#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024

Комментарии • 29

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 21 день назад +7

    Askofu mwana mapinduzi Mungu atubariki Kwa kuona uonevu tanganyika Mungu ambsriki tundu lissu na Mbowe wskombozi tangyka

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 21 день назад +7

    My brother lissu God bless you Tanzania people believing on you about true speaking 👍

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 21 день назад +4

    ccm ni wadharimu wakubwa mungu awandoe hima

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 21 день назад +7

    Mungu awàlinde sana watetezi wa. Wanyonge

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 21 день назад +6

    Hongera sana Rais wa mioyo ya Watanzania

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 21 день назад +4

    warabu hawa waondoke na mahoteri hayo yabomolewe

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 21 день назад

    Tundulissu wewe ni msema kweli siku zote na hujawahi kubadilika wala kuyumbishwa kuhusu msimamo wako, Mungu alikuponya na risasi zote zile kwa makusudi maalum,wewe ni tegemeo la Watanganyika kwa sasa kuikomboa Tanganyika kutoka mikono ya mafisadi wa ccm. Mungu akulinde akutunze daima. Wewe ni Rais ujae,Mungu akupe kibali.

  • @SAKAWA4
    @SAKAWA4 21 день назад +6

    Hongera

  • @fredricksanga6864
    @fredricksanga6864 21 день назад +2

    Nasubiri kwa hamu kuona muujiza wa Mungu kumnusuru Ndugu yetu Tundu Lisu kuwa hai kwa risasi zilizo mpiga..

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 21 день назад +3

    samia ndie mpolaji no 1

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 21 день назад +6

    ✌️👊👍.

  • @chrissymarcus5051
    @chrissymarcus5051 21 день назад +3

    Dar es salaam wanatuangusha katika safari ya ukombozi wa nchi yetu.

    • @KelvinBamuhiga
      @KelvinBamuhiga 21 день назад

      Hilo umesema ukweli nitofauti na uvyoenda mkoa kama geita, Kagera simiyu, Arusha Moshi na kwingineko, mikoani washaamka ila dar bado sana

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 21 день назад +2

    Hongera sana Mkuu jamani😢😢😢

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 21 день назад +4

    Nchi yetu inakufa kwa kukosa maarifa

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 21 день назад +4

    pamoja makanda

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 21 день назад +4

    ifike mahali tuwe na akili ambao sio watanzania warudi kwao

  • @JastinAmonsimon
    @JastinAmonsimon 21 день назад +3

    Askofu umeupiga mwingi

  • @rastheunique
    @rastheunique 21 день назад +2

    Dar es salaam sio kitovu cha ukombozi tena!! Raia wake karibu wote wamenyweshwa UNGA WA NDELE!! Nguvu ihamie mikoani 😫

    • @KelvinBamuhiga
      @KelvinBamuhiga 21 день назад

      Ukweli umesema Bora kampeni za ukombozi zipigwe mkoani maana wanamuitkio mkubwa yani dar wanatuangusha

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 21 день назад +3

    mimi nashagaa usarama wako kimya jeshi nchi inaharibiwa wako kimya

  • @EmanuelIdd
    @EmanuelIdd 20 дней назад

    Ccm wanatutesa Sana tuseme wote imetosha

  • @SichivulaGevasi
    @SichivulaGevasi 17 дней назад

    Asantesana

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 19 дней назад

    Nyinyi ni Watanganyika tu mkitaka mistake na Zanzibar ipo tangu Enzi za awali wa zama hizoooo 😂😂

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 21 день назад

    CCM wameinyonya nchi saana

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 21 день назад

    Mungu tunaomba utusaidie Watanganyika,uliokoe Taifa letu, najiuliza tu kwamba hivi viongozi wa jeshi wenye uwezo wa kuiokoa Nchi isiuzwe na rasilimali zetu zote! Wanajeshi mmepewa kitu gani!??? na hawa wanaouza Nchi yetu na wanaonunua!!!??? Wananchi amkeni tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Tuikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais.

  • @ElibarikiNasari
    @ElibarikiNasari 21 день назад

    Y

  • @EmanuelIdd
    @EmanuelIdd 20 дней назад

    Ccm wanatutesa Sana tuseme wote imetosha