Makonda hukosei unapiga pale pale nan kama muajiri wako ? Makonda huu ndio ukweli sema ukweli watanzania wanakuamini pamabana ndugu watanzania wako pamoja na ww
Weeeeeeee!!!!!!!!Kwani chadema kitugani ikitajwa acha uhayawani wako mjinga ni wewe unayetoa matusi maana matusi ni jadi yenu wanachadema hatuwashangai.
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Mungu akutunze na kukulinda Comrade Makonda 🙏
Makonda ni mteule wa mola baada ya watu kumlilia sana magufuli
Mungu akulinde makonda
Karibu Sana Iringa Katibu Mh we ishi to huna baya Baba
Hao Wazee waliojenga Tansania mpaka hii leo waangaliwe asante
Na PWAn baba hususan mafia kisiwani
Magufuli ameonekana kwa bahati nzuri ako vizuri mno
Makonda mtetezi wa wanyonge
Na pwani baba hususani mafia kisiwani
Piga kaazi mwenezi
Huyu Kilembwe wa Mkwawa kapanda na kaniki kwenye stage Mweeeeh
Hicho kisu cha kwa mkwawa .mweeee
Na hao wasihamishwe kabisa
Makonda hukosei unapiga pale pale nan kama muajiri wako ? Makonda huu ndio ukweli sema ukweli watanzania wanakuamini pamabana ndugu watanzania wako pamoja na ww
shirima hunabahati leo
Jembe
Chadema ghafla wamepata kigugumizi,maana hili ni jembe la magufuli kwelikweli
Weeeeeeee!!!!!!!!Kwani chadema kitugani ikitajwa acha uhayawani wako mjinga ni wewe unayetoa matusi maana matusi ni jadi yenu wanachadema hatuwashangai.
shirima 😂😂😂
Huu msimu sio wasanii
Saf
Amani ya bwana iwe nawe
Acha ujinga makonda tatua kero za wananchi achana na Chadema huo ni ujinga unaofanya
Wale wana chadema wanaotajaga CCM nao huwa ni wajinga?
0
Sawa jembe
Makonda mtetezi wa wanyonge