Bro natamani siku uelezee matumizi ya reflector ,na kila rangi ya reflector inatakiwa itumike vp,pia matumizi ya lights mchana ,huo ni ugonjwa wa maphotographer wengi hata wanaojiita ni wakubwa,toa elimu hiyo kaka tuzidi kusonga mbele kwenye hii game
hua najifunza vitu ngivi sana kutoka kwako kaka napenda sana kufanya video glaphy unanipa nguvu na mwanga najua one day nitafanya shukurani sana kwa mafunzo
Camera ulizotaja ni moving camera au stil camera. Hapa namaanisha inaweza kurekodi kwa vipande vipande au moja kwa moja bila kukata kata vipande. Tafadhal Rich nisaidie kwa hilo
@@Richstartz Kuna camera tulikuwa tunatumia, hata ukiweka card ya 64 GB hurekodi dakika 30 kisha hukata na unalazimika kurekodi tena, utarudia kwa kadri ya uhitaji. Je, hilo halisababishwi na camera husika?
@@akhyhassan5398 Hio kadi haina uwezo. Uwezo wa kadi unapimwa kwa kuangalia Read speed, Write speed, File handling capacity. Kuna memory File halitakiwi lizidi 4GB ikizidi inajistop . Ushauri tafuta Premium Memory mfano Lexar ama Samsung Pro. Ila Ni expensive sana
Brother umetenda haki kwenye hii mada binafsi nakubaki balaa lako sio dogo, video zako ni maarufu sana youtube kila niomba k2 kinachohusu design lazima video zako zije, big up sana keep on kutuletea mambo mazuri. tuletee camera setting hili itatusaidia sana.
Hallo Rich. Mi Naitwa Robert Mbasha naishi Kahama, Kagongwa Shinyanga. Uliwahi kuja kwa kijana wangu Migera hapa kagongwa bahati mbaya sikuwepo kwangu lilikua pengo kubwa ajabu nilitamani sana nikuone, kwa kifupi kama hautajali naomba no. yako nitext kwa 0754 440961, tufanye biashara mzee wangu
Nisaidie kaka nashindwa kuwa director
Huwa ninajifunza sana mambo mhimu kutoka kwako. Big up.
Asante
Respect brooo nilichoka kusikiliza wazungu kila mdaa
Elimu ni kubwa sana hii ulioitoa kwa walionahamasa yakufanya wenyewe na wawekezaji au hata wajasiliamali wa makundi yote ubarikiwe sana mkuu
Habari kk mm naomba mawasiliano yko kupata taaluma zaidi
Shukran brother kwa somo lako
Maana ha2kuwa n masomo haya hapo kwabla kwa kisw
Asante sana
Thanks kiongozi
Pamoja sana
Ninakuelewa vizuri sana, ubarikiwe sana
Nakukubali sana Bro👍👍👍
Miniseme shukrani sana sababu nimejifundisha vingi sana kwako na nina pata matokeo mengi mazur
Asante sana
Thanks
Asante Sana hii video nimeifanyia kazi na imenisaidia sana
Mmm.. Brother icho nikipaji.. Kihukweli
Nakubali Sana
Nakubali 🔥
You're the best 👌
Izo koz zako nazipataje sasa broo
Asante sana kaka kwa elimu yako
You are welcome
Kweli tena
Bro umeninjenga sana
asante kwa kuniongezea kitu🔥🔥
Pamoja sana
Vp bro
🔥🔥🔥🔥
Kaka mungu akubariki maana mimi nimeguswa Sana na hili somo
Asanteh sana bro, naomba uelezee matumizi ya lighting mchana
Asante kaka
Enjoy
@@Richstartz shukrani
It's ma first time to know yo..Ila big up 💥💥🎶
Thank you, hit subscribe button
Macho respect kwako 🙏
Asante sana
Naitaj mic ya bei rahisi bro napataje?
Ongelea vitu vya muhimu kwa photographer anae anza
Bro natamani siku uelezee matumizi ya reflector ,na kila rangi ya reflector inatakiwa itumike vp,pia matumizi ya lights mchana ,huo ni ugonjwa wa maphotographer wengi hata wanaojiita ni wakubwa,toa elimu hiyo kaka tuzidi kusonga mbele kwenye hii game
naqbal kaka
Vitu muhimu vya kuzingatia ukihitaji kushoot cinematic scenes kwa kutumia kamera ya kawaida low budget camera
Cano sigma lens 50mm 1:3.5-5.6 inakuwaje hii kwenye video
Mbonaa Hujataja Black magic kaka
Blackmagic ni Pro Camera, ni nzuri sana ila sishauri beginner kuanza na camera hii ndiyo maana sija itaja katika list
@@Richstartz na Hujawahi kuongelea Black magic pocket kabxa kaka
@@Richstartz ukipata nafasi tuelezee tuielewe kaka
@@mwishobeatz4794 Sawa nitalifanyia kazi hilo hivi karibuni
Napenda kuomba ufanye kufundisha kuhusu best computer capacity na specifications zake kwenye hii industry
hua najifunza vitu ngivi sana kutoka kwako kaka napenda sana kufanya video glaphy unanipa nguvu na mwanga najua one day nitafanya shukurani sana kwa mafunzo
Asante sana
Kaka namba ako inapatikanaje
naomba namba yako kaka
Hivi Rode mic Ina bei gani brother
Man nielekeze jinsi ya kuapload mziki boom play
lense ipi nzur kwa canon M50 mark 2 kwa ajili ya youtube video ?
Camera ulizotaja ni moving camera au stil camera.
Hapa namaanisha inaweza kurekodi kwa vipande vipande au moja kwa moja bila kukata kata vipande.
Tafadhal Rich nisaidie kwa hilo
Hizi zina record moja kwa moja
Vipande hukatwa katwa hakusababishwi na ya camera. Bali hukatwa kwa sababu ya uwezo wa Kadi ya camers na battery
@@Richstartz
Kuna camera tulikuwa tunatumia, hata ukiweka card ya 64 GB hurekodi dakika 30 kisha hukata na unalazimika kurekodi tena, utarudia kwa kadri ya uhitaji.
Je, hilo halisababishwi na camera husika?
@@akhyhassan5398 Hio kadi haina uwezo. Uwezo wa kadi unapimwa kwa kuangalia Read speed, Write speed, File handling capacity. Kuna memory File halitakiwi lizidi 4GB ikizidi inajistop . Ushauri tafuta Premium Memory mfano Lexar ama Samsung Pro. Ila Ni expensive sana
Bro canon 4000d inafaa kwenye kuanza videography?
Brother umetenda haki kwenye hii mada binafsi nakubaki balaa lako sio dogo, video zako ni maarufu sana youtube kila niomba k2 kinachohusu design lazima video zako zije, big up sana keep on kutuletea mambo mazuri.
tuletee camera setting hili itatusaidia sana.
Sawa nitalifanyia kazi
Kaka rich ....iyo camera uliyorecodia hii content ni aina ipi pamoja na lens uliyotumia ?
Mzee nakubali sana naweza kupata namba zako tafadhali?
Uko PW sana broo napenda unanifuza mengi coz nimetoka chini napambana. Ado ado unanipa moyo mno
Mimi ninayo 500D
Tuelezee kuhusu computer ipi ninafaa kwa mtu anae anzia,
Nataka package za mafunzo, after effects tafadhali kama hutojali naomba mawasiliano yako.
Rmaguluko@gmail.com
Mimi natamani kufungua yutyubu yakunipa faida je utanifungulia?
inawezekana
Nafanyaje?
Naomba kujua kuhusu Camera ya Fujfilm nikianza na ukubwa upi itanifaa
Kaka naomba msaada nikipate hicho kitabu ambacho ninaweza kupata somo zaidi
0714 250 356
Hauwez amini nilikuwa nahangaika kusearch kwa kingereza napata ugumu kuelewa asaante bro nashukuru sana namba ako inapatikanaje
Kuhusu pc ambayo bora kwaajili ya editing
Mimi ningependa uzungumzie namna ya kufanya seting za camera
Kakae Mimi Nina kamera NIKON D3200 Hii inafaa
Mimi Nina Canon 60D naomba USHAURI,au niipi kubwa inayofaa Kat ya hyo Canon 500 au 60 d?!
Au 550?
Bro niaje,VP kuwa director nilazma kwenda shule ? Yaan vyuo vya film maker
Package ya premiere pro na after effects ni bei gan
20,000 Premiere Pro. After effects 30,000
Nahitaji naipataje?... May i get your whatsap number?
0714 250 356
Kaka naona hujazungumzia aina ya pc ambazo unapendekeza kwa video editing
Next time nitalizungumzia
Kaka richstat ivi package ya premium pro na after effect umezielezea kwanjia ya video au umeandika?
Ni videos
Kwa kutumia mice Kama yako hiyo unategemea uwe na kitu gani ili inase sauti ama inakwenda kwa camera moja kwa moja?
Steadicam iko vipi hapo mkuu
Unauzaje hizo package za kukifunza?
Memory nzur Kwa camera ni ipi natumia nikkon d5500
Bro WhatsApp nakuchek unipatie full course ya fl studio
Karibu
Ni camera ipi nzuri Kwa matumizi ya picha Kwa kazi ya photography?
Inategemea na budget yako iko kwa kiwango gani ila zipo nyingi
@@Richstartz Ndo nataka nianze kazi ya photography lakini Nina uwezo wa kupata laki 8
@@charlesemmanuel1717 Nunua Canon 550d ama Canon Rebel T2i itabaki chenchi nunua lens ya 50mm
@@Richstartz sawa broo
Vitu vya kuzingatia ukiwa location unashoot video yani setting za kuandaa light iweje kwa muda flani aina za kushoot video na vingine vingi tu please🙏
Sawa nitalifanyia kazi
Kaka
Naomba utufunze swala la
CINEMATIC LIGHTING
hata kama hii comment haitapew kipaumbele ila naomba sana
Nitalifanyia kazi hilo
Ivyo vitabu vya mafunzo ya video editor unauza beigan
Ni videos package sio vitabu. Bei ni 20,000 - 30,000
Huwezi kuchukua video bila lens?
Unaweza ila video itaonyesha BLACK or WHITE kwa sababu lens ndiyo kitu kinachopima na kuruhusu kiasi gani mwanga uingie ndani ya camera
@@Richstartz ok, thanks
Vp hali Kaka,naitaji nipate whatsapp namba ya kwako Kaka
Bar boss naomba nambako ya whatsapp
Nahitaji mawasiliano tu kaka nipate hizo causes
0714 250 356
@@Richstartz sawa kaka
Kaka naomba number whatsapp yako
Hallo Rich. Mi Naitwa Robert Mbasha naishi Kahama, Kagongwa Shinyanga. Uliwahi kuja kwa kijana wangu Migera hapa kagongwa bahati mbaya sikuwepo kwangu lilikua pengo kubwa ajabu nilitamani sana nikuone, kwa kifupi kama hautajali naomba no. yako nitext kwa 0754 440961, tufanye biashara mzee wangu
Nitumie ujumbe Rmaguluko@gmail.com
@@RichstartzBrother Habari za Muda huu! Naomba Tuwasiliane, ili nipate msaada zaidii.
Bar boss naomba nambako ya whatsapp