Naomba kuongezea! Hapo kwenye Focal length ungegusia kuhusu Full frame vs APSC, I think umelenga Full frame. Sababu 50mm kwenye APSC kushoot indoors ni mtihani, sababu 50mm kwenye APSC mfano sony ina crop 1.5 au Canon ina crop 1.6 ambapo 50mm kwenye sony APSC inakua 75mm na kwenye Canon APSC inakua 80mm. All in all good content man! 👍
Habari kaka,, nime kua nikihitajo kujifunza Mambo ya kua RUclips content creators ila napata ugumu san hat namna ya kuanza,, naomba nipate mawasiliano nikutafute kama nitakupata ninifunze kwa vitendo,, nitakulipa pia
Brother mimi nakufatilia sana contents zako lakini kuna kitu ambacho sijafahamu kuhusu youtube. Kitu chenye sijaelewa unapotimiza vigezo vya kulipwa je viewers katika video zako huwa wanajumlishwa kwa idadi ya video ulizoweka au ni kila video inqjitegemea katika kulipwa
Kaka rich wewe ni mwamba nimepitia video nzima na kitabu nime download Swali sisi tunao tengeneza Content za wedding tununue maick gani na Light gani, na kwa upande wa Gospal waimbaji wengi tununue ren's gani?
Je, we upo mkoa gani
Na kwa jinsi gani unaweza kuweka video na sauti halisi ya object wakati huo huo video ikawa zinaonesha nje ya eneo ambalo object yupo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsante sana
Naomba kuongezea! Hapo kwenye Focal length ungegusia kuhusu Full frame vs APSC, I think umelenga Full frame. Sababu 50mm kwenye APSC kushoot indoors ni mtihani, sababu 50mm kwenye APSC mfano sony ina crop 1.5 au Canon ina crop 1.6 ambapo 50mm kwenye sony APSC inakua 75mm na kwenye Canon APSC inakua 80mm. All in all good content man! 👍
Well said brother 👏
Richacademy 🎉
Kaka kujiunga na kozi za Rich academy maelekezo zaidi
Tuwasiliane 0714250356
Madini na nondo za mana, mwalim kama mwalim
Ahsante sana bro Kwa somonhili
got u bro
💯✅✅
Nzuri Broo ila ungekuwa unatupa na makadilio ya bei za vifaa ingekuwa poa
Mbona nimeviandika mzee
Tafadhali naomba namba Yako tuongee..
From Bujumbura, niko pamoja naww nakukubari sana umeelimisha jamii na nashukuru hata mimi nimejifunza mengi from your content, maua yako aisee❤
Shukrani sana
Aisee brother upo vizur sana ila kwa mawasiliano vzr ningepata namba Yako kaka
Saw bg
Thanks again
Brother mm naenda krusha vipindi RUclips unaweza kunipa WhatsApp number yako
Sawa kaka. Lakin kaka ideas za ku shoot content za youtube
Nayo ni changamoto?
@@Richstartz yeap ni changamoto kubwa Sana
Naomba namba yako
Habari kaka,, nime kua nikihitajo kujifunza Mambo ya kua RUclips content creators ila napata ugumu san hat namna ya kuanza,, naomba nipate mawasiliano nikutafute kama nitakupata ninifunze kwa vitendo,, nitakulipa pia
kaka tunakupataje naomba mawasiliano
0714250356
Unafundisha online au? Na je gharama zake zikoje kwa kozi
Asante Sana kuendelea kunipa maujuzi broo rich
Pamoja sana
Naomba namba yako
Brother mimi nakufatilia sana contents zako lakini kuna kitu ambacho sijafahamu kuhusu youtube. Kitu chenye sijaelewa unapotimiza vigezo vya kulipwa je viewers katika video zako huwa wanajumlishwa kwa idadi ya video ulizoweka au ni kila video inqjitegemea katika kulipwa
Kwa idadi ya Videos zote sio moja moja
Kaka nashida na adobe pro nahipatejee. Nisaiddie kwa hilii🙏🙏🙏
Premiere Pro progrma ama?
@@Richstartz naic ioio ya kueditia videoo
@@SRONLINETV www.adobe.com
Kaka rich wewe ni mwamba nimepitia video nzima na kitabu nime download
Swali sisi tunao tengeneza Content za wedding tununue maick gani na Light gani, na kwa upande wa Gospal waimbaji wengi tununue ren's gani?