Huyu mtu, ni muhubiri wa injili takatifu. Kweli amethibitika ni askofu wetu mkuu tumepewa na Mungu kwa nyakati hizi, tulizo nazo. Amembeba Yesu kristo mwokozi wetu , tumsikilizeni. Maana ayanenayo yatokayo kinywani make yatoka kwa Bwana. Hakika tutaishi.
Tumuombe sana Askofu wetu
Barikiwa Sana baba yetu mwakipesile
Amina
Huyu mtu, ni muhubiri wa injili takatifu. Kweli amethibitika ni askofu wetu mkuu tumepewa na Mungu kwa nyakati hizi, tulizo nazo. Amembeba Yesu kristo mwokozi wetu , tumsikilizeni. Maana ayanenayo yatokayo kinywani make yatoka kwa Bwana. Hakika tutaishi.
Uweza wa MUNGU ukikaa ndani yetu tutaweza mambo yote
Kwa kumueshimu MUNGU unatunza uhai wako