Kisa Cha Sheikh Walid Alivyoanza Maisha Na Alivyopewa Uimaam / Soma Swala Ya Mtume Hii /Sheikh Walid
HTML-код
- Опубликовано: 11 дек 2024
- Kisa Cha Sheikh Walid Alivyoanza Maisha Na Alivyopewa Uimaam / Soma Swala Ya Mtume Hii Na Swala Za Witri Usiku Allah Atakupa / Sheikh Walid Alhad
Mashaa Allah Sheikh Walid Alhad Omari akieleza kwa uzuri na ubora wa hali ya juu kabisa juu ya kisa chake pindi alipoanza maisha na alivyopewa uimaam mkuu wa masjid KIchangani Magomeni mapipa na akkiwa waambia waumini kuwa yeye ni muumini wa dua na ukisoma swala ya mtume hii na ukiswali swala za witri Allah atakupa utakacho tizama video zetu mpaka mwisho usisahau kushare
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
ALLAHU akuwekee shiekh walid uzidi kutuellimisha,nashukuru nilipata Elimu yako uliyotufundisha kumswalia mtume 1,470 kila siku sahi nadumu nayo sana nayaona mambo yangu ALLAHMNDULILAHI,NA PIA nawapa pongezi DARSA TV
Asw ibun MASOUD naomba namba yako
Bismilah MashaAllah... Allah akulipe kheri kipenz cha Allah...
Mashaallah Allah akupe kauli thabiti
Alhamdulillahi. Jazzaqa Allahu khayra.
نوّرك الله يا دكتور وليد بن شيخ الهادي
نفعنا الله بحياتك حبيبنا
Masha Allah sheikh Waleed
Khehe mm ckusoma lakin nakupenda kwaajir ya allah nafanya ibada dua cjui mm
Barakat barakat barakallahu lakum sheikh Walid alhad Omar kawambwa
Masha Allah
Machallah
Mashaallah
Mwenye namba ya shekh naiomba
Ninamuomba Allah anijaalie kudumu na ihlasa nikiingia na kutoka ndani
Namba unayoiona hapo kwenye clip ndo namba ya Alhabibi Sheikh Walid
sasa namba ya sheikh ya nini jamani. ? Amina mawaidha yapo na mafunzo kila siku 😆
@@bimumaulid1171 kwahiyo wewe namba ya shekh utaki watu wawenayo uslam kazi jamani
😂😂😂😂😂😂 wajinga wa ki twarika kwa kujisifu 😅😅😅
Kwenu wahabi h hakuna nmebakiwa na vcran
mashaalah