANAMKE ANAMTIA HILA ...MPAKA LINI ?????HAYA GARI AMEACHIWA DIAMOND AMEACHIWA

    • @sengondoissa4388
      @sengondoissa4388 4 года назад

      Wakenya huwa mnaelewa kwa shida sana tanasha alishauriwa kuwa mondi sio muoaji nyie mkaona nimajungu kiko wapi?

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 4 года назад +6

    We mama mrudie mola wako, mambo yako mungu akusamehe maana elimu ya dini mtihani kwako, mim ninakuombea Allah akuongoze njia iliyo nyooka 🙏🙏

    • @joycemallema4278
      @joycemallema4278 4 года назад

      Nyie mnakurupuka tu mama Daimond ana mkemwezie kwahiyo hiyo msg sio ya Tanasha

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 года назад +9

    Ww mama una lako jambo tena kubwa kuliko nakutema dastibinini ptuuuu......unaogopesha zaidi ya covid_19 a.k.a Corona

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Год назад +1

    Mwanaumee akikupenda n'a familia itakupenda tu.....kama hamna strong lv basi familia itaweza kupenya

  • @swabrinaboss7959
    @swabrinaboss7959 4 года назад +5

    That’s grt mama always comes first ✌🏼😍😍

  • @deglowk3405
    @deglowk3405 4 года назад +12

    The difference between you and the women he dated is they give him “cookie “ that you can’t give period!! But if she can do both ‘ go right a head

    • @redibatafulai2583
      @redibatafulai2583 4 года назад +2

      They gave him cookie but still he could not keep them. Kifagio will always be kifagio ..mamake Asidii

  • @mdaberash266
    @mdaberash266 4 года назад +2

    Mm dangote mimi nampenda saana hapendagi ujinga kbsaa , naamini iko siku mutamuelewa huu mama😍😍😍😍😍

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 года назад +25

    Mama Huy ni mchawi na uchawi si lazima aende Kwa mganga haya mambo ya kumfatilia mapenz ya mwanae nasem hivi hatokuja kuowa mond Zaid yakuzalisha

    • @khalfanmohd6949
      @khalfanmohd6949 4 года назад

      Bora usioe ila mamako afurahi maana diamond alivo kua hana akukua na mwanamke anaemtaka mkimuita domo😆 sasa😑😦😑 ana hela akimskiza mamake ooow atokuja kuoa mara mama aingia mapenzi yake mtt...she desrves it wacha amlinde mwanae maana nyinyi mapapa sio watu wazuri

    • @loyceackim4296
      @loyceackim4296 4 года назад +2

      Ujinga ni wa mabinti wenyewe wanaona huyu anashindwa mwingine anaona mi ni bora zaidi ngoja nikajaribu bahati ndio hivyo mambo yanajirudia Wanawake Tupendane tuchukuliane mizigo.

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 года назад +4

      Alafu yeye alivyoachwa akasema katelekezwa na Baba Diamond kiukweli huyu Mama ana matatizo kama mwanamke asingetaka yawatokee kama yaliyomtokea yeye...
      Kila mtoto na Baba ake

    • @gaddafimohd4129
      @gaddafimohd4129 4 года назад +1

      🤔🤔🤔 🙄🙄

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 года назад +2

      @@khalfanmohd6949 sasa Kwan uong Hy mambo yapo San vijijin mama hatk mwanae kuoa jua kuna Jambo na kila mwanamke mbaya Huy mama anamahusiano na mwanaye bila yy kujua sasa mtakao kuj kutukan tukaneni

  • @drtobias_
    @drtobias_ 4 года назад +2

    NAWAPENDA SANA,NATAMBUA WEMA WENU, NAOMBA U SUPPORT CHANNEL HII KWA KU SUBSCREBE, BONYEZA HAPO 👇
    ruclips.net/channel/UCYakm4NCPqH_JY0id0eYnpg

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 4 года назад +1

    It's all about life.! Karibu subscribe channel yetu kwa video za mazoezi ya kujenga mwili.

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 года назад +1

    Yanihili limama linanikela kilamke wamwanae anakasolo sasa aolewena mwanae 🙊🙊🙊yani daimondi hatoweza kuoa mbaka huyo mama afe

  • @kharimamani2134
    @kharimamani2134 Год назад

    uyu mama mswaili sana mbona anangaaika na tanasha

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад

    Pole sana mpenzi Tanasha

  • @ninaclaudia1990
    @ninaclaudia1990 4 года назад +16

    Anarusha madongo utasema tanasha nimke mwenzie 🙄 huyu mama yupo je

  • @lightnessdominick3947
    @lightnessdominick3947 4 года назад +3

    Diamond lazima amuoe mama yake laasivyo nakunya hapa adi mwenge😂😂

  • @Stephy_E
    @Stephy_E 4 года назад +18

    Too much mama yawache umezeeka

  • @sabahumedia7053
    @sabahumedia7053 4 года назад +1

    Kama unapenda tips za urembo subscribe to my channel

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 года назад +3

    Uyo mama dai ajui km unalomfanyia mtt wamwenzio siku yatamkuta mtt wk

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +2

    Huyu mama ndo anayefanya chibu asiowe sijui anashida gani ye nimajungu 2 sijui anataka chibu amuowe yeye😂. Nimaoni2

  • @bunny_dailylife
    @bunny_dailylife 4 года назад

    Magari anayo mengi akaona atoke na la tanasha this woman is something else anaweka Diamond kwa wakati ngumu...mke na mama wasipopenda mtoto ndio ataumia

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 года назад

    Mmh yani uyu mama hhahahha dah sina ata la kusema mana anavyo weza kumkotroo mwanae dah🙌

  • @zaitunifamao7777
    @zaitunifamao7777 4 года назад

    But if u see the car,it is hers, checkout the video or pics when they were given,they are completely different...

  • @viviantenai4599
    @viviantenai4599 4 года назад +11

    Mama mzee anapishana na wasichana ? Adi ume bleach kuonekana mrembo ? Pole tena haibu kuzozana na wasichana umri ya watoto wako. Style up you old lady.

    • @aishambise6529
      @aishambise6529 Год назад

      wacheni kumtus mama kwanza sidhani Kama mnajua chanzo fungeni midomo jambo lisilo wahusu mnalivalia njuga za nini ? Elimu ulionayo ni yako inamsaidia nini familia y diamond wtz awapendi mwanamke mvivu kabisa atafute wanaume wako wengi nyamazen mzazi akosei

  • @ummuismail7597
    @ummuismail7597 4 года назад +1

    uyo mama anatembea na kijana wke nn ...maana kuna muvi ya Nigeria hivyo hvy kumbe mama anatembea na mwanae.

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Год назад

    Kama mimi ni tanasha mtoto wangu tz wasingemuona tena yaan ndiyo bc tenaaaaa

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 года назад

    🤔🤔Ya gweshwe

  • @user-il1bv6vs9q
    @user-il1bv6vs9q 4 года назад

    May God deliver u all from this satanic connect an ur heart find a way to forgive each other in Jesus mighty name Amen

  • @linnwambui3389
    @linnwambui3389 4 года назад

    Life is all about happiness?

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 Год назад

    Ukweli unauma jamani yaani wadada wengi tunataka mteremko huo ni ukweli sasa mpige tu kelele even me too 😂yaani vyenye napambana na kijana wangu kwa kula kitu na gaharama zote za shule alafu kibinti kije kije tu ya 😂😂 guys ulizeni vijana walio lelewa na mzazi mmoja

  • @gkiobya4960
    @gkiobya4960 4 года назад +7

    Wee mama unatakiwa maombi.

  • @queenhusna204
    @queenhusna204 4 года назад

    Wajua kuna watu wanatiaga ushabiki tu na kutukana watu lakini hi family aibebeki wamemtukana hamissa mobetto kisa kazaa na kudai kamuachisha zari baadae zari alifunguka kama aya aliosema tanasha tatizo ni iyo family sio hamissa wa sio nani ni wao wenyewe

  • @cathycharmym28
    @cathycharmym28 4 года назад

    😂😂😂😂 ana magari mengi!!!
    KLEPTO😂😂😂

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 4 года назад

    Mmmh kazi wanayo

    • @drtobias_
      @drtobias_ 4 года назад

      NAWAPENDA SANA,NATAMBUA WEMA WENU, NAOMBA U SUPPORT CHANNEL HII KWA KU SUBSCREBE, BONYEZA HAPO 👇
      ruclips.net/channel/UCYakm4NCPqH_JY0id0eYnpg

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 года назад +5

    Kuna Mama wakwe kama huyu Mama.
    Mama na mtoto wako spiritually married

  • @renfridaflorence4380
    @renfridaflorence4380 4 года назад

    Huyu mama Mungu atamlipia kwa anachowaanyia watoto wa wanawake wenzake...

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 года назад +1

    Duuh nilivoirukia khaa🤣😁😁😁🤣ehee ....

  • @sabrinakabibi2196
    @sabrinakabibi2196 4 года назад +2

    Wajua mume wa mama dangote ana mke mwengine unaweza kuwa amemuwekea mke mwenzake

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 4 года назад

    Pesa bila kisomo ni hatari mama diamond siamini kama watu wanahitaji majibu kwako . Kaa kimya nyinyi ni wapuuzi tu

  • @munmun_stepup6900
    @munmun_stepup6900 4 года назад +1

    Bheee 👀

    • @drtobias_
      @drtobias_ 4 года назад

      NAWAPENDA SANA,NATAMBUA WEMA WENU, NAOMBA U SUPPORT CHANNEL HII KWA KU SUBSCREBE, BONYEZA HAPO 👇
      ruclips.net/channel/UCYakm4NCPqH_JY0id0eYnpg

  • @omarzinga4965
    @omarzinga4965 Год назад

    Donna always says the truth thats why mama dangote react

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 4 года назад +4

    Mama you're right protect what is yours. Alot of women nowadays they don't value marriage they are there to gain something. Mama knows who was the right wife for his son

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 4 года назад

      So you are in full support of him abandoning his kids after crying to the media on how badly he wanted to be a father?

    • @mulindunge5461
      @mulindunge5461 4 года назад +1

      End of the day maybe she wil marry her son..

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 года назад +1

      Annita bobo think twice before you talk

    • @annitabobo5438
      @annitabobo5438 4 года назад

      Hiyo maoni yangu ya kwako hayanihusu pita ukiendanga

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 года назад

      Anniita bobo whetever 😏😏😏

  • @queendanisha8444
    @queendanisha8444 Год назад

    Mama diamond huwa anatoka na mwanawe kimapenzi, ndio maana diamond akiwa na mwanamke mwingine huwa anaumia sana, hadi achochee, ili afukuzwe ndio, abaki na mapenzi wake 😄😄😄

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 года назад +2

    Yani huyu mama yeye anaenjoy na bwanaake wa utu uzima lkn anataka mwanae asiienjoy ujana wake kwa kuwa na mpenzi kijana mwenzake

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 года назад

    Mama kashanza huyo khaa

  • @luqash_luqman9744
    @luqash_luqman9744 4 года назад +6

    Naempnda Dai Ila mamke namchukiaaaa sn

    • @luqash_luqman9744
      @luqash_luqman9744 4 года назад

      @Change Mindset wewe nae ulikua ukija kuanglia hii interview Kuna anae kujua heri mm tanasha namjua je wew maskinieee🙆🙆

    • @luqash_luqman9744
      @luqash_luqman9744 4 года назад

      @Change Mindset Yh that's what I mean

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 4 года назад

    Mama mswahili Kama alivyo

  • @millicentwangu4815
    @millicentwangu4815 4 года назад +5

    So every woman akiachana Diamond huwa anakasoro???Mara usikie ni mchawi ,mara mvivu ,mara yeye ndiye alipenda mondi sana😏Kwani huyu Diamond hakuna siku huwa na makosa?

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 года назад +8

    Daaaaaah awolewe basi namutoto wake. Kuna siku utawatafuta awo wajuku uwaone haitawezelana . Andika ilo R. I. P nautakumbuchwa sikumoja wewe mama

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 4 года назад +1

      Aende zake huyo bikizee unamchagulia domo wko mwanamke, coz u anatak mali za diamond ziwe zako basi olewa ww

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌

    • @jamesjuma879
      @jamesjuma879 4 года назад

      Micheline Mapendo
      Poa

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 года назад

    Huyu mama malaya sana mama hana maadili

  • @simulizi2632
    @simulizi2632 4 года назад

    Ila Guys let this b clear familia ya Diamond imejaa na uswahili mwingi kwahiyo pale kwa wadada hawa hawapawezi kabisa inahitajika mswahili kweli akae pale na kudumu na Diamond

  • @mwanamisikibumi42
    @mwanamisikibumi42 4 года назад

    Ila jamani kuuliza tuu mbona wanawake wa mondi cku zote mabishano na mama dangote na ESMA wala c Queen Darling

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 4 года назад

    Gg ni malaya tuu mshenzi

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 4 года назад

    Mama mswahili bado kukodi kigoma cha urugwai akipeleke kenya na madela ya sare . Mama kiba nimama wa mfano anapaswa kuigwa.

  • @ashaomina1136
    @ashaomina1136 4 года назад +1

    Gigy nae si mavi tu anajielewa wapi,,yakwake yamemshinda,,ajiangazie kwanza

  • @saradrupiarupia3396
    @saradrupiarupia3396 4 года назад

    Malipo ni hapa hapa Duniani yani umepanda kesho yako wewe mwenyewe yaliyo bakia ni maisha ya mtoto wake. Nakuombea kwa MUNGU maisha marefu uyaone mavuno ya haya mnayoyafanya na familia Yako.

  • @minjesha
    @minjesha Год назад

    Sio ameliacha gari tanzania au yeye tanasha ana magari mengi weka sawa maneno..gari alinyang'anywa ndio ukweli wenyewe, hakuna anaekataa zawadi..hata kama una magari mawili ukipewa unachukua..

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 года назад

    Kama mwanamke sidhani kama ni Heri kuwatakia watoto wa wanawake wenzako wapitie maisha uliyoyaona kwako hayafai...
    Mtoto ulishamlea sidhani kama kuna haja ya kumfatilia mwanao ili mradi anakutunza vizuri.

  • @justinmwene3669
    @justinmwene3669 4 года назад

    😁😁😁😁😁😁😁 kan

  • @willimammungathia1702
    @willimammungathia1702 4 года назад

    Mwenye ataolewa kwa ii mboma ni nani?

  • @jumayusuph8471
    @jumayusuph8471 4 года назад

    Kuwa mama sio shida Ila shida kuwa mzazi.

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 года назад +3

    Mama dangote ndio sababu ya yote 😂😂😂😂😂ila tanasha ungekwa unapika 😅😅😅😅😅uvivu tuu

  • @emmnzey713
    @emmnzey713 4 года назад +3

    Hilo limama lijiondoe katika maisha ya watoto.

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 года назад +1

      Emmanuel Nzeyimana Kwakweli waweza liombea dua mbaya jaman

    • @victoriousvictorious7935
      @victoriousvictorious7935 4 года назад

      That mama Ni kila kitu kwa diamond...wamepambana mpaka hapo walipofika hakuna wakuwaachanisha...ingawa mnasema hawana elimu Ila juhudi za kutafuta pesa wanazo. Hard working family. Tatizo sio uyo mama...tatizo Ni diamond bado hajampata wa kuiva nae. Akimpata ata uyo mama hatoweza kuwatenganisha..

  • @guccij3549
    @guccij3549 4 года назад

    😁 MaMa Mond bhn 😁

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 4 года назад

    Ndio lenyewe Gari la Mwanao Mama, Tanasha hajui gari bei ya gari hilo Enjoy mama Dangote

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 года назад +3

    wema S ameshindwa iyi familia na wema alijitolea kwakila hali.alimpenda mama na wifi na baba mkwe na marafiki wote wa mondi ila alichukiliwa.je,mwanamuke gani ataweza iyi familia?ila ipo sikuwatampata atakae watuliza.

    • @marymabubakar1646
      @marymabubakar1646 4 года назад

      Waliomcheka,wema,mikono,juu,aliukubali,ukweli,mchungu,m a isha,yanaendelea,dunia,inazunguka,jaribuni,na nyinyi,mpokezane,kijiti

  • @frenchygigi
    @frenchygigi 4 года назад

    Kweli pesa haiwezi toa ushamba...

  • @queenhusna204
    @queenhusna204 4 года назад

    Na kuusu gari naskia tanasha ajapewa walitaka kiki juma lokole aliojiwa akasema yoote kua tanasha ajapewa gari ni ya mama diamond

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 4 года назад +1

    Mana d it's not good plz

  • @queenhusna204
    @queenhusna204 4 года назад

    Apo mama diamond anafanana na mange kimambi mwanzo sijamjua kama ni yeye

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 Год назад

    ata akijipamba pesa yake inaruhusu unafikiria anafanana n wazaz wenu kaeni kwa kutulia wakenya makasiriko y nn mpen tanasha kaka yenu mnao kerwa nyooo

  • @ashleekingashleeking1553
    @ashleekingashleeking1553 4 года назад +2

    Why people against mama dangote....! Can we plz mind our business live mama dangote alone

  • @everinemichael7457
    @everinemichael7457 4 года назад

    Nawaheshimu sana MAMA, ila uyu mama ni corona ugonjwa unaotafutiwa dawa laana za hao wanawake wa mwanao hazitakuacha salama mtu mzima kisheti ww.

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 года назад

    😷😷😷

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 4 года назад

    We Kenyans don't give a fuck hatuwezi tawaliwa na Familia nzima just because we are married to ur son..... Tanasha thanks for that bold and wise decision

  • @felystarzorwaru6157
    @felystarzorwaru6157 4 года назад +2

    That sandra she can as well get married to her son ,and leave tanasha a lone

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 года назад +13

    Kwa hiyo gigy money ndo point of reference 🙄

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 года назад

    Mtoto unaemzaa haombi umzae kwa sababu wewe ulitaka na ni wajibu wako kumfanyia kila kitu mpaka ajitegeme siyo ombi na wala si fadhila akikuangalia ni uamuzi wake tu siyo lazima vila hakuomba umzae au hakuweka mkataba na wewe kuwa nizae then I will pay back wala lazima vile na siyo deni once ukiona ni deni matokeo yake ni haya linapokuja. swala la maisha yake kama vile kuoa wazi mama wa aina hiyo huwa anafikiri mwanae akioa basi yeye tena hana nafasi na hatakuwa kipaumbele tena hilo ni tatizo kubwa sana

  • @pettysulley6615
    @pettysulley6615 4 года назад

    Siku huyu mama akifa ndio diamond ataoa

  • @ndeletwaswai3530
    @ndeletwaswai3530 4 года назад +1

    Daimond alikuwa hampendi Tanasha kutoka moyoni alikuwa anapita tu,pole Tanasha Daimond ni play boy.

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 года назад +1

    Dunia watu wanakufa na Corona na nyie muko busy na hao

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 года назад

    Kweli mwaume aibiwi akiamua kwenda anaenda, jaman si wakati wakugpmbania mwanaume ni wakati wakupambana

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 4 года назад +2

    Haki watu wana mambo yaani gari ni kitu kubwa mtu anafanya kazi na ananunua gari,au unakuwa na magari lakini una amani,ww mama siku yako itafika kumbuka kuna karma

  • @boboyann3435
    @boboyann3435 4 года назад +14

    Diamond should marry a Swahili gal like him and his family... Ama to cut the story short aowe tu Mama yake . Rubbish

  • @flornce123oganda8
    @flornce123oganda8 4 года назад +9

    Kilicho bakia n hiyo mama aolewe na mtoto wake sasa, ju akuna hata iwe vp mwanaume anae msikiza mamae atakuja kua na mke hiyo sahau, sawa alilea mwanae kwa uchungu bac olewa tujue una uchungu kuona mwanao akiishi na watoto wa wenzako

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 4 года назад

      Flornce123 Oganda kweli uchawi tuuu

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 года назад +1

      Flornce123 Oganda Kabisa Yaani anachefua sana huyu mama pengine hulala na mwanae

    • @drtobias_
      @drtobias_ 4 года назад

      NAWAPENDA SANA,NATAMBUA WEMA WENU, NAOMBA U SUPPORT CHANNEL HII KWA KU SUBSCREBE, BONYEZA HAPO 👇
      ruclips.net/channel/UCYakm4NCPqH_JY0id0eYnpg

    • @alimairakoze3784
      @alimairakoze3784 4 года назад +1

      😂😂😂atarii atarii

    • @flornce123oganda8
      @flornce123oganda8 4 года назад

      @@alimairakoze3784 ukiona mwanamke ataki wakaza wana jua emeonja, mm n mama nashukuru Mungu amenipa watoto wawili wa kiume, namwomba Mungu sana nisije kua kama huyu mama.
      Wanawake wote uwa walio wahi kua na mwanae uwa wanadai control ya mamake ndio shida? Je? Hata akipewa miguu mama n headace eeeeeeeeish wala asione haya aolewe na mwanae 2 ili watulie

  • @sadiyakb8498
    @sadiyakb8498 4 года назад

    Wakwanza

  • @rukiaissah4990
    @rukiaissah4990 4 года назад +6

    Mimi nna binamu yangu mpaka sasahv anazeeka ameshaacha na wanawake kubao kwa sababu ya mama yake ambaye ni shangazi

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 года назад

      Kabisaa Mama anatakiwa kuwa na mipaka yake sio kila sehemu maamuzi yawe yake na Angekuwa na akili asifurahia watoto wa wenzake kuachika tena sababu yake