Zaidi Ya Rafiki ( more than a friend) Full Movie 2024| Love story | Bongo Movie
HTML-код
- Опубликовано: 26 июн 2024
- #bongomovie #netflix #movie #benroyalmovies #swahilimovies #comedy #chekatu #juakaliseries #film #zaidiyarafiki
#diamondplatnumz #comedy #love #rafiki #zaidiyarafiki #video #filamyamapenzi Кино
Benroyal my best channel in Tanzania huwa mnaangusha vitu Kali Kali sana ila tu mnatufanya tungoje sana
Karibu sana
Miss you guys nilikuwa najiuliza mmeenda wapi wanangu
nzuri sanh lkn mwakaa sana bila kutuletea vitu watu wagu❤ bonny nakupenda banh
ntatupia kakofia kangu na kakiatu kangu hapo, ntakusanya watoto, kumbe hunijuagi. My favourite part❤❤
Jaman benroyar munaweza Hadi munaweza Tena mungu awajalie mufikie malengo❤❤❤❤❤
😂😂😂😂Nafurahi ombilangu limejibiwa maan nilikuwa napenda san hawa jama wataweza movie pamoja
Wakwanza Leo hapa...
I really love this channel. Thanks 🙏 on the behalf of Ugandans who missed this 😊
Thanks for watching
❤❤❤mlikua wapi wanangu,mbona mlipotea hivyo tunawapenda sanaa 2 mtupewendelezo wa zile mlizo acha basi
Ila barnaba na mona.mona sauti kama katoto❤❤❤.barinba pacha wa luka sura mpaka sauti mpaka tabasam naisi ndungu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri Sana tumetoka mbali. Salimika Sana Modesta love you
Napenda sanaa movie zenu naomba nitoe kama ushauri tunaomba muwe mnatuwahishia pls
Tuna miss sana kazi zenu asee
Dah mwanetu umepotea sana
Safi brother kazi nzuri rafiki
Jaman malizieni na series ya amani, alaf mtuletee msatari wa dam muendelezo wake
Oyaa!! Wanakubl sn ❤ ila shid sauti bro increase the volume please, na wekeni dizeni chach ya kichapo mwanangu 👊 yaan namanish ngumi bro
Nimefurahi sana kumuona bavo humu ndani
Bora mmetuletea, maana tulihitaji sana kazi kama hizi
Kaka benloyalty hii movie nzur sana maana mmeelezea changamoto ambazo tunazipitia mitaani kwenye mahusiano na maisha ya kawaida
Saaafiiiii,
Yan nimefurahi atari,
Kama kuna comedy fran hivi,
❤❤
Alafu @mbanga napenda sana hip-hop zenyu + nala mzalendo🎉🎉
BP mmekimya sana watunguyaz...watching from Mombasa
Kuwamiss tu nimewamiss mmejua kututelekeza jaman ❤❤❤
Duuuh.....huyo Jamaaa namuonea huruma sanaaaa
Aisee turikua tumewamiss saana kaka bonny
Kazi kazi bila kuchoka mzigo ni wamoto 🔥🔥🔥
Mlikaa kimyaa sanaa
Hongera sana ❤❤❤❤❤ part two lini inatoka
Hakika films zako zinasisimuwa
Bonny inapendeza sana mkawa mke na mume yani ww bonny na Paula mnapendezana sana niwe wafatilia muda mrefu sana kiufupi mnaendana sana.
Ila haunaga kaz mbaya
naona mmeniwekea mwanangu wa michezo yenu ya 👊 nimependa sana iyo
Kazi nzuri nawapenda sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nawakubali sanaa. Jitahidini kupandisha kaz kwa wakati
Jamani vp kuhsu series ya AMANI tulitegemea muendelezo wake 😢
Jamaangu ndevu moja Mr max kaua sanaaa...but Kazi nzuri myamba
Movi zenu ni nzuri saaana tu tunapenda kufuatiria kwa mfurulizo mzuri A to z
Love from @sinemex
Turikua tumewakumbuka san wanangu ❤❤❤❤❤❤
Nice one
namkubali sana boni
Mfanye chap Ben leteni part 2... FASTAAAAAA
Benroyal,nilikuwa naomba ikiwezekana mututumie link ya wastap au link ya izi hiphop sehemu salama na husika pa mashabiki zenukuzipata,tafadhali
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ni nomaaa kikosiiiiiiiii
Mnakaa sana hadi tunawasahau,naona hata bavo mlimchukua
Nmecheka sana 😂😂 kazi nzuri sana
Oyaaa humu kuna bavoooo
❤❤ mko vizuri ndugu zangu
Yup well cme back
Tunaomba Mwendelezo Wa amaniii Basii ndug zangu
daaah nikajua mmedata na bunji mmetukosea sana 😂😂😂😂😂
Zaidi ya Rafiki@benroyal@Bon@miss chuleha❤❤.love u gys
Bonny (Barnaba) ni fundi sana
Amani itawale,,,,malizieni❤❤basi
natamani sana bony na paula liwe kapo mnaendana sana
Napenda sana kazi zenu
Kazi nimoto sana
Tunafurahia uwepo wenu
Ukweli mnaweza sana ila ile Amani hamjamaliza
Sema mnajua sana✊
Sema mmekaa kuachia kaz
🔥🔥🔥Rafiki
Kazi nzuri wanangu
Dah hio sound track noma xana
😢😢 Where is part 2 Benroyal
Ileteeee babaaa
Jamani tusiombe like 👍 😂😂😂tafadhaliii una weza uka ozea jela kama #msanii see more.....................
From254 bigup manzee but watu hawanyamazangi hivyo wakuu😂
Mbn kama madam mona anabastola kwenye kiuno chake
My brother umerudi ila baadhi ya vipaji nilivyo viona kwako now naviona katika bunji ni furaha
😂😂😂😂😂😂watu wanao sali hawafanikiwi
RAFIKI 😢
Bonge la move
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤
Oyo oyo❤
Ngoma ya mbanga mc🙌🙌✊️✊️
I appreciate you guys💥👊👊💪
Nakbal wazee wa kazi
Vipi kuhusu AMANI series kwani ilikwama kabsa?
Napenda sana kazi zako Ben❤
Mkopowa
Muache kutuonjesha bana sasa series ya amani haijaisha bado
Hatimaye mmeludi watu wa mungu, mwasamola miss you ❤
kitu kikali sana❤❤
Mr benroyal
Ila ben wewe dah😢😢 una jua kijana
Asante sana
Unyama ni mwingiiiiii
❤❤🔥🔥
Vp mbona ile filam AMANI mbona kimya
Muendelezo wake
AMANI mbona hajaimalizia jamani movi kaliii tunatamani muendelezo ule tuupate na mampya baadae
Vip bana what happened cz munakaa saana bila kudupatia movie
I was miss u more
Amani ina ishiya wapi ??
Movie ya amani jaman muendelezo unakuja lini
1:27
Wow...
Wow 😮
Daah wanangu wa benroyal mmepotea san leten kaz nawakubli san kaz zenu
Hamna baya wakuu 😂
Tuenderee na Aman