JE, DIVAI AU MVINYO NI SAHIHI KUTUMIKA KANISANI?(EKARISTI TAKATIFU sehemu ya pili- part: 2)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • Kanisa katoliki halihamasishi Wala ku-intertain ulevi Wala unywaji wa pombe KWA namna yeyote ile
    hauruhusiwi na Wala haulazimishwi kunywa au kutokunywa pombe au MVINYO!
    (tumsifu Yesu kristu..🙏)

Комментарии • 9

  • @regankisoka3740
    @regankisoka3740 3 года назад +3

    Asante kwa mangamuzi mazr maana malokole yana yumbisha sana baadhi ya wakiristu wasio kua na msimamo

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 года назад +2

    Asante kwakutusaidia pia sisi tunaenda kufunza wengine

  • @fredlyimo1263
    @fredlyimo1263 2 года назад

    Amina sana, asante sana, barikiwa sana.

  • @martinebudole4326
    @martinebudole4326 3 года назад +2

    Mahubiri, mazuri juu ya ulevi na mvinyo, kabisa katoliki tuko imara katika Imani ya kuazimisha mafumbo ya Imani, divai, na mkate

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 года назад +1

    Nilikua natafuta haya maandiko matakatifu sana

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn Год назад

    Zitambueni njia anazo tumia shetani kuteka watu ,hizi zote ni njia za shetani ni nani aliye tumia kileo hata akasimama sawa sawa kwenye njia yaYesu?

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn Год назад

    Kwanini mwakumbatia anasa ambazo humo shetani huteka watu?

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 Год назад

    Hamira inalewaesha hata kama inauchachu hulewi inayo katazwa kwa kua inapoteza akili na kua fujo au kuua au kubaka ndio imekatzwa pia hasara unapoteza pesa ndio ikaharamishwa sio mandazi duh hata yesu ni zabibu sio kilevi nabee haezi kunywa pombe unamwambia mtu anywe kiasi ndio mana bar nyingi