Shukran za dhati Kwa wale wote mulioko hapa..pia Kwa yule anaona makosa mahali tujuzane hakuna aibu mwanadamu kukosolewa maana hakuna mkamilifu,pia zipo nafasi za uigizaji Kwa yoyote yule anaetaka hatubagui wala hatuna khiyana Karibuni nyote
Mziki uko juu kuliko sauti,pia haina maelezo ya kutosha ya kufanya na kushawishi kuitizama ,mmeshindwa kupangilia hata majina ya walioshiriki zaidi ya director na script writer,dk13 hakuna cha maana zaidi ya sauti kuwa juu ya mziki na kuchagua mchele😂😂kiufupi haijakidhi vigezo vyakuwa ep ya1 ,ep1 ilibidi iwe moto ili iwashawishi watazamaji....jipangeni vizuri
Shukran kwa mawazo Yako,ila naomba nikujibu hii sio series ilikua short film,na RUclips account yetu ndio mwanzo inaanza so kuna masharti wanakataa kutumana content inayozidi 15mints,hapo ikabidi tuikate iwe episode ila haikua series...pili ukitaka kuielewa hio story fuatilia ndio utaelewa maana ina fumbo na kulifumbua ni ufuatiliaji...kile tunashkuru kutoka kwako ni urekebishaji wa sauti na upangiliaji wa casts ila tunashkuru sana ila naomba uelewe hio haikua series maana ni kulingana na Sheria za RUclips account ikiwa changa wana masharti Yao na hakuna budi ila kuzifuata
Shukran Kwa ushauri wako..ila Cha kwanza hio haikua series ilikua ni short film na Ukiwa ndio unaanza kupost kwa youtube wanakuekea masharti hupaswi kupost content Zaidi yab15 mints,so ilibidi tuikate ndio tupost sababu ya hizo Sheria...pili chaguo langu Ina fumbo Kaa kitako ufuatilie mpaka mwisho alafu utaniambia jee MDA wako umeenda Bure au ulikua hujaelewa,tatu kweli nakiri hapo kwenye mziki,sauti na upangiliaji wa majina tutarekebisha Asante Kwa Hilo ila fuatilia kiasi utaielewa najua wanidai wengi tunapenda vitu direct ukianza kuangalia filamu ushaimaliza kabla imalizike...ila Asante kwa mchango wako pia tunakukaribisha carbo pictures utufunze
Good one
Wow kaz ft san
Kazi safi sna Mungu awazidishie zaidi hata mbuyu ulianza kama mchicha#Kikubwa uhai✌️🔥🔥
Big up my people ❤
Mother shock hapa nafatilia nikiwa dammam ❤❤
Kaz ft san 🔥🔥
Kaziii safii
Safi sana
👏👏
Kazi nzuri sana watu wangu
❤❤🎉
❤️❤️
❤❤❤❤
Mashallah kazi safi na Allah azidi kuwapea noor kwa kila hatua❤❤❤
Keep up
Wazi wazi
Mafimbo
Nakubali
It's a dream come true Kaka...keep it up 👏
Shukran za dhati Kwa wale wote mulioko hapa..pia Kwa yule anaona makosa mahali tujuzane hakuna aibu mwanadamu kukosolewa maana hakuna mkamilifu,pia zipo nafasi za uigizaji Kwa yoyote yule anaetaka hatubagui wala hatuna khiyana Karibuni nyote
Mziki uko juu kuliko sauti,pia haina maelezo ya kutosha ya kufanya na kushawishi kuitizama ,mmeshindwa kupangilia hata majina ya walioshiriki zaidi ya director na script writer,dk13 hakuna cha maana zaidi ya sauti kuwa juu ya mziki na kuchagua mchele😂😂kiufupi haijakidhi vigezo vyakuwa ep ya1 ,ep1 ilibidi iwe moto ili iwashawishi watazamaji....jipangeni vizuri
Shukran tutalifanyia kazi hilo..kila kitu kina mwanzo mdogo ila kwa tutarekebisha InSha Allah
Shukran kwa mawazo Yako,ila naomba nikujibu hii sio series ilikua short film,na RUclips account yetu ndio mwanzo inaanza so kuna masharti wanakataa kutumana content inayozidi 15mints,hapo ikabidi tuikate iwe episode ila haikua series...pili ukitaka kuielewa hio story fuatilia ndio utaelewa maana ina fumbo na kulifumbua ni ufuatiliaji...kile tunashkuru kutoka kwako ni urekebishaji wa sauti na upangiliaji wa casts ila tunashkuru sana ila naomba uelewe hio haikua series maana ni kulingana na Sheria za RUclips account ikiwa changa wana masharti Yao na hakuna budi ila kuzifuata
Shukran Kwa ushauri wako..ila Cha kwanza hio haikua series ilikua ni short film na Ukiwa ndio unaanza kupost kwa youtube wanakuekea masharti hupaswi kupost content Zaidi yab15 mints,so ilibidi tuikate ndio tupost sababu ya hizo Sheria...pili chaguo langu Ina fumbo Kaa kitako ufuatilie mpaka mwisho alafu utaniambia jee MDA wako umeenda Bure au ulikua hujaelewa,tatu kweli nakiri hapo kwenye mziki,sauti na upangiliaji wa majina tutarekebisha Asante Kwa Hilo ila fuatilia kiasi utaielewa najua wanidai wengi tunapenda vitu direct ukianza kuangalia filamu ushaimaliza kabla imalizike...ila Asante kwa mchango wako pia tunakukaribisha carbo pictures utufunze
Sawa ni series ila mnaanzaje kuweka katkat,nahata km series ndio hata washiriki haitakiwi kujulikana
@@Lizzah_Media tutarekebisha tunajifunza kupitia makosa Kila tunaporekebishwa Karibu sana Kwa mchango wa aina yoyote Ile
Kitu cha muhimu sana ni kuanza, na mumeanza
Thank you so much brother
Wa kwanza nipen likes zangu🎉🎉
🎉🎉
Wazi wazi
Mafimbo
Nakubali
❤❤❤❤