Nawakumbuka Mwaka 1999 mlipokuja Musoma.wekeni ile Albam ya kukataa ukweli.napenda nyimbo zenu sana.dhambi imeisha ila dunia, kundi kubwa lile la washindi, kweli Mungu wa ajabu, nazipenda sana
Gostaria um dia vocês vir em Mozambique província de tete,sou adventista do 7 dia e sou fã de esse grupo, pêlo menos nos salvar com esses cânticos que nos leva perto do nosso senhor Jesus Cristo,ouiça o meu pedido favor@@Sautiyajangwanisdachoir1987
Hongereni sana sauti ya jangwani. Hakika tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu. Ila tunaomba na nyimbo za zamani kama vile mwanamke gani, ujira wa watakatifu, lulu fedha na dhahabu nazo mziweke katika RUclips channel yenu ili tuweze kusikiliza na kubarikuwa. Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kutangaza injili yake.
Hakika!! Mungu azidi kuwatumia,nami nahitaji kupata album zenu zote,naomba tuwasiliane kwa 0756891190,matunda ya nyimbo zenu ni roho nyingi kuongolewa,mm nikiwa mmojawao!!
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua. Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee. ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
Hakika ni wewe mwenye uwezo hakuna mwingine.
Haleluya watu wa mungu muwe na usk mwema mungu wa mbinguni awaatamie kama kuku aatamiavyo vifaranga vyake.
Amina sana
Nawakumbuka Mwaka 1999 mlipokuja Musoma.wekeni ile Albam ya kukataa ukweli.napenda nyimbo zenu sana.dhambi imeisha ila dunia, kundi kubwa lile la washindi, kweli Mungu wa ajabu, nazipenda sana
Waooo!!! Kumbukumbu nzuri. Tutaweka Ombi lako. Bwana akubariki
Gostaria um dia vocês vir em Mozambique província de tete,sou adventista do 7 dia e sou fã de esse grupo, pêlo menos nos salvar com esses cânticos que nos leva perto do nosso senhor Jesus Cristo,ouiça o meu pedido favor@@Sautiyajangwanisdachoir1987
Nyimbo hz huwa nazipenda saana mungu ashukuriwe
Amina mtumishi Wa baba
Mungu anatukuzwa Sana Julia nyimbo zenu mbarikiwe
Kweli nyimbo zenu ni nzuri
Bwana awabariki sana mzidi kusonga mbele kwa kuugeuza ulimwengu umtazame yesu kupitia nyimbo hizi
Waimbaji wimbo wenye ujumbe kujiandaa kabla ya kufika nchi ya ahadi kanaani 18-12-2020 William cresent kirway toka Haydom-manyar.
MUNGU awabariki Kwa kazi kubwa na nzuri mnayoifanya
Mungu nibaliki kupitia huu wimbo amen ❤️
Mwokozi wetu yapige maji tuvuke bahari shamu... Nabarikiwa sana wapendwa 🙏
Nmependa sana Yesu aliingia kwenye nyimbo za jangwan nikaokolewa
Amina sana Bida, Mungu aendelee kukubariki.
Nawapenda sana. Mungu awaongoze .
Nimekubari mko juu saiti ya jangwa
nabarikiwa sana na nyimbo zenu MUNGU awaongezee mibaraka
Time nyimbo zilikua n roho mtakatifu
Thanks for Song ,Amém amem
Ooo mungu awape nguvu huu wimbo unanigusa muno had I nahisi kama yesu you mulangoni tiyari
Mungu awatumie sana! Mnanibariki sana
Nazi nzuri watumishi wa Baba
BWANA awe nanyi siku zote hata malango ya Yerusalemu yafunguliwe na kukaribishwa... Nasi tunaomba tuwepo hapo Kanaani ya Mbinguni...
Hongereni sana sauti ya jangwani. Hakika tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu. Ila tunaomba na nyimbo za zamani kama vile mwanamke gani, ujira wa watakatifu, lulu fedha na dhahabu nazo mziweke katika RUclips channel yenu ili tuweze kusikiliza na kubarikuwa. Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kutangaza injili yake.
Asante sana kwa ujumbe wako kiste, tutaufanyia kazi kwa karibu zaidi.
Hakika!! Mungu azidi kuwatumia,nami nahitaji kupata album zenu zote,naomba tuwasiliane kwa 0756891190,matunda ya nyimbo zenu ni roho nyingi kuongolewa,mm nikiwa mmojawao!!
@@mamajusimoshi670 asante sana, barikiwa sana. Tutakupigia
israeli waleo ni sisi shamu tumekaribia mnanibariki sana
Amina
Maintaining my faith . God bless your Choir
tuna miss sanaa mambo mapya ya jangwan mnatubariki sanaa
huu wimbo ni album mpya
Ushirika Adventist mtuwekee nyingine bas tuzidi kubarikiwa
tutaweka sio mda mrefu, kumbuka ku subscribe na kugonga kitufe cha kengere ili tukiweka upate taarifa
Ushirika Adventist OK sawa mbarikiwa zaid
Nyimbo zingine za zamani kama kisha kikaona myama akitoka baharini. tunazitafuta.
Thanks for your amazing songs
Mbarikiwe watu wa mungu
Mbarikiwe
Tunabarikiwa hakika!
❤❤❤❤
AMEN 🙏🙏🙏
God bless you all....
Kindly upload Mwokozi yesu uliniita by sauti ya jangwani
Muda kitambo tutakuwekea hapa wimbo wako pendwa. Bwana akubariki
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua.
Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee.
ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
Amen
nice weka zingine
Asante, Ntaweka soon!
nahitaji kanda hii wapi nipate 0787076338 mamba yangu
God loves has all to reach the everlasting life.
waoo mungu azidi kuwainua Kwa nyimbo zenu
naile album ya kwanza ya sauti ya jangwani iweke itapendeza zaidi
Ombi limepokelewa. Bwana akubariki
Safali ya wana Israel
lameck joseph
Danolod
Mbarikiwe sana watu wamungu
Amina
Amen
Amen